Рет қаралды 11,241
Karibu usikilize na kutazama wimbo huu, unaotutafakarisha juu ya ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo. Pia kwa unyenyekevu tunakuomba utuunge mkono kwa ku -SUBSCRIBE, SHARE, NA COMMENT ili kuendeleza utume wa kwaya yetu.
WIMBO: Ni mwamba wa uzima
WAIMBAJI: Kwaya ya watakatifu wote
MTUNZI: Daudi Matandula
ORGANIST: Herman Gervas
STUDIO: Kikumbo Sound - Arusha
#SUBSCRIBE#SHARE#LIKE#COMMENT