Рет қаралды 577
Tukio hili limetokea Leo jijini dar es salaam katika Moja ya viunga vya hoteli Moja maarufu jijini humo, huku mengi yakizungumzwa lililotiliwa mkazo zaidi ni suala mashuda kushuhudia bila kutoa msaada Wa aina yoyote ikiwemokupiga Simu Kwenye vyombo vya usalama.
TAZAMA zaidi
#habarimpya #matukio #utekaji #SMF