KIONGOX BORA NI YULE ANAEJENGA URAFIK NA WATU WAKE TATIZO BAADHI YA VIONGOZ HAWAWEZ KUISH NA HAWA KWA SABABU WANATUMIA NGUVU❤
@pendomushi6351Ай бұрын
Sio nguvu tuu na kujipa ukubwa wanatumia cheo kunyanyasa watu
@rogerslwitiko3915Ай бұрын
@@pendomushi6351Manka umepiga kwenye mshono Swahiba
@bakarimasanga3634Ай бұрын
Big up mkuu wa mkoa Makonda, you nailed it the way it's supposed to be, Kazi iendelee!
@robertlary6007Ай бұрын
Congratulation RC Paul Christian Makonda 👏👏👏Kazi Iendelee 🇹🇿
@ibrahimsadick6137Ай бұрын
R.c Makonda big up Kiongozi wa kwanza kuwapa thamani watu wanaoonekana wahunu
@ashakijaji586925 күн бұрын
Atawarekebisha kwa kiasi kikubwa.
@gracemushi3668Ай бұрын
Yaani Mh Makonda, una akili ya ziada sanaaaaa,, hao ndo wanaochangia kuharibu mkoa, lakini umefanya jambo la busara kuanzia nao,, kwa kufanya hivyo umeupiga mwingiiiiii
@gracekiondo2541Ай бұрын
Ni kweli kabisa ulichosema.na hatuwezi kujua inawezekana wakabadilika kabisa.
@anorderick7162Ай бұрын
Big up ...Makonda uko vizuri ..psychology yako iko vizuri...!!
@jeraldjensen6504Ай бұрын
Du!!!! Makonda is a leader, MUNGU akutunze Paul Christian
@stephanopaul83Ай бұрын
Inapendeza sana. Mungu ni mwema...hongera RC makonda
@kivatirokitojo657Ай бұрын
Makonda ni Future ya vijana kiukweli Mimi makonda namuelewa sana anasimamia nafasi yake kwa umakini Sana
@johnjoycemalusu4886Ай бұрын
Asante makonda, saidia pia kupambana dhidi ya madawa ya kulevya Arusha
@KalongotvАй бұрын
Congratulations to MILLARD AYO kwa kufikikisha subscribes ML 5 hakika mnafanya kazi njema
Mimi kwakweli namkubali sana Makonda huyu ni kiongozi ongea na kila mtu
@user-jj9or2ns2eАй бұрын
Ungwa we amka
@starjay3052Ай бұрын
dah big up sana makonda nakupendaga sana 💪✌️✈️🇹🇿🌍✅
@linnusaloyce6559Ай бұрын
Mwenyezi mungu akufanyie wepesi uje kuwa rais wa hili taifa bro
@PaulinaLwenaАй бұрын
Mheshimiwa makonda Mungu akucmamia ktk kazi ya mikono yako❤
@merrynancesimon1562Ай бұрын
Safi makonda wape elimu ❤❤❤❤
@nellyjuju5325Ай бұрын
Makonda anaakili sana anajua kucheza na akili za watu hongera zake
@salomewandya7257Ай бұрын
Hahaha saana ameongea nao kwa upole
@user-ku8dk7bu7pАй бұрын
Namakofi juuu wamepigaa😅😅😅😅😅😅😅
@juliananasari2526Ай бұрын
Hongera sana Mh makonda
@CreatureIey-eh8nhАй бұрын
Arusha is our world
@EzekiaMichael-jn5npАй бұрын
Makonda hua nakuelewa sana bro Mungu ikimpendeza kuishika hii nchi itakaa sawa naamini mambo murua ni mtazamo wangu tu
@linnusaloyce6559Ай бұрын
Upo sahihi ndg yngu
@AndrewYona-vo4zvАй бұрын
Hawa vijana waelekezwe namna ya kutofautisha kati ya KIPAJI na BANGI kinyume na hapo wataendelea kuonekana kituko kila siku ...
@flavianajohn5250Ай бұрын
😅😅😅😂😂😂😂
@edgarshayo9720Ай бұрын
Sure asee
@user-bp2cc9eo6gАй бұрын
Good leader🎉🎉🎉🎉
@annehaysanday9214Ай бұрын
Mh.Makonda kazi unayo!! Mungu azidi kukupa hekima ujue jinsi ya kuchukuliana na hao watu
@user-vw4fn5pj3nАй бұрын
Safi Sana makonda yaan ww ni rais ujae
@user-cf3fe3cu8vАй бұрын
Makonda nimekukubali sana kwa ushauri wako kwa vijana Barikiwa sana
@martineopapa7383Ай бұрын
Wakonda usikize kwanza huo wimbo kabla mama hajausikia maana hao siyo watu,ohhooo!!!
@agnesjohn9382Ай бұрын
😂😂😂😂😂 umewaza mbali
@hyy4114Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@allykilito2478Ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka aisee kwa saut
@makamehajj8865Ай бұрын
❤❤❤😅😅
@memesnamatukiomuhimu8453Ай бұрын
Ukiachana na mambo mengne huyu jamaa ana akili nyingi sanaaaa
@Trey2k365daysАй бұрын
Mdudu mdogo yule😂
@ibrahmenardАй бұрын
kadudu ako kambilikimo nakaenjoy sana😂
@Kijosh854Ай бұрын
That's what we call leadership 👏 🎉
@raphaelhombo5060Ай бұрын
Naona Anawapanga wadudu😂😂😂😂😂Makonda mjanja sana
@joycenaipanoi3157Ай бұрын
Umenikumbusha huyu jamaa mrefu zaidi hapo😂😂😂😂😂
@NAFtv-TanzaniaАй бұрын
very creative RC
@JescaMuyabi-ix8lyАй бұрын
Makonda mungu Azidi kukujaza hekima
@olivertadeo6991Ай бұрын
😅😅 si vibaka ni wao Jehovah akukupa uongoz atakupa na hekima ya namna yake akipenda ulete matekeo kwenye mwanga wake
@CreatureIey-eh8nhАй бұрын
Arusha nd maisha
@user-lt7yx2ms7hАй бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mwamba na wadudu wake mwenyewe hana baya MUNGU akulinde Mwamba 🙏🙏🙏🙏
@apostleagnes5769Ай бұрын
Kwa nijuavyo mimi hakuna watu wema kama hawa kwa Arusha ila tu usiwatibue
@israelkisaila8401Ай бұрын
Kabisa,watu hawajui tu,hawa vijana huwa hawana hat shida,mpaka uwakorofishe
@jumahamadomar9124Ай бұрын
Wema wao ni upi
@israelkisaila8401Ай бұрын
@@jumahamadomar9124 Hawa wapo na busy zao Wala hawadhulu mtu
@magigesabai8674Ай бұрын
Kweli kabisa mm nilipotea njia wakanielekeza vizur bila shda
@israelkisaila8401Ай бұрын
@@magigesabai8674hawana shida kabisa yani,mtu yeyote kwenye maisha ni mpaka umchokoze ndo anaweza kukufanyia vinginevyo,ila Hawa ni kikundi kama vikoba TU,wanatafuta ugali Wala hawana shida.
@josiacharles2778Ай бұрын
Makonda 🌹🌹🌹kakaa na na wadudu bila kuwanyunyizia sumu siyo kazi mdogo 😂
@OmanOman-hj7tvАй бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-hw7kz8rv2cАй бұрын
Ana maneno ya hekima
@saleheinnocent7636Ай бұрын
Acha kuwaset bana wanawezaje kuwa ata mmoja kati ya hao ulowataja. Ata km lengo ni inspiration umeenda mbali sana.
@upendokiwanga9538Ай бұрын
Hawana tofauti na hao aliowataja najua hata wewe unaweza
@ellyjacob9897Ай бұрын
Hahahahaha aloooooh huyu kaijua chuga Sasa
@king_maik6375Ай бұрын
Umekubali
@ahmadsayyeed7910Ай бұрын
Kenyonyo chali yangu ❤❤😂😂😂
@shyfettymtunda4619Ай бұрын
Kenyonyo nakuona😂😂😂
@michaelshirima5638Ай бұрын
Katika hili makonda nimemwelew sana kiongoz bora anapaswa kuw karibu na makund yote ya watu bila kubagua ..hawa vijana hawana shda ni mitazamo ya watu bad baadh inakuw negative..tu..
@evanswinston5102Ай бұрын
Sura za system kabisa izo na mafala wawili watatu
@osamanyoniАй бұрын
Hao wadudu ni usalama wa taifa xaxa jichanganyen😎😎
@sabihaibrahim143Ай бұрын
😂😂eti wadudu 😂halafu huyo mdudu mmoja yeye anafata mkumbo tu kofi kofi
@user-oh6wc8xr5wАй бұрын
Mungu azidi kukupa uzima pol makonda
@iddimngazija1957Ай бұрын
Huyo mdudu mrefu kuliko wote ndo ananichekesha zaidi😂
Gonga like kwa mwanangu mdudu yule wa kijani dwarf
@itanzaniaASАй бұрын
Kwa stahili hii mama Samia anaweza ASIENDE😂😂😂😂
@LuhobeFashionАй бұрын
Vijana wa Arusha Mna balaaa sana
@PaulinaSemindu-ob3deАй бұрын
Wanavyoitika wanajuw watapewa ela😂😂
@donaldmgunda4970Ай бұрын
Hikii kikundi baada ya miezi sita,kitakuwa kimepotea kabisaaa 😎
@salomewandya7257Ай бұрын
Hahaha kaazi kweli 😅😅
@SaudaJuma-pq9soАй бұрын
P😊😊 0:29 😊 0:29 John L
@vickytango5591Ай бұрын
Mkuu umefanya vizuri kuwa karibu na watu wako ukienda hivyo busara zako zitabadili AR
@user-xd4lu1xl6cАй бұрын
Shule vp?
