Msodoki Young Killer Ft Fid Q & Belle 9 13 Kumi na Tatu Official Video

  Рет қаралды 871,587

Msodoki Young Killer

Msodoki Young Killer

Күн бұрын

#MsodokiYoungKiller #KumiNaTatu #FidQ #Belle9
SMS [Skiza 8091769] to 811
MSODOKI YOUNG KILLER SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.to/msodoki...
Follow Msodoki Young Killer On Social Media:
/ youngkillermsodokii
/ ymsodokii
Channel Administered by Slide Digital
/ slidedigitaltz

Пікірлер
@PeterMalekela-gg6ly
@PeterMalekela-gg6ly Жыл бұрын
Kama umekuja kuicheki 2024 tujuane apa
@bomonda2622
@bomonda2622 9 ай бұрын
Huuuu mzigo hatar
@hassantimimi3352
@hassantimimi3352 9 ай бұрын
Ndi huyo hapa
@mwanritumsifueli7768
@mwanritumsifueli7768 7 ай бұрын
❤❤❤❤
@eliariro5514
@eliariro5514 5 ай бұрын
Hii noma
@JaloAlbert
@JaloAlbert 4 ай бұрын
Me ndo nawasili now
@shanihamisi4215
@shanihamisi4215 5 ай бұрын
Mwez wa 9 huu 2024 tar 1 wangap tupo pamoja
@goodvibesociety6051
@goodvibesociety6051 10 ай бұрын
Wow amazing 2024 tupo wangap
@mwinyihamisidee5813
@mwinyihamisidee5813 9 ай бұрын
13
@MikeMiles-j5z
@MikeMiles-j5z 8 ай бұрын
Yaaani kila siku nipo apa
@EdwinChalle
@EdwinChalle 6 ай бұрын
❤❤13 yooh killer let's make remix 13 future diamond
@pix_1lyrics777
@pix_1lyrics777 5 ай бұрын
" thamini huu muda kabla haujageuka history, part of the past do not fit the script for the future memory.....FID Q 🔥🔥🔥🔥 LYRICS zimeshiba sana 🐐
@Elite_Forex_Academy
@Elite_Forex_Academy Жыл бұрын
R.I.P Nisher. Masterpiece Visuals
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 Ай бұрын
Nisher alifariki kwan nilisikia Kwan nisher babayake ndo yule mchungaji
@husseinm758
@husseinm758 Жыл бұрын
baada ya bifu ya young kunya na young killer nimekuja kuangalia mistali ya killer🚫📣
@Rockbalozi
@Rockbalozi 2 жыл бұрын
Ngoma Kali, mwalimu wao wote hao mpka akina stamina Ni fidi
@bustabruce480
@bustabruce480 Жыл бұрын
Flow kama hizi tunazimisi badiri
@MathayoJaphet
@MathayoJaphet Ай бұрын
Jamani wa 2025 tukutane hii ngoma ni tamu haichuji ni kali always favorite to me
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 жыл бұрын
Ila huyu *NIXHER* hapewi nafasi tu ila ni moja ya ma DIRECTOR bora kabisa hapa bongo
@EzraKatambi-g4b
@EzraKatambi-g4b 2 ай бұрын
Ukiwa mkal w kusifiwa kubali kutumiwa,✍️📚
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 5 жыл бұрын
Tatizo belle9 hakuonekana ingekaa poa zaidi,
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 5 жыл бұрын
Ukweli Wala sio ushabiki, Dogo Janja Na Young Dee Wakasome kwanza kwa Young Killer,
@cloudtira6927
@cloudtira6927 4 жыл бұрын
Wataelewa tuuuy
@ezranyatega2875
@ezranyatega2875 Жыл бұрын
Ngoma kalii tunaishii nayo 2023
@kaniyahiouise1474
@kaniyahiouise1474 5 жыл бұрын
*Kama una wakubali FID Q na young killer msodoki gonga like*
@hasaanishemngindo2202
@hasaanishemngindo2202 4 жыл бұрын
Og
@kevinyawa9970
@kevinyawa9970 3 жыл бұрын
@@hasaanishemngindo2202 hapo zaidi Hassan
@bawilyhamissi
@bawilyhamissi 2 ай бұрын
tujuane leo kwa wale bado wanaisikiliza hii ngoma 2024
@Malickwaziri
@Malickwaziri Ай бұрын
naupenda umaarufu nachukia bwebw zake navyo speak true af wakish amni nyak young kille rhatar fid q
@EzraKatambi-g4b
@EzraKatambi-g4b 2 ай бұрын
Itabaki kuwa corabo Bora y hip-hop 📚💪
@Masunga-m7e
@Masunga-m7e Ай бұрын
Mama ndo alonitabiri kuwa mm nitakuwa star na nyota Kila pande msukuma nayesukuma miti hata fransis cheka naweza punch akaliaah
@jamesnkuba3236
@jamesnkuba3236 Жыл бұрын
Wasukuma kwenye track Moja 🔥🔥
@manothorhymes6137
@manothorhymes6137 5 жыл бұрын
Umeua young KILLER unajua mnoooooooooooooooooo###maana kuwamkali wakusifiwa kubali kutumiwaa+++
@yoashjackson4929
@yoashjackson4929 Жыл бұрын
Kama umerudi tena kulisoma ili homa like hapa hawa jamaa waliangamiza sana
@mudrickabdallah7251
@mudrickabdallah7251 2 жыл бұрын
Msodoki unanikoshaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
@LugololaPeleka
@LugololaPeleka 6 ай бұрын
Dah hili goma nalikubal sana
@patrickpaggiojournalist2950
@patrickpaggiojournalist2950 Жыл бұрын
They kill the beat love from 🇧🇮
@jofreymponjoli6593
@jofreymponjoli6593 6 жыл бұрын
Daaaah killer unajua mpakq unakeraaa yaaaniiiii
@pacfilm_cboy
@pacfilm_cboy Ай бұрын
MSODOKI IS NEXT LEVEL.... nikama huwa unaniuliza cha kufanya unajua zaidi ya ujuzi wako 🫵👍 we proud of you killer
@hansiempire5093
@hansiempire5093 5 жыл бұрын
Kama unakubali bongo records
@lenniekim
@lenniekim 3 жыл бұрын
Kama umerudi kucheki hili goma 2021 gonga like..🇹🇿🇰🇪
@erickmbiligi4037
@erickmbiligi4037 Жыл бұрын
Mwenzako Niko hapa 2023
@FatumaPamfili
@FatumaPamfili Жыл бұрын
P.funk majani bongo record
@bomonda2622
@bomonda2622 9 ай бұрын
2024 still here
@dodomaonlinetv-we2jg
@dodomaonlinetv-we2jg Ай бұрын
2025
@gracioussteven7953
@gracioussteven7953 10 күн бұрын
Nimerudi 2025 😂
@komezubumwepascal6524
@komezubumwepascal6524 3 ай бұрын
Hii ndo bongo flava Og. Tilioshi. Mutabila Camp tujuane hapa! Rafiki zangu waha wa Shunga Kijiweni nawapa hi!!!
@frenkerick8529
@frenkerick8529 3 жыл бұрын
Usimpige mkeo piga shangwe,!: yani mi ndo nakuja kuelewa hii punch line toka imetoka, kama ndo kama mi bs like twende moko au VP bab
@onchagwadavis6446
@onchagwadavis6446 4 жыл бұрын
Repin 254 hii ngoma kali sana!!
@linyamakirobo5052
@linyamakirobo5052 5 жыл бұрын
Hip Hop is life Fid q aka Mkimbizaji ni Msanii hasiyekuwa na Makuu anaishi kwa Misingi ya Dini yake na Mtumishi wa Ukweli Hip Hop ni Maisha halisi yanayotuzunguka Rap ni kile unachosema
@Uyrvanology
@Uyrvanology Жыл бұрын
I'm here to watch it again. I dont knw Swahili words bt this hip-hop song ni noma arif
@KelvinKifunda
@KelvinKifunda Жыл бұрын
Daaaaah NISHER😂😂😂😂
@paceboy6740
@paceboy6740 4 жыл бұрын
Kaumecheki goma may 2020 gonga like za kutosha
@DASTAN_FRED_KAMALA
@DASTAN_FRED_KAMALA Жыл бұрын
Hakika huyu Professor, Mungu azidi kukulinda na Kukubariki daima Niga Jay❤❤
@Itsagger
@Itsagger 4 ай бұрын
Niko hapa leo!
@LabaniEmanuely
@LabaniEmanuely Жыл бұрын
Kama umesikiliza mwk 2024 tujuan
@LabaniEmanuely
@LabaniEmanuely Жыл бұрын
Unyam sn kaka😂
@MussaDayawaka
@MussaDayawaka 4 ай бұрын
jaman 2024 mwezi wa 10 wote hapa
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 Ай бұрын
Msodoki. Atar sana.
@BurundiNews.
@BurundiNews. 6 жыл бұрын
"Napenda bombo lakini nachukia alufuake" hahhhh.... Nipe likes brow!!!
@edwardtrigga5701
@edwardtrigga5701 2 жыл бұрын
What's that??!
@jamesmatiko8676
@jamesmatiko8676 Жыл бұрын
​@@edwardtrigga5701pombe😅😅
@StMaxiMayne
@StMaxiMayne 4 жыл бұрын
Finally i get to show love to one of my beat songs. Dont even know the meaning but i rate this song soooo highly. I just feel it mehn. Would wish to work with you Msodoki brodda🤝
@filbetdaud4597
@filbetdaud4597 4 ай бұрын
Noma🔥
@noelbarkin5070
@noelbarkin5070 5 жыл бұрын
Aseee n hatarr
@djimmy2545
@djimmy2545 3 ай бұрын
nimeikumbuka nkairudia.
@dangotewhite4009
@dangotewhite4009 4 жыл бұрын
Nakubali xana young killer
@nasrihanya9067
@nasrihanya9067 5 жыл бұрын
13 ndo kille aliponunua gar yake ya kwanza kama unamkubal gong nyng like
@GaramaSheni
@GaramaSheni 4 ай бұрын
Great collabo.homie
@hassantimimi3352
@hassantimimi3352 9 ай бұрын
Msodoki kwa sana nasubiri mvua inyeshe nijitokeze kudance, sina jeuri Wala mzaha😱😮😦😯
@noelywilliam216
@noelywilliam216 7 жыл бұрын
Tisha sanaaaa
@donarddommkni8042
@donarddommkni8042 4 жыл бұрын
Kam unasiliza wimbo mpka now weka like yako
@sekelamwangomo5458
@sekelamwangomo5458 4 ай бұрын
Belle 9 kills the chorus🔥
@ramadhanmsuya7727
@ramadhanmsuya7727 7 ай бұрын
2024 mwezi 7 tujuane hapaaa
@yahyaally-gy7lz
@yahyaally-gy7lz 7 ай бұрын
Tupo sote mzee hii ngoma ni ya Bado ni ya moto
@fadhiribahati6642
@fadhiribahati6642 2 жыл бұрын
Haijawai kuchuja
@saidimgalula1667
@saidimgalula1667 Жыл бұрын
Favorite hip hop song till.date 🙌🏼
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 2 жыл бұрын
Unyama nimwingi sanaaaaa
@alexjackson6608
@alexjackson6608 Жыл бұрын
I think big is my dream big kuwa bigg wa michuano ambaye ajawahi kuonekana....❤❤. 2023
@georgewilliam6062
@georgewilliam6062 2 ай бұрын
Very nice 🔥
@zeelaujingakingkelia9738
@zeelaujingakingkelia9738 2 жыл бұрын
Hv mnajua baad ya young killer binafs sion wa kumshabikia
@christinenyamu1645
@christinenyamu1645 3 жыл бұрын
Beat ya Pfunk 🔥🔥🔥🔥💕
@erickbmaxunga6019
@erickbmaxunga6019 4 жыл бұрын
Cnaga swaga mwendelezo mzee mwenzangu eeeh bhana
@ibrahimnjohole6055
@ibrahimnjohole6055 4 жыл бұрын
Moja kati ya mashairi poa sana......Any way,tusibiri baada ya kufika hospitali shem alijaaliwa kukwambia nini.Au dokta akumtibu mpaka ulete ela kwanza ikiwa hali ya shemeji ni mbaya sana......
@brianokubasu1426
@brianokubasu1426 4 жыл бұрын
Ngoshaa my favourite rapper 4L
@mfebricknkuna7106
@mfebricknkuna7106 Жыл бұрын
Rock city stand up...🔥🔥🔥🔥🔥
@osammujomba5636
@osammujomba5636 9 ай бұрын
I believe hip hop was born in Tanzania much love from Uganda
@AbubakarjumaKijoga-d3q
@AbubakarjumaKijoga-d3q 27 күн бұрын
Xanah wimbo bomba huu😅😅
@visionman8277
@visionman8277 Жыл бұрын
Nani amekuja kuangalia baada ya kifo Cha director nisher
@zulfahassan2815
@zulfahassan2815 4 жыл бұрын
Wangapi tunaichek 2020
@eddyajode8921
@eddyajode8921 6 жыл бұрын
Mwalimu n mwalimu, killer yuko na mwalimu wa mistari fidQ.
@scco10
@scco10 5 жыл бұрын
Nisha. Hapa kazi ulifanya broo
@samirmswahili
@samirmswahili 6 ай бұрын
Missing hii michano ya mtu 3
@michelseven
@michelseven Жыл бұрын
Madini ya Msodoki Young Killer
@LatifaIbrahim-y4p
@LatifaIbrahim-y4p Жыл бұрын
Alafu killer ,,,,lunya ni rapper flani fala kiroho safi kwako kurap ni natural talent janja enyewe anatambua kurap amekuwachia ndio maana siku hizi harap✌️tuzo kwakooo🎉
@zaitunabdalla8913
@zaitunabdalla8913 6 жыл бұрын
Dongo janja.kubali.young killer. Nimemkubali
@issamjuma7871
@issamjuma7871 Жыл бұрын
Goat 🐐🐐🐐 2023 still in my play list💣💣💣
@Daniel-mz5mk
@Daniel-mz5mk 2 жыл бұрын
Usimpige mke wako,pigaa shangwee😂😁
@nestoemanuel1768
@nestoemanuel1768 2 жыл бұрын
Killer noma sana
@johnbosco3978
@johnbosco3978 7 жыл бұрын
Dogo anaweza mnoooo
@boazmtileghe9161
@boazmtileghe9161 5 жыл бұрын
Wngapi tunaitazama 06/2019
@petermarstiq7324
@petermarstiq7324 8 жыл бұрын
killer flow killer beat you killed it
@patricksgnerro5890
@patricksgnerro5890 2 жыл бұрын
One of my favorite songs hit song off all time, all the best wakuu
@abdul-razaktwaha1287
@abdul-razaktwaha1287 3 жыл бұрын
Kichupa kikali sana 💯. Biti ndo usiseme🔥
@kevinanjere
@kevinanjere Жыл бұрын
Hatari bro
@jumambuma1101
@jumambuma1101 2 жыл бұрын
Ngoma hii ilikua ni ya moto sana
@fareedalihassan6624
@fareedalihassan6624 5 жыл бұрын
Sure sure wakubwa wangu 13👌
@Curioustraveller254
@Curioustraveller254 2 жыл бұрын
Beat zote za Bongo Records ukua 🔥
@nassorcholo2990
@nassorcholo2990 7 жыл бұрын
uko juu young killer.
@GeorgeHumphrey-b3z
@GeorgeHumphrey-b3z Жыл бұрын
R.I.P Nisher😢
@Moses-Kuria
@Moses-Kuria 4 жыл бұрын
Hapa hata chidi benz hafikii
@MohamedSuleiman-id7zl
@MohamedSuleiman-id7zl Жыл бұрын
Goma Kali Sanaa kama imetoka Leo, kama unaikubalii goga like twende sawa
@rashidnantu5761
@rashidnantu5761 Жыл бұрын
2023 goma limesimama sanaa hili 🔥 killer🙌🏼
@silassamwelyshilinde9778
@silassamwelyshilinde9778 2 жыл бұрын
Mwanza Mwanza Oyooooooh!.
@arnoldkatana5112
@arnoldkatana5112 Жыл бұрын
Hii song itabaki kuwa jiwe🔥🔥🔥fan 254
@hilaryramadhani5879
@hilaryramadhani5879 6 жыл бұрын
dogo anajua mbayaaaa
@abigailkighombe1960
@abigailkighombe1960 Жыл бұрын
Niko apa sababu ya marehemu Director Nisher
@bujuburntown1746
@bujuburntown1746 Жыл бұрын
2023 we still rockin
@birophares9920
@birophares9920 6 жыл бұрын
ndogo anaeleweka kwasababu yupo na mzee baba ambaye hapendi sikendo
@kenedymwamagemo1066
@kenedymwamagemo1066 2 жыл бұрын
Aise hii kitu heshima mpaka leo sijaona kama hii
@ntaurageraldo9573
@ntaurageraldo9573 6 жыл бұрын
Like kama unaiangalia 2019
Young Killer Msodoki & Stamina ft Quick Rocker- Jana na Leo
4:56
Legendary Music-Tanzania
Рет қаралды 1,1 МЛН
Msodoki Young Killer - SINAGA SWAGGER (remix)
3:58
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 1,7 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Fid Q - PROPAGANDA (Official Audio)
4:08
Fid Q
Рет қаралды 261 М.
Roma Feat Chid Benz - Nasikia Harufu   ( Official Video)
3:44
VIVAROMA
Рет қаралды 1,9 МЛН
Belle 9 Ft Joh Makini - Vitamin Music (Official Video)
4:53
Belle 9
Рет қаралды 345 М.
NGWAIR ALINIFUTISHA MISTARI YANGU | NILIKUA 2 PAC | SIMUWEZI JAMAA
4:13
Msodoki Young Killer ft BananaZorro Umebadilika
4:30
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 67 М.
MwanaFA Feat G Nako  - Mfalme (Official Video)
4:05
MwanaFA
Рет қаралды 1,5 МЛН
Fid Q Ft Matonya - Usinikubali Haraka (Official Audio)
4:04
Msodoki Young Killer - A New Girlfriend Story (Official Video)
5:11
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 2,1 МЛН
YOUNG KILLER MIX 2023.
1:04:40
DJ OSEL
Рет қаралды 27 М.
Fid Q - Bongo HipHop
4:12
Fid Q
Рет қаралды 718 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН