From Kenya,tunakubali sana Jamal,huyu ni legend,kama unakubali nipe like..
@whitesh4dow_ke2 жыл бұрын
Jamal ni bazuu
@dennismourice49652 жыл бұрын
He is lied
@beleoneo83952 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rorVop6bp9WihbM
@justinmnkeni7691 Жыл бұрын
Amina
@majidimwikumba7795 Жыл бұрын
@@whitesh4dow_kee😊wr we
@KvngDM-o9gАй бұрын
😮😮😮😮😮daaaaaah inavutiaaa mnoooo❤❤❤❤❤❤Allah atujalie tue miongoni mwawatakao pata raha za peponi🤲🤲🤲
@abelmbilinyi12622 жыл бұрын
Tuishi kwa hofu ya Mungu , duniani tunapita 😔 pia hatuna maisha marefu kabisa , km umewai kusikia ule msemo fainal uzeen bac uzeen ndo uko
@naftalsimion81922 жыл бұрын
Simulizi mix sikitiko
@GraceAdinaniАй бұрын
Mwenyezi mungu atusaidie kuwa na hekima kwenye hulimengu huu wa dhambi
@nassibmalik99342 жыл бұрын
Utaishi dunian labda miaka 50 lakini akhera utaishi milele na milele.tufanye mema kwaajili ya kupata maisha mazur
@endtimes98502 жыл бұрын
Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
@gh7naa Жыл бұрын
@@endtimes9850 mmungu hana mtoto ana mana bee ndugu fatilia mmungu hazaa wala kuzaliwa
@TharsilaAthanas-iu2qf9 ай бұрын
Jaman mung Hana mtoto muwe na adabu kidogo
@kwangahudispensary72389 ай бұрын
@@TharsilaAthanas-iu2qfsisi tunaamini biblia ,,usitake wote tuamn yenu sio sawa.
@KATETIMQ8 ай бұрын
Hakika
@stevennchambi32122 жыл бұрын
Kama mimi na wewe tutaacha mademu tukatenda mema, tukamsema vizuri Mwenyezi Mungu na kumsujudu kwa ile kweli na subira. Pigeni likes 20 zitatosha kubadili maisha yetu hapa duniani🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@lameckshani93382 жыл бұрын
Si kweli Ila mbinguni watakaoingia ni watakatifu tu,wenye haki walioishi Maisha ya kutokutenda uovu
@mrbill22312 жыл бұрын
Sema mimi kimoja tuu! kinacho nisumbua ni kuacha mademu🤔🤔🤔🤔
@derickshady55902 жыл бұрын
Mungu aliumba mademu kwa ajili yetu bro, tuache mademu halafu inakuaje?😅
@jimmymeshack87252 жыл бұрын
@@derickshady5590 Hahaa bonge la point Mzee tuwaache afu tuishije sasa afu Mwamba anahisi like ndoo zitatufanya Mungu atuhurumie 😅
@zadokasaph55612 жыл бұрын
May God bless u abudantly Msitafa proffeser Jamali big up.
@nicholasmutai2082 Жыл бұрын
Huyu Jamal nimempenda kwa sababu amefanya nikajua vitu ambabvyo sikua najua zina exist🤗pongezi sana Jamal na Mwenyezi Mungu awe nawe kwenye safari yako.
@Laila-nuraa2 жыл бұрын
Maashaala tabaraka lah Allah nimkubwa namwomba mungu atukutanishe jannatul fartowsa, shukran kwa vile Ume tafsiriya tunamshukuru Allah ametufanya muislamu,
@erickmkwera27842 жыл бұрын
Allah akutunze Jamal Mustafa akufanyie wepesi Kwa kila jambo lililo mbele yako the story book
@meekman18052 жыл бұрын
Allah atujaalie tuwe miongoni mwa watu wa peponi. Aaamin.
@Cambarada2 жыл бұрын
Allahummah Aamyiin Yarabi
@hahmadhabibu20762 жыл бұрын
Allahuma amiin
@omaryhajji13932 жыл бұрын
Allahumma amiiin
@ghadaalzuhari27392 жыл бұрын
Amiin❤️🥺
@hamzafishten95602 жыл бұрын
Amiin
@giftibrahim Жыл бұрын
Mashallah Allah Atujaalie tuwe miongon mwa waja wa pepon❤🙏
@MaribaNenga4 ай бұрын
Amin 😢
@hassanismail1931 Жыл бұрын
Mwenyez mungu atujalie sote binadam tuache maovu
@nicolenabintu25092 жыл бұрын
Maneno yana tia moyo kwa sisi ambao tuna hofu ya Mungu , baba Mungu Wetu kwa huruma yako tusaleye zambi na utupe mwisho mzuri ❤️🙏🏿
@finestmtotowababa72492 жыл бұрын
hata uwe na ofu vp rakini Ile ya kitamani mdiyo itakayo kuchinja😀😀😀😀
@Madphilosopher13-042 жыл бұрын
Maskn
@breezydulla9429 Жыл бұрын
Amin
@Saidthebarez89 Жыл бұрын
Hakuna bba mungu.... ni Allah
@saba-gv3mj Жыл бұрын
Peponi wataingia waisilamu tu walio muamini Allah na mtume wake
@Cendrillon14172 жыл бұрын
Akhii Jamal namuomba Mungu akupe hii pepo yake Jannatul firdaous Allahumma Amiin ya Mujib 🤲🏼🤍 Shukran sana kwa kutuelimisha vyema kila story book 📖📚🙌🏽
@5ffGg-uy7mf8 ай бұрын
Amin
@Mazon_Gospel2 жыл бұрын
Tunaomkubali sana professor jamal Gonga like twende sawa
@jamilaathumani54814 ай бұрын
Mashalah mashalah mashalah mungu atujalie nasisi tuwe wanpepon inshallah...mungu atupende na atupe Kila la heri inshallah...
@RamadhanGalgalo-td5ky7 ай бұрын
Tunamuomba Allah atujaalie pepo inshallah
@RutaMazambocharles3 ай бұрын
Asante Kaka kwakutuelimisha Ila tunaomba utuletehe story book ya Maisha ya watu WA Swaziland maana Mila Zao ningumu kweli
@SparkxBusinessEmpire00110 ай бұрын
Nataka kuingia peponi, ebu mnipe likes 500 nawapenda sana ndio tujitayarishe kuingia peponi pamoja❤❤❤❤
@FatarBusolo2 ай бұрын
Mashallah Allah atujalie pepo❤❤
@JumaLugendo-rk3rp Жыл бұрын
Wallah umenifanya nisisimke na umeniongeza kitu Moyoni mwangu niiongeze Imani yangu na Toba zaidi na Ibada zaidi kiukweli Umeniathili Sana story hii
@minabuelysee8 Жыл бұрын
Mtume Muhammad (swalaallah alaih wasalam)
@saidchombo59522 жыл бұрын
Allah nijalie mwesho mwema, pamoja na wake zangu, Amiiina.
Katika the story book zooote..basi hii ni Top 1😍😍, hii ni namba 1 👌kwa uzuri, hadi inagonga nyoyo yan🫀
@jumannemohamedy14562 жыл бұрын
True top 🔝 one history book 📙 Ime ni ingia panapo histaili Hakika Jamaal professional wewe ni kwenda pepo moja kwa moja kwa sababu hubagui dini wala kabila una pita inavyo histaili risperct for your my brother's endelea kutuletea madini yenye thamani kubwa kwetu sisi wasikilizaji wako sote tuna tegemeana maana pasipo ww hatu ezi elewa na pasipo sisi huwezi pata sport yetu 💪💪💪
@endtimes98502 жыл бұрын
Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
@MaribaNenga4 ай бұрын
Acha ukafiri wewe yohana
@sahidahamad392 жыл бұрын
Mwanangu unapomtaja Mtume Muhammad basi tafadhali usisahau kumswalia
@JoyceAvua4 ай бұрын
Sasa yeye na nyinyi ni nanianafakusalia mweziwe😂😂😂😂wacheni utani
@aminasaid6555Ай бұрын
Unamaanisha nini?@@JoyceAvua
@shedrackdamian28702 жыл бұрын
Jamani nime chelewa kidg bwana ndiye mchungaji wangu sita pungukiwa na kitu😭 plz like hata 50
@tigerreigns7 ай бұрын
😂😂
@akbarrich2572 жыл бұрын
Yaaa ALLAH tupe mwisho mwema na Utuzawadiye Pepo yako Allahuma Amiin 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻 Allah atujaliye mimi nawewe tuwe miongoni mwa watu wa Peponi🤲🏻🤲🏻
@manajr91552 жыл бұрын
🙏
@NiyoFrancine Жыл бұрын
Amiin 🙏
@MaribaNenga4 ай бұрын
Amiin
@tory_angie2 жыл бұрын
This guy is a legend. I love you Jamal keep winning and entertaining us. More love from 🇰🇪. You are a superstar ✨️ 💖 Rabana akujalie miaka mingi yenye heri duniani. Hugs 🫂
@jennylunsinde97702 жыл бұрын
Mungu ni mmoja tuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@jumaallyhuodadaminamtaka55862 жыл бұрын
Mashaallah unajuwa kueleza Allah akuweke na atujalie mwisho Na pepo njema
@Mrmakavuliv2 жыл бұрын
KAMA UNAAMINI WEWE UTAKUA NI MMOJA WAPO KATI YA WATU AMBAO WATAINGIA PEPONI EMBU GONGA LIKE APAA
@kelvinsinyinza16598 ай бұрын
Kuna mapepo yawili ya wasilamu na wakristo ni ipi una Gongea Like?
@abubakarkhamis15542 жыл бұрын
Assalam alaekum proffers Jamal gonga nondo kaka uko vizuri sana Mungu akuzidishie kipaji hicho
@endtimes98502 жыл бұрын
Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
@MaribaNenga4 ай бұрын
You are went astray you dis believer ALLAH have no child 😢😢😢
@MaribaNenga4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa yeye ni mmoja tu
@yustomwaisomania25877 ай бұрын
Eee YESU nipe mwisho mwema ili niweze kuishi na wewe mbinguni milele na milele 🙏🙏
@maxmakobi25492 жыл бұрын
Gharama ya maisha imepanda huku Kenya tuombeeni😥 ila lazima tuone the story book . Wakenya pigeni likes hapa.
@annmarathe81132 жыл бұрын
True 😥😥
@fadhiliwilliam25002 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@anniehaji18742 жыл бұрын
Pole sana
@jubiercib30742 жыл бұрын
Ukristo sio dini....
@mohamedsimba3178 Жыл бұрын
Amen 😊
@endtimes98502 жыл бұрын
Waebrania 9:28 kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu. Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
@IslamMudrik-qu5wx Жыл бұрын
Ni ngumu Sana mtu kuacha pesa Kwa sababu ya kitu anachokipenda lakini ni rahisi Sana mtu kuacha kitu anachokipenda Kwa sababu ya pesa Kwa maana hiyo fedha imechukua nafasi kubwa katika maisha yetu na ndio chanzo Cha uchafu wote tulionao maishani mwetu muhimu Sana kujitathmini na kutafakari muda wa uhai wako🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭
@MaribaNenga4 ай бұрын
Kweli 😢
@wakatikaisi6743 Жыл бұрын
Dah Allah atujaalie tuingie firdaus....amin
@thestonetown33022 жыл бұрын
Dahhh….wee unajua bhnaaa mi sina comment kabisa!!!!!amaizing story @@@yaani umenifany nizidi kumuamudu Mungu…Allah azidi kukupa umri mrefu Jamal bin April@theStoryBook$
@HasamSalum Жыл бұрын
Kamwe haiwezkn kuyafananish maish ya milele yasio na vkwaz tulvozoea تبارك الله أحسن الخالقين 😢
@bakaryCMD2 жыл бұрын
The great professor of all time, Live from west virginia, usa/
@JustineAloyce-g2k10 ай бұрын
Jamani peponi kunasifa nzur swal je tutafika ila tumuombe mwenyezi mungu tufike inshallah
@hamadfaki76252 жыл бұрын
Jamal hakika nakupenda kwa ajili ya Allah ,ushauri wangu naomba tujitahid kumcha Allah kwan jamal unaelim nyingj masha Allah hivyo kufanya dhambi unayo ijua ni mtihan kwakwel
@imaniwihenge63312 жыл бұрын
Respect professor Jamal
@issasaad34032 жыл бұрын
ALLAH atujaalie mwisho mwema na tuwe miongoni mwa waja zake watakaoingia peponi inshaaalahh
@nikylian46582 жыл бұрын
Amin
@gilbartamedeus43002 жыл бұрын
Amin
@jumahashim81092 жыл бұрын
Namuomba mungu atujaalie tuwe miongoni mwa watu wa peponi, amiin.
@MaribaNenga4 ай бұрын
Amii😢
@ALLYHussein-h6m2 ай бұрын
Sema MUHAMMAD S.A.W
@maryamtwaja63462 жыл бұрын
Allah atujaalie pepo ya firdaus🤲
@manajr91552 жыл бұрын
🙏
@rosegodson46332 жыл бұрын
Ewe mola ulieniweka kwenye tumbo la mamangu, ukanichagua niwe binadam na ukanipa uhai Leo, nakusihi nipe nguvu ya kuzishinda tamaa za Dunia, na unipe moyo safi ili siku nikichora pumz yangu ya mwsho, niione Ile nchi nzur ulioniandalia,. Tamaa isinishinde mm😭
@kosandodo2 жыл бұрын
Mola akujaalie Kila la kher
@tanzaniayetuchannel219611 ай бұрын
kuwa muislamu kwanza ndo utaiona pepo
@WilbroadWilliams10 ай бұрын
Amina
@williampable16992 жыл бұрын
Huyu jama Djamali ni very creative kabisa, nipe likes kama unakubaliana na mimi👍
@fanitofaustino410810 ай бұрын
Sana uyu jaama anatisha
@habibukalema31272 ай бұрын
Siyo creative, anasimulia habari zilizopo kwenye guran
@notoriusmax84932 жыл бұрын
the story book usually teach us many important things God bless you jamal
@Richforever66 Жыл бұрын
Je hao wahudumu ambao wanatuhudumia tukiwa huko peponi wao hawataki kula raha
@SingidaManispaa-xt6ro8 күн бұрын
Ee ALLAH,naomba utujalie mwisho mwema na niingie peponi
@davidsosthenes44792 жыл бұрын
Mungu ni mwema siku zote kwetu na mwenye huruma sana....Tumsikilize yeye na tuyatimize Amri zake
@jamilaathumani54814 ай бұрын
Mashalah mashalah mashalah mungu namimi anijalie niwe wa peponi inshallah Mimi na kizazi changu mwanangu wanangu wazazi wng na familia yangu walahi..
@mwatumsaidi51042 жыл бұрын
Yaa Allah tuondoshee tamaa za dunia na tupe imani tufate kitabu chako na mitume yako
@mishimlowe6689 Жыл бұрын
Hii story imenifanya kuwa na hof ya Mungu, hakuna asiyetaman Pepo wallah, Isha Allah sote tutaiona Pepo tukirudi kwake Allah
@uhr54379 ай бұрын
By lj alla akuweke ❤❤❤
@uhr54379 ай бұрын
Your the best teacher allah akuweke BY LJ❤❤❤❤❤❤
@kotadapotar50942 жыл бұрын
Jamal ukitoa story natamani uzimalize mtavyopenda 👏🇹🇿🇬🇷⚓
@mustafaivany20412 жыл бұрын
Nime aza kuisikiya kwasasa kaka sitaki like nataka funzo tu mim🇿🇦🇿🇦
@personpeter22212 жыл бұрын
Ee MWENYEZI MUNGU nakuomba unipe maisha marefu na mwisho mwema ktk hii dunia
@VeronicaMayemba-q7y9 ай бұрын
Eee mwenyezi mungu nijalie mwisho mwema
@theempire40582 жыл бұрын
Hakuna kipindi kingine nachokiangalia wasafi zaid ya hiki, tujuane kwa like
@ramadhaniomary92412 жыл бұрын
Kwa kweli huyu jamaa anatisha amefanya tafiti za kweli mashaa llahu
@Nangasalim-xn7uv Жыл бұрын
Unasemaje
@girionpantaleo5881 Жыл бұрын
Kinakuwaga mda gan na siku gan
@JoashKorir-fb3bg Жыл бұрын
This is man is actually the best.. I love him 🙏🙏
@rayyanabdul9552 жыл бұрын
Jamani tuweni na hofu ya mungu ili tufike uko peponi 🥰😍
@danimark33002 жыл бұрын
Hiyo pepo ni hadithi za kufikirika Mkuu, haipo hivyooo
@kelvinsinyinza16592 жыл бұрын
ipi yawa christo awu ya Muhammad?
@khalidkhamis81602 жыл бұрын
@rayyan..ni mlango wa peponi
@gh7naa Жыл бұрын
@@kelvinsinyinza1659 mulize na mana bee wa mmungu watakuako upande gani duh huyu jamaa hangalii ukweli mmungu hana pepo mbili wala tem mbili mana bee wake wote ni waislam hakuna nabee alie toka nchi za Europe hata mmoja watu wamebadilisha maneno ya mungu na kufanya watakayo isa na ibrahim na ayob yagob ni waislam walimuogopa mmungu na walikataza mabaya leo dini ziko kibao za ajabu mana bee ndio wanajitokeza hakuna na bee wakati huu ilankufuru imezidi maslahi yao
@gh7naa Жыл бұрын
@@kelvinsinyinza1659 umemuluza swali zuri hajajibu
@Ahmed-w4b1v3 ай бұрын
Kweli pepo Raha mwenyezimungu atujaalie mwisho mwema Amin
@michaeljoachim85172 жыл бұрын
Acha uwongo bro lugha zote zimeletwa na mungu acha kupotosha watu
@neemamsaki11112 жыл бұрын
Ee Mwenyezi Mungu nipe Subrah,hekima yako😭🤲🏾..Ee Mola wetu Tusamehe maovu yetu PEPO yako nafsi zetu ziingie😭🤲🏾🙏🏾.
@MaribaNenga4 ай бұрын
Amiin
@ashadiramo Жыл бұрын
👍 Naipenda xna story book,mashallah Mungu akuzidishie 🤲
@geraldmollel30 Жыл бұрын
Nakubali Prof Jamal "unajua kuelezea na kufafanua mambo ya hadithi mbalimbali" big up xana Prof ✌️✌️
@MaribaNenga4 ай бұрын
Kweli😂
@theben67562 жыл бұрын
To God be the Glory 🙏🙏
@mussahiza38882 жыл бұрын
Brother uko very nice kwenye story
@اماحمد-ض4ه2 жыл бұрын
Watakao ingia Mbinguni nwatakatifu pekeyake kwa kua Mungu wetu ni mtakatifu ukijua anaelimu ya kuruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja jua sehemu yako ni jehanamu usidanganywe na mapokeo ya wanadamu chukua hatua mapema umuulize Mungu nifanyeje ili niurithi uzima wa milele yye ni mwaminifu atakuelekeza njia ya kufata nafasi badoiko mda karibuni unaisha usitegemee sala ya wafu ukaona itakupeleka mbinguni...chaukwali usipo mkir Yesu na kuishi maisha ya utakatifu jipenge kua kuni ya jehanamu
@brinasally74512 жыл бұрын
May God have mercy on us, May God forgive us our sins, May God receive and welcome us to heaven 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@yhwh3532 жыл бұрын
28 wakisema, Mwalimu, Musa alituandikia ya kuwa, mtu akifiwa na ndugu yake mwenye mke, lakini hana mtoto na amtwae huyu mke, ampatie ndugu yake mzao. Luka 20:28 29 Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa mke, akafa hana mtoto; Luka 20:29 30 na wa pili [akamtwaa yule mke, akafa hana mtoto;] Luka 20:30 31 hata wa tatu akamwoa, na kadhalika wote saba, wakafa, wasiache watoto. Luka 20:31 32 Mwisho akafa yule mke naye. Luka 20:32 33 Basi, katika ufufuo atakuwa mke wa yupi? Maana aliolewa na wote saba. Luka 20:33 34 Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; Luka 20:34 35 lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; Luka 20:35 36 wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo. Luka 20:36 Peponi hakuna kuoa Wala kuolewa Wala Pombe Wala tendo la ndoa Wala wahudumu Wala vyakula hivi vyote Ni vya ki dunia Bali tutakuwa Kama malaika Ni kusifu na kuabudu na kumshukuru Mungu unastahili Mtakatifu wa takatifu Alfa na Omega . Pepo ya Waislamu Ni Kuzimu, Na Kuzimu na Kunywa Pombe na matamanio yote na starehe zote za kidunia yaani kuzini ruksa, ulevi ruksa na ulafi ruksa. Itoshe kusema hiyo Ni Kuzimu💯💯 Allah is Pimp.😅😂🤣 Na ndomaana vijana wakislam wanafanya Jihad Kama Al-Shabaab,Boko Haram, Al-Qaida wanapambana kuwahua watu na kuupigania uislam kwa kuuwa watu ili waende Janna (Peponi) na kupata starehe zote hizo ambazo duniaini hawakupata😭💔
@pheobeawuor85622 жыл бұрын
Thanks Jamal April you have give me something in my Head
@juniormtei80052 жыл бұрын
Ubarikiwe. unazidi kunijenga ki imani na kujibu maswali yagu. Na ubarikiwe na mungu kuwafuguwa watu akili kupitia yeye
@kingkiya66402 жыл бұрын
Maa Shaa Allah,,,Ukiskiliza kw makini utakuta sehemu kubwa ya story hii imesheheni maneno Qur'an tukufu kw sababu ndo imefafanua zaid habar za peponi na motoni kuliko vitabu vingine,,, Alhamdulillah tunaomba mwisho mwema yaa Allah
@faridhamad36782 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@moreenmoreen3762 жыл бұрын
acha ubaguzi weee
@KALIMBULA7 ай бұрын
Allah nijalie pepo njema
@MussaHamadi-s5c20 күн бұрын
Kwan Kuna pepo ci njema
@MussaHamadi-s5c20 күн бұрын
Omba jannat firdaus
@HarrisonKesi Жыл бұрын
Naomba Mungu aniepushe na Raha na Tamaa za dunia ili niweze kuona ufalme wa Mbinguni
@Jordan-pm2uj4 ай бұрын
Allah nijalie niwe miongoni nitaoingia katika pepo yako 🙏🙏
@sultanmedia.6662 жыл бұрын
Always you are up there !!! Nakukubari saana kaka na wish siku moja nipate nafasi ya kuzungumza na wewe ana kwa ana braza Jamaar.
@ummukulthum12688 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akujaalie ww unaesoma comments uwe mmoja kati ya watakaokua peponi na tutakutana huko... kwa kuacha maasi na kutembea katika njia ya muumba Tuseme amiiin
@rebecapolesimon37173 ай бұрын
Amina
@robertsimba5081 Жыл бұрын
I can't wait to be in heaven...the most merciful GOD forgive me all my sins please
@andrewraphael30982 жыл бұрын
The story book 📖 Leo hap tujuane 😍
@leahmassawe78442 жыл бұрын
Daah! Wewe utaenda peponi kwa kutoa mafundisho mazuri kama haya kwetu❤
@dominicshijenga45252 жыл бұрын
amen
@gh7naa Жыл бұрын
Mmungu ajuae
@innocentmfalme43952 жыл бұрын
From kenya, jamal baba lao, kama unakubaliana nami, nipe like..
