No video

SEHEMU YA 9 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI

  Рет қаралды 4,008

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com...
KZbin: / @babdeomiladu

Пікірлер: 86
@naimaabdallah4002
@naimaabdallah4002 5 ай бұрын
Shekh idi nashukuru watowa huja bila kutukana nitakufwatiliza kuanzia sasa mngu akuhifadhi
@mohamedomary2887
@mohamedomary2887 6 ай бұрын
Masha Allah sheikh endelea kutoa elimu Kwa mawahab
@jumaamohamed4203
@jumaamohamed4203 6 ай бұрын
Marhabaaaaaaaa Unasomeka vyema sana mwamba wewe ni jiwe kubwa,,,,,, Lakin kua makini hao unao watoboa na huo uongo wao hao mawahabi ni matawi ya mayahudi kwahio usile nao wala usinywe nao kwa usalama wa maisha yako.
@user-lo1uk8dp5f
@user-lo1uk8dp5f 6 ай бұрын
Alhamdulillah jazaka llahu khaira tunapata uelewa kidogo kdgo inshallah
@user-xx7ox6bj7c
@user-xx7ox6bj7c 6 ай бұрын
shukrani sheykh.tunaomba ututajie namna gani tutapata vitabu hivyo
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 6 ай бұрын
Shekh letu ABUU IDD .. Zidi kubwaga NONDO ..
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 5 ай бұрын
Allah akulipe.. yani nazidi kuwa mbali na hawa makafiri ( mawahabi )
@darajanida
@darajanida 2 ай бұрын
ndugu yang nakuomba sana wacha kuwaita waislamu wezako makafir
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 6 ай бұрын
Shukran shukran sanaa sheikh kwa ubainifu mzuri
@alhabibymasoud3445
@alhabibymasoud3445 6 ай бұрын
❤❤❤❤ kwa ajili ya dini
@zeitunMohammed
@zeitunMohammed 6 ай бұрын
Shukran sheikh Muhammad eid.wallah Allah atakulipa.
@user-mj2pe4xy7v
@user-mj2pe4xy7v 6 ай бұрын
Ahsante sheikh Allah atakulipa na zitabakia hizi vizazi vitasoma
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 6 ай бұрын
Uwahabi ni uasi
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 5 ай бұрын
Waislam, Mkitaka uhakika wa kila linalo wakwaza njooni kwangu. Masheikh, wanazuoni,, na wengine wote na madhehebu yote. Mimi nasoma habari zinazotokana na mbinguni moja kwa moja. Ila siwalazimishi. Ila yanayokuja mjuwe ndiyo yatakayo walazimisha. Nayo ni mwelekeo kuwa ile safari yetu imekaribia. Mimi si mwanafunzi wa yeyote miongoni mwao wanafunzi wenu. Ila ni HAKI INAYOKUJA KUITETEA HAKI ILI WATU WAIJUWE HAKI, PASIJE KUWA NA HOJA SIKU HIYO MBELE YA MOLA WETU KUWA HATUKUJUWA. Napatikana Toangoma Block 13 Plot 76 Mtaa wa Upendo No. 11.
@user-lo1uk8dp5f
@user-lo1uk8dp5f 6 ай бұрын
Alhamdulillah sheikh tunakuelewa vema kabixa
@user-sm1ux6nj7b
@user-sm1ux6nj7b 6 ай бұрын
Maashaallah
@mohagurey2214
@mohagurey2214 6 ай бұрын
Mungu ametuamrisha tusiitane majina ya kejeli kumbuka, dhambi kwako
@abiabi9353
@abiabi9353 6 ай бұрын
Sasa wapi sheikh kaita majina ya kejeli wakati sheikh kasoma kitabu hilo jina la mawahabi lilivyo tumika
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 6 ай бұрын
Unachoongea nikweli kabisa, Ila mawahabi wao ndo wakwanza kuwatukana wenzao.
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 6 ай бұрын
Hakuna kejeli hapo. Hivyo ni vitabu
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 6 ай бұрын
Tatizo unachelew sana kutoa mpaka tunasahau
@jordan.3109
@jordan.3109 6 ай бұрын
Mashia hamna mpya nyinyi bana
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 6 ай бұрын
Acha uchizi wewe. Sasa hapo kuna ushia?
@rashidyusuphmwatebela8802
@rashidyusuphmwatebela8802 6 ай бұрын
"فهم الإنسان إذا كان له هوى"
@user-ze8rk9ye6r
@user-ze8rk9ye6r 5 ай бұрын
Wenye akili timamu hawawezi shawishika na maneno hayo ,bali haki itabaki kuwa haki,alie zoeya kucheza Miziki na ngoma ndio anaweza shawishika, lakini haki ixha tambulika kitambo, uzuxhi utabaki kuwa uzuxhi,
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 6 ай бұрын
Acheni kulazmisha mambo imetajwa kufunga we unasema kula
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 6 ай бұрын
Mawahabi mupoo😂😂
@rashidikibuna8575
@rashidikibuna8575 6 ай бұрын
Hao hata kwenye uwahabi wamepitiliza hao nimayahudi wao na wafuasi wao.
@user-xb5jm6of7n
@user-xb5jm6of7n 6 ай бұрын
Hivi kusema shekhe bangi ziko kichwani n katika sun pia,,
@matanohassan9667
@matanohassan9667 6 ай бұрын
Wacha KUTUKANA kama huwezi sikiliza fuatilia Vitabu huwezi Wacha uchoko we vipi wafananisha bangi Na Suna yaani hii katika MITANDAO itakaa Hadi Kiama labda ufute ila kesho utaulizwa
@salimabddala3758
@salimabddala3758 6 ай бұрын
USO WAKE NAANZA KUBADILIKA
@kimchinakucha834
@kimchinakucha834 6 ай бұрын
Ndio mana tamta mana hajielewi watu wamekupuuza
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 6 ай бұрын
Soma hivyo vitabu kwanza ndio umuone sheikh hana maana
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 5 ай бұрын
Tamta hawakumfukuza na mpaka leo ana wadhifa mkubwa pale Tamta .. na pia ana uongozi ktk kuiendeleza Tamta
@abuukarata9653
@abuukarata9653 5 ай бұрын
Mbona shekh watu wanaachana na maulidi, huoni kuwa yanaenda yakifa shekh.
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 4 ай бұрын
Maulid huzidi na yataendelea kuzidi ilaa yaumil qiyaamah
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 4 ай бұрын
Wala usijitie upofu
@abuukarata9653
@abuukarata9653 4 ай бұрын
@@noorululaatv8973 huoni shekh kama yanakufa. Tunataka yaendelee lakini sioni dalili shekh
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 6 ай бұрын
Soma vizur wewe muhamad idd
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 6 ай бұрын
Asome nini sasa. Kwani hivyo sio vitabu vyenu?
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 5 ай бұрын
Mawahabi akili zao ni mbovu wallah
@user-ty8le4vq7o
@user-ty8le4vq7o 6 ай бұрын
SIO kila kinachoongewa na shekhe ni sahihi kikubwa ni kuangalia namna walivyofahamu wema waliopita
@user-lo1uk8dp5f
@user-lo1uk8dp5f 6 ай бұрын
Wema walopita ndo vitabu vinavotajwa hapo we fuatilia itikadi weka pembeni kwanza
@twalibmohamed2494
@twalibmohamed2494 6 ай бұрын
Hoja Hizo tayari zimejibiwa kielimu. Kwani hajaziona?
@abiabi9353
@abiabi9353 6 ай бұрын
Ehe tufahamishe zimejibiwa vipi na nani
@user-lo1uk8dp5f
@user-lo1uk8dp5f 6 ай бұрын
Mimi sijaona mwache aweke wazi kwakua ananukuu dalili kwenye vitabu vinavoaminika duniani
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 6 ай бұрын
MAWAHABI sasa bisheni tena vitabu hivyo hapo,Kumbe uwahabi ni dhehebu!!
@mohamadathman5961
@mohamadathman5961 6 ай бұрын
Utazikwa peke yako
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 6 ай бұрын
Wahabi atakaye jifanya haelewi hana akili kabisa
@CivilTechTutor
@CivilTechTutor 6 ай бұрын
mzee kafufuka tena
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 6 ай бұрын
Sheik amewafunua MAWAHABI leo,dalili hizo hapo.
@user-oe8nv2tw7w
@user-oe8nv2tw7w 6 ай бұрын
MBONA KILA SIKU UNARUDIA HAYOHAYO TU?
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 6 ай бұрын
Unaonyesha umesikiliza hapa mwanzo kisha ukawacha..
@kimchinakucha834
@kimchinakucha834 6 ай бұрын
Bangi ulizo vuta bado zimo kichwani
@suleimanbilal3327
@suleimanbilal3327 6 ай бұрын
miongoni mwa sifa za watu majahil ni kuwaona wasomi kama wajinga, tuzingatie hili tusije tukawa miongoni mwa hao.
@naimaabdallah4002
@naimaabdallah4002 5 ай бұрын
Kumtukana si jawabu wewe ni mwislamu kua na akhalak mzuri
@naimaabdallah4002
@naimaabdallah4002 5 ай бұрын
Mwisllamu haifai kumtukana mwislamu mwenzake mche mola wako
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 6 ай бұрын
Na ww umekubaliwa na nani? Maana mtume ndio ka toa tazkia sio ww
@twalibmohamed2494
@twalibmohamed2494 6 ай бұрын
Si umeshaambiwa bid-aa zinazogawika Ni bid-aa ki lugha?? Mbona huelewi WW Mzee? Ama kisheria Hakuna mwanazuoni aliezigawa HATA mmoja.
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 6 ай бұрын
Wewe kweli hata uelewa mbovua yani hadithi inasema kila bidaa ww unasema bidaa kilugha kwan hiyo bidaa kilugha ipo nje ya kila bidaa??
@abiabi9353
@abiabi9353 6 ай бұрын
Wewe ni jahili wakiwahabi huna ujualo
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 6 ай бұрын
Hawa watu wajinga hawatakuelewa​@@abubakarhussein2186
@user-ty8le4vq7o
@user-ty8le4vq7o 6 ай бұрын
SIO kila kinachosemwa na shekhe ni sahihi kikubwa ni kuangalia ufahamu wa wema waliotangulia
@abuuuyaynah8801
@abuuuyaynah8801 6 ай бұрын
Mwambie asomee vizuri ibara
@abuuammar4924
@abuuammar4924 6 ай бұрын
UMEOTOA NAMBA TUKUULIZE ALAF TUKIKUULIZA HAUJIBU
@user-lo1ui8tb6b
@user-lo1ui8tb6b 6 ай бұрын
Mwauliza kwa chuki za kiwahabi
@abuuammar4924
@abuuammar4924 6 ай бұрын
@@user-lo1ui8tb6b Km nyie mnavyojibu kwa chuki za kikhurafiy. Mm nimemuuliza ktk whatsapp kwa heshma na tawaadhui..na akaahidi atanijibu nami nikasema sawa shekh..lkn mpk leo hajajibu kitu Na hata ukimuuliza kuhusu vitab hajibu
@twalibmohamed2494
@twalibmohamed2494 6 ай бұрын
Kama utagundua HUYU Shekh amepuuzwa kabisaa kujibiwa Na mashekh Mana Hana jipya Ktk hoja
@niyonzimaaisha6159
@niyonzimaaisha6159 6 ай бұрын
Mumemuogopa
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 6 ай бұрын
Masheikh ni kwako kwtu sisi hatuwazingatii
@ibrahimsaad617
@ibrahimsaad617 6 ай бұрын
Chukua hivyo vitabu alafu wapelekee mashekhe zako alafu wamjibu
@abiabi9353
@abiabi9353 6 ай бұрын
Wewe amakweli unatakiwa upelekwe mirembe ukapimwe akili kama aliyozungumza sheikh si elimu
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 6 ай бұрын
Sheik katoa dalili ya vitabu, MAWAHABI ni dhehebu kaziyao nikutikana wenzao.
SEHEMU YA 8 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI
58:00
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 209 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
ITIKADI MBOVU ZA MAWAHABI @khalifa mpya tv
34:47
KHALIFA MPYA TV
Рет қаралды 1,6 М.
SEHEMU YA 7 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI
1:05:09
HUKMU YA WAZAZI WA MTUME - SHEIKH MBARAK AHMED AWES
55:15
Sheikh Mbarak Ahmed Awes
Рет қаралды 1,6 М.
LIVE - O1-RADDI MPYA   KWA MUHAMMAD IDDI NA MASUFI WENZAKE
1:07:40
IHSAAN TV
Рет қаралды 4,6 М.
MBARIKIWA  AIBUKA na KIFO CHA MARCO
8:03
Modesta Peter
Рет қаралды 44 М.
SHEIKH ABOUD ROGO: MADA HISTORIA YA MTUME NA JIHAD
55:59
ROGO JR
Рет қаралды 16 М.