SIRI 7 ZA UNIVERSE, Ukizijua Utakuwa mtu mkubwa sana hapa DUNIANI

  Рет қаралды 70,268

NGUVU ZA UNIVERSE

NGUVU ZA UNIVERSE

Күн бұрын

Пікірлер: 1 200
@mooh_silver_tz
@mooh_silver_tz 6 ай бұрын
Nipo tayari kupokea mabadiriko kwenye mwili wangu😊
@marigolddiamond161
@marigolddiamond161 Ай бұрын
Hongera, Hongera, Na Hongera, Ahsante Sana Sana Kwa Mafundisho Yako, Maelezo Yako, Nasaha Zako, Na Soo Inspiration Zako... Kwa Kweli Nimefurahika, Nimefaidika, Nimefundikisha, Imenipa Hamu Zaidi Na Zaidi Ya Kunifumbua Mawazo Ktk Akili Yangu, Na Ktk Nafsi Yangu, Na Ktk Mwili Wangu. Na Nimeanza Kufuatilia Ktk Masomo Kama Haya Ktk Chanel Zingine Pia, Ambazo Hufundisha, Na Kueleza Kuhusu Masomo Kama Haya Ya KUTAFAKARI Au Wengine Wanayaita TAHAJUDI. Namalizia Kwa Kukwambia, Ahsante Sana Sana, Mungu Au Power Ya Hii Universe Ikubariki Sana, Ikupe Afya Njema, Na Ikutunuku Maisha Marefu Yenye Kheri Nyingi Nyingi Sana Sana, Ameen.
@khalfankaguru7164
@khalfankaguru7164 5 ай бұрын
Nipo tayari kupokea nguvu za univaser
@ChristinaMakumbule
@ChristinaMakumbule Ай бұрын
Nipo tayari kupokea madiriko ktk ulimwengu huu,Mimi ni mshindi Mimi ni tajiri kuanzia sasa katika jina la yesu hakuna kinacho shindikana yote yawezekana Amina
@apasiamongi6673
@apasiamongi6673 5 ай бұрын
Nipo tayari Kwa ajili ya mabasiliko makubwa ktk maisha yangu
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 7 ай бұрын
Am ready to receave power from universe,
@OficialAsia
@OficialAsia 3 ай бұрын
Nipo tayar kupokea mabadiriko makubw kwnye maisha yangu
@akilidamian3477
@akilidamian3477 7 ай бұрын
Asante sana kwa somo hili❤ Mwenyezi Mungu akubariki mpendwa 🙏
@SarahKim-v3i
@SarahKim-v3i Ай бұрын
Nipo tayar kubadisha maisha yangu
@AishaHemed-cd5je
@AishaHemed-cd5je 4 ай бұрын
Asee mungu akubariki sana. Nimekupenda bule
@CharlesTeete
@CharlesTeete 5 ай бұрын
Nipo tayari Kwa mabadiliko katika maisha yangu
@MasiniJumanne
@MasiniJumanne 6 күн бұрын
Nipo tayar kupokea mabadiliko makubwa katika jina la yesu kristo amen
@amin_platnumz
@amin_platnumz 6 ай бұрын
Nipo tayar kupokea positive mabadiliko makubwa hapa dunian ,AMIN 💯
@KundaeliJacobo
@KundaeliJacobo 7 ай бұрын
Nipo tayari kwa mabadiliko kwajili ya maisha yangu
@ChristinaMakumbule
@ChristinaMakumbule 4 ай бұрын
Amina
@poulynmsoya7334
@poulynmsoya7334 Ай бұрын
Nipo tayari kupokea mabadiliko makubwa katika maisha yangu
@NkurunzizaSteven
@NkurunzizaSteven 6 ай бұрын
Asante sana umenisaidia mm binafusi
@TunsumeMwaijumba
@TunsumeMwaijumba 25 күн бұрын
Asante dada yangu nashukuru sana ninazidi kupokea pesa nyingi na mwenye afya njema
@mgenihamis3260
@mgenihamis3260 7 ай бұрын
Nipo tayar kupokea mabadiliko makubwa katika maisha yangu inshaallah
@salimkitex7083
@salimkitex7083 7 ай бұрын
I am ready to receive blessings to the universe thank you ❤🙏
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 ай бұрын
Best of luck!
@salimkitex7083
@salimkitex7083 6 ай бұрын
@@NGUVUZAUNIVERSE thank you
@RogersJacob-n2y
@RogersJacob-n2y 2 күн бұрын
Nipo tayari kuupokea muujiza wangu. Amina
@Beth1318
@Beth1318 4 ай бұрын
Niko tayari kwa ajili ya mabadiliko makubwa katika maisha yangu
@BakariNyangasa
@BakariNyangasa 4 ай бұрын
Niko taar kwa kupokea mabadiliko ya kipesa kwenye maisha yangu
@benedictmgini4263
@benedictmgini4263 6 ай бұрын
Nipo teyari Kupokea mabadiliko makubwa katika Maisha yangu in jesus name
@MasoudNzuna
@MasoudNzuna Ай бұрын
Nipo tayari kupokea mabadiliko makubwa sana
@meimama9706
@meimama9706 6 ай бұрын
Nipo tayali kupokea mabadiliko ktk maisha yangu mungu ni mwema
@ChristinaMakumbule
@ChristinaMakumbule 4 ай бұрын
Amina napokea kwanzia Sasa maisha mazuri yenye amani ya moyo na pesa zisizo na kikomo kila iitwayo Leo
@SilvanusKamguna
@SilvanusKamguna 6 ай бұрын
Nipo tayar kupokea mabadiliko makubwa katika maisha yngu ameni
@johnmsokulu7726
@johnmsokulu7726 6 ай бұрын
Nipo tayar kupokea nguvu za Mungu na sio za ulimwemgu
@YusufuToluwe
@YusufuToluwe 3 ай бұрын
Nipo tayari kubadili mwenendo wa maisha yangu na kupokea universe energy
@JohnsonIsaya
@JohnsonIsaya Ай бұрын
Nipo tayar kupokea mabadiriko katika ulimwengu huu,mimi ni mshindi mimi ni tajir kuanzia sasa kwa nguvu za universal hakuna kinacho shindikana🎉
@wilsonkabole7066
@wilsonkabole7066 4 ай бұрын
I love your teaching you are good
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 4 ай бұрын
Thanks and welcome 🤗
@devothacredo1796
@devothacredo1796 7 ай бұрын
Nipo tayari kwa ajili ya mabadiliko makubwa Ee Mungu wangu nisaidie
@jazilakaura7474
@jazilakaura7474 5 күн бұрын
Nipo tayar kwa mabadiliko makubwa katika maisha yangu
@FrolaLeonard-jz5wv
@FrolaLeonard-jz5wv 5 ай бұрын
Nipo tayali kupokea mabadiliko katika maisha yangu
@JohnSeruzamba
@JohnSeruzamba Ай бұрын
Nipo tayari katika kupokeya nguvu za wumbaji kwajina rayesu
@iddimoshi8459
@iddimoshi8459 6 ай бұрын
Ushindi upo kwa Mungu
@virginianjoroge4377
@virginianjoroge4377 7 ай бұрын
Nipo tayari kupokea mabadikiko makubwa hapa nduniani katika jina la Yesu Kristo Amen Amen Amen
@GasoreJuma
@GasoreJuma 6 ай бұрын
Nipo tayari kupokea nguvu za ulimwengu katika maisha yangu yoote.niko tajiri ninapesa nyiiingi katika maisha yangu,Na mali.
@MadiaMzee
@MadiaMzee Ай бұрын
Nipo tayali kupoke ma badiliko makubwa katika maisha yangu
@NeemaShilla-c1j
@NeemaShilla-c1j Ай бұрын
Nipo tayari kupokea mabadiliko haya ya universe
@invokavitylema5237
@invokavitylema5237 21 күн бұрын
Nipo tayari kwa kupokea mabadiliko na kupokea Nguvu ya Ulimwengu huu.Amen
@IyanSaidi
@IyanSaidi Ай бұрын
Nipo tayari kwa mabadiliko makubwa hapa dunianai
@RehemaGhamachana-oy1ez
@RehemaGhamachana-oy1ez 10 күн бұрын
Niko tayari kubadilisha maisha yangu.
@PatrickMwampamba-j2i
@PatrickMwampamba-j2i Ай бұрын
Nipo tayar kupokea nguvu za ulimwengu
@MundekeProduce
@MundekeProduce 6 ай бұрын
Nipo tayari kupokea mabadiliko makubwa hapa duniani katika jina la yesu
@PeterChami-j3q
@PeterChami-j3q 5 күн бұрын
Nipotayar kuwa mtu mkubwa sana apa dunian kwa jina la yesu
@hildpaul7823
@hildpaul7823 7 ай бұрын
nipo tayari kwa ajili ya maisha makubwa maishani mwangu
@BoniphaceKibwe
@BoniphaceKibwe Ай бұрын
Nipo tayar kupokea mabadiliko makubwa hapa duniani
@mosiabdul
@mosiabdul 6 ай бұрын
Nipo tayari kupokea uponyaji kwenye maisha yangu,InshaAllah
@malaikakubilu
@malaikakubilu 14 күн бұрын
nipo tayari kwaajili ya kubadilika katika maisha yangu
@DanielMutuku-pl5dp
@DanielMutuku-pl5dp 29 күн бұрын
Npotayari kupokea mambadiliko katika maisha yangu
@MwajumaMohamed-i8k
@MwajumaMohamed-i8k 26 күн бұрын
Nipo tayari kwa mabidiliko makubwa sana katika maisha yangu
@ClaudeAwan
@ClaudeAwan 5 ай бұрын
Niko tayari kupokea mafanikio aya katika nguvu la univer
@Ezekiel224
@Ezekiel224 Ай бұрын
hivi aya huwa ni ya kwelii au
@shabanimaliyatabu5773
@shabanimaliyatabu5773 11 күн бұрын
Niko tayari kwa ajili ya mabadiliko makubwa sana katika maisha yangu
@FaricevitusiNkane
@FaricevitusiNkane Ай бұрын
nipo ttayalo kpokea miujiza
@user-ny1ev1bi8u
@user-ny1ev1bi8u 6 ай бұрын
Nipo tayar kupokea mabadiliko makubwa hapa duniani kwa jina la yesu
@KokuhabwaKokumaramara
@KokuhabwaKokumaramara 6 ай бұрын
Nipo tayari kwa mabadiliko makubwa katika maisha yangu.
@Mary-w4q2d
@Mary-w4q2d 5 ай бұрын
Nipo tayari kupokea mabadiliko makubwa sana katika maisha yangu katika jina la Yesu amen 🙏
@magrethpastory4311
@magrethpastory4311 4 ай бұрын
Nipo tayari kupokea mabadiliko makubwa kik maisha yangu kwa jina la Yesu
@HusseinElias-
@HusseinElias- 6 ай бұрын
Nipo tiyari
@RobertMwangi-ru2zz
@RobertMwangi-ru2zz 6 ай бұрын
Nipo tiyari kupokeya nguvu za nduniani
@Steven-sc8nd
@Steven-sc8nd 4 ай бұрын
Nipo tayari
@JumaMgeri-fb2qs
@JumaMgeri-fb2qs 4 ай бұрын
Mimi Niko tayari kupokea nguvu za ulimwengu Kwa jina la yesu kristo
@BashahikaJeanMarie
@BashahikaJeanMarie 4 ай бұрын
nipo hapa
@user-sx9bh2du5k
@user-sx9bh2du5k 7 ай бұрын
Nipo tayari kupokea madiliko katika mwili wangu
@ireneteonest8360
@ireneteonest8360 7 ай бұрын
Nipo tayali kupata mabadiliko
@NeemaRamadhani-wm8vv
@NeemaRamadhani-wm8vv 3 ай бұрын
Nipo tayari kupokea mabadiliko makubwa ktka maisha yangu na familia yangu.Ameni.
@user-bq1di8gz9b
@user-bq1di8gz9b 6 ай бұрын
Nipo tayari kupokea
@Billgatessaf
@Billgatessaf 3 ай бұрын
Niko tayari kupokea mbandiliko kumbwa sana Kwa maisha yangu
@LucasfaustinoFaustino-j6o
@LucasfaustinoFaustino-j6o 2 ай бұрын
Mimi ni tajiri apa duniani🙏🙏🙏🙏
@DavisIssangya-kc3rm
@DavisIssangya-kc3rm 8 күн бұрын
Nikotayar kupokea mabadiliko makubwa katika maisha yangu hapa duniani kwa jina la yesu kristo mungu mkuu aliye nuru halisi
@JoyceSawe-j3h
@JoyceSawe-j3h Ай бұрын
Napokea nguvu za ulimwrngu
@mwanaishahassan9337
@mwanaishahassan9337 6 ай бұрын
Nipo tayar kupokea mabadiliko kwenye maisha yangu
@GoldenchipsChips
@GoldenchipsChips 6 ай бұрын
😊I'm spiritual gifted...nilikua na amshwa kuanzia sa9 usiku ila siku hizi wameacha kuniamsha ila niki meditate kabla ya kulala siku hizi energy zina flow vizuri tu ndani yangu na kupata wisdom kutoka kwa my inner voice 😢😢siamshwi tena 😢😢 ndani ya mwili wa mwanadamu kuna miujiza mnoooo nakuelewa vizuri tu maana mimi ni nguli MNOOO kwenye jambo hili ...ila linakupelekea upoteze marafiki na uonekane kama chizi ukiwa unatawaliwa na inner wisdom
@marigolddiamond3619
@marigolddiamond3619 5 ай бұрын
Asante Sana, nimfurahia maelezo yako, nimekusikia raha na furaha Sana ktk na si yangu, nashukuru Sana kwa sentensi zako ulizotuelezea. Naomba zaidi kujua umepataje, na wapi, na jee kuna sehemu au kuna mwalimu ambaye anafundisha hili some, nitashukuru na Asante Sana.
@GoldenchipsChips
@GoldenchipsChips 5 ай бұрын
@@marigolddiamond3619 cha kwanza ni utayari uwe tayari kua karibu na mwili wako nje na ndani yako.....alafu uuruhusu mwili wako kukuonganisha na asili yake katika mazoezi ya kiroho ya usiku kabla ya kulala au asubuhi sana....utakaa sehemu tulivu utafunga macho na utavuta hewa ndefu ndani na kutoa nje mara3 ...alafu uta relax usiruhusu wazo hasi (-) wala usifikirie chochote kibaya wala usiogope maana utahisi misisimko kama kuna kitu kinakutembelea na utahisi kama macho yanacheza cheza ...relax alafu jisalimishe kwa ulimwengu MUUMBA kua pekee yako hauwezi itanguvu za ulimwengu ziungane na nguvu yako ya roho ya ndani then uta orodhesha changamoto zako zote alafu utaziacha kwa ulimwengu MUUMBA na uhisia na kuiona picha ya uondoshwaji wa changamoto zako tayari kwa wakati huo na utashukuru ...alafu uta sema nini na nini unataka !?then tengeneza picha ya unavyo vitaka ndani yako na uvione upo navyo tayari kama maisha halisi alafu utashukuru kwa ulimwengu kwa kukupa ...utajiponya maradhi kila aina ya gonjwa utaliponya ndani yako na uhisi kabisa umesha pona alafu utashukuru ulimwengu MUUMBA kwa kukuponya utaita malaika wa ulinzi wakulinde na kua pa1 na wewe ....yeah utarelax na kushukuru then baada ya dakika kadhaa utafungua macho ....utaanzia hapa kwanza utaona kabisa baada ya week mwili wako unakua mwepesi na unaanza kuitizama dunia kwa jicho la tofauti alafu jifunze kuishi kwenye wakati uliopo sio kesho wala jana maana nguvu za ulimwengu zinafanya kazi vizuri katika wakati uliopo yaaani sasa hivi
@winniengawa7605
@winniengawa7605 4 ай бұрын
DUUH KWAHIYO N KWELI MAJIBU YANAKUJA NA MWANGA UNATOKEA?
@rumongehmasongo8333
@rumongehmasongo8333 7 ай бұрын
Nipo tayari katika mabandiriko ya maisha yangu nakupokea ishara za miujiza yangu katika ulimwengu
@AfsaIbrahim-pe4bo
@AfsaIbrahim-pe4bo 27 күн бұрын
Nipo tayali kwaajili ya mabadiliko ya mwili wangu in jesus name
@TtS-g1m
@TtS-g1m 5 ай бұрын
Nipo tyr kubadilish maishyngu kwauwezo y mungu n yunives
@jameskapesa9699
@jameskapesa9699 Ай бұрын
Nipo tayar kupokeaa mabadiliko makubwa. Kuanzia sasae
@Travisghost99
@Travisghost99 6 ай бұрын
Nipo tayari kupokea madadiliko katika dunia hii katika jina la Yesu
@roselashku
@roselashku Ай бұрын
Nipo tayari kupokea Nguvu ulimwengu, nguvu za uumbaji na nguvu nilizonazo mwenyewe.
@Rosehealthcare
@Rosehealthcare Күн бұрын
Nipo tayari kuookea mabadiliko katika maisha yangu
@mpeliakhim3770
@mpeliakhim3770 5 ай бұрын
Nipo tayar kwajili ya mabadiliko makubwa kutoka kwa ulimwengu.
@IyanSaidi
@IyanSaidi Ай бұрын
Nipo tayari kwaajili ya mabadiliko makubwa hapa duniani
@RukiaMdide
@RukiaMdide 14 сағат бұрын
Nipo tayari kupokea mabadiliko makubwa hapa duniani katika maisha
@Sophiamakundi-v1b
@Sophiamakundi-v1b 6 ай бұрын
Hilo somo linaitwa ulimwengu wa Roho..in Jesus you can
@zuleazuberi3047
@zuleazuberi3047 7 ай бұрын
Niko tayar kupokea mabadiliko kwenye maisha yangu
@fatumamussa8397
@fatumamussa8397 7 ай бұрын
Nipo tayari kwaanjili ya kupokea mabadiliko kwa ajili yangu mungu nisaidie
@nasolodiomba
@nasolodiomba 18 күн бұрын
Nipo tiyari kupokea madiliko makubwa Hapa duniani katika jina la YESU
@violethgeorge
@violethgeorge 6 ай бұрын
Nipo tayari kupokea manadiliko makubwa katika mwilini mwangu na maisha yangu
@LucasfaustinoFaustino-j6o
@LucasfaustinoFaustino-j6o 2 ай бұрын
Nipo tayari kubadilisha maisha Yangu kutoka nguvu za universe🙏🙏🙏
@Henryelectricalservices
@Henryelectricalservices 7 ай бұрын
Niko tayar kupokea nguvu za universe nipo tayar kupokea mabadiliko makubwa katika maisha yangu
@FrolaBenezeth
@FrolaBenezeth 3 ай бұрын
Nipo tayari kupokea kwa jina la Yesu naamini..🙏
@ruthontomwa5941
@ruthontomwa5941 5 ай бұрын
Nipo tayari kupokea mabaliko hapa dunia katika jina LA yesu
@SophiaWambua-q8m
@SophiaWambua-q8m 7 ай бұрын
Nipo tayari kupokea mabadiliko makubwa hapa dunian
@user-ub6ej6er3d
@user-ub6ej6er3d 6 ай бұрын
Nipo tayari kupokea mabadi liko katika maisha yangu
@yustokapella5442
@yustokapella5442 15 күн бұрын
Nipo tayari kwa ajili ya mabadiliko makubwa katika mwili wangu
@jamesbongo7976
@jamesbongo7976 7 ай бұрын
Nipotayari kubadilisha kubadilisha maisha yangu
@ppemperweringpeople7183
@ppemperweringpeople7183 3 ай бұрын
Niko Tayari Kwa Mabadiliko Hayo Mazuri Mahishani Mwangu Hili Niwe Na Furaha., Amen
@magdalenafabian8993
@magdalenafabian8993 3 ай бұрын
Amina🙏🙏
@MarryMmba
@MarryMmba Ай бұрын
Mi ESTA nipo tayari kupokea muujiza wangu apa dunian
@JacquelineNshimirimama-mn6rj
@JacquelineNshimirimama-mn6rj 21 күн бұрын
Nipo tayari kupokea mabadiliko makubwa katika jina la Yesu kristo
JINSI ya KUFANYA MANIFESTATION na KUPATA UTAJIRI Duniani
26:49
NGUVU ZA UNIVERSE
Рет қаралды 39 М.
VITU Vinavyoleta MIKOSI katika MAHUSIANO | Fanya haya HARAKA kuzuia
26:16
NGUVU ZA UNIVERSE
Рет қаралды 22 М.
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 12 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,6 МЛН
JINSI ya  KUTOKA NJE ya  MWILI na kupaa Kwenda popote ULIMWENGUNI
18:18
NGUVU ZA UNIVERSE
Рет қаралды 26 М.
JINSI ya KUSAFISHA NYOTA YAKO   | PESA zitakufuata kila mahali
29:25
NGUVU ZA UNIVERSE
Рет қаралды 71 М.
Jinsi ya kuita Jini. | KUPATA UNACHOTAKA | NJIA YA BARHATIYAH 05...
11:53
Vunja LAANA na vifungo vya kichawi kwa kutumia CHUMVI na MSHUMAA
16:47
NGUVU ZA UNIVERSE
Рет қаралды 22 М.
The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI.
48:39
Wasafi Media
Рет қаралды 659 М.
Aina za meditation | Meditation Ipi inakufaa zaidi?
10:32
Rakims Spiritual
Рет қаралды 8 М.
FANYA MAMBO haya 7 kabla ya kulala usiku Ili KUZUIA MABAYA yasikupate
27:27
USISHIRIKI na Mwenza wako Katika Maeneo haya 6 hata kama MMEOANA
20:20
NGUVU ZA UNIVERSE
Рет қаралды 33 М.
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН