No video

PART 2: CHANUO - "SIMPENDI TENA MADEBE, NI MKATILI SANA, WATOTO BADO WADOGO"

  Рет қаралды 105,553

Wasafi Media

Wasafi Media

7 ай бұрын

PART 2: CHANUO - "SIMPENDI TENA MADEBE, NI MKATILI SANA, WATOTO BADO WADOGO"
Hii ni sehemu ya pili ya mahojiano kati ya Muigizaji Chanuo na #Mashamsham ya Wasafi FM ambapo Chanuo amefunguka mambo mazito aliyopitia kwenye ndoa yake na msanii mwenzake Madebe Lidai
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 617
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 6 ай бұрын
Bi. Chanuo wewe ni mwanamke mzuri insha Allah mwenye zi mungu atakupa Mume.
@fatimejamal1686
@fatimejamal1686 6 ай бұрын
Ni mrembo huyu Dada mashallah🎉Allah akufanyie wepesi
@saiddaud3855
@saiddaud3855 6 ай бұрын
Mimi wakwanza nimejitoa siangalii tena filamu zake Tena maana nilikua nikimpenda sana madebe ila kwa haya Mimi nawaomba wakenya wenzangu tumejitoa
@collinswesonga1494
@collinswesonga1494 6 ай бұрын
Wakenya wenzako wapi mmejitoa nao, pumbavu zako ivo, jitoe pekee yako
@ZaynabMsury
@ZaynabMsury 6 ай бұрын
Yaani namwelewa Sana Huyu dada kwa ambaye hajawahi kupitiya hayo mshukuru mungu kun wanaume wapole mpk ukimwambia mtu haamni pol San dada😢😢
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 6 ай бұрын
Kabisa tumepitia wengi hayo kwakwel cjui wanaume wa siku hizi wapoje
@thuwaibamohamed2786
@thuwaibamohamed2786 6 ай бұрын
Allah atakufanyia wepesi in sha allah , kua na subra malipo hapa hapa duniani ikiwa anajiona jabari mbelen kidogo atalipwa wala usiwe na wasiwasi swali sana mshkuru mungu haki ya mtu siku zote hailiki
@elishaelishaedward9454
@elishaelishaedward9454 7 ай бұрын
Jmn Chanuo usilie mungu anamakusudi na wewe hilo nalo litapita tu. Nilikua shabiki wa Madebee Lakini kwa hili ma Left Group
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu 7 ай бұрын
nimecheka kama mwehu wallah ht mm nimemchukia madebe
@hamzarumela1784
@hamzarumela1784 7 ай бұрын
Kwann unahukumu kwa kusikiliza upande mmoja
@imanimaulid8304
@imanimaulid8304 7 ай бұрын
DdDDS add a add add z as s
@LenatusPosiano-hi7tk
@LenatusPosiano-hi7tk 7 ай бұрын
​@@hamzarumela1784kula dole mateso yote hayo😢😢😢
@Zaburi-
@Zaburi- 6 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@AsiaAsia-sv6ok
@AsiaAsia-sv6ok 7 ай бұрын
Ila huyu dada anaonekana alimpenda sana mumewe maskini 😢
@NajmaHassan792
@NajmaHassan792 7 ай бұрын
Alimpenda n anajua kuvumilia sana😢
@iradukundachriskagawa
@iradukundachriskagawa 7 ай бұрын
Madebe ndo kaanza kufunguwa ukurasa 😂😂 lazima apendwe 😂😂
@KAHINDITV
@KAHINDITV 7 ай бұрын
Ukimsikiliza kwa makini bado anampenda lkn ameona bora amuache aende,inaonyesha pia amepambania sn penz lake lkn wapi co amekuja kwenye mtandao aongee apate ahueni kisha amuache aende anapopenda na yy apate kaz maisha yaende😭😭
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 6 ай бұрын
Ndio lazima nyie yalinitokea haya kwakwel inauma balaa
@tidesmwakinyuke8633
@tidesmwakinyuke8633 6 ай бұрын
Dada nakushauri Usiondoke kwenye nyumba komaa,Tafuta mtaji Tu Mungu atakujalia. Wewe ni jeshi Kubwaaaa.
