IBRAHIM CLASS AMVAA MWAKINYO - "HAJIELEWI YULE, AKUBALI Sasa KUPIGANA na KIDUKU AACHE MDOMO"

  Рет қаралды 51,912

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

Күн бұрын

Пікірлер: 112
@aboukillo1734
@aboukillo1734 Жыл бұрын
Huyu dogo ibrah class yuko vzr sana big up dogo Keep your head
@naimabdul1231
@naimabdul1231 Жыл бұрын
Ibra and mwakinyo wote wanangu na wote wapambanaji hamna baya alilolisema hapo alaf huyu dogo anajielewa sana hua haropokwi ovyo anajiheshim na anajua sport big up tanzania boxers kazeni buti mfike mbali msichukiane nyie wote ni ndugu watoto wa jamuhuri ya muungano wa tanzania
@AhmadyNkonokiNkonoki
@AhmadyNkonokiNkonoki Жыл бұрын
Binafsi nimemuelewa sana Ibrah kwa maneno aliyoyasema. Kweli yeye ni bondia mzuri asie na majungu wala majivuno, pia sio mtu wa maneno maneno kama alivyokuwa Hassan Mwakinyo. Mimi ni mtu wa Tanga, lakini Hassan Mwakinyo anatudhalilisha sana sisi wanaume wa kutoka mkoa huo sababu ana vichambo kama wafanyavyo dada zetu. Ni vyema akasimama kwenye tabia ya jinsia yake, pia ni vyema akasimama kwenye nafasi ya ubondia wake. Sio maneno maneno, yeye alipigwa na visingizio alitoa, watu wakampokea na hao mabondia wenzie walikaa kimya kimtandao na ninahisi wapo waliyompa moyo kwa kupoteza kwake. Sasa sijuwi yeye anashida gani na Twaha.
@williamjohn7907
@williamjohn7907 11 ай бұрын
Safi unajitaidi sana kuongea kisport mungu akubariki
@AngeliJoseph-es9hi
@AngeliJoseph-es9hi Жыл бұрын
Mungu awapee maisha marefu ww na twaha
@hamadimujungu9058
@hamadimujungu9058 Жыл бұрын
Sema ibra umeongea kikubwa mno achana hao wengine …. Umedhihirisha ukubwa wako dua mzee umeonesha haupo upo wowote wewe unataka ngumi tu 🙏🏻
@saulnkya
@saulnkya Жыл бұрын
Kazi kazi mwamba..!!
@husrisanchez9781
@husrisanchez9781 Жыл бұрын
Big up sana nakubali kk achana nauyo mcheza taarabu mwakinyo
@muudante-ix1wm
@muudante-ix1wm Жыл бұрын
Yule choko simkubal yl ana jikut ana jua
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 Жыл бұрын
Ni bondia mzuri sna classic ila nakupa nasaha uwache kusuka
@mazengojohn2090
@mazengojohn2090 Жыл бұрын
Utauliwa na mwakinyo ibra
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
Ibrahim maweeee anajua ngumi nzur Yan anamchezo mzur sana
@kastorymalila1109
@kastorymalila1109 Жыл бұрын
Safi sana Ibra Mwakinyo ni Msenge kinoma
@kitutujuma9602
@kitutujuma9602 Жыл бұрын
Na ww pia ndio maana umemjua
@kigombafidelis
@kigombafidelis Жыл бұрын
umeskia kaka ibra achana na mrembo uyo mwakinyo anaimba tarabu tu
@Sadox-e1l
@Sadox-e1l Жыл бұрын
Wa pili kukoment
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Жыл бұрын
ila kwa said kwel ulimpiga kwel ila mwakinyo muacheni pls pls aende anapopataka nyinyi bakini hapa mpewe 5-10m pls muachani
@raphaelnkulamasala108
@raphaelnkulamasala108 Жыл бұрын
Yes Kiduku anapigana kizamani, ngumi haihitaji maguvu bali maarifa yawe ya kutosha asikilize wanao mshauri
@ShehaHaji-k8t
@ShehaHaji-k8t Жыл бұрын
Classic upo vizuri mm nakkbali upo serious ktk kazi, ww na kiduku n Muko pw kwza hamna midomo lkn munirekebishe musifate mambo ya mbele km limbukeni MAKMUGA MWAKINYO,, ACHENI KUSUKA NA KUVAAA HERINI JUENI IPO CKU MUTAITANGAZA TANZANIA NJE
@IbrahimuMusa-r8b
@IbrahimuMusa-r8b Жыл бұрын
Heshima ifwate mkondo
@HamisiKisime-gl9ve
@HamisiKisime-gl9ve Жыл бұрын
Classic unaenda kudundwa. Ogopa majina Hamis
@mkanganails5839
@mkanganails5839 Жыл бұрын
Kiukweri nimependa Sana kama mapozi angeleta ibra kupigna Tanzania kwanza ameanzia amacha sio uyo bondia alieanzia mtaani na kuleta Shelia zake za kuchagua mabondia Kama ngua mnadani
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz Жыл бұрын
Choko yule mwakinyoko
@IbrahimDaud-be2tj
@IbrahimDaud-be2tj Жыл бұрын
nakukubali xana wajina
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 Жыл бұрын
Uyu nae Anaongelea Ushabiki Tu Asaa Kwa Zile Jab za Kiduku Alokua Anarusha Ndo Umuweke na Mwakinyo 😅
@SingoMedia
@SingoMedia Жыл бұрын
Katika mabondia wanaopigana vizuri na kwa akili nyingi mmoja wapo ni wewe Ibrahim Class, wakisema unabebwa ni chuki zao tu kaka... Keep it up mwamba 🤜🤜
@jumajumanne4997
@jumajumanne4997 Жыл бұрын
Fact🤝
@MnyatibuBarua-md4pw
@MnyatibuBarua-md4pw Жыл бұрын
Mwakiny n bor san maan kil bondia lazm amtaj mwakiny
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 Жыл бұрын
Ila kwel kiduku inabid abadirike katika upiganaji
@MagrethMakesha-vg6qb
@MagrethMakesha-vg6qb Жыл бұрын
Ibra yupo vzr na anapigana kwa akili sana
@SaidShemaghinde
@SaidShemaghinde Жыл бұрын
Kweri mwakinyo staa kiramtu anamzungumzia yeye tu
@shebanishebe7866
@shebanishebe7866 Жыл бұрын
Nakuombea ushindi bro
@reubenmwidima
@reubenmwidima Жыл бұрын
Cheza ngumi kaka acha vitu vya kiswahili kuongea vibiya vibaya
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
Hamna Bondia Anayempenda Mwakinyo
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz Жыл бұрын
Sababu ya kuwatukana wenzake kwanini awaite wenzake wanawake wewe utakubal
@MendradGalus
@MendradGalus Жыл бұрын
Dj mapoda
@iamchusse
@iamchusse Жыл бұрын
yan serikali ya zanzibar vp sielew jaman nachoka sana mimi 😂😂
@CharlesMbise-c1u
@CharlesMbise-c1u Жыл бұрын
Wew ibra achana na mwakinyo usimsemee na akikugeuka atakusema na utalia
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental Жыл бұрын
uyu bado ajapigana sana mbaka maneno anaongea vizur bila mdomo na taya kuuma
@onecmolegama4797
@onecmolegama4797 Жыл бұрын
Mm nimeona game zote za classic!!! wamepingwa kabisa classic nembo tz
@onecmolegama4797
@onecmolegama4797 Жыл бұрын
Hekima!!,busala nimekukubali
@kitutujuma9602
@kitutujuma9602 Жыл бұрын
Mwakinyo mtu Hata interview ya boxing yeyote tz lazima ausishwe.
@malbarahassan92
@malbarahassan92 Жыл бұрын
Ww akili huna unatafuta umaarufu kupitia mwakinyo kwan hujui tanzania One humjui mwakinyo anapigana natwaha anatafuta jina au gar acheni ushamba wabongo
@shukuruiddi82
@shukuruiddi82 Жыл бұрын
Watoto wa Tanga watalalamika km ndg yao tu, ila wanasahau kuwa twaha ndio twaha km wanajua twaha ni wakawaida wamshauri ndg yao apande ulingoni
@Sogoma26
@Sogoma26 Жыл бұрын
Wakwanza ku comment
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 Жыл бұрын
Kuma Kuma la mama ako ww boya usimseme mwakinyo olewako uje tanga sasa 2takuchanganyisha nae sasa kuma kibuyu ww
@salehegiza3305
@salehegiza3305 Жыл бұрын
Ongela sana kwa hilo.
@ErastoEnock-f8u
@ErastoEnock-f8u Жыл бұрын
Iringa moja hiyoo..
@shomarimiraji6576
@shomarimiraji6576 Жыл бұрын
Kasema Hana ujamaa na mwakinyo
@fj8317
@fj8317 Жыл бұрын
MWANDISHI UWEZO WAKO MDOGO VYUO VIPO RUDINI SHULE MWAKINYO HAKUTAJA JINA ALITUPA JIWE GIZANI MWANDISHI HUJIELEWI
@jimmymungai522
@jimmymungai522 Жыл бұрын
Sijaisikiliza mpaka mwisho lakini Mwakinyo na Kiduku wapigane ktk uzito upi? Mwakinyo ni welterweight, Kiduku ni supe middleeweight au light heavyweight, sasa wapigane uzito upi?
@IddKasabe-kf2wk
@IddKasabe-kf2wk Жыл бұрын
Inawezekana vizuri tu ndomana watu wanataka wapigane
@ChachaNmwita-cp4tj
@ChachaNmwita-cp4tj Жыл бұрын
Classic binafsi namkubaru sana.Pia wanaosema anabebwa wachuki binafsi ila wajue ndie bondia anaongoza kuletewa bondia wagumu.
@inearclassictz1233
@inearclassictz1233 Жыл бұрын
Ajaongea vibaya
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Mtoke nje ya nchi na nyinyi. Kila siku mko humuhumu tu. Muende hata South hapo.
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Жыл бұрын
wee na bab ako uliwai kuenda??
@rajanamzah6383
@rajanamzah6383 Жыл бұрын
Wapeleke mkuu
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
wewe Ninani kwanza.jitambulishe ww Ninani unatokea.wap ili watu tukujue bro sasa ww unakuja2 yani kama unajulika vile we nnani
@bonifacemizambwa2251
@bonifacemizambwa2251 Жыл бұрын
Mawe mawe class mwamba wanaokuponda wote mashoga tu awajui bondia mkali wewe mwamba zaidi ya mwamba
@halimahmwalimu-fo9ri
@halimahmwalimu-fo9ri Жыл бұрын
Kuwa mpole tunakukubali
@anastazimichaelmbua1559
@anastazimichaelmbua1559 Жыл бұрын
😂😂😂 hivi mnawasikilizaga mabondia wa nje kwanza ama kisa wanaongea kwa English au lugha za nje na mwakinyo ni mbongo ndo mnamwona ana mdomo. Boxing ni majigambo sana na mikwara kama yote.
@SaeedMughayyar-jv8et
@SaeedMughayyar-jv8et Жыл бұрын
Hwajui waambie ndugu 😅
@SaeedMughayyar-jv8et
@SaeedMughayyar-jv8et Жыл бұрын
Wengi wao humu ni mashabiki maandazi hawana wajualo 😂😂
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Жыл бұрын
mwakinyo anafikiria kimataifa nyiny mnanganiza apigane na hawa wakina mandonga na twaha kwenye maisha ilewa sio kila mtu utaenda nae ww route moja kama kasema yy anafocus kimataifa muachen mbona mnangangania nyinyi piganene hapa ndani mpewe 5m yy anaona 5m au gari hazna deal kwake anafikiria ulaya msinganganie mtu akae na nyinyi nyie bakin mlipo mbona yy hawanganganii nyinyi
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz Жыл бұрын
Kwani yanga akicheza kimataifa hawezi kucheza na kmc hujui kitu
@gerraldchristian2001
@gerraldchristian2001 Жыл бұрын
We ndo no 1 TANZANIA
@kisuwamwabaka333
@kisuwamwabaka333 Жыл бұрын
Kama unaitaji mtu yeyote mm Kisuwa nakuitaji leo kesho ata bure
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
MNASEMA MWAKINYO,,HUKU INTV NZIMA UNAJISIFIA,,USHAURI WANGU TAMBO ZIWE CHACHE,,ULINGO UTAONGEA
@JumaaShaban-y4n
@JumaaShaban-y4n Жыл бұрын
Tareee 30 mweziii huuu utamjuwa mwakinyo ni nani
@GabrielStephen-e6z
@GabrielStephen-e6z Жыл бұрын
Ibra niprofessional kiukwel ngum anajua..
@bahatimwerinde496
@bahatimwerinde496 Жыл бұрын
Wewe usilinganish mtoto mdogo na baba ake ya twaha kwamwakinyo n mtot
@patrickmfundiri8669
@patrickmfundiri8669 Жыл бұрын
Mtu mwenye akili nyingi sana one tz
@JosephKifisha-ml7ju
@JosephKifisha-ml7ju Жыл бұрын
Ibrahim husifatishe maneno ya watu fanya lako ya watu yaache hukijichanganya mwakinyo atakuua kabisa yaaan angalia maisha yako , akili nyingi ww
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz Жыл бұрын
Hana uwezo wa kumpiga ibra huyo choko mwakinyoko
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Akna asyo pgwa aache maneno mengi
@adammswaki703
@adammswaki703 Жыл бұрын
Wana semaje kina nan siwewe yan hakuna watu wanafk kama wandish
@yahkiwera3611
@yahkiwera3611 Жыл бұрын
Sikiliza wewe Dogo usifate mkumbo wa kumsema ovyo Mwakinyo yeye hajakutaja wala kukusema vibaya kwahiyo nakuamini Fanya yako achana na kufuata mkumbo kk fanya yako kk utafika mbali lkn usiingilie ugomvi wa mtu asie kusema kk nihayo2
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj Жыл бұрын
Fact brother dogo asimtafute mtu ambaye hana mpango nae mtoto kisha kuwa kiazi huyu anahisi anaweza Mwakinyo vitoto hivi vina mdomo sana hivi
@pettymsungu6420
@pettymsungu6420 Жыл бұрын
Fuatilia vizuri Interview Alafu ielewe kwanza, kaka hakuna sehem ambayo ibra kamsema vibaya Mwakinyo, tena kajitahidi sana kumkwepa Muandiashi, japo Muandishi alikuwa anataka kuchokonoa mambo, ili kama ibra atatema shiti lkn ibra hayopo ivyo, naweza kusema kamkataa kiutu uzima.
@ernestboniface1849
@ernestboniface1849 Жыл бұрын
Acha upuuzi na wewe kasema wapi yeye anasema uwanamichezo jinsi ulivyo siyo kuchekana yeye alivyopigwa nani alimcheka
@shabanipande5379
@shabanipande5379 Жыл бұрын
We kumbe nawe choko kwan mwakinyo nan c Fala tu
@shomarimiraji6576
@shomarimiraji6576 Жыл бұрын
😃😃😀😀
@ahadjuma8356
@ahadjuma8356 Жыл бұрын
kama ww unaongea kimichezo hao unasema utawapiga waamkie muhimbiri sio wana michezo au ndio nyani hauni,,,,,😂😂😂
@modestusmayowa-vc4gj
@modestusmayowa-vc4gj Жыл бұрын
Ibra akili nyingi San...! 👏
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 Жыл бұрын
K o huwezi
@CharlesMbise-c1u
@CharlesMbise-c1u Жыл бұрын
Sasa wew ibra ivi unamuona kiduku kama ni champion?nenda ukamfundishe twaha ngumi maana anapigana kizamani sana hatumii akili hakika mim nakuambia kuwa twaha akipigana na mwakinyo twaha atapigwa vibaya kwa sabab wew na mwakinyo na kidunda mnatumia akili kupigana lakin twaha na dulla wanatumia nguvu pekee bila kushitikisha akili hivyo kwa tanzania hii mabondia bora ni wa tatu mwakinyo,class,kidunda hao ndo wapo top af pia wanafuatia wengine kukiwaondoa dulla na twaha
@MudizzoOmary
@MudizzoOmary Жыл бұрын
CLASS NAWEWE UMEANZA CHUKIIIII""Swali ni kwamba kwani mwakinyo alimtaja mtuuu? Kamakapigwakapigwa 2
@amanichanga3448
@amanichanga3448 Жыл бұрын
Daah, watu hata kufuatilia tu uzito wao hamtaki, kidunda na Twaha ndio uzito mmoja, na ktk ranks za tz twaha wa 1 na kidunda wapili,,, Ibra, Nasib, mwakinyo wana uzto unaofanana… so ili mwakinyo apigane na twaha lazıma twaha ashuke uzto
@Ram_1893
@Ram_1893 Жыл бұрын
​@@amanichanga3448Ibra gani ana uzito sawa na Hassan Mwakinyo na Nassib?
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz Жыл бұрын
Mwakinyo wako taarab tu ana kimbia kimbia hajawagi kuletewa bondia mzuri analetewa wahindi anaimba sana taarab watu walimwambia waweke pesa apigane na champs twaha anaogopa choko huyo
@bonifacemizambwa2251
@bonifacemizambwa2251 Жыл бұрын
Uyo mwakinyo siku zote kelele nyingi kama mtoto wa kike kipigana muoga yeye kama mwanaume hapande ulingoni haonyeshe anachoongea cyo kelele tu kama shoga
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
mwakinyo ni mfanya Biashara anajua nini anafanya.
@godlistenmkonyi5109
@godlistenmkonyi5109 Жыл бұрын
Classic sio mtu wa fujo anacheza kwa akili nyingi kama Terence Crawford
@faisalmuhidini2712
@faisalmuhidini2712 Жыл бұрын
Emb acha kufananisha usiku na giza😂😂😂😂
@happinessmateru1121
@happinessmateru1121 Жыл бұрын
Anaiga style ya devin Haney..anatumia jab na kumaintain distance na kufanya footwork yan anapiga jab afu anamaana eneo...ana tatizo LA stamina na jab yake haina accuracy kubwa sana
@AbdulatifSaidy
@AbdulatifSaidy Жыл бұрын
​@@happinessmateru1121dada we ni boxer nini mbona umeongea kama unaifuatilia sana sio kawaida ya wanawake kuifuatilia ngumi ni wachache sana wanaangalia 😅
@happinessmateru1121
@happinessmateru1121 Жыл бұрын
@@AbdulatifSaidy huhu
@FilipoBoniface-fd3jd
@FilipoBoniface-fd3jd Жыл бұрын
Mimi wa tatu
@mahanjisanga3077
@mahanjisanga3077 Жыл бұрын
Kwa mabondia wa tz wewe nakupa asirimia 100 unajua kupigana
@mwakilamwaki7308
@mwakilamwaki7308 Жыл бұрын
Mtakuja kumkataa uyu
@lloveyoutanzania5315
@lloveyoutanzania5315 Жыл бұрын
Mwakinyo tena🤣🤣🤣🤣
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 16 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 79 МЛН
PROFESA MBELE AWASHANGAA WASHAURI WA RAIS
6:41
Wasafi Media
Рет қаралды 3,1 М.