No video

NI NANI?ATAMZUIA MUNGU ASILIPIGE TAIFA ? | MWL. AUGUSTINE HB. TENGWA

  Рет қаралды 5,538

TENGWA TV

TENGWA TV

Жыл бұрын

I NANI?ATAMZUIA MUNGU ASILIPIGE TAIFA IKIWA USHETANI WA ULAWITI MNAUITA NDOA YA JINSIA MOJA? | MWL. AUGUSTINE HB. TENGWA
M-PESA: 0752 001 840
TIGO PESA: 0678 304 931
AIRTEL MONEY: 0694 331 055
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA AU KUPITIA BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
#HudumayaUamshowaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0678 304 931
#0752001840

Пікірлер: 52
@dativatheobard-hy1re
@dativatheobard-hy1re Жыл бұрын
Tuandalie cku mtumishi wa mungu,twende taifa tuombe
@noeleliasi8401
@noeleliasi8401 Жыл бұрын
Watanzania wenzangu tutubu jamani, we unafikiri wakati wa nuhu mambo syalikua hivihivi, ni kama masihara lakini ndo ukwel huu jamni
@mariawanjiru1275
@mariawanjiru1275 Жыл бұрын
Usichoke mtumishi wa mungu wambie kabisa huu ndio ukweli mungu nimwaminifu kwa wale wamchao watu jamani tumbuni thambi zenu msije mka angamia tumtabue mungu wa mbiguni kama mungu wetu ombea watoto wetu
@alistideseustace1539
@alistideseustace1539 Жыл бұрын
Turudi kwa Mungu, tulie na kuomboleza kwa Mungu wetu
@shaimamabrouk9937
@shaimamabrouk9937 Жыл бұрын
MUNGU Akubariki Sana Mtumishi wa Bwana Huku Dubai ndio balaa MUNGU Atusaidie
@eliyakiza9327
@eliyakiza9327 6 ай бұрын
Mungu akubaliki sana kwa ujumbe muzuri
@salahsadi3908
@salahsadi3908 Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA mtumishi sema sana usichoke, tunaamin kua ni MUNGU anasema nasi
@noelswai2660
@noelswai2660 Жыл бұрын
MUNGU aturehemu, MUNGU atusaidie saana 🙌🙌
@felisterligazio7151
@felisterligazio7151 Жыл бұрын
Mwenye masikio na asikie na kutenda, kiukweli maasi yamezidi, turudi kwa Mungu,
@NduguEzekiel
@NduguEzekiel Жыл бұрын
Mungu atusaidie sana kuna mtumishi mwingine alisema tuna miez 10 tu imebaki na ye pia alisema sio nabii wala mchungaji ila kaambiwa azunguke kila mahali
@annastaziamasaka3595
@annastaziamasaka3595 Жыл бұрын
Ni kweli ni Mtumishi Malendeja Makashi
@NduguEzekiel
@NduguEzekiel Жыл бұрын
@@annastaziamasaka3595 mwingine nimeona leo kwenye promover tv
@cornelgwarda3849
@cornelgwarda3849 Жыл бұрын
E mungu tusamehe
@johnmsumanyaitara8421
@johnmsumanyaitara8421 Жыл бұрын
Ni vyema utwambie kuwa uovu umezidi, tumrudie Mungu kwa kuomba. Mathayo 24:41f
@mikael1656
@mikael1656 Жыл бұрын
Mungu mwema
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
Wewe kama unataka kuwa na kanisa anzisha usiwadamganye watu kwenye KILA MTU na DINI YAKE. Soma vizuri ufunuo wa Yohana uelewe. KATIKA makanisa Saba yaliyotajwa ukweli WA nyumba za Ibada za Dunia imeandikwa. Soon watu wanaosujudu ARDHINI BILA kumkubali YESU KRISTO wataanza KUWEKWA the mark of the beast .
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
Na ndio nasikia jingine etii kikao cha Mbinguni cha YESU KRISTO Mungu aliyeokoa Roho za wanaadamu anaombwa kanisani miskitini kafuata nini . Kama anataka kuwa mchungaji awe ILA asiingize Mbingu kwye MIKONO ya mafarsayo. KWANZA kosa kubwa la wanaadamu la kwanza NI KUMAKATAA YESU KRISTO
@doricemrema2177
@doricemrema2177 Жыл бұрын
Amen Amen
@abiudimsemea3172
@abiudimsemea3172 Жыл бұрын
Sikuiz Kila Mtumishi anataka aseme kuwa Yeye ndio muongeaji wa mwisho
@magrethmkemwa9287
@magrethmkemwa9287 Жыл бұрын
Mara zote Mungu huwa anatumia watu wanaoonekana kama un known ,mf,Nuhu li kuwajaribu wanaoonywa,Tutubuni wa Tanzania wenzangu,yeye ata ghairi Uovu,hata mikoa ilyo tajwa,😭
@magrethmkemwa9287
@magrethmkemwa9287 Жыл бұрын
Mfano Nuhu
@dugilomawanja7966
@dugilomawanja7966 Жыл бұрын
Mtumishi MUNGU akupe kibali ukamwone / ukawaone wakuu wa nchi ili Toba itangazwe kwa nchi nzima kama wakati wa corona
@adelinegara5110
@adelinegara5110 Жыл бұрын
Ni muhimu ili tusiangamie
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
Na Neno la Mungu linasema Yule Tu atakae litaja jina la Bwana ndiye atakaeokolewa. Hayo maono Yenu ya kuzimu yaambie muokoe Kwanza Roho na ziombe Toba Kwa jina la Yesu Kristo
@happyaugustine7879
@happyaugustine7879 Жыл бұрын
We hujasoma vzr Biblia yako nahic unasoma umegeuza kasome mwanzo waone watu kama ww wakati wa Nuhubwalifanywa nn