@BON357 Жыл бұрын
Qur'an kitabu Cha mungu bibiria kitabu Cha Paulo Ila injili kitabu Cha mungu
@gma841mulkasihjanja2 жыл бұрын
Ewe mola wetu tuepushe na maovu tuepushe na moto tuepushe na majalibu ya kishetani tuepushe na ibilisi muovu tuzidishie kheli na swawabu Amina labila alamin Allah tulinde ENYI WAISLAMU WEZANGU PLEASE NAWAOMBA NAWASHAULI JAMANI NDUGU ZANGU TWASWALI JAMANIII JAMANI TUJITAHIDI KUFANYA MEMA UWA NAUMIA SANA NIKIONA WAISLAMU WEZANGU HAWASWALI DAAAH! EWE MOLA ALLAH ALLAH ALLAH TUZIDISHIE IMANI MOYONI MWETU TUZIDISHE IBADA AMIN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🕌🕌🕍🕋🕋🕋
@mohammedkidody56182 жыл бұрын
Professor jamal umeua hongera tunakukubali sana kwa kutupa mambo ya msingi katika maisha yetu
@sabebejr25807 ай бұрын
Alhamdulilah ❤
@Chris-in1vc2 жыл бұрын
For us Sabbath means rest ( kupumzika na uhitaji wote wa mwili ( fleashly desires) . Ukisoma kiundani biblia ndo utaelewa maana ya sabato, ambayo Mungu aliwaonyesha wanadamu kama ishara na waifanye huko mwanzo ( kupumzika siku Moja ya wiki bila kazi yoyote) na atakayopewa wanadamu baada ya kufa ( Peponi). Ndio maana Yesu aliwaambia wayahudi, kuwa sabato ipo kwa ajili ya mwanadamu, na sio mwanadamu kwa ajili ya sabato ( yaani kuitumikia). Mambo mengi ya agano la mwanzo ( la kale) ni ishara mambo yatakayokuja, ingawa yalifunuliwa kama ya mwilini, ila ni kivuli ya mambo mema ya baadae, na ndio maana Yesu alishindana na wayahudi kwakua hawakumwelewa. Mungu alivyosema alipoumba ulimwengu Siku ya Saba akapumzika, maana yake KAZI yake yote ya uumbaji ilikamilika na hakuhitaji kuumba tena, na akatupa kazi sisi tuzae na kuongezeka na kuijaza dunia. Kwetu sabato ya wanadamu tuliyoahidiwa, ni ukamilifu, na kuwa huru au kuwa mbali na madhaifu yote ya mwanadamu ( mfano dhambi, chakula, magonjwa, kiu, nyege, kuzaa, uchovu, chuki n. K). Na ndio maana Yesu alisema " Njooni kwangu ninyi nyote mtesekao na mizigo nami nitawapumzisha." Ndio maana ukimpata Yesu utakapokufa utakua unaishi, maana utaingia peponi na kuwa huru na mahitaji na tamaa zote za mwanadamu. Utakua kama malaika kama alivyosema Yesu ktk Mathayo 22:30. Njooni kwa Yesu mpate pumziko, msihangaishwe na uongo wa mwanadamu wa jangwani Mwarabu aliyezaliwa miaka zaidi ya 600 baada ya Yesu kuondoka duniani.
@endtimes98502 жыл бұрын
Waambie wote wasioamini na kumjua YESU, Kwamba 1 Yohana 4; 2, Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. 3, Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
@rayisadesigns26462 жыл бұрын
Chris acha ushenzi, usitusi wasio kutusi, nawe watakutusi, bwege we.
@rayisadesigns26462 жыл бұрын
kwa akili yako unavyofikiri Yesu na Muhammad wanatofautiana au wanapingana? kwa taarifa yako hawa wote ni damu moja wote uzao wa Abraham yani wametoka mgongoni mwa ibrahimu, ni wajukuu wake wa damu. kasome maandiko mpumbavu we.
@Chris-in1vc2 жыл бұрын
@@rayisadesigns2646 ukileta ushahidi hata mmoja Muhammad ni uzao wa Ibrahim kupitia Ishmael, nitasilimu na kusema shahada kama allah alivyosema shahada. Ila ukifelli kunipa ushahidi wa maandiko au Aya ya Quran, basi utakua umehitimu chetu Cha Ujinga.
