Kama umekuja kusikiliza tena hii ngoma baada ya interview ya FidQ BigSunday Wasafi, nipate LIKE tafadhali.
@jovinwilly37182 жыл бұрын
Mwenye nmekuja baada ya interview ya fid q
@amulikekennedy35502 жыл бұрын
🖐 dah ile interview iimenikumbusha mbali sana imebidi nirudi tena kusikiliza
@mohamedhamisi97662 жыл бұрын
Babu Mimi hapa pia nimekuja kucheki hiyo ngoma kaobama alikua mtu hatari sana
@ebrermomo82622 жыл бұрын
😂😂😂
@merucontacts83722 жыл бұрын
A tanzanian living abroad .....I .miss Albert magwea... He was a very good rapper...we should learn to appreciate our own
@RonnieBertin-f7f9 ай бұрын
KUNA WASHENZI WAMETUIBIA MZIKI WETU(BONGO FLAVOUR SO WE NEED TAKE IT BACK
@MichaelLugazo18 күн бұрын
Kama umeiskiliza hii ngoma 2024 gonga like hapa ❤❤
@salimmohamed3668 Жыл бұрын
AlbertNgweir is an alpha rapper gotta dominate yah like 90's kappa freeflowin style combination of tupac and busta FiqQ my man you the master the only heavyweight rapper tokea enzi za mkapa those days never had locks or rasta but i gotta feel you vile umetukamata am a song writer napenda kurapp ila sitaki kurapia hapa am kenyan but respect to TZ hardcore masters. FIDQ RESPECT
@mfalmekaitaba24256 ай бұрын
Watu wasichojuwa pia nikwamba #Rommyjons amekuwa star kabla ya mdogo wake #Diamond na amemsaidia Dai kumkutanisha na mastar wengi na connection za media tour.
@samilahmohammed8410 Жыл бұрын
Nakumbuka vile marafiki zangu wakidai vile nikonawe mm nimeupata adi kutengwa ndio sababu ya kuhama tz nikatengwa namarafiki but nashukuru mungu niko hai paka sasa na niko na afya poa nakuombea mema penye uko tz watu upenda kuweka jambo liwe la ukweli na sio japo tulikua na maugomvi mingi apa na pale na atukuwai kuerewana but im still to love you and i remember you baby
@harrykarua9238 Жыл бұрын
We will mourn u till we meet again bro..U was the best in this Game..COWBAMA💯👊👊👊👊👊
@Mvtvri6 ай бұрын
2024 celebrating Ngwair lyrical and flow prowess. RIP
@augustinebee7754 Жыл бұрын
Ngwear was a wizard when it comes to rap flow with the beat
@linnusaloyce65593 жыл бұрын
Rest in peace albert 2pac wa Africa 🔥 kiatu bado hakija pata mvaaji huku bro
@Gabbysky1 Жыл бұрын
Mwamba ndo huyo Sasa. Ngosha na Ngwear. Bab kubwa.
@jdeoffspliny259421 күн бұрын
Verse ya Ngwair 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥 ,,, Basi toa location ,toa code someka Wapi ilipo bata wapi leo kinaeleweka, Nina pesa mingi mpaka natamani jiteka,then Watu wako king stone ka jamaica, Nima modal madodo waki lol na manganster, Divers na hustlers pay purchases(walitanjwa wazamiaji na wapambanaji wote walipe bill zao🤣🤣🤣) Nani anaweza piga ngoma kali ka hii Mi Nani anaweza gonga beat nzito ka hii p (p-funk) Yeah u know that ni bongo records tu Na (fid) q east zoo tuko juu au sisikii Usipime hizi record ziko heavy place non above it ,men ("u got to love it men") Leo ni mwendo gambe tu na malovidavi Tunao warembo wakali matata ka flavi (😂😂hapa alimtaja flavian matata🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾) Tuna pata zetu caple around then we out of the town ,,,,
@andrewmwamakula83013 күн бұрын
UmetishA
@pioustrevol3468 Жыл бұрын
KING OF FREESTYLE TANZANIA 🇹🇿 RIP NGWAIR
@bahatymashaka94402 жыл бұрын
Imebidi nirudi kuiskiliza Tena hii Ngoma baada ya intavyu ya fid
@MrMtaalam2 ай бұрын
Mi pia,ndio natoka kwa interview hivi
@allenmlay2 ай бұрын
Hadi mimi 😂
@NelbatiNzikuАй бұрын
Mipia
@samilahmohammed8410 Жыл бұрын
Rip baby... you what;!!! I miss you Leo nimetazama interview ya fid q but u what I remember you baby
@MindMentorAcademy9542 жыл бұрын
Usiniite half man niite man in half ,if you think small you remain small for life ,hatuwezi piga simu instrumental but we can be on the same key ,son Experience express some better or biter ,naweza flow slow lakin brain ina ni speedup ,na smize thing kama pain inavyoumiza ,complain nazimaliza na gain tu kila muda
@feisalmhina7146 Жыл бұрын
Farid Noma sana
@RobaahKauruo12 күн бұрын
Hatareee🔥
@istellarcommunications49233 жыл бұрын
RIP Albert Mangwea, pengo lako halina spare!
@magnetsuperfly20522 жыл бұрын
Hakuna rapa kama ngwer Tanzania ngwer mmojatu 1
@faustinedeogratias43376 ай бұрын
2024 npo na CNN
@samilahmohammed8410 Жыл бұрын
Ulikua mtu maaharufu na mm wa chuo wakukutana. Na watu wengi ilo ndio neno ukisema now i understand why usema ivyo ata katika maisha ya sasa ya kuwa na mtu maharufu 4:42
@SuleimanSalum-kk7xx4 ай бұрын
Mrs Saloom 2024 Hum humu
@ujenziwanyumbakisasatanzan63432 жыл бұрын
Respect 🐄 wiz . Mmefanya la maana kutengeneza KZbin channel, Ila mngeitangaza iwe popular, imagine I came here accidentally
@aizzyashery55642 жыл бұрын
Ngwea ulishindikana rip kaka ww sio poa aiseee
@shaqyromar77353 ай бұрын
Usiniite half man niite man in tha half(#BIGMAN masipa)
@DanyMadebe22 күн бұрын
I noma xan jamaa
@DigonzaKeimbe-uq1bx Жыл бұрын
2023? Mziki wako Utaendelea Kuishi Pumzika Kwa Amani..🚴🚴🙏