GB 64 KA-KAMDOMO KAMEWAPONZA SINGIDA BLACK STARS, KAMEPEPERUSHA 100M

  Рет қаралды 47,045

Ngwale Sports HD

Ngwale Sports HD

Күн бұрын

Пікірлер
@davidtrezuget.379
@davidtrezuget.379 Күн бұрын
What a performance! 3 important away points, Crucial saves from Moussa Camara, Winning goal from Fabrice Luamba Ngoma,.
@MudiMachi
@MudiMachi 2 күн бұрын
Nipo pamoja na ww GB temacheche apa nguvu moja tu
@davidtrezuget.379
@davidtrezuget.379 Күн бұрын
SIMBA SC TOP OF THE LEAGUE, congratulations.
@EzekielmFelesiano
@EzekielmFelesiano 2 күн бұрын
Nakukubali sana gb64 wewe ni mwamba kwelikwel ni meipendaiyo
@RobertMsuya-w8k
@RobertMsuya-w8k 2 күн бұрын
Gb 64 🎉🎉 nakupa maua yako ❤❤
@ElisanteRogerus
@ElisanteRogerus 2 күн бұрын
Ubaya ubwela🎉
@ElviraMasiko
@ElviraMasiko 2 күн бұрын
una content sasa brooo big up sanaa👊
@Mrishowalengamina-bx2to
@Mrishowalengamina-bx2to 2 күн бұрын
Team kubwa🎉🎉
@evodrimisho5069
@evodrimisho5069 2 күн бұрын
GB64-----NIMEKUNYANYULIA MIKON😂😂😂 " NGANO NA MAGUGU" UPO VIZIRI....That is the BIBLE
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 2 күн бұрын
Singida walicheza kwakukamia kupita kiasi ule sio mchezo ni ujinga kisa mmehaidiwa milion 100 ndio mlaumu kila kitu bila sababu
@saidikilendu-q3n
@saidikilendu-q3n 2 күн бұрын
p1 sana braza
@GeorgePeter-xc5vq
@GeorgePeter-xc5vq Күн бұрын
GB nakukubali xn kaka interview kalii kinoma
@platinyoramso5599
@platinyoramso5599 2 күн бұрын
Kk upo vzr sana me nakukubali sana ❤❤ unaongea pwent sn broo
@Isakhiayusuph-jb3yx
@Isakhiayusuph-jb3yx 2 күн бұрын
❤❤❤ ubaya ubwela
@EliyaKudaga-u4q
@EliyaKudaga-u4q Күн бұрын
Simba nguvu Moja,UBAYA UBWELA
@RobertMsuya-w8k
@RobertMsuya-w8k 2 күн бұрын
walio muelewa gb 64 tukutane hapa
@tanzaniakwanzamaadili5083
@tanzaniakwanzamaadili5083 2 күн бұрын
GOLI MOJA LA SIMBA SAWA NA MAGOLI 10 YA UTOPOLO ATAKAYOFUNGA KESHO.,SEMAJI CHUKUA HIYO UWAPE
@Shaa2213
@Shaa2213 2 күн бұрын
Siku mtakayo dondosha point nafkir kamdomo kako utakizima
@samwelpaulo1379
@samwelpaulo1379 2 күн бұрын
Hatudondoshi​@@Shaa2213
@AbuuBakar-h7n
@AbuuBakar-h7n Күн бұрын
​@@Shaa2213wewe huwezi kufodosha?
@janethrwambali2782
@janethrwambali2782 Күн бұрын
Tuko pamoja Wana Simba nguvu moja
@janefakipyo
@janefakipyo 2 күн бұрын
Point kaka ckupingi♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@wilbard-vv9nx
@wilbard-vv9nx 2 күн бұрын
❤❤❤❤
@RamaKd-s8w
@RamaKd-s8w 2 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 2 күн бұрын
Haya mambo yanasikitisha sana na tff wanaangalia tu kwa kua watu wenye fedha za serkali ambao wanazitumia hizo fedha vibaya ndio wanaoiharibu ligi ya Tanzania
@SadikSadik-t8b
@SadikSadik-t8b 2 күн бұрын
Wagawa utamu hao
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 күн бұрын
Gb biblia ipo nakufatilia sana mwamba unanipa madini
@FazaBrown
@FazaBrown Күн бұрын
GB 64 unaonaje tyukakupandisha mpaka GB 156 🦁💪1⃣🔥
@LucresiaMsale
@LucresiaMsale 2 күн бұрын
Uko vizuri sana kaka
@janefakipyo
@janefakipyo 2 күн бұрын
