Bwana yesu asifiwe..naomba kuuliza mkutano upo wapi huo wa injili
@oliversayi7860 Жыл бұрын
Mungu akutunze akupe maisha marefu kwaajili ya utukufu wake unanibariki sana mchungaji
@fredrickkagwa88532 жыл бұрын
Ubarikiwe Pastor. Ni kweli Mdhambi kuacha ile dhambi ni Roho mtakatifu ndo ameongea nawe. Shetani siku zote anatamani kutuweka mateka tusitoke.🙏🙏
@user-cl6wg9rk5w7 ай бұрын
Pasta mungu akubarki min bahat baraka mrutu kutoka same mwembe
@elizabethgodfreytondo30522 жыл бұрын
Amen,Mungu akubariki Pastor kwa masomo yako tunakuombea Mungu aendelee kukutumia
@asooraaasooraa48162 жыл бұрын
Amina nimebarikiwa na mahubiri mazuri Mungu akubariki pastor mbanga naendelea kujifunza mengi kupitia mahubiri TV
@lilianmugyabuso89082 жыл бұрын
Amen Nimebarikiwa mtumishi wa MUNGU Shetani hatanihubiria tena nimetambua kuwa mimi ni Mwana wa kifalme
@elinazizacharia56362 жыл бұрын
ubarikiwe MTU wa MUNGU
@tantinebettynduwimana3802 жыл бұрын
hii tv imeshanifunza mambo mengi sana yaani pastor Mmbaga ana maneno ya hekima na ya kujenga, ubarikiwe pastor
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Mungu atukuzwe
@ruthhankungwe26552 жыл бұрын
Mungu akubariki pastor
@rubias29782 жыл бұрын
Ameni asante pst
@lilianlima86092 жыл бұрын
Amen.....Ahimidiwe Mungu wetu aishie ndani yetu🙏🙏🙏
@jeanneriziki6382 жыл бұрын
Amen,MUNGU atusaidiye nawe akutiye nguvu ila ninaomba msaada wa maombi
@angelusmac66312 жыл бұрын
Hekima tupu 🙏
@bettygesare5948 Жыл бұрын
Thanks God bless you
@joharissa20202 жыл бұрын
Amina
@julianacharles98282 жыл бұрын
MUNGU 🙏 AKUTUNZE mchungaji
@alicesidi96012 жыл бұрын
Amen nabarikiwa sana be blessed 🙌🙏
@merinasyohana21292 жыл бұрын
Nabarikiwa sana nimepata matumain
@mugishasine77782 жыл бұрын
Amen
@user-bx5nc8ge6r10 ай бұрын
😍🙏
@dianapeter93112 жыл бұрын
Barikiwa mno pr
@vailetheanyambilile97492 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 Ubarikiwe mtumushi
@julianacharles98282 жыл бұрын
Mchungaji upo kanisa lipi kwenye kambi?
@dicksonmarko79262 жыл бұрын
wiki hii yuko kanisa la kinondoni sda
@margrethkaserikali14582 жыл бұрын
Amen🙏
@shaniachanceline27512 жыл бұрын
Amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼💗💓💖
@johnmagesanyaindi37252 жыл бұрын
M
@lilianmugyabuso89082 жыл бұрын
Natamani nipate namba yako siku moja niachilie Sadaka yangu ya shukrani Maana mahubiri yako yananifundisha mengi na kunivusha,Tafadhali nitashukuru nikipata namba yako!