"NI KWELI DULLAH ALIPIGWA na KATOMPA, Naomba MNISAMEHE", IBRAHIM CLASS Aomba MSAMAHA kwa TPBRC..

  Рет қаралды 11,780

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

7 ай бұрын

"NI KWELI DULLAH ALIPIGWA na KATOMPA, Naomba MNISAMEHE", IBRAHIM CLASS Aomba MSAMAHA kwa TPBRC..
BONGO Boxing Safari tumepiga stori na bondia Ibrahim Class ambaye amefika katika ofisi za kamisheni ya ngumi Tanzania kwa ajili ya kuomba radhi kutokana na kauli alizozitoa katika usiku wa pambano la Dullah Mbabe vs Eric Katompa.

Пікірлер: 87
@user-qh5pb2sg5g
@user-qh5pb2sg5g 7 ай бұрын
Apo sawa ibra nimekuelewa maana siku ile nilikushangaa sana mungu akubaliki kwenye kazi zako
@abdallahussi2978
@abdallahussi2978 7 ай бұрын
Duuh hongera sana ibrahimu labda mapenzi yatarudi tena kwako, ila nilishakudharau kabisa sababu iliona unataka upewe tu ushindi wa bure kisa kwenu Cha msingi dullar ajifinze ngumi zaidi, afanye mazoezi ya kutosha, afikirie utuu wake na sio pesa tu
@charlesshaban1915
@charlesshaban1915 7 ай бұрын
Braza sku Ile ulikurupuka sana, dulla akalime mihogo, alipigwa wazi na tuliona, ulitufedhehesha xn mashabk zakoo
@HappyCupcakes-eo8fd
@HappyCupcakes-eo8fd 7 ай бұрын
Kabisa kabisa ata mimi sikuamini kama Ibrahim angeweza kuongea utumbo kama ule.
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 7 ай бұрын
Nawewe kumbe fala San mnapenda Sana kubebwa
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 7 ай бұрын
Kashazoea kubebwa uyo
@user-bn3yn8uj7p
@user-bn3yn8uj7p 7 ай бұрын
Mm toka siku hiyo nimekuona ufai sio stability yk tena
@user-xz9cm8yk6h
@user-xz9cm8yk6h 7 ай бұрын
Hakika Mungu akulinde katika maisha yako n mchezo wa ngumi maana hakuna anayekuwa mwepesi kuomba msamaha weng n majeur na wajuaji brother big up sana
@PauloKikoti-vn5du
@PauloKikoti-vn5du 7 ай бұрын
kueni wawazi kuwa hajielewi.
@PauloKikoti-vn5du
@PauloKikoti-vn5du 7 ай бұрын
ukweli anatakiwa apewe adhabu. mambo ya msamaha maana yake hakuna haja ya sheria kuwepo
@PauloKikoti-vn5du
@PauloKikoti-vn5du 7 ай бұрын
huyu ndio anaongea nyodo juu y mwakinyo. kwa hiyo mwakinyo nae aseme samahani nimekosea. asilipe faini. apewe anacho stahili.
@hansjohn542
@hansjohn542 7 ай бұрын
Aseee nilikushangaaa sana
@hawambuguni6844
@hawambuguni6844 7 ай бұрын
Yani ibra mimi nimependa ngumi kwajiili yako mimi nishabiki yako kwakweli nakupenda sana unavocheza ila nilikuchukia ghafla ulivomtetea dulla wakati amepigwa,hapo sasa umenisuuza moyo wangu ,nakupenda sana shabiki wako waukweli
@salehestambul5535
@salehestambul5535 7 ай бұрын
Sawa tumekusamehe, ila tulikushangaa saana. Wewe ngumi unazicheza vizuri, unazijua vizuri saana. Dullah mapambano lile kapigwa vizuri tu.
@adambakari9276
@adambakari9276 7 ай бұрын
Mabondia wa kibongo hebu kuweni na msimamo hapo ushaambiwa tafuta media ombe msamaha la sivyo tunakufungia...kuna muda mnamuona mwakinyo ni bondei wa mchango lkn yule ni bondia na anamisimamo yake kumi ni mchezo hatarishi
@denishaule6314
@denishaule6314 7 ай бұрын
Saf sana
@johnkuzwa3950
@johnkuzwa3950 7 ай бұрын
Wameogopa kufungiwa ndio maana.