@salsashmomy
@salsashmomy 7 ай бұрын
Hayo mambo yapo sana jomon omba yasikukute uyasikie tu 😢😢pole sana chanuo.
@user-yh4vv7gi6n
@user-yh4vv7gi6n 6 ай бұрын
Wallah da dida huyu dada ameniliza 😢😢😢😢nimetoa machozi mpka nimehisi ni mimi .Mungu awatie nguvu wanawake wote wanaopitia kipindi kama hiki.
@user-qf2gt4gl3t
@user-qf2gt4gl3t 6 ай бұрын
Pole sana chanuo inshallah mung atakufanyia wepes na hili litapta tu kwa uwezo Wa mung
@AsmaAthumani-je8bh
@AsmaAthumani-je8bh 6 ай бұрын
Pole sana chanuo weesimama kama mama pambania watt wako waume wote nawaitaga maumbwaaa 2 unavyoumia mie pia nilipitia hayo ila nimesimama kama mama napambn nia maisha yangu nayamtt wangu
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 7 ай бұрын
Wanawake n visirani sn, asa wakipata mtu akiwapigilia msumari ndio huja kujitilisha huruma km ivi, ila kiukweli asa wanawake ndio wanaanza kisha cc tunamaliza, big up sn Madebe🎉
@hamidawamba
@hamidawamba 7 ай бұрын
E makubwa ko hao wanawake wote ndio wanashida ? Nisameh ila nakutukana wew ni mjinga
@MadamAsya2024England
@MadamAsya2024England 7 ай бұрын
Hata km ni mwanamme mwenzio unausapoti ujingavkm anaoufanya madebe kumbuka wanawake ni mama zetu .imagine huyu dada ni ndugu yako wa dam ungefirahia ndugu yako apitie hayo.hujui ulitendalo kwa kweli. Na dunia itamfunza
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 7 ай бұрын
@@hamidawamba nimeshakusamehe zamani sn ww endelea kutukana zaidi na zaidi na kamwe mm cwezi jibu tusi wala siumii coz huna tusi jipya utarudiaridia tu😃 ila mm nawafahamu wanawake kwa uzoefu wa kuishi nao lkn pia kwa kuwasoma , yan mwanamme acpokua na ustahimilivu wa hali ya juu anapoishi na mwanamke ndio hutokea hayo, coz wanawake n visirani sn...
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 7 ай бұрын
@@MadamAsya2024England tatizo lenu n kuckiliza kesi upande mmoja n lazma ule upande mwingine utauona m'baya, ila ukwl huwezi kuujua coz hawezi kuuzungumza ukwl ulivyo hasa, hivi ww unadhani yy huyo Chanuo n mkamilifu hana mapungufu yake? Jeee amesema hata moja na yy alilowahi kumkosea mmewe? Ujue kwmb ukwl hasa bdo haujasemwa mpk pale atakapopewa mda na muhucka wa upande mwingine, yan usihukumu kwa kuckiliza upande mmoja...
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 6 ай бұрын
Huyu kabila moja sio bure na ndo mibaba ya hovyo kama huyo madebe aan mijaume kero tupu kama wametoka kuzimu aan mtihan
@ally-26og
@ally-26og 7 ай бұрын
Huyo madebe mwambieni siku nikikutana nae atajuta kuzaliwa atageuka makopo siku hioo atafurahi na shoo pole saana chanuo mungu mbele yako inshallah biidhinillah
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 6 ай бұрын
😂😂😂 kweli umechafukwa
@ZulfaSalehe-qz4jr
@ZulfaSalehe-qz4jr 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 6 ай бұрын
Madebe anapiga ngumi balaa,usijaribu kumgusa ukikutana naye😂
@user-ci2jg1ux4e
@user-ci2jg1ux4e 6 ай бұрын
Uwiiiiii yani pole unapita sehemu ngumu kama nilikopita miaka kumi ilopita but now GLORY TO GOD. yatapita dada japo siyo rahisi sana mwamini Mungu tuu.
@abdullnjohole626
@abdullnjohole626 6 ай бұрын
Kunawakati muda ndio unaamua katika maisha kulio sio mwisho wa matatizo katika dunia kikubwa kumuomba mungu akufanyie wepesi katika maisha yako mtoto sio kifungo utalea siku zote watakuwa tu mungu ndio atawakuza kwakila hali Muomba mungu achoki Ila mwamba umefeli sana kumliza mwanamke kulia kote unafikilia atakaa anateseka siku zote kilakicholiwa kina stilika muombe msamaa mkeo na alidhie awe hulu na maisha yake yawew ya amani kutoa talaka na kupokea talaka ya kinyong amuna mpe uhulu andelee na yakwake
@asminkachengome7428
@asminkachengome7428 7 ай бұрын
Chanuo ww dada mpambanaji na unakipaji sana kuwa n subra ukianguka usichoke kusimama mungu yupo
@user-qq1kt3hg1l
@user-qq1kt3hg1l 2 ай бұрын
Pole sana kipenzi chanuo
@user-nm4de1nj7d
@user-nm4de1nj7d 7 ай бұрын
Pole dada yangu wengi tunapita huko mungu akupe nguvu utashinda
@user-ve4rs4tc7o
@user-ve4rs4tc7o 6 ай бұрын
Bado unampenda mumeo ila mmeshindwa kujuana vizuri mumeo ni penda penda mi natamani usilie Tena pambania maisha Yako mungu atakusimamia.
@user-gf5sd1ye7n
@user-gf5sd1ye7n 6 ай бұрын
Mamy yote mitihani ya maisha na mungu haezi mpa mja wake mtihani asio uweza mamy Mungu yuko kilakitu kitakua sawa😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@KAHINDITV
@KAHINDITV 7 ай бұрын
😢😢😢😢ndoa niache mapenzi niache😢😢😢😢omba Mungu uishie kuona na kusikia tu kwa mwenzio yasikukute
@allahisone6386
@allahisone6386 7 ай бұрын
EEEEH
@SifaWangyaShabani-nt5ww
@SifaWangyaShabani-nt5ww 7 ай бұрын
Niatari
@KAHINDITV
@KAHINDITV 7 ай бұрын
@@SifaWangyaShabani-nt5ww Mungu atufanyie wepesi kwa akili zetu hatuwezi
@KAHINDITV
@KAHINDITV 7 ай бұрын
@@allahisone6386 Mungu atupiganie binadamu tumebadilika sana tumekuwa wanyama kupita hata hao wanyama wenyewe
@glorygodson
@glorygodson 6 ай бұрын
Dada Pole sana Mungu awe no moja kwako muachilie msamehe anza maisha yako upya naamini Mungu amekupitisha hapo darasani usome ujifunze minazani wale watu wanaojifanya waelimisha jamii ndio wanaongoza kufanya uhalifu nakupotosha jamii chozi lako haliendi bure Mshukuru Mungu sana dada Mungu atakusaidia
@AsiaAsia-sv6ok
@AsiaAsia-sv6ok 7 ай бұрын
Ila wanaume wengine jmn wanajuwa kutupa mateso yaliyopitiriza hadi mtu unajikatia tama 😢eeh Mungu tusaidie 💔😭
@user-xi1kj3ui3z
@user-xi1kj3ui3z 6 ай бұрын
Mshenzi sana huyo kaka simpendi Tena ata movie zako hatutozifagilia
@AishaMaganga-vd1jg
@AishaMaganga-vd1jg 6 ай бұрын
Chanuo pole my. Usilie kamahivyo! Utakufa uache watoto wako juu ya mwanaume filauni. Mungu akulinde. Wanawake klasiku mnaambiwa msijenge na wanaume. Madebe yamkojo, rudisha akauti yamwenzio kwajili yakupata riziki na watoto wenu sura mchemsho wewe🥺🥺
@user-fr7lm4dr4c
@user-fr7lm4dr4c 6 ай бұрын
Madebe hana tofauti na aliekua mwanaume wangu
@fahmafahmavas
@fahmafahmavas 4 күн бұрын
Haaaaaaaaaaaaaaaàaà labda huna radhaa mwenzangu poleeeeee weeeeeeeeee
@shukuruiddi82
@shukuruiddi82 6 ай бұрын
dah pole sana dada unastahili kupata mwanaume mwenye upendo na uelewa na uvumilivu juu ya ndoa. atajua siku ambayo umepata pumziko lako la moyo.
@user-kf4vn2kp9n
@user-kf4vn2kp9n 6 ай бұрын
insha'Allah chozilako halianguki bule atakujakwamagoti Munguyupo mpenz polesana my dear angalia MaIsha pambana kwaajiliyawtt wako Mungu atakupa hitaji lamoyowako.
@kombokichwa815
@kombokichwa815 7 ай бұрын
Shanua pambana usilie wanaume wapo weng tu endeleza maisha yako achana nae
@Zainab_salat
@Zainab_salat 6 ай бұрын
Sio shanuo ni chanuo😂😂😂😂 jamani
@kombokichwa815
@kombokichwa815 6 ай бұрын
@@Zainab_salat 😂😂😂😂😂
@Zainab_salat
@Zainab_salat 6 ай бұрын
@@kombokichwa815 umefurahi? 🤣🤣🤣🤣
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 6 ай бұрын
Kamambwaimbwaitu asante mtangamwenzangu kwakuwekawazi umefichua mamboyake bigpuusilie mungu yupo
@omangalaxy1657
@omangalaxy1657 6 ай бұрын
Subuhana llahu polesana mwanamkemwanzangu najuwa wakati unapitia najuwahayomaumivi unapitia nishawahi kuyapitia polesana allah akupe subra nanguvu
@DeboraPeter-tv4dh
@DeboraPeter-tv4dh 6 ай бұрын
Haswa Mungu akupe uvumilivu na subra
@user-vo9kw1fw6s
@user-vo9kw1fw6s 7 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi babyyy inshalla 🥺🥺🥺😔🙌🏾
@YustinMoheli
@YustinMoheli 6 ай бұрын
Pole san chanuo usilie jipe moyo utashind huwez jua mungu amekuepush namangp yanbelen esabu haikuwa lizk namwingne atakja zaid yake❤
@user-lk2hb8dk3s
@user-lk2hb8dk3s 6 ай бұрын
Mim nipo zanzibr naomba asijiumize m kiukwer nimeumia san kwani maumivu unayptia niliteseka ila ss nimepona nipo singo nahtji mke km huyo aliepitia kipnd kigumu km m nampnd sn chanuo❤❤❤❤❤
@vissedon7847
@vissedon7847 6 ай бұрын
Jmn dida wallah nakupenda sana daaaahh...!!eti unajua mwisho wake kipindi chenu kinaraha
@HalimaSuleiman-kt5wi
@HalimaSuleiman-kt5wi 6 ай бұрын
Pole mama boss usilie kipenz mungu akupe subir kipenz
@gullkhan3399
@gullkhan3399 7 ай бұрын
Nimelia kwawuchung😭😭😭😭allah akuekee wepes kwakila jambo
@aminamohammed-rq7ew
@aminamohammed-rq7ew 6 ай бұрын
Dah nimelia kwa uchungu sana allah akujaalie subra na uvumilivu insha Allah 😢
@user-wc1kt9mj8m
@user-wc1kt9mj8m 6 ай бұрын
Pole Sana mungu anamuona
@MwanaOmary-xn2oh
@MwanaOmary-xn2oh 6 ай бұрын
Ataoa mpaka Majini mwache, mungu akufanyie wepes
@khadjaiddlis283
@khadjaiddlis283 6 ай бұрын
Pole sana chanuo kipenzi chetu wanaume mda mwingine wanakera ila nakushauri t achana nae fanya maisha yako
@InnohubGroup
@InnohubGroup 6 ай бұрын
Upo sahihi sana
@user-kr1dh3lr1c
@user-kr1dh3lr1c 6 ай бұрын
Wanawake mwalimu wetu kipofu ila Nakupenda tunajua jamani mungu tusaidie.😢😢😢
@maisarahnassoro814
@maisarahnassoro814 6 ай бұрын
Jamani acha kulia unatuliza wengi unalia kwa hisia sana unaumia ipo siku utafurahi utasahau yaani hadi mtoto hajaingia shule unalia sana hadi mtua akiangalia unajikuta na wewe unalia pole Allaah atakupa mume mwema
@user-bk6hu9up6e
@user-bk6hu9up6e 6 ай бұрын
Dah! Mm nimeumia sana jaman dada pole na mungu akutie nguvu na hiyo nyumba usiiachie pamban ili uishi na watoto kwa amani
@lehabbizdoncare8574
@lehabbizdoncare8574 7 ай бұрын
Hata hili litapita kipenzi, pole sana
@user-hl5qv2nu7o
@user-hl5qv2nu7o 6 ай бұрын
Madebe kumbuka kama Kuna Mungu kutesa mkee na watoto wajifanya mzuri kuogeza kutaka sifa kwatu kwako kwaharibika Mungu atalipiya huyo mwanamke kwa chozi lake Allah atakufanyia wepesi dada
@ssssd9546
@ssssd9546 7 ай бұрын
Naba yachanuwo tumusadiye weye tuko kenya🇰🇪
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l 7 ай бұрын
Watatoa ndg zetu wakenya tunawapenda hii story inauma saaaana
@user-lk2hb8dk3s
@user-lk2hb8dk3s 6 ай бұрын
Mim nipo zanzibr naomba asijiumize m kiukwer nimeumia san kwani maumivu unayptia niliteseka ila ss nimepona nipo singo nahtji mke km huyo aliepitia kipnd kigumu km m nampnd sn chanuo❤
@EvelinJuma
@EvelinJuma 7 ай бұрын
Dada Ninakuelewa sana mm nimesha wahi kuishi na mwanaume kama huyo ninamuelewa sna Yani wanaume kama hao jaman wapo Yani mtu haamin mpka atokewe umesha nitokea hiyo na inauma sna 😭😭😭😭ila mm kusema ukweli wangu madebe anaonekana tu hayuko sawa kabsa sio mtu mzuli huyo kabsa inauma mapenzi yanauma san jamoni
@laylayl5166
@laylayl5166 6 ай бұрын
Mimi kuazia leo sitazami tena move zako madebe unamtesa mdogo wangu chanua
@user-en3ey5ex5l
@user-en3ey5ex5l 6 ай бұрын
pole sana daaha yani nimeumia sana pole mdogo wangu mungu akutie nguvyu katika ichi kipindi ichi kingumu
@hussen8592
@hussen8592 6 ай бұрын
Naipenda movie yake kaanzaa na Mungu ibariki Tanzania maneno mazuri sana kumbe hivyooo ipo siku nae atapiga magoti
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 6 ай бұрын
😭😭😭😭 pole Mwanamke mwenzangu
@ZainabuBiting
@ZainabuBiting 6 ай бұрын
Usijari. Dada. Yangu. Yote. Nichangamoto. Za maisha usirie. Pambana
@Emmymajula5838
@Emmymajula5838 6 ай бұрын
W chanuo ww mzuri Sana usilie
@mrzaggaog2200
@mrzaggaog2200 6 ай бұрын
Uxipo hajibika kama mke ujuwe kuna mke mwingine zaidi yako Madebe lidai ❤
@stellarogath1876
@stellarogath1876 6 ай бұрын
Pole sana kwa changamoto kubwa za ndoa unazopitia. Nakuomba kwanzia sasa, jali na angalia sana watoto wako, jikite kutafuta pesa kwa ajili ya watoto wako, achana na kitu kinaitwa mapenzi, mapenzi yako elekeza kwa watoto wako. Inatosha.
@doreenkihampa7204
@doreenkihampa7204 6 ай бұрын
Kweli kabisa apende watoto wake huyo sio mwanaume
@yonasimion3130
@yonasimion3130 6 ай бұрын
Aaaa,! Chanuo ,huyu dada anahitaji mwanaume atakayempenda upendo wa dhati hadi asahau machungu, pole sana.
@user-sl6su8cv1g
@user-sl6su8cv1g 6 ай бұрын
Pole sana dada yetu daaaaah hadi watoto wake nifala Sana madebe sio mwana ume uyo bana
@pahesalmakai6005
@pahesalmakai6005 6 ай бұрын
Jamni usiliye chanuo mwachiye mungu kwachozi lako atalilipia siku moja Madebe laana unayo kwamachozi yamkeo😢😢😢
@kidykodyyusufukod-ud6vg
@kidykodyyusufukod-ud6vg 6 ай бұрын
mwanamke ana nafasi kubwa sn kwenye media, akijielezea wa kwanza wew madebe watu awatomuamini asemalo lkn ukwel anajua mungu
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 6 ай бұрын
Pole sana kipenzi changu
@hassanboru
@hassanboru 6 ай бұрын
Pole Dada yangu mungu akupe mume mzuri usilie siz ❤️ madebe
@KimZoo-gx7do
@KimZoo-gx7do 7 ай бұрын
Pole mwaya chanuo kwakupokea nguo ya mtu alie uchi
@salamasalum6956
@salamasalum6956 6 ай бұрын
Pole sana chanuo mungu atakulipia usimuachie nyumba pambana simama imara kama mwanamke pambania hakiyako
@MagdalenaHoja-jh9qg
@MagdalenaHoja-jh9qg 6 ай бұрын
Mungu anisamehe madebe ni mbaya wasura ata aendani namrembo uyu,achana nalo limadebe kwenye nyumba usitoke rud kwenye kuigiza basiii
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 6 ай бұрын
Kuna mtu mmoja aliniambia uwe makini sana na wanaume wanaokwambia wameachana wake zao alafu wanakuja kwa gia ya kutaka kuoa wanasiri nyingi sana Hapa sasa namuelewa alichokuwa anamaanisha
@rerisamba
@rerisamba 6 ай бұрын
Waa wanawake 10 ukwimi shikamoo dada shukru Mungu umeachana nae tena nenda kapime huyo hapishi ana pepo la ngono
@user-nd8gg4ig7m
@user-nd8gg4ig7m 6 ай бұрын
Asantee dada dida kwa ushauri wako
@starangelnguma3644
@starangelnguma3644 6 ай бұрын
Jamni huyu dada kanifanya nilie kwa uchungu utafikiri ni mimi. Mungu amsaidie
@hoseagwimo-ti5px
@hoseagwimo-ti5px 6 ай бұрын
Ustawi wa jamii ipo kwa ajili ya kuwasaidia wanawake na watot wanaonyanyaswa, uyo madebe afkishwe ofis za ustawi. Polee san Chanuo
@Zainab_salat
@Zainab_salat 6 ай бұрын
Kweli asiwape maneno yake mpaka wakamuona yy ni mkweli simwaamini
@hoseagwimo-ti5px
@hoseagwimo-ti5px 6 ай бұрын
@@Zainab_salat ustaw wa jamii n sehem sahih ambay inaskliza pande zote mbil na kufany uchunguz wa kijamii kuthbitisha anayoyasem mdai na mlalamikiwa
@user-cz6gs3cj3z
@user-cz6gs3cj3z 6 ай бұрын
Dah kusema kweli nimeumia Sana mi nilikuwa napenda Sana kazi za madebe kuanzia Leo kazi zake Sina mda nazo
@rehemaathuman7303
@rehemaathuman7303 7 ай бұрын
Wewe madebe sijui mitungi..kumbuka Kuna mungu..unatesa damu yko!
@shabani_kitemba
@shabani_kitemba 6 ай бұрын
YANI NILICHO FIKILIA KWAMBA UYO DADA MADEBE ANA MPENDA SANA SASA ANATAKA KUMTOA MOYONI HARAKA SO NA MSHAULI ASIMTOE MOYON HALAKA .PLS NA KWENYE NYUMBA ASIKAE ATAFUTE UTALATIBU WA KUPANGISHA AU AMLUD ELA
@Chumpa_96
@Chumpa_96 6 ай бұрын
Pole sana Dada,, ila anachosema Dida kuwa wanaume tumekuwa katili, ni kweli kama anavyosema ila wanawake wamekuwa kama wafanyabiashara wanapenda kitu kwa mwanaume ndio maana tunakuwa kama tunawakomesha hivi, ila kukomesha huku kwa madebe ni Too much...
@user-lr8vm9yd4l
@user-lr8vm9yd4l 6 ай бұрын
Dada watu mzuri mwenyewe
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 6 ай бұрын
Mungu anakuona madebe mschana wa watu mkarimu.
@user-ms2fk8db8d
@user-ms2fk8db8d 6 ай бұрын
Chanuo usijar kila mtihani ni neema mungu amekuandalia neema kubwa mbele muombe mungu
@PiliKhamis-mb6ty
@PiliKhamis-mb6ty 6 ай бұрын
Duuh atr nanusu madebe kumbe ww uko ivo pole sana chanuo
@liylahahmed829
@liylahahmed829 7 ай бұрын
InshaAllah kheri ndoa hizi.....
@laylayl5166
@laylayl5166 6 ай бұрын
Mungu atakupa mume mwema madebe kumbee ndio alivo looh
@maisarahnassoro814
@maisarahnassoro814 6 ай бұрын
Kilio cha huyu dada kinaumiza yaani unamuonea huruma jamani pole sana Allaah atakupa mume mumeo na yote utasahau utakumbuka ukiwa unatabasamu pole sana
@user-yr3ff4hw2v
@user-yr3ff4hw2v 6 ай бұрын
Chanuo iyo mitiani tuuh mungu ata kupitisha inshaallah
@user-zq5zr8vl1z
@user-zq5zr8vl1z 6 ай бұрын
pole sana mdogo wangu usilie simama na watoto wako mungu atakusaidia
@EsterStanslaus-dj6kp
@EsterStanslaus-dj6kp 6 ай бұрын
Pole mamy mungu akutie nguvu mm cha kukushauri usikate tamaa
@janethjerald1737
@janethjerald1737 7 ай бұрын
Madebe future yake ishaingia doa..ogopa chozi la mtu kumwagika kwa ajili yako
@RechoMakono-rd6qj
@RechoMakono-rd6qj 6 ай бұрын
Mungu akutie nguvu ukweli wanaume wenye tabia kama hizo wako wengi sana
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 6 ай бұрын
Pole sana my mungu atakusaidia baadhi ya wanaume mungu anawaona😭😭
@laylayl5166
@laylayl5166 6 ай бұрын
Polesana chanuo niliyapitia hayoo lakini inshaallah utasimama mungu yupoo
@AishaMadizel-nm8de
@AishaMadizel-nm8de 6 ай бұрын
@mama ngwajima msaidiye chanuo🙏🙏
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 6 ай бұрын
Nauyo mke mpya atie maji kbs mwenzio kashanyorewa😮😮madebe jinga sana nasura yako ngumu
@user-os6ut7wy1m
@user-os6ut7wy1m 6 ай бұрын
Pole sana da chanuo ni changamoto za ndoa
@ramadhanikiwanda8392
@ramadhanikiwanda8392 6 ай бұрын
Madebe ni mshenzi sanaaa kwenye jamiiiii hafai kabisaaaa
@YusuphKajembe
@YusuphKajembe 6 ай бұрын
Pole sana ipo siku uraha yako itarejea tena na uyo madebe anajialibia jna lake
@ZainabJuma-iy3qt
@ZainabJuma-iy3qt 6 ай бұрын
Dah inaskitisha kwakwel pole sana chanuo mungu atakusimamia kwahilo😢
@nurianaramadhan
@nurianaramadhan 6 ай бұрын
Hapo madebe sio handsome,angekua handsome huyu kaka si angesumbua sana khaaa
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 7 ай бұрын
Maskini Shanuo Pole mtoto mzuri wataabika sio vzr akii
@user-rn3xc9dl7z
@user-rn3xc9dl7z 6 ай бұрын
Pole sana dada nilikuwa mfusi wake sana lkn nimemtoa akili
@user-tn2io6vk1g
@user-tn2io6vk1g 6 ай бұрын
Pole sanaaa dada mungu akutie nguvu
@MamaChekno
@MamaChekno 6 ай бұрын
Huyo aloolewa dada dida nimdogo wangu namuonea huruma
@ShadyAbdallah-vu7iu
@ShadyAbdallah-vu7iu 7 ай бұрын
Pole sana chanuo
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 11 МЛН
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 24 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН
PART 2: CHANUO APIGIWA SIMU LIVE, AMUWAKIA MADEBE, WAJIBIZANA LIVE
16:13
Njia 16 za Kutoa Sumu Mwilini | Detox na Kuboresha Afya
9:35
Success Path Network
Рет қаралды 144 М.
MKALI WENU ALIVYO MCHAMBA MADEBE LIDAI, TUHUMA ZA MKE WAKE
15:46
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 11 МЛН