@happyaugustine7879
@happyaugustine7879 Жыл бұрын
Unafikiri ni kutaja tu
@happyaugustine7879
@happyaugustine7879 Жыл бұрын
Watu wa Yesu Huwa hawana jazba Huwa wanasikia na niwanyenyekevu sana na Huwa wanazijaribu Roho kama zimetokana na Bwana,Biblia inasema zijaribuni hizo Roho kama zimetokana na Bwana
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
@@happyaugustine7879 soma status zangu nadhani wewe pia unasoma status za juu hakuna msamaha WA dhambi bila jina la Yesu Kristo hakuna Mungu WA General njia ya kweli ya msamaha inajulikana ukainza kuwaaambia kila MTU na dini yake eleww uliko vugu vugu au Moto au baridi
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
@@happyaugustine7879 tofuta status zangu zote usome alafu na uje na vifungu vya Biblia na useme Mungu wa kila MTU na dini yake ameandikwa kwenye mstari gani kwenye Biblia
@venancemgani2041
@venancemgani2041 Жыл бұрын
Nimajila muonapo haya asomaye naafahamu jiandaeni kuludi kwa yesu wapendwa
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
Mbingu ni ya Yesu na Malaika NI WA Yesu Kristo . Sijui wewe unaongelea nini okoa Roho Kwanza then watu waingie kwenye toba
@joannekesa1835
@joannekesa1835 Жыл бұрын
MUNGU aturehemu 🙏🙏🇰🇪
@godfielddashina
@godfielddashina Жыл бұрын
Sasa pesa ya nini tena mpendwa? Hebu chukua mfano Nabii Yona alipopewa ujumbe kwa Ninawi, km angewapa namba za akaunt ya kuweka pesa wangemwekewa? Njia mnayotuumia siyo sahihi kineno kabisa.
@queenesther2639
@queenesther2639 Жыл бұрын
Kweli tunakuelewa
@johnmsumanyaitara8421
@johnmsumanyaitara8421 Жыл бұрын
Hivi Mungu amesema na wewe tu, na usitishe watu ili kutafuta Kiki!
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 Жыл бұрын
Kuna mtumishi mwingine kasema Mungu ametupa miezi kumi na mbili ya toba juu ya taifa letu ni watumishi wengi sana Mungu amesema nao na hataki Kiki kama unavyofikiri ,ata Nuhu alipowaambia watu watubu wakamzihaki nini kilitokea
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 Жыл бұрын
Kamsikilize mwingine anaitwa Makashi
@waluleambuto1400
@waluleambuto1400 Жыл бұрын
Ninashauri kwamba "KWAKUWA WEWE NDIYE MBEBA MAONO HAYA NA PIA NAAMINI WAPO WATUMISHI WENGINE AMBAO MINGU AMEWAFUNULIA HAYA ILA HAWAKUPATA NAMNA YA KUUFIKIA UMATI MKUBWA KAMA ULIVYOFANYA, UNATAKIWA UWA ORGANISE NA KUPANGA SIKU MAALUM TUKUTANE RAIFA KWA MAOMBI YA TOBA JUU YA TAIFA. WAKIKUBALI SAWA AU WAKIKATAA BASI WEWE ORGANISE, MAANA KUPITIA WEWE TAIFA LITAKUWA SALAMA". NAOMBA KUWASILISHA!
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
TOBA YA KWELI NI kwa JINA la YESU KRISTO hiyo Toba YA KILA MTU na DINI YAKE imeandikwa wapi kwenye Biblia . Hicho kikao sijui ulilala na Nani ? Ifike kipindi maNabii muache uongo muanze KUWAAMBIA watu UKWELI WA kunijia YESU KRISTO HATA taifa lisilo na NGUVU ZA MUNGU litapigwa .. hizi NI siku za mwisho
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
Niwaambieni Tu hata UKIWA hauna kanisa SHETANI haoni hatari kukupa MAONO YA uongo. Mungu (KRISTO YESU) ndio Mungu WA Pekee aliyeumba MBINGU NA NCHI na vyote vilivyoko NDANI yake . ETI ameshiriki kikao cha MBINGUNI hahahah DUHH. WATU tunaona MAKUBWA ila Huyu NI mmoja Kati ya wenye shida za uongo
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
Nimeanza kuwa na wasiwasi na wewe MTUMISHI. Mimi NIMEPEWA UJUMBE TOFAUTI NIMEAMBIWA watu wataanza KUWEKWA ALAMA na WAKWANZA NI wale WANAOSALI kwa KUSUJUDU ARDHINI na hawamwamini YESU KRISTO . Sote tunajua kwenye kitabu cha Ufunuo tumeambiwa watu AMBAO MAJINA yao hayajaandikwa Mbinguni ndio watawekwa CHAPA YA MNYAMA na ufunuo 13:11-18 inaongelea MNYAMA aliyekuwa kwenye hii ARDHI. Kabla hamjatupa mafunuo yatazame NENO la Mungu limeandika asiyemwamini YESU amekwisha hukumiwa
@happyaugustine7879
@happyaugustine7879 Жыл бұрын
Hayo sio maono imeandikwa kbs kwenye Biblia siku za mwisho watu watapigwa chapa,na wanapigwa wakiwa hawajitambui soma vizuri Biblia yako af ukumbuke sio wanaosujudu tu hata maaskofu,wachungaji,ambao hawajitambue
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
@@happyaugustine7879 huyo haongelei chapa anaongelea mapigo ya Mungu eti watu Kwa Imani zao wakaombe msamaha. Nyinyi si mnamjua Mungