Wanetu BMTL hongereni sana, hakika hii kazi ya Mungu mnayoifanya hatawaacha bure, azidi kuwabariki sana - utukufu uendelee kubaki kwa Mungu wetu 🙏🏼🙏🏼
@ledochowskachoir Жыл бұрын
Amina Mkuu tubarikiwe sote
@samanthasumazikarisa2745 Жыл бұрын
I salute you wana BMTL na Mungu awabariki kwa utume wenu, tupo katika safari ya kurudisha kwaya yetu bado tunahitaji maombi na sala zenu from Charles Lwanga Malindi
@msafiriallen7636 Жыл бұрын
Wamemsifu Mungu kwa shangwe na nderemo: wameutendea vema wimbo husika: hongera kwa mtunzi na waimbaji
@Clemenceollomy Жыл бұрын
Hii ngoma naiombea itembeee sanaaa hii nyimbo ina mashairi yanayogusa sanaa aiseee hongereni sanaaa Waimbaji wa BMTL
@tinyideal Жыл бұрын
hii imeenda huu ni wimbo na nusu hongereni sana BMTL wimbo nimeusikiliza zaidi ya mara 10 HAKIKA MUNGU NI NGOME YA KWELI
@erickernest4032 Жыл бұрын
Hongereni Sana Wana wa BMTL Dodoma,Leo ndo nimepata muda wa kuisikiliza Kwa umakini Ngoma hii, aisee Mungu ainuliwe Sana kupitia nyimbo hii, hongereni sana Tena Sana,pokeani Maua yenu.
@mathewkibiwot305 Жыл бұрын
Wimbo ulio na funzo barikiweni sana hope when ill visit Tanzania I'll meet this amazing choir
Hongereni sana wana LEDO, we are proud of you. Mungu awategemeze kwa jambo letu la October 22, 2023. You have our support 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉💯💯💯💯💯
@rosekipeleka Жыл бұрын
Hongereni sana wanaBMTL kwa Wimbo mzuri, Mtunzi Zacharia aaaaaah! Mungu azidi kukubariki na kukutunza sana Kaka 🌹maua yako nakupa🌹wapiga Ala za Muziki hakika mmeupa ladha tamu zaidi Wimbo huu. GR Studios + Mopao Kazi ni 🔥🔥🔥🔥 wa kuotea mbali. Mungu awabariki Wote kwa Uimbaji wenu na sauti alizowapa zimrejeshee yeye sifa siku zote.🙏
@paulnunduma6851 Жыл бұрын
My Angels,Hii imeeendaaaaaaa
@CatherineMartin-n4m Жыл бұрын
Hongereni sana my mother choir kazi nzuuuri sana mbarikiwe❤❤
@AronMerchory Жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema siku zote. 🎉🎉🎉🎉🎉. Kaz nzr sana
@lauriannyoni4319 Жыл бұрын
Niko huku Marekani naburudika na MUZIKI MTAKATIFU🎉🎉🎉🎉
@bwalukaanthony5099 Жыл бұрын
Utume mwema katika kunijulisha kwa uimbaji🎉🎉
@rwelamira Жыл бұрын
Wimbo mzuri, waimbaji wazuri, maorganist ni AIC
@BakhitaHyera-jv2zv Жыл бұрын
Mungu ambariki mtunzi kwa wimbo mtamu...Asante kwaya kwa kuwasilisha vyema. Utukufu ni wake daima
@ledochowskachoir Жыл бұрын
Amina
@andreahamaro5139 Жыл бұрын
Hongereni sana waimbaji lakini zaidi sana kwa mtunzi..
@NaikilusuNaikilusukivuyo Жыл бұрын
Hongerenii Sana , MUNGU awabarikii Sana 🎉🎉🎉,ngoma iko na ujumbee🎉
@janethpaul1553 Жыл бұрын
Mungu atubariki sote ❤❤❤❤
@thomasmathias7576 Жыл бұрын
Saluteeee Good song, good melody. ...so sweet
@daudikingalu34317 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na utume wenu
@alexandre932 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana ❤
@edwinkachenje7677 Жыл бұрын
Hongera sana BMTL sasa mnadhihirisha ukomavu hasa kwenye mziki Mtakatifu. Mungu awabariki sana muweze kuinjilisha zaidi na zaidi watu wakapate uponyaji.
@lamecklambertinmalimi8334 Жыл бұрын
Asante sama
@MichaelSafari-yo5ql Жыл бұрын
Namimi nitahamia Dodoma
@WAZAMANIGROUP Жыл бұрын
Kazi kali aiseee daah
@chikumastory765 Жыл бұрын
Mungu awabaliki sana
@godfreyngoloka9017 Жыл бұрын
Hongereni Sana BMTL KAZI nzuri sana
@chaztarimo8212 Жыл бұрын
Mwalim wangu wa nota ujaniangusha Mungu akubarik sanaa🎉🎉🎉🎉🎉
@clavershayo1419 Жыл бұрын
God bless this beautiful family 🙏
@teresiambuthia5508 Жыл бұрын
Very interesting.. I remember this song at Malindi extrevangaza ❤
@FlorahSele Жыл бұрын
Kwaya yangu pendwa ,mbarikiwe sana ❤❤❤❤❤
@kelvinjossyburg3188 Жыл бұрын
BMTL 📌📌📌
@SalomeElias-ty2bu Жыл бұрын
Hongereni sana BMTLC wimbo mzuri sana 🙏
@priscaemmanuel3367 Жыл бұрын
Hongera sana BMTL nabarikiwa mno. Mungu awabariki mwendelee kumtangaza daima.
@winnieavit5985 Жыл бұрын
🎉 salute ✋
@pelagiasamamba8085 Жыл бұрын
Hongereni sana kwaya yangu pendwa
@annastaziavedastus5543 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana,Ama kwa hakika nimebarikiwa.Muimba vizuri sana na hongereni sana 🙏🙏
@sylvesterrumala4729 Жыл бұрын
More Congrats, kazi nzuri sana , mbarikiwe #bmtl
@frankcasmiry4315 Жыл бұрын
Congratulations to you all I feel to be blessed when I watch the video ,so amazing and fantastic. Mungu awabariki sana kwa nyimbo nzurii❤❤❤
@benjaminmichel7451 Жыл бұрын
Zacharia ....salute kwako brother..Ngoma imeenda😊
@zachariagerald Жыл бұрын
Sifa kwa Mungu mkuu 🙏🏼🙏🏼
@hcprostudio Жыл бұрын
👏👏👏👏👏hongera wanakwaya, director MOPAO na studio kwa ujumla kwa kazi nzuri
@jellyayungo9703 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana. Kazi nzuri!!.
@AndreaLujuo Жыл бұрын
Nawapenda❤❤ kazi nzuri
@estamkoma3232 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥Mungu awatunze Wana BMTL🙏🙏🎶🎶🎶🎶
@eliyaernest2221 Жыл бұрын
This song is 🔥.Be blessed BMTL
@ledochowskachoir Жыл бұрын
Thanks
@imakulatamlawa4312 Жыл бұрын
Hakika wimbo mzuri sana umenibariko
@niyitangavirgilexavier2483 Жыл бұрын
Hongera sana kwaya yetuuuu
@regnardrichard7825 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@NYIMBO_ZA_MISA Жыл бұрын
Hatari sana🎉
@sospeterchanga9473 Жыл бұрын
BMTL my family
@sospeterchanga9473 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@NEHEMIAHSHAKINI-m4n Жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
@emmanuelboniphace9046 Жыл бұрын
Kazi safii kabisaa... 🥰🥰❤️
@priscillaholuoch7299 Жыл бұрын
Hongereni sana wana BMTL kwa kazi safi. Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yenu na kuwajalia sauti tamu zaidi za kumsifu na kumwabudu. Well done!
@lamecklambertinmalimi8334 Жыл бұрын
Asante, salamu Kwa Wana St. Antony Malindi choir.
@TabithaT-ii9bh Жыл бұрын
Nice
@johnsway3744 Жыл бұрын
Safi sana.
@sundaymabula4263 Жыл бұрын
Wabarikiwe sana
@ledochowskachoir Жыл бұрын
Amina 🙏
@philomenakokwakira1352 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana❤❤❤❤
@WilliamsEzekiel-dh9cc10 ай бұрын
nice
@dismas7568 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. NB. Turudi (tubaki)kwenye asili yetu vinanda vya Kikatoriki bado ni bora na vina mvuto wake,.🙏
@emmanueltemba3533 Жыл бұрын
Kinanda kinauhusiano gani na ujumbe uliopo kwenye hiyo nyimbo tuache kukariri sana tutafakri ujumbe tukianza kujadili kinanda zamani wazee wetu walikuwa wanatumia ngoma ndio vinanda vikaja kuna walio pinga kama ww turudi kwenye ngoma zetu vinanda siyo vizuri tusi kariri sana hongera mtunzi na wanakwaya hakika mziki mzuri sana
@dismas7568 Жыл бұрын
@@emmanueltemba3533 Rudia kusoma uo ujumbe vizuri kuna namna umekurupuka kujibu
@fabianjuma6715 Жыл бұрын
Wanyumban jaman nasisimka
@dennisdereck7006 Жыл бұрын
👏🔥🔥🔥
@graceatilio1386 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@MajaliwaSabasi Жыл бұрын
Waooo so suprise to me I really appreciate the work done by this choir , May the Grace of God be with you all, Make even the greatest progress❤🎉
@ledochowskachoir Жыл бұрын
Be blessed
@LoisuliePaul Жыл бұрын
Superb
@immaculatenyamila5811 Жыл бұрын
❤❤❤❤ beautiful ❤️😍
@AgathaKapama-nv2ru Жыл бұрын
My choir my family
@happyliponda7928 Жыл бұрын
❤🙏🏽
@SittaEliasDwese-mc5dj Жыл бұрын
naweza pata nota zake jmn
@lamecklambertinmalimi8334 Жыл бұрын
Utazipata...
@SittaEliasDwese-mc5dj Жыл бұрын
nitashukuru sana mkuu
@benjaminmichel7451 Жыл бұрын
❤❤❤
@peterngussa4157 Жыл бұрын
🎉
@fabianjuma6715 Жыл бұрын
Sauti nzur waimbaji wametulia vyombo safi vmeskika lakin kwaya kubwa kama hii huu wimbo haufai ni wimbo wa kikundi siyo kwaya kubwa kama hii waalim sjapnda angalien nyie mnatazamwa pengi
@lamecklambertinmalimi8334 Жыл бұрын
Nyimbo ngumu haziwashirikishi watu, tunaishia kuziimba wenyewe zinapotea, hii ni kusudi wengi wa imbe washiriki, wafurahie. Ujumbe ndio nukta ya msingi ,mambo mengine ni afya tu