Nguzo Tano za Ndoa iliyosahihi - Shekh Mohamad Iddi Mohamad

  Рет қаралды 9,535

Abuuiddi Tv Online

Abuuiddi Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@mauwarashid4823
@mauwarashid4823 4 жыл бұрын
mashaailaah.munguazidikuueka.shekhewetu
@innocentjay5844
@innocentjay5844 5 жыл бұрын
Ninakufatilia sana kwasababu mawaitha yako unayaeleza kwa ufasaha.Allah akulipe kheir in sha Allah
@saidburuji9984
@saidburuji9984 5 жыл бұрын
Kwa kweli ALLAH akulipe kheri kwa elimu muhimu sana unayofahamisha
@aboubakarlimba4027
@aboubakarlimba4027 5 жыл бұрын
Shukrani Shekhe tupo pamoja
@اماحمداحمدسعيداماحمد
@اماحمداحمدسعيداماحمد 5 жыл бұрын
جزاك الله خيرا
@mutwarrifuyussuf9850
@mutwarrifuyussuf9850 4 жыл бұрын
Naomba bomber yako
@ramlataayat9999
@ramlataayat9999 4 жыл бұрын
Masha Allah
@yahkiwera3611
@yahkiwera3611 5 жыл бұрын
Mashaallah shukran
@ramiahuseni3357
@ramiahuseni3357 4 жыл бұрын
Mashaallah
@nairatybabato9636
@nairatybabato9636 3 жыл бұрын
Asalam aleykum et jee mwanaume kama kampa mkewe talaka 3 je akimaliza eda anapaswa kuolewa na yule mwanaume aliye muacha kwa taraka 3
@shaabanlamania4763
@shaabanlamania4763 3 жыл бұрын
Mbn ypo sita n umsm saba
@nyllamnshimirimana2996
@nyllamnshimirimana2996 4 жыл бұрын
Assalam alaikum warahamatullah wabarakatuh cheikh mimi nna swali sijui Nina ndoa ao kwaju wali wngu ni mume sa mama yangu mkubwa baba alikua amekata Kuwa wali. Ivi kwl mimi Nina ndoa ao???
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 4 жыл бұрын
Asalaam aleykum warhmatullah wabarakatu Sheikh wangu naomba kuuliza swali KUNA KAWAIDA HUWA NASIKIA WAKATI WA KUFUNGISHA NDOA KUSEMA IKITOKEA KUWACHANA MUWACHANE KWA WEMA JEE NI LAZIMA KUSEMWA?
@salamakibwana1344
@salamakibwana1344 5 жыл бұрын
Mm ninakaka Baba tofauti aweza kuwa wali kwangu
@habibtalib5100
@habibtalib5100 5 жыл бұрын
Salama Kibwana Anaweza kuwa walii wako lakini mpka ifike daraja yake
@almandroo8258
@almandroo8258 5 жыл бұрын
Hawezi kua uwalii unatoka upande wa baba kwa mtazamo wng
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 жыл бұрын
Sheikhs naomba namba yako
@fatherezekiel987
@fatherezekiel987 3 жыл бұрын
Sheikh vipi unaenda kinyume na mafundisho ya mtume Muhammad pbuh,unanyoa ndevu unawacha masharubu wakati inatakiwa iwe kinyume na unavyo fanya fuga ndevu punguza masharubu.hautendi haki unakaa kama polisi wa kenya
@mohamedmzee5097
@mohamedmzee5097 5 жыл бұрын
SHUKRANI..
@almandroo8258
@almandroo8258 5 жыл бұрын
Naam kaul thabit kabisa
@namelessnameless4868
@namelessnameless4868 5 жыл бұрын
Sheikh hapo kwenye swala la kutokufungamana na ibada ya hijja binafsi cjaelewa yaanu mtu akienda kuhiji kabla ya kuoa/kuolewa haramu kuoa?
@innocentjay5844
@innocentjay5844 5 жыл бұрын
Mipia hapo siku paelewa ila sheikh wetu hajibu comments zetu ubaya
@habibtalib5100
@habibtalib5100 5 жыл бұрын
Nameless Nameless Naomba nichukue nafasi hii kufahamisha kdg hapa sheikh amezungumzia kwamba yule m.mme ambae ataweka nia ya kua anahiji yani anatekeleza ibada ya haji kwahio baada ya kuweka nia tuu kma anaanza kuhiji bas ni haramu kwake kuowa mpk atakapomaliza ibada ya hijja...والله أعلام
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Assallam aleykum , shekhe naomba kuuliza kama ni mtt wa nje ya ndoa halafu yule baba alisha fariki inawezekana baba mdogo yaan mdogowake baba akaozesha , na je hapo hapo kwenye mtt wa nje ya ndoa ni anaweza kuozeshwa na shekhe pasipo baba mdogo ambae ni mdogo wake na baba na hiyo ni marehemu halafu ni mtt wa nje ya ndoa?
@habibtalib5100
@habibtalib5100 5 жыл бұрын
Najma 3 w.msalam mm sio sheikh ila najarb kukujib kwsbb itakua mara hujapata jibu asili mtoto wa nje ya ndoa haozeshwi na yule ambae anamwita baba ake kwasbb kwenye sheria yule sie baba ake kwahio huwa anaozeshwa na kaazi auu sheikh mkuu....kwa maana hiyo sasa kma yule anaemwita baba kama hafai kumuozesha bas na haoo waliobakia wote hawafai kumuozesha...na allah anajua zaidi
@almandroo8258
@almandroo8258 5 жыл бұрын
Sorry hii ndoa unafungwa kiserikal ht km baba yko yupo hai
@rizikisalum9678
@rizikisalum9678 5 жыл бұрын
@@almandroo8258 ndio kwasabubu huyo baba sio baba yake mtoto wa nje Hana baba hatakama wamjuwa alokupa mimba sio baba ake
@rizikisalum9678
@rizikisalum9678 5 жыл бұрын
Masha Allah
@khatibmohd5913
@khatibmohd5913 4 жыл бұрын
Talaka ya mtu mlevi inasihi
Mfululizo wa Makosa ya Wana Ndoa - Sheikh Mohamad Iddi
20:24
Abuuiddi Tv Online
Рет қаралды 5 М.
NGUZO TANO ZA NDOA  ZIKIFAFANULIWA VIZURI NA SHEIKH IDDI MOHAMED IDDI
37:51
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 27 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 24 МЛН
SEHEMU YA 9 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI
1:01:28
NGUZO ZA IMANI
59:27
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 2,6 М.
Je , Wafahamu nguzo za ndoa ? / Sheikh Bizimana Zubeir
26:28
Hizi ndizo Nguzo za Ndoa Kisheria. Sh. Nurdin Kishki
25:32
OBA Online tv
Рет қаралды 331
IMANI | SWALA | ZINAA | LIWATWI |  RADHI ZA WAZAZI - SHEKH MUHAMMAD IDD
23:02
Utukufu wa Ibada ya Ndoa - Sheikh Mohammad Iddi Mohammad
18:26
Abuuiddi Tv Online
Рет қаралды 2,7 М.
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43