@allysuleimanhamis19632 жыл бұрын
@@Chris-in1vc ushahidi upo Mkuu,ila mambo ya dini ni mambo sensitive sana maana unazaliwa na unaritbishwa dini kutoka kwa waliokuzaa au waliokulea..mfano leo hii mtu akikuita jina lisilo lako hauta feel kama ni wew maana ubongo wako na faham zako hazija sarenda kwa huo wito ila ukiitwa jina lako utajukuta unaitika na unaamini ni wew ndo mlengwa wa wito huo..masuala ya dini ni elimu Pana kuliko elimu tunazosoma darasani..mtu ukitaka kujua ukweli kuhusu masuala ya dini unahitaji kuwa tayari kuupata ukweli na kwa watu sahihi..tatizo kubwa watu hupata elimu ya dini kwa watu sio sahihi regardless kwa waislam au wakristo..watu hupenyeza agenda zao binafsi katika mambo ya dini..siku hizi dini ndo imekua kivuli cha chuki,ugomvi,majigambo,ukatili,uchonganishi maana mtu akijua kusoma na kuchambua bible au Quran kidogo tayari yupo kutengeneza followers utasema yeye ni Muhammad au Yesu(Issa ibn Maryam) Ukitaka ukweli juu ya Muhammad ni nan? Amekuja kwa watu gani? Majukumu yake ni yapi? Na kwanini aliletwa kama mjumbe wa mwisho? Uhusiano wake yeye na Yesu (Issa ibn Maryam? Uhusiano wake Muhammad na Nabii Ibrahim,Ismael na Is-haqah(Isaac)? ..ukweli huo ukiutaka tafuta watu na uwaulize maswali hayo ukiwa tayari kujifunza na sio kwa ubishani! Mungu akubariki upate akupe elimu na uweze kufurahia ukweli na njia ya haqqi..
@madedemiller70707 ай бұрын
The story book ya lewo umetisha mr jamali
@japhetvukaly47162 жыл бұрын
Mimi sijawahi kuchoka kusikiliza story zako kaka jamal,hakika wewe ni proffesa.Mungu akupe umri mrefu utufundishe mengi ya kumpendeza allah wetu
@ABDULSALAM-nd1ug11 ай бұрын
Masha Allah
@ABDULSALAM-nd1ug11 ай бұрын
Hopefully
@princehancesam9892 Жыл бұрын
Jaman nikifikiri maisha ya badae mwili wangu unaishiwa nguvu kabisa
@ericahrey-hj8wh Жыл бұрын
😂😂😂
@DrN.DJ_Master Жыл бұрын
😂😂😂
@MihayoMageta9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂jipange tu, hakuna jinsi.
@creoamasy29682 жыл бұрын
Umenifanya nishike Biblia bwan jamal Vifungu unavyotaja bc naenda n wew sambamba🥳🥳
@zanmedia52252 жыл бұрын
Moja kati ya Elimu muhimu hapa ni kua Yesu ni Nabii na sio Mungu kama wengine wanavyodhani 🙏🙏
@violetsangamysongs18152 жыл бұрын
Yesu ni Mungu ndio ukweli huo
@EliakimjoashJoash4 ай бұрын
JESUS IS GOD
@Bigsneh2 жыл бұрын
God bless you Professor 🙏🙏
@ahmedmiraji8772 жыл бұрын
Wallahi nimelia kusikia hi leo, jamal april Mwenyezi Mungu hakutangulie leo katika zte nimepata message vizuri Mwenyezi Mungu hatujalie tuwe watu wako Ameen.
@lareineminah13532 жыл бұрын
Ameeen
@amoury14812 жыл бұрын
Ameen
@abufatimamohammad334411 ай бұрын
Kama sisi wa jamii wa oman 🇴🇲 Tumemkubali jamal the book story keep going 🫡
@ngaosimba42212 жыл бұрын
Hongera kutoka Kenya 🇰🇪
@uzungupoint2 жыл бұрын
Sema ukifatilia sana DINI unaweza kuchanganyikiwa🙌
@khamischumu68302 жыл бұрын
Hujui kitu
@Mr_smart.code_102 жыл бұрын
Sio hajui kitu huo ndo ukweli
@samirajohn69382 жыл бұрын
Kweli kabisa
@zaburi23862 жыл бұрын
Hasa uislam eti pepom tutakuwa tunaongea kiarabu duuh