@@aidanwealthclub6288 plz naomba utume text, nina changamoto ya kiafya mkuu
@elizabethemmanuel80313 жыл бұрын
Mungu akupe marefu na yenye baraka tele Bwana kaka Zakaria🙏
@felistermganda38914 жыл бұрын
Naipenda sana unavoidable conduct natamani namimi niwe km wewe barikiwa sana
@friminakavishe4634 жыл бұрын
Hongera sana Zacharia kitunze na endelea kutumia kipaji hicho alichokupa Mungu.
@georgemakori2482 жыл бұрын
Congratulations Mwalimu Zachary maisha yako yatia moyo na mungu atakuinua hadi peo za juu sana tunakuombea. Asante kwa kumpa Mtoto Vincent Makori nafasi ya kupiga kinanda ukiwa una conduct kwa Nairobi Gala Queen of Apostles Ruaraka. Ubarikiwe sana Mwalimu
@csato94154 жыл бұрын
Naupenda sana wimbo wa Zacharia ; TUFUFUKE NA KRISTO 👍👍
@heavenlymusicproduction43604 жыл бұрын
Safi sana jugo media tuletee na mwalimu ALOYCE GOLDEN jamaa ana nyimbo nyingi alafu zina imbwa na wakristo takribani wote taanzania tunapenda kujua ili nasisi walimu wachanga tupate kukuza vipaji
@jugomedia4 жыл бұрын
Amina, tutamtafuta
@christsontarimo58033 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@KelvinConorard6 ай бұрын
Zidi kusimama katika kristo kama kioo kwa wengi
@joycewambui33513 жыл бұрын
Zachariah nakupenda Sana unavyoconduct I love how you does n u also conduct like myself cousin n I love kmk with my whole heart be blessed n I always says that I would like to meet you in person so that u can tell us more about music u really inspires me as a choir member from Kenya
@zachariagerald2 жыл бұрын
I am in Kenya, lets meet up
@sigstancemichael6313 жыл бұрын
Ningeshangaa sana kama usingeuliza kuhusu kuconduct. To me that is the part he does the best
@teophorymbilinyi9765 Жыл бұрын
Congrats brother
@beatusmtui5072 жыл бұрын
MUNGU akubariki Sana mchaga wetu wimbo mzuri Sana na pia utume wako Ni mzuri Sana sio wote wenye mafanikio ya kimaisha wanaofanikiwa kiutume pia
@jacksonleorpila33044 жыл бұрын
Zacharia you are the best
@emanuelmatinya11102 жыл бұрын
You're very potential..... MUNGU ukuinue zaidi na zaidi
@raymondlissu46494 жыл бұрын
Hongera Sana MKUU WANGU
@beatusshayo20374 жыл бұрын
safi mangi
@elizabethemmanuel80313 жыл бұрын
Hongera sana kaka Zakaria kwa chako👍
@elizabethemmanuel80313 жыл бұрын
Wimbo wa sifa na utukufu nakupenda ubarikwe saana kaka zacharia
@isaiahsitati60074 жыл бұрын
Wouh! Your CV is rich.No wonder your sense of music coordination & composition is very high.Cudos👍👍
@zachariagerald4 жыл бұрын
Praise be to God bro
@sigstancemichael6313 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu kaka Zacharia
@emmanuelshayo47033 жыл бұрын
Asante sana mh. Huu wimbo wa Mukasa "Nawakaribisha viumbe wa dunia" nimeuimba sana wakati nikiwa Ndanda high school kule Masasi-Mtwara..... Na wito ukaanzia hapo hapo
@stecyfely25832 жыл бұрын
Wow I love how you conduct music 😎
@habari-244 жыл бұрын
Nice Interview jugo media i appreciate you hongera sana Lymo anatuinspire sana kwenye kwaya
@alexandermumo45353 жыл бұрын
Nakubali kazi zako mwalimu, kiukweli na natamani uje Kenya siku moja parokia ya assumption of merry parish Umoja Nairobi, uwakute wanakwaya wetu na ututie moyo pia kiuimbaji. Ningependa au ningefurahi sana nipate contact zako mwalimu. Mungu akulinde na akuongoze kwa kila ufanyalo.
@aidanwealthclub62884 жыл бұрын
Nice Interview... Nimevutiwa sana
@georgemakori2482 жыл бұрын
Congratulations Mwalimu Zachary maisha yako yatia moyo na mungu atakuinua hadi peo za juu sana tunakuombea. Asante kwa kumpa Mtoto Vincent Makori nafasi ya kupiga kinanda ukiwa una conduct kwa Nairobi Gala Queen of Apostles Ruaraka. Ubarikiwe sana Mwalimu