@alihaidary4143
@alihaidary4143 7 ай бұрын
Kuria Gani una lala kwenye kifua cha mwana ume mwazeka
@user-nn5ut6uc1l
@user-nn5ut6uc1l 7 ай бұрын
Haya mabondi yanapelekwa pelekwa wapumbavu mwakinyo anawajua ndiomana anasema hawanaakili 😊
@ibrahimuKidevu
@ibrahimuKidevu 7 ай бұрын
We jamaaaaa 😂😂😂
@denishaule6314
@denishaule6314 7 ай бұрын
Kasema sorry na apo ni akili tyr watu weus tujue kuwa ss sio malaika ata ss n wapumbavu mbele za mungu tukiwa hatujaomba msamaha lkn ukifanya kama alichofanya uyu dogo good kabisa
@AmosSniper
@AmosSniper 7 ай бұрын
Usirudie tena ungelikaa kimya! Kuongea kwako ulijianika wengi kukujua kumbe unaufikili mdogo,, ila Big-up sana kwakujirudi,, sikuingine jifunze kunyamaza
@abdillahmchia8557
@abdillahmchia8557 7 ай бұрын
Mapepe meng
@saidmansoury1526
@saidmansoury1526 7 ай бұрын
Mm sio shabiki yako tena ngoja cku utangwe tufurahi
@user-qh8fv7dp6p
@user-qh8fv7dp6p 7 ай бұрын
Mimi nishabiki yako namba moja kaka class
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 7 ай бұрын
Safi sn bwana mdogo nimeipenda hiyo umefanya kitendo cha kishujaa kuomba radhi
@user-dn8ko1nk7l
@user-dn8ko1nk7l 7 ай бұрын
Sawa familia hapo good hakuna binadamu asie koseee tumekusamee
@user-jp5yb9ys3u
@user-jp5yb9ys3u 7 ай бұрын
Tumekusamehe fundi bigwa uzalendo ndio mwingi
@mtesingwanyanguri3431
@mtesingwanyanguri3431 7 ай бұрын
Unastahiri kusamehewa maana uyasemayo yanatoka moyoni na Wala huna unafiki moyoni.
@GeorgeMichael13
@GeorgeMichael13 7 ай бұрын
Dulla na ibrah wafungiwe tu hawatufai kwenye mchezo... Ngumi sio mpira
@jiwemsawira479
@jiwemsawira479 7 ай бұрын
Ibra acha uoga simama na msimamo
@user-mn9fy8od6d
@user-mn9fy8od6d 7 ай бұрын
Umeonyesha uungwana sana
@user-tz2ex3ho1d
@user-tz2ex3ho1d 7 ай бұрын
Hatukitaki dogo tulikuwa tunakupenda kumbe hovyo Dulla kapgwa nakatompa live halafu unawalaumu kamishen yangumi huna shukuran mbna hata kwamchina umebebwa wanakupenda ila huon umeamza kibur acha tuhamie Kwa mwamba waukweli fadhili majiha kiepe sokwe
@RashidMwasiposya-ck6py
@RashidMwasiposya-ck6py 7 ай бұрын
Mbumbavu mjinga tatizo unakulupuka huna akili mjinga kabisa
@issadoggo
@issadoggo 7 ай бұрын
Kapigane ww mwenye akili
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 7 ай бұрын
We mnyakyusa ushawahi kupigana hata na mkeo au ndo kwakua unabando lako la jero unaongea tu
@user-sl2hk8wp1p
@user-sl2hk8wp1p 7 ай бұрын
Dulla sio mpiganaji
@salehestambul5535
@salehestambul5535 7 ай бұрын
Dullah kwa Katompa hamuwezi kabisa, asimuombe tena kucheza nae, sio level zake.
@IbrahimShan-qu3um
@IbrahimShan-qu3um 7 ай бұрын
2po pamoja kuteleza x kuanguka kaka
@ErickJosephmlay-kf2sy
@ErickJosephmlay-kf2sy 7 ай бұрын
Swezi.kumsemea vibaya mtanzania mwenzangu ila pia siwezi.msemea vibaya mwafrika mwenzangu katompa.alishinda
@frankraphael7546
@frankraphael7546 7 ай бұрын
Una mpenda sana dulla wewe angalia
@dstaroficial
@dstaroficial 7 ай бұрын
Kalivyo lalia kifua chadula kama kacuty ila hongera body mnaonesha ukubwa wenu hawa wapuuz walikuwa wanawaaliwa
@user-bw9nz7jo9n
@user-bw9nz7jo9n 7 ай бұрын
Pumbavu sana utapoteza mashabiki Kwa ujinga wako
@user-rv6pz8on6i
@user-rv6pz8on6i 7 ай бұрын
Amepigwa kwelii
@menancemhombwe2267
@menancemhombwe2267 7 ай бұрын
Yaani nilishangaa ulichokifanya.
@richardgodfrey9020
@richardgodfrey9020 7 ай бұрын
Pipi kweli
@dstaroficial
@dstaroficial 7 ай бұрын
Pambano jingine unapigwa hatukubebi tena
@HassanBakari-jp6ir
@HassanBakari-jp6ir 7 ай бұрын
km umeomb msamaha imeisha hiyo Ila michezo Ni uwezo sio unyumbani unyumbani
@user-bt5bd7xv1s
@user-bt5bd7xv1s 7 ай бұрын
hun baya kk
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 7 ай бұрын
Tanzania mabondia wa kusimama na KATOMPA ni wawili tu Mwakinyo na KIDUNDA nyinyi wengine pigeni majungu na mdomo na mkihisi dula kaonewa mpelekeni huyo ajiitae mapafu nae atuoneshe kituko kwa kujinyea ulingon
@dastaniguni5599
@dastaniguni5599 7 ай бұрын
Na kwa mganga ulimpeleka lkn waapi😂😂😂
@selemanisabihi5994
@selemanisabihi5994 7 ай бұрын
Wewe ushakua staa usikurupuke
@nebbomars2930
@nebbomars2930 7 ай бұрын
Ulitekwa na hisia kiufupi ulikuwa unapambana kuharibu maisha Yako kwaajili ya maisha ya mtu mwingine 😢 dullah alikung'utwa mno hajui kukwepa 😂
@mussabinford9872
@mussabinford9872 7 ай бұрын
Dulla hamna boxer apoo kashaisha ilkuaga zamani
@user-ui4vt9vl6h
@user-ui4vt9vl6h 7 ай бұрын
Ww jau
@FucianeBulemo-nd4wc
@FucianeBulemo-nd4wc 7 ай бұрын
Ipo siku utamfumania mwanao, badala ya kumfumania mkeo
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 7 ай бұрын
Binadam anaweza kukosea pale sio uasilia ilitawala hisia ambapo nikitu Cha kawaida.na dula maamuz ya maji ni sawa ila mzaramo kadiri anavyo pigwa anazid kupanda kiwango.katompa safari ijao hatoboi.
@adamkadiri8761
@adamkadiri8761 7 ай бұрын
Hakuna ushindi wa mezani
@abbassalum6824
@abbassalum6824 7 ай бұрын
Ushapotea wew ulibeti
@abdulsintoro5797
@abdulsintoro5797 7 ай бұрын
Katompa alisema dulla akuna mabadiliko yoyote…
@godlistenJohn
@godlistenJohn 7 ай бұрын
Yaani nilikua nakukubali, nakuona wamaana mwenye kusema kweli sasa sijui ile siku ulivuta bangi?? Alafu eti kabisa unajilaza kwenye kifua cha mwanaume mwenzako unalia kama vile kadem, aahh umezingua pakubwa mzee
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 7 ай бұрын
😂😂😂
@jafarinauma6798
@jafarinauma6798 7 ай бұрын
True ata mimi sijaipenda ile tuwe wanaume wa nguvu bwana dullah kachapwa afanye mazoezi ngumi sio maneno mengi
@charlesmentod7314
@charlesmentod7314 7 ай бұрын
TUNATAKA UANZE KULIA KAMA CKU ILE THEN OMBA MSAMAHA..TUTAKUSAMEHE
@paterinishayo-ef4sx
@paterinishayo-ef4sx 7 ай бұрын
Mpumnavu mmoja tu wewe mnajifanya mnajuwa cjui kwa ngumi gani unaenda kulia kwenye kifua cha mwanaume mwenzako kama basha vile
@stanastana3199
@stanastana3199 7 ай бұрын
Huyu ndio alikua siku zile analia eti dhulma
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 7 ай бұрын
jinga kabisa ili
@godlistenJohn
@godlistenJohn 7 ай бұрын
😂😂alikua analia Huku amelala kwenye kifua Cha dula,😂😂
@stanastana3199
@stanastana3199 7 ай бұрын
@@godlistenJohn hahahahahaha
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 7 ай бұрын
Sasa naanza kumuelewa mwakinyo Bg up mwakinyo upiganaji wake na misimamo yake na Hana nidhamu ya woga.mwakinyo Tanga won.
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 7 ай бұрын
Unaongea utumbo mmezoea k ubebwa hata kama kapigwq apewe tuuu kitu kinaonekana dhahiri kapigwa kwanini habebwe
@nekashash2190
@nekashash2190 7 ай бұрын
nyie wasenge na dula wako mnataka kubebwa pumbavu dula aache ngumi atakuja kufia ulingoni...
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 7 ай бұрын
WENGINE TULIKUWA TUNAONA KABISAA,,MTU ANALIA KALALA BEGANI ILA HATA CHOZI LA BAHATI MBAYA HALIKUWEPO😃,,ANAFINYA MACHO TU.
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 7 ай бұрын
Umezingua wewe,,unakurupuka
@FucianeBulemo-nd4wc
@FucianeBulemo-nd4wc 7 ай бұрын
Mbona ulisema unaweza kuishi kivyovyote vile, leo msamaha wa nini wakati maisha unayo
@jonasynyasika6391
@jonasynyasika6391 7 ай бұрын
KAJINGA HAKA KATOTO
@jomeshastudio7046
@jomeshastudio7046 7 ай бұрын
maTaako ww yN waNgekuFuNgia miaka 10 Nyege Zako ZimekuPoNZa wakaT D'uLLà kaTiwa ViDoLe kwa makaLio ww wamtetea
@aishaally8315
@aishaally8315 7 ай бұрын
Nilikuwa mshabiki wk lkn tokea Ile cku mm sio shabiki yako tena
@abdallahussi2978
@abdallahussi2978 7 ай бұрын
⁰inasikitisha sana dullar ameshindwa kupiga jab ya uhakika. Ameshindwa kusimama imama imara na na kupigwa kaunta kwa speed kubwa zaidi ya katompa A.eshimdwa kumkatia ring katompa. Kwa kifupi ameshimdwa kila kitu.
@adamkadiri8761
@adamkadiri8761 7 ай бұрын
Usipoteze hesma yako kwa mambo ya kijinga dullah hajielewi kabisa
@user-hf9in7dv6k
@user-hf9in7dv6k 7 ай бұрын
Wewe ibla unavuta bangi na abdala pazi wote wajinga unali uku unaongea ujinga endeleeni kuvuta izo bangi bado wewe.
@omaryngwaya4074
@omaryngwaya4074 7 ай бұрын
Unajiona ww mwamba unavimba kujiona ww bingwa wa dunia kumbe bado ujafika kokote
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 7 ай бұрын
Kwanza alibebwa mech ilyopita
@mligogodfrey8882
@mligogodfrey8882 7 ай бұрын
Tuilaumu pombe.
@frankraphael7546
@frankraphael7546 7 ай бұрын
Unaakili wewe ukipigwaga dulla analiaga
@mwendakarithi9741
@mwendakarithi9741 7 ай бұрын
Katompa atakuja kumuua Dula Mbabe. Usimwitaji tena
@user-jp5yb9ys3u
@user-jp5yb9ys3u 7 ай бұрын
Tumekusamehe fundi bigwa uzalendo ndio mwingi
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 6 МЛН
Mwakinyo yupo tayari kuzipiga na Twaha Kiduku
4:11
Azam TV
Рет қаралды 7 М.
The Day Ronaldinho Showed Zidane Who Is The Boss.
14:05
RDHDComps
Рет қаралды 41 МЛН
Tambo za Ibrahim Class na Said Chino kuelekea pambano lao
7:00
This Game Is Wild
0:21
MrBeast 2
Рет қаралды 56 МЛН
ОБХИТРИЛ NIKE НА 3,5 МЛН $🏅
0:48
MEXANIK_CHANNEL
Рет қаралды 23 МЛН
Epic Throw In Moments 😂
0:30
Xendio
Рет қаралды 3,6 МЛН
ТОП 10 Итогов Евро-2024
39:51
МЯЧ Production
Рет қаралды 371 М.
Абдулманап про Хабиба! 🦅 #shorts
0:15
Artem Tarasov MMA
Рет қаралды 1,4 МЛН