Рет қаралды 1,091
Je inajuzu mwanamke kusuka kwa kuunganisha nyuzi au rasta (nywele bandia za madukani?). Katika video hii sheikh amejibu swali kutoka kwa muulizaji alipokuwa anahitaji kufahamishwa juu ya dalili zinazoruhusu / kuzuia mwanakmke kusuka kwa nyuzi au rasta.
Swali hapa lilikuwa ni kuunganisha nywele na kuvaa mawigi na hukumu zake katika sheria ya kiislamu. Urembo wa wanawake na mipaka yake imeelezewa kupitia swali hili.