Kama umegundua baba ,mama na wtoto ndio wameimba huu wimbo gonga like za kutosha
@godfreytaruta39354 жыл бұрын
...dah wanajuwa
@edithakutika51104 жыл бұрын
Mungu awabariki sana nikutakie yote mema
@المهلهلالحراصي4 жыл бұрын
Wamefanana sana hakuna kuuliza hiyo Baba mama na watoto
@doktamathew4 жыл бұрын
Waliorudia kuangalia zaidi ya Mara 10 tujuane. Bonge LA ujumbe
@bensonmasingu82104 жыл бұрын
Mimi hapa
@josephinemagi15944 жыл бұрын
Woiii hata sichoki kuangalia
@josephflorian52804 жыл бұрын
😁🎶🎶
@theopisterrichard554 жыл бұрын
Mimi pia jaman
@janethmwacha72474 жыл бұрын
Mm kila saa narudiaaa
@sadothkamgisha68584 жыл бұрын
Mhaya mwenzangu hongela kwa utume mzuri wewe kama ni mhaya gonga like kwa kipaji cha mhaya mwenzetu aliye tuwakilisha dunia nzima
@samwelsumbuka76133 жыл бұрын
Wengine tunasifia wimbo mzuri wewe unaweka ukabira kumbuka huu wimbo wanaousikiliza ni makabira mbalimbali weka pembeni ukabira nani kakuuliza huyu ni kabira gani
@Mtayamwega Жыл бұрын
Huu wimbo umenipa Nguvu na Ujasiri mkubwa wa kufanya mazungumzo na watu wakati wa matatizo, MAZUNGUMZO NI DAWA "MUNGU AWABARIKI KWA UJUMBE MZURI WENYE MATUMAIN na FARAJA" Nmebarikiwa sana na wimbo huu! Asanteni sana Waimbaji.
@abdulmilingita21144 жыл бұрын
Wimbo bora unao nifariji katika nyakati zote. nikihusikiliza najihisi kutawaliwa na hekima ,amani na upendo mwingi katika kuijenga ndoa yangu au familia yng. Baraka kwako tele BERNARD MKASA' Amen
@alfredrhoda14924 жыл бұрын
Daaah hii Familia imebarikiwa Sana nawaombea nawapenda sanaaaa Mungu azidi kuwabariki kazi nzr
@kanaboyelckana18394 жыл бұрын
Yote sawa mung ndo muamuz .
@phirminabee52386 күн бұрын
Nabarikiwa sana, nimekuwa nikirudiarudia kuangalia mara nyingi nikiwa nafurahi, Mungu amjalie maneno mazuri zaidi .
@c.somoeyfancy4 жыл бұрын
Baraka tupu❣️❣️ Mukasa's family mbarikiwe sana. Wimbo mzuri, the best message.
@epifaniamponda42254 жыл бұрын
Waoooooooh huu wimbo utarudisha mchumba, mke, mme, rafiki na wote tulio koseana. Mungu amekuza watoto wamekuwa wakubwa na wapo vizuri 😍😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏
@angelarutakomozibwa24053 жыл бұрын
Sikuwa nimeusikiliza wimbo huu wakati umetoka mwaka mmoja uliopita. Hongereni kwa familia ya Bernard Mukasa kwa kutuinjilisha. Mbarikiwe na bwana
@lubinzankonoki5892 жыл бұрын
Mungu alipo anaonekana good family nawapenda xana
@neulahkemuma96184 жыл бұрын
My Almighty God bless me with a God fearing family like yours 😘
@paulosamo12094 жыл бұрын
Be blessed, as the word say He will ans your petitions
@neulahkemuma96184 жыл бұрын
Amen
@eunicengene55074 жыл бұрын
Amen
@jovithajustinian20314 жыл бұрын
Blessed family 👪
@sue8463 жыл бұрын
It is always an adorable family to envy on
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Ongera sana mwalimu wetu mukasa pamoja na familia yako kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@paulosamo12094 жыл бұрын
Amina
@victorasanyo96633 жыл бұрын
Congratulations 👍 like that message be blessed
@kimaiyodavies14314 жыл бұрын
Hongera sana Mwalimu na familia yako. Mungu awalinde na kuwajalia maisha ndefu mzidi kumtukuza na kuhimiza wengi humu duniani.
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Hongera Mr. Mukasa & Family kwa kazi nzuri sana! Nimeisikiliza album nzima ya GUSANENI MAJERAHA, yaani nyimbo zote ni moto! I salute you brother.
@isaacwamalwa44834 жыл бұрын
Nguvu ya mazungumzo, Mr. Mukasa you never disappoint me. God's blessings upon you and your family.
@msanyatv58453 жыл бұрын
4qr6q 66 00
@charlesjmsisiri20412 жыл бұрын
Very nice
@kennedylusambu57084 жыл бұрын
kweli kabisa ujumbe mtamu,bila mazungumzo hamna amani wala maelewano,Bwana Mukasa hapa Kenya twasema hongera sana and may God bless you.
@morinemuonja3382 Жыл бұрын
Hongera familia ya benard Ningependa kufanya kazi nanyi mumebarikiwa sana
@jacqlinejulys102 жыл бұрын
Hakikaaa kuimba ni kusali mara mbili, huu wimbo umejaaa ujumbe mzito sana Wenye Hekima hasa kwa wanandoa!! Mungu azidi kuwatumia vyema kuinjilisha kazi yake!!!!
@JovinaAfroni3 ай бұрын
Kula la kheli mkasa family. Namkumbuka kijana wako alitupigiaga kinanda pale mabibo parokia ya ruhanga dar es salaam ❤
@junemokinu67184 жыл бұрын
Congratulations Mukasa and Family. May Almighty God add you more and more skills in your choir. Through singing you spread the Gospel
@maresianantibakazi-yh4qdАй бұрын
Naipenda hii familia ya mkasa.mungu awabariki.naangalia pia nasikiliza.
@theopisterjovent3483 Жыл бұрын
Aseh sijui nilikuwa wapi nimechelewa kuuona huu wimbo❤❤❤❤ ila sijachelewa maana kwa Bwana yote yanawezekana🙏🙏 nimebarikiwa sana tena Mungu kanifunulia huu wimbo leo wakati nilikwazana na ndugu sasa nawasamehe nami Mungu nakuomba unisamehe maana umenifunulia huu wimbo ili nikutukuze wewe milele🙏🙏🙏🙏
@emmanuelkonki593 жыл бұрын
HUU WIMBO SIYO WA KAWADA MTU ADHANIVYO. IT IS SO STRONG MESSAGE. WATU WENGI HUTESWA NA YALE WASIO ZUNGUMZA NAKUYAMALIZA. MUKASA I ALWAYS LOVE YOUR SONGS AND I AM WONDERING FOR YOUR PSYCHODYMICS. YOU ARE A BEST MORAL AND GOD'S TOOL. KEEP IT UP.
@gaudensiamndanga44912 жыл бұрын
Mbarikiwe sana wapendwa mungu azidi kuwainua kwaya yangu pendwa.
@RORO_Productions4 жыл бұрын
Woow, wimbo mzuri kabisa. wabariki hakika.,ujumbe uliokolea.Mungu na aibariki familia. Ikiwezekana naomba kupata nota za wimbo huu
@suzanakamala36154 жыл бұрын
Hongera saana Mkasa kwa kuhubili kwa sauti ya kuimba. Mungu akubariki sana.
@scholasticaosir2 ай бұрын
Thank you Mukasa family for always blessing us with those beautiful songs, watching from Nairobi. Baraka tele
@edithmule68584 жыл бұрын
Lord! I long for such a family that is not moved by anything but gives themselves fully to your work! Hallelujah!
@costafelix51572 жыл бұрын
Familia ya Mukasa nawaombea mema kwa Mungu muendelee kutuburudisha na kutupa jumbe hizi nzuri
@ChristerShao Жыл бұрын
Wimbo huu usikilizwe na kila mtu au makundi pia tutafakari.Ahsante Mkasa family.Mzee William na Mama Revina Mkasa kuwalea watoto wenu katika haki na amani.
@leticiamalase31994 жыл бұрын
Nawapenda kwa kila kitu yesu mwema awatunze
@davistemba12264 жыл бұрын
Always appreciating you.. May God keep u delivering more Best songs.
@JanethNkana-r1s7 күн бұрын
Jaman familia imebarikiwa maisha marefu benard mukasa
@elishasimoni51324 жыл бұрын
Mungu akupe zaidibazidi mkasa na familia yako yaani mungu ajakosea kukupa kipaji hicho yaani hapa nafarijika mnoo kusikiliza nyimbo zako
@naomikagai82514 жыл бұрын
Lovely song & i love this family 💓. Aki nikikumbuka i lost my family 😢 when i sang this song, machozi hunidodoka njoo tuzungumze my love 😭
@maliatabuerenesti11624 жыл бұрын
Siwezi pita bira kusemaa mungu awabaliki kweli kweli kwakitu hchi mungu awenanyi mlio Inamishaa vichwaa chini nakuamuwa kutupia nyavu bahalini kweli.....
@janemunene55074 жыл бұрын
I keep playing this song uncountable times.... Blessings Mukasa family
@georgemkamageorgemkama29643 жыл бұрын
hakika wimbo wa nguvu yamazungumuzo umekaa nakufikili unatufundisa hata sisi ongela sana MKASA FAMILY
@charlesswai664 жыл бұрын
Asante MUNGU kwa wema wako ona ata umetuletea hii familia tunajifunza mengi kutoka kwao
@isabellamassawe92244 жыл бұрын
Aisee mbarikiwe sana yani sichoki kusikiliza wimbo huu ujumbe mzuri sana kwangu 😘😘🙏
@jeniphanyamase84143 жыл бұрын
Ukisikia bonge ya talent ndo hiiii wow!!!!
@Chezue316 Жыл бұрын
MUKAS na MRS MUNGU ABORESHE KIPAJI CHGENU BARIKIWENI SANA TUNAWAOMBEA MTUBURUDISHE NA KUTUTIA MOYO NA KUTUFUNZA KUPITIA NYIMBO ZENU
@romualdmukandara954426 күн бұрын
Wimbooo WA KUMALIZA VURUGU KTK WATU wanaohasimiana. Saafi
@laurentmkolea5223 жыл бұрын
Nguvu ya Mazungumzo ni kubwa ktk maisha yetu wanadamu kwa kuwa Duniani twapita tu. Hongera Familia ya Bernard Mukasa kwa Nyimbo bora
@loitemuakai86383 жыл бұрын
Creativity singing solo in our Catholic tunes ....i love your work
@joanneskatoto60614 жыл бұрын
Njoo tuyazungumze, Mungu ni mwema❤
@mitaocamilliusthegreatest90684 жыл бұрын
Keep up kwa Bro Bern Zidi kubarikiwa zaidi ndg yangu
@dismasgechame58222 жыл бұрын
Kam mungu anasema tusemezane maan anajua hakuna kinachozidi na hakuna mwafaka nje na mazngumzo
@georginakisavu90613 жыл бұрын
Ilove ur family ! Afamily of music lovers, from youngest to the head of the family. Your voices bless me daily .. if i was aTanzanian citizen, cocosure, icould join u ..we praise God together.
@marygorettyseme19024 жыл бұрын
Nimebarikiwa na nimejifunza umuhimu wa mazungumzo.
@BrendaJacob-mt6rc3 ай бұрын
Mungu akutie Nguvu we nikuan kwa kuinjilixha
@mefaliamikulao93143 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana kaka yangu Mkasa.Mazungumzo yapamoja ni sawa tosha
@jaredmachukaa89624 жыл бұрын
Mungu awajaze na baraka tele tele kwa kazi nzuri hii ya uimbaji.......pongesi kubwa kutoka kwangu binafsi na ya familia yangu.
@princeamiry85912 жыл бұрын
Talented! Nmerudia kuskilza zaid ya mara15 ,pongez Mr Mukasa
@sophiealex39674 жыл бұрын
Mungu anampngo na familia hii , ibarikiwe 👍
@ronaldkhanda40154 жыл бұрын
God bless you for this good song and a devoted catholic family .This is an example of a true Catholic faithful
@selinamtaki-x3p5 ай бұрын
Mungu awabariki sana wakatoliki wenzangu nawatakia utume mwema
@beatricemwombeki16514 жыл бұрын
Tuyazungumze tuwekane sawa mbarikiwe sanaaaaa
@winfredngeniuko98112 жыл бұрын
Hicho kipaji ni noma by winifredi ngeniuko kwa nyimbo zako hongera Toka njombe
@kulwlouis81683 жыл бұрын
Familia ya K. Luis ,tunawapongezeni sana Mungu awe nanyi daima.
@reginanyambura433610 ай бұрын
It's a beautiful peace.Continue spreading the Gospel to the whole world
@mercygakuo60022 жыл бұрын
Love your ministry all the way from Kenya
@susanwamutu42194 жыл бұрын
Younger girl grow and still singing this is blessings even boys happy family
@faustinemajinge55032 жыл бұрын
Wapendwa nimebarikiwa na wimbo huu.Hongereni karama ya kubwa
@marypeter28294 жыл бұрын
Asanten kwa wimbo huu...Nimejifunza nanimeweza kumsamehe alokuwa amenikosea
@naomikithure1046 Жыл бұрын
A blessing advice. Tuyazungumze ni kweli. God bless 🙏
@janemwirikia68173 жыл бұрын
You bless me alot,I can’t stop listening this song 🎧,may God bless this family more,love you 🇰🇪
@pamelakinyua81723 жыл бұрын
Every time I play this song I feel blessed,,,much love for you and my God bless you too
Mukasa Mungu akubariki nisikilizapo nyimbo zako nabarikiwa sana
@TheodosiaHyera8 ай бұрын
Natamani kuimba kwa sauti nzuri Kama mama hapo sijui nifanteje?
@barakajohn49534 жыл бұрын
Sooooh beautiful,,,, Nimeipendaaa mnooooh Barikiwa Mkasa na familia yako
@mutheustella2393 жыл бұрын
May God continue showering this family with blessings...
@paulamani28172 жыл бұрын
que l'Éternel notre Dieu tout puissant vous bénisse abondamment et vous inspirer encore plus puissamment au nom de notre seigneur Jésus-Christ de Nazareth Paul Amani de puis la ville de Lubumbashi RDC.
@winnthenya3 жыл бұрын
Amazing wimbo unaotuliza mtima mungu awabarike sana
@julianegwa50582 жыл бұрын
I appreciate the family for the wonderful work of praising God... especially through this song may almighty God give the family wisdom and strength 🙏🙏
@annedavienyamhanga47384 жыл бұрын
May God keep blessing this family (Bernad Mkasa famy) you are doing a great job.
@mercykagichu3 жыл бұрын
Woooooow why am I seeing this just now, I should have seen it 10months ago.....Mukasa n family never dissapoints
@yohanaalfred26864 жыл бұрын
Ila Mukasa Nyie...What a Song aisee🙌
@josephcyprian49554 жыл бұрын
Mungu awabariki katk maisha yen natamani nikawa Moj wa family lakin ndo iv na mim nakipaji kicho
@omukadahlmmaculate78103 жыл бұрын
Wow how beautiful is this,A million blessings to you family👏💪👍🔥
@furahambughi49774 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa utume wenu huu!!!
@beatrisikimario82334 жыл бұрын
Mungu aendelee kuwafunulia mengi ili muendelee kutuinjilisha.Blessed all💞
@marthaemmanuel33233 жыл бұрын
Família imebarikiwa hii,nataman na mm família yangu iwe hivi
@restipaul42863 жыл бұрын
Barikiwa saana nawapenda bure nyimbo zenu nzr
@victoriaharrison124 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa Kaz hii njema ya uinjilishaji❤
@ephraimk.masanju9592 жыл бұрын
Awesome,,, Sauti tamu ❣️ Watched it more than 10 times
@salomekamendi2458 Жыл бұрын
May the Lord bless you Mukasa na family yako 🙏
@theresiajoseph19433 жыл бұрын
Tunapata ujumbe mzur sanaa mbarikiwee wapendwaa
@elvishakizimana3308 Жыл бұрын
Mungu abariki famille MUKASA
@louisaakinyi99473 жыл бұрын
Huwa narudia hii song ...I love it
@modestuskinunda28372 жыл бұрын
Asante mukasa FAMILY
@shijadeogratias3173 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki sana MUKASA'S FAMILY
@goodluckymassawe47184 жыл бұрын
Amani ni tunda zulii sana mungu awajalie afya njema hakika tunapata mafunzo mazuli kupitia nyie
@angiegathoni16204 жыл бұрын
This song has brought me down to tears. I am going through a hard time trying to communicate with mu partner over an issue and its not working. Forgiveness is is beautiful but its like he doesn't value it.I am breaking everyday, but i believe God is watching. God i need you now more than ever.
@raylaurent43894 жыл бұрын
Am experiencing the same situation here.. So sad
@angiegathoni16204 жыл бұрын
@@raylaurent4389 May the Holy Spirit intervene in our situations and make us happy again,Amen. It shall be well in Jesus mighty name.
@rosinakithinga88394 жыл бұрын
May the Holy Spirit intervene in your situations.shetani ataishiwa nguvu.
@angiegathoni16204 жыл бұрын
@@rosinakithinga8839 Amina
@dativaanatory18404 жыл бұрын
Ongereni sana sana
@JanethJohakim8 ай бұрын
Wahaya tutakaa mbele siku zote
@jamesonyango1882 Жыл бұрын
Good work Mr. Mukasa and family, God bless you all