Kuna nguvu ya ajabu katika kushukuru!, imo ngivu ya kufungua kila mnyororo katika maisha, fualilia mafundisho ya bishop Eliab Sentozi na karibu sana kanisa la Gilgal.
Пікірлер: 5
@mwljacobmlenzi53492 жыл бұрын
Aminaaa baba
@charlesoketi1162 Жыл бұрын
Unanibariki sana, mungu azidi kukutumikia🙏🙏
@WilondjaTchandja-so7df5 ай бұрын
Namshukuru Mungu wangu kwasababu yeye 🎉inanipatiya huwai kilasiku