@hanifa9153Ай бұрын
Kenyonyoo nowma sana😂😂😂
@sadafrancis8309Ай бұрын
Kwel hawa n wadudu
@isacktemba551Ай бұрын
Makonda bana km anakuja ivii km anakataaa
@user-tq5di6mv9cАй бұрын
😂😂😂halafu ww
@alunaali5105Ай бұрын
Aloooooooooo você me matou não sou de Tz mas quero tanto visitar Arusha
@KiondoSingo26 күн бұрын
Wadudu wameumbwa kwa mfano wa Mungu
@mchmwal...z.a.ndelwa7838Ай бұрын
Daaa kiongozi Mzuri
@user-md3xx7rd9zАй бұрын
Huyu makonda hata kama asipopewa urais basi apewe uwaziri mkuu hii nchi anaijua sana na anajua namna ya kuongea na watu wa kila aina na kusaidia pasipo ubaguzi
@MteuleMabukuАй бұрын
Mama wadudu tunampenda😅
@pacomezouzoua9175Ай бұрын
Hapo Kenyonyo haelewi Wala nini😂😂
@fardoshnassor7847Ай бұрын
❤
@AminaLibisaАй бұрын
Yani kinyunyu mpaka afundishwe kuongea 😂😂
@evenajoseph4143Ай бұрын
Good🎉
@user-rs1qk2hn8rАй бұрын
Saana kiongozi
@yasinkazimil9470Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 wadudu leo wametulia
@user-sv6zy3hc8oАй бұрын
😂😂😂😂
@steverwillecha8559Ай бұрын
Wamekutana na mhuni😂
@AlodiaKagemuloАй бұрын
😂😂😂😂halafu na wao wamejikuta wanakuwa makonda kweli😂😂😂😂
@user-ye3xp1lf7iАй бұрын
Kuwauyaone yaurimwengu hayoo
@exprodigitaltechtv5571Ай бұрын
Kwa kenyonyo akaanze shule sasa
@GabrielSky64Ай бұрын
Muheshimiwa please tofautisha kipaji na bangi😂😂😂
@alloycejames5285Ай бұрын
Mwanzo mzuri... baada ya hapo mkung'uto
@mwanaidimavumba1186Ай бұрын
Safiiiiii
@pendomushi6351Ай бұрын
😂😂😂nacheka kama mazuri huyo mdudu mdogo kabisa anaitwa nani na anavyo skiliza kwa makini
@shyfettymtunda4619Ай бұрын
Kenyonyo
@moahmed7588Ай бұрын
AKAK
@taufikisalumu7639Ай бұрын
😂😂😂😂 kenyonyo
@Pro_editings2024Ай бұрын
Kenyonyo haelewiiii😅😅
@SURASHY24Ай бұрын
Et makonda kama yesuu😅😅
@jmastertz161Ай бұрын
hii nch bhan
@hamisihussein9851Ай бұрын
Hawa wadudu wanakuja kuwa usalama na watapewa kazi nyeti mkiwaona matawaona wanafanya vituko kumbe wanachukuwa data zinapeleka kwa mkuu,,ndio mtashangaa Mkuu wa MKOAA Makonda yupo kazini au kalala lakini anaamka na kujua yote yaliojiri,,Mkuu wa MKA Makonda anaakili ya kuishi na watu.
@DadialiDadiАй бұрын
Uyoooo mfupi kama kichupaa cha piko ndo anahitaj vibokooo zaid😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@agnesjohn9382Ай бұрын
😂😂😂😂 kichupa cha piko tena 😂😂😂apigwe kakosea nini jamani
@zuwenasaleh9613Ай бұрын
Kichupa cha piko 😅😅
@user-xe2pu6un3zАй бұрын
Asa kenyonyo anataka kuwa nani😂😂😂
@ZainabuJuma-qj5cjАй бұрын
Wapeleke Shambani
@user-lz5it9yn4qАй бұрын
Arusha eeeee!! Mmhh
@maulidasaa9407Ай бұрын
Hawa vijana wanaitaji elimu YA hali ya juu sana mana mi naona upumbavu tu walio nao