NI MKIA JUU MWENDO NGIRI CHUGA DANCE WAINGIA KWA MAKONDA KAMA WANAJESHI, UTACHEKA WAKISOMA RADA

  Рет қаралды 13,398

kiswahili Tv

kiswahili Tv

Күн бұрын

#fidovato #wadudu #waduduwarchuga #makonda #paulmakonda #chugacomedy #chugadance #makonda #paulmakonda #kizaziog #babalababa #kenyonyo #dipperrato #majanaba #markubamajanaba #waduduwarchuga #makonda #kenyonyo #kizaziog #chugacomedy #chugadance #chuga #arusha #makonda #pdiddy #fidovato #target #chidbenz #fidovato #fido #krg #krgthedon #khaligraphjones #khaligraph #kenyan #kenyanyoutuber #kenyanewsmedia #kenyanews #tanzania #tanzanianews #tanzanianews #tanzanianmusic #tanzanianyoutuber #diamondplatnumz #diamond #diamonds #alikiba #dah #alikibadah #kings #kingsmusic #kingsrecords #dharau #mapoz #inbrahtz #diamondplatnumz #harmonize #kondegang #kondeboy #wasafi #youtube #youtubeshorts #cr7 #diamondplatnumz #aka #a.k.a #coasttitch #coastal #costarica #costa #papa #papawemba #morgan #morganheritage #alikiba #diamondplatnumz #mondi #mapoz #harmonize #harmonize_tz #kondegang #konde #kondeboy #anjela #anjellatz #poshqueen #poshqueennaharmonize #poshnaharmonize #mpenzi #mpenziwaharmonize #harmonizesingle #niposingleharmonize #wemasepetu #wemawhozu #whozu #whozunawema #wemanawhozu #mapenziyawemanawhozu #penzi #penzizitowemanawhozu #kenyonyo #dipper #kenyonyonadipperrato #comedy #comedyvideo #comedymoments #comedyshorts #comedyvideos #comedyfilms #comedyshow #nyokaa #storyyanyokaa #storybynyokaa #movieyanyokaa #tamthilia #tamthiliayanyokaa #bugibenga #benga #arusha #arushamjini #fido #fidovato #msaniifidovato #mkaliwahiphopfidovato #vatoloco #chugaiyo #fidovatoftrayvanny #rayvannynafidovato #movie #movies #moviereview #inswahili #kwakiswahili #kiswahili #kiswahilitv #kipagocomedy #wachaga #moshi #arushamjini #vichekesho #mwakampya #chrismas #missomisondo #djmisondo #missondo #rayvanny #rayvany #rayvannymissomisondo #rayvannykitukizito #kitukizito #arusha #chugadance #chugacomedy #chugaboy #majanaba #majanabamarkuba #markuba #hanang #mafuriko #manyara #mafurikohanang #hanangmafuriko #majanabamarkubamafuriko #madawa #madawayakulevya #vichekesho #yvonnekrg #krgdoughteryvonne #kichanga #mtotomchanga #mtotoatupwakichakani #mtotomchanga #ashikwaakitupamtoto #uswahilini #uswahiliniarusha #arushamjini #kenyonyo #wadudu #chugacomedy #chugadance #waduduwachuga #machaliiyar
#madawa #madawayakulevya #waathirika #wasanii #allydangote #paulinegekul #gekul #dangote #arusha #arushamjini #fidovato #allydangote #fidovatoallydangote #allydangotefidovato #chugaiyo #fidovatoamchanaallydangote #fidovatodangote #fidovatovsallydangote #fidovsdangote #dangotevsfidovato #arusha #dangote #allydangote #dangoteauawa #mwiliwadangote #arushamjini #dangotemochwari #watuwaendakumuonadangote #dangoteazikwa #dangoteafariki #sinoniarusha #ungalitediarusha #arushamjini #taharukiyatawala #auawanawananchi #millardayo #millardayoupdates #kusagatv #global #globalnews #auawa #millardayo #millardayoupdates #millardayo #arusha #dangote #allydangote #dangoteauawa #mwiliwadangote #arushamjini #dangotemochwari #watuwaendakumuonadangote #dangoteazikwa #dangoteafariki #sinoniarusha #ungalitediarusha #arushamjini #taharukiyatawala #auawanawananchi #millardayo #millardayoupdates #kusagatv #global #globalnews #auawa #millardayo #millardayoupdates #millardayo #inatisha #watuwafurika #wananchiwenyehasirakali #wananchi #binadamu #amwaga #amwagadamu #achomwavisu #mchomavisu #taharuki #taharukiyatanda #taharukiyafunika #mochwari #jijilazizima #arushawatuwafurikamochwari #damu #trendingshorts#Mochwary #mochwari #mrrocky #arusha2099 #arusha #fidovato #johmakini #dogojanja #fidovatonajohmakini #fidovaton #wimbowamrrockyarusha2099 #derby #vatoloco #fidovatonako2nako #fidovatonembo #fidovatochugaiyo #fidovatoarachuga #fidovatonaweusi #fidovatoweusi #weusi #johmakiniweusi #vatolocoweusi #harmonize #ngarenaro #ngarenaroarusha #arusha #wananchi #wananchiwenyehasirakali #matapeli #jambazi #majambazi #vibaka #simu #wiziwakutumiasimu #derby #magoliyayanga #magoliyayanga #magolinbc #magoliligikuu #golilayanga #mashabikisimbayanga #mashabikiyangasc #shabikiyanga #yangasc #yangafc #yangayaifungasimbagoaltano #waduduwachug #kariakooderby #derby #derbyyasimbanayanga #simbasc #simba #simbafc #livesimba #yangasc #yangafc #yanga #yangaleo #yanganasimba #yangatv #yangalive #yangavssimba #kariakoo #baleke #derby #boko #aziziki #magoli #magoliyayanga #magoliyasimba #golilachama #golilasimba #goliya #golden #cr7 #cr7fans #cr7shorts #christiano #messi #messiskills #messifans #messi10 #messifans #messi10 #comedia #comedy #comedyvideo #comedyshorts #comedyfilms #comedymoments #comédia #chugacomedy #chugadance #chugadanceofficil #vichekesho #shabiki #mashabiki
#mashabikisimbayanga #rosaree #wadudu #waduduwachuga #makaomakuuyahiphop #rosareesong #rosareemusic #waduduwachuga #wadudu #kariakoo #derbyyasimbanayanga #simbasc #simba #simbafc #livesimba #yangasc #yangafc #yanga #yangaleo #yanganasimba #yangatv #yangalive #yangavssimba #kariakoo #baleke #derby #boko #aziziki #magoli #magoliyayanga #magoliyasimba #golilachama #golilasimba #goliya #golden #cr7 #cr7fans #cr7shorts #christiano

Пікірлер: 52
@msafirlaizer2368
@msafirlaizer2368 5 ай бұрын
Mbona Makonda mwenyewe atajua alikua ajui Kama Chuga ni nchi 💯🔥
@dalevotz
@dalevotz 5 ай бұрын
niwa saidie tu barack obama ame act kwenye movie ngapi , na alikua raisi lakin ame act adi na nick minaj movie inaitwa '' the barber shop next cut'' acheni ushamba hii ni sanaa nyie mnawaza suti na tai ndo mnazani ni ujanja vali lenyewe la mzungu hio ni sanaa na ndo inayoongoza dunia ni kwa mapato.
@petercostakisoka
@petercostakisoka 5 ай бұрын
Sawa kbs wajuba wameimarisha usalama
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 5 ай бұрын
Watu wanaogopa wanazunguxha macho Huku nahuku 😅😅😅😅😅
@HellenSulle-m7t
@HellenSulle-m7t 5 ай бұрын
Inamaana hapo kwa mkuu wa mkoa hakuna walinzi au
@Paroko-jx6oc
@Paroko-jx6oc 5 ай бұрын
Chugastan tumemkubali makonda saana, tutampa support zote mpaka urais
@AbuodSeleman
@AbuodSeleman 5 ай бұрын
makonda ameshaingia kwny mfumo wa chuga kidadek😂😂😂😂😂😅
@josephkiwale374
@josephkiwale374 5 ай бұрын
Daah,bangi wanayovuta awa washkaji wa chuga,ni bangi hatari xana niamini mm
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 5 ай бұрын
😂😂dah
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 5 ай бұрын
Chuga hiyo chuga hiyo
@alexakyoo7681
@alexakyoo7681 5 ай бұрын
Hawa machalii siwaeliwi!!!
@sudymgeni701
@sudymgeni701 5 ай бұрын
Makonda anakazi kubwa arusha.mana anakumbatia mpaka machi mradi awe sawa nao
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 5 ай бұрын
Yani aijakaa sawa coz wasanii serious watashindwa kuwakilisha hata mambo Yao kwa mkuu wa mkoa Coz ya Hao Comedian
@sevlineernest1497
@sevlineernest1497 5 ай бұрын
Huu ni ujinga kabisa SERIKALI inapaswa kulivalia njuga vinginevyo wataharibu kizazi kingine
@lydiavegula7641
@lydiavegula7641 5 ай бұрын
They will be good kama kina Petro Yohana Yakobo...walibadilika walikua wavuvi,watoza ushuru,vijana wa mtaani.....tusiwakatie tamaa...prayers changes
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 5 ай бұрын
Tobaaa 😅😅😅😅😅 Kale kafupi sikaoni 😅😅😅
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 5 ай бұрын
Hii ni crew nyingine wale ni wadudu Hawa ni chugga dance
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 5 ай бұрын
Mavazi ya wandawazimu huvaa kama hivyo.
@khatibabass3106
@khatibabass3106 5 ай бұрын
Ah hahahaha baada ya kuwafanyia mikutano sikumoja mkafunga milango mkawaita MP wa jeshi wakawakumbatia mnafanya mchezo
@dankerzpromohouse9106
@dankerzpromohouse9106 5 ай бұрын
Dah Kama call of duty😂
@vascosteven3928
@vascosteven3928 5 ай бұрын
Mi nafikiri ifike hatua ofisi iwe na mpaka. Hatakama ni kuendeleza vipaji si kwa style hiyo mtu anaingia na siraha fake ofisini. Hapo mnh!!
@meekboymalagila2935
@meekboymalagila2935 5 ай бұрын
Huwez waelewa kwasababu uwezo wakuwaelewa Hawa vijana huna.hawajafanya baya lolote.unataka uwaeleweje sasa wakati ndio walivyo nandio kazi zao.
@CharlesMasanja
@CharlesMasanja 5 ай бұрын
Serikali ituweke wazi. Hao ni wahuni au waigizaji? Nashindwa kuamini ninachokiona kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha...!!! Mmomonyoko wa maadili 'umebatizwa' kuwa usanii...!!!??? Kiasi cha kupata nafasi kwenye ofisi nyeti ya Serikali? Nchi yetu idharauliwe kwa kiwango hicho kwa lipi hasa? SERIKALI TUAMBIENI, NI NINI HIKI?
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 5 ай бұрын
Hivi vikundi vitazidi kuongeza na siku ya siku itakuwa kero
@daudimkumbo5922
@daudimkumbo5922 5 ай бұрын
Inatakiwa kuwafahamu ili kutafuta namna ya kawabadilisha
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 5 ай бұрын
Hawa washamba nao vp
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 5 ай бұрын
hawaa nivijana wanotegemewa nataifaa makonda washauri wakajifunze ufundi kilimoo biashara kwahuo ujinga nani atasapoti leoo wetengeneza mfano wabunduki siku itakuja watatengeneza zakwali wanweza wakaleta mazara makubwa kwa nchii waambieni ukweli maisha sio huo ujinga
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 5 ай бұрын
Umeandika point sana mkuu
@GelassMassawe
@GelassMassawe 5 ай бұрын
Wakitengeneza zaukweli taifa litatumia ujuzi wao kuzalisha silaha tuuze nje ya nchi. Acha ushamba kwani hizo zakweli si zilitengenezwa na watu au wanyama pori kaa kwa kutulia.
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 5 ай бұрын
Wewe kua naalkili unafikiri silaha zina tengenezwa kama ukwajuu wewe vipi
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 5 ай бұрын
Mzee hii ni comedy, hapo wapo kazn wenzako
@daudimkumbo5922
@daudimkumbo5922 5 ай бұрын
Ni vizuri umejua kwamba Arusha inavijana kama hawa. Sikuhizi watu tumekua wabinafsi sana hatutaki kujua shida za wengine. Usijizime data, toa ushauri wawe positive
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 5 ай бұрын
Hii ndio chuga bana Hilo camera tu enyewe ni shida vavalay
@AbuodSeleman
@AbuodSeleman 5 ай бұрын
😂😂😂
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 5 ай бұрын
Mi huu ujinga wa Hawa madogo huwa siukubali hata kidogo, na wanavyoendelea kuchekewa ndio wanazidisha sifa Sasa mambo gani haya huu ni upuuzi tu, Hakuna mzazi anatamani mwanae awe mjinga mjinga wa kiwango iko
@YasinMsonjo
@YasinMsonjo 5 ай бұрын
Vipuuzi sijui vinafanya nn kwa media
@user-xl5on8po6r
@user-xl5on8po6r 5 ай бұрын
Kila mtu akiwa Sahihi kwenye huu ulimwengu tutaishi kweli?? Acha ujinga fikili kabla ya kucomment
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 5 ай бұрын
@@user-xl5on8po6r we ni mpumbavu na inaezekana ni choko labda huna watoto ndio maana unafrahia watoto wa wenzako kuact mazuzu ila ungekuwa mzazi usingeandika huo ungese wako hapo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 5 ай бұрын
SHIDA KUBWA WABONGO WENGI BADO MNAUSHAMBA MBAYA SANA NA MNAKARIRI MAISHA , SASA TANGULINI ULIMWENGUNI WATU AKAISHI MAISHA YA AINA MOJA ? , . MJINGA NI WEWE AMBAYE HAUNA UWEZO WAKUYACHAKATA MAMBO MNAFIKI MKUBWA WEWE
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 5 ай бұрын
@@Mpakauseme sibishani na Machoko mimi watu wenye Akili timamu wameelewa ila we kichwa boga huwezi elewa
@dalevotz
@dalevotz 5 ай бұрын
niwa saidie tu barack obama ame act kwenye movie ngapi , na alikua raisi lakin ame act adi na nick minaj movie inaitwa '' the barber shop next cut'' acheni ushamba hii ni sanaa nyie mnawaza suti na tai ndo mnazani ni ujanja vali lenyewe la mzungu hio ni sanaa na ndo inayoongoza dunia ni kwa mapato.
VIDEO 10 KALI: Cheka na video zote kali za CHALII X MCHUNGAJI
19:48
Timamu Comedy
Рет қаралды 1,3 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,3 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 48 МЛН
ujenzi unaendelea
4:49
Jiver Kasigara
Рет қаралды 4,1 М.
"WADUDU TAFUTENI HELA" MAKONDA AKUTANA NA WADUDU AWAPA MBINU
5:36
Millard Ayo
Рет қаралды 142 М.
Fido Vato ft Rayvanny - Chuga Hio (Official Video)
3:39
Fido Vato
Рет қаралды 1,5 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,3 МЛН