Ubaya ubwelaaaaaaaas♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@ramadhaniharuna5441
@ramadhaniharuna5441 2 күн бұрын
Kuna wale wapuuzi wa WASAFI waliosema hatushindi😂😂, Wapuuzi wale.
@janethrwambali2782
@janethrwambali2782 Күн бұрын
GB 64 nitumie namba yako nitumie hela ya soda kaka yangu uko vizuriiiii mnoooo
@KhadijaYahya-f6b
@KhadijaYahya-f6b 2 күн бұрын
Unaongea haki kabisa nakupenda sana
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Күн бұрын
Kibaraka wamrisho utoporo tumepiga GB unamadini sanaaa 🎉🎉🎉
@CatherineAgustini
@CatherineAgustini Күн бұрын
Ukiona mbwa anabweka ujue yupo kwao au yupo na mwenyew mbwaaa daa jmn ubaya ubwela😅😂😂😂😂😂😂😂
@GinethonMhini
@GinethonMhini Күн бұрын
Mwalimuuuuuuuu
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 2 күн бұрын
Black and tar ni mijambazi Tu Wana cheza vibaya Sanaa lazima wapewe adhabu
@RashidHamis-o6w
@RashidHamis-o6w 2 күн бұрын
Gb64 mwamba kwelikweli
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 2 күн бұрын
🎉🎉Gb 128 pokea hilo jina kuanzia sasa hivi
@MohamediNampungilah
@MohamediNampungilah Күн бұрын
On point ❤❤❤
@GodMwakingwe
@GodMwakingwe 2 күн бұрын
Tatizo wanapenda kuaidiwa ao unaidiwa pesa kwa simba ndo unapasuka zaid an
@shabaninayopa-nw9cf
@shabaninayopa-nw9cf 2 күн бұрын
Simbaaa 🎉🎉🎉🎉
@SetMohamed-i9y
@SetMohamed-i9y Күн бұрын
Tumepiga mbwa na wenye mbwa
@NuruChimweta
@NuruChimweta 2 күн бұрын
Nakukubali GB64 Ubaya Ubwela
@SophiaWanene
@SophiaWanene 2 күн бұрын
Watanunua sana wakanunue csfu
@AmosAbel-b6s
@AmosAbel-b6s 2 күн бұрын
Kwahyo kesho young afungwe au mnasemaje wakuu
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 Күн бұрын
Ndio itakuwa sherehe kwetu
@AbdoMatten
@AbdoMatten 2 күн бұрын
GB🔥🔥🔥
@RaphaelSimba-o7r
@RaphaelSimba-o7r 2 күн бұрын
GSM wa endelee kuwaidi watu pesa watafilisika
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 күн бұрын
Ubaya ubwela❤❤❤
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 2 күн бұрын
Pesa za wizi
@sharifafikiri7914
@sharifafikiri7914 2 күн бұрын
Ubaya uwbela nakukubali sana gb 64
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 2 күн бұрын
Wameshikilia point zetu hawa utopolo tutawafunga hawata amin
@stellakagemlo8095
@stellakagemlo8095 2 күн бұрын
Kamara mussa anadgree ya kudaka
@mc.mpogolochannel7877
@mc.mpogolochannel7877 2 күн бұрын
Nakubali sana kaka gb 64 mpira unaujua na biblia unaijua
@YugoAlly
@YugoAlly 2 күн бұрын
Sawa kaka nimekuelewa
@janefakipyo
@janefakipyo 2 күн бұрын
Kesho vyura wanapgwa wazee wakushenetwa watashenetwa keshoo
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s 2 күн бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️♥️🦁🦁🦁🦁♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏🙏
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s 2 күн бұрын
GB64👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍
@RamadhaniMuona
@RamadhaniMuona 2 күн бұрын
Wambiee wawatume wengine
@EzekielLimo-h7x
@EzekielLimo-h7x 2 күн бұрын
Ubaya ubwela unyama mwingi
@Salimramsey-x8u
@Salimramsey-x8u Күн бұрын
Pmj sanaaa
@MgkBoy-r6x
@MgkBoy-r6x Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@kipendimusic6859
@kipendimusic6859 2 күн бұрын
GB 64 kama Kuna mtu huwa haelewi uchambuzi wako atakuwa na shida binafsi
@LusajoSeme-r4n
@LusajoSeme-r4n 2 күн бұрын
Pamoj
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Күн бұрын
Teacher wangu unajua sana endelea kutupa madini
@musahamza5172
@musahamza5172 Күн бұрын
Wewe matis wew,huyu teacher nilikua sijamfahamu
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Күн бұрын
@musahamza5172 Ndo ivyo bn huyo ndo teacher Hega
@musahamza5172
@musahamza5172 Күн бұрын
@@mathiaszakaria7052 ngoja nifight nipate namba yake
@DanieliMalanga
@DanieliMalanga 2 күн бұрын
nabado wataumia sana
@Amankisioki
@Amankisioki 2 күн бұрын
yani cmba bingwa pamoja nakuwa inajengwa na watanzania hawataamini hiki kinachotekea kwenye hii ligi ubaya ubwelaaa
@BensonSiyame
@BensonSiyame Күн бұрын
Wow bro
@RashidHamis-o6w
@RashidHamis-o6w 2 күн бұрын
Watakuelewa tu
@yohanajohn8741
@yohanajohn8741 Күн бұрын
Maua Yako gb
@conasmalale1073
@conasmalale1073 Күн бұрын
Ila mashabiki wa simba tunaongea Chukua GB 64+ MZARAMO + PASS MILLION + KISUGU + MWAKITALEMA + BIG WA SIMBA
@MagrethFabian-k2h
@MagrethFabian-k2h 2 күн бұрын
Humu2 , huna baya GB
@LamadhanShaban-p6e
@LamadhanShaban-p6e 2 күн бұрын
Ubaya ubwr
@LamadhanShaban-p6e
@LamadhanShaban-p6e 2 күн бұрын
GB64 ww nimwamba
@GodliestenMariki
@GodliestenMariki 2 күн бұрын
Ubaya ubwela 😂
@RamaKd-s8w
@RamaKd-s8w 2 күн бұрын
O GB 64 wetu safi
@Steve_tz
@Steve_tz 2 күн бұрын
Ubaya ubwela
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c Күн бұрын
Daaah Jamaa huo mfano wa ngano na magugu so Mchezo
@WestonMbadame
@WestonMbadame 2 күн бұрын
Huo ndio ubaya ubwela
@ahmedkhator3968
@ahmedkhator3968 2 күн бұрын
Umenena vyema GB
@KhamisAlawi-n1k
@KhamisAlawi-n1k 2 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣👊🙏
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w 2 күн бұрын
Kipind Camara Amekuja GB 64 Alimkataa 🤣🤣🤣
@sautikuu212
@sautikuu212 2 күн бұрын
Sio kweli, hajawahi kumkataa
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w 2 күн бұрын
@sautikuu212 tafta Crip zake za Usajir Ndio uje ubishe. Alimkataa kisa Simba alimfunga goli sita oloya alipokua anadaka Camara. Na Alikua Golikipa Namba Mbili Japo hakudaka yeye
@januarysungura8119
@januarysungura8119 Күн бұрын
@@DullyTz-z4w hapana tena alisema watu mkaangalie clip yake alikuwa anasisitiza kuwa aliyedaka siyo camara.
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w Күн бұрын
@@januarysungura8119. Ah we Mbish sana Basi sasa
@EmmanuelMwalongo-m6i
@EmmanuelMwalongo-m6i 2 күн бұрын
Ubaya ubwela❤❤❤
@MohamediNampungilah
@MohamediNampungilah Күн бұрын
Ubaya ubwela
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c Күн бұрын
Ubaya ubwela
@fettyjfour7734
@fettyjfour7734 2 күн бұрын
Ubaya ubwela ❤❤❤
AMBOKILE ATHIBITISHA FEI TOTO AMESAINI SIMBA MKATABA WA MILLION 600
24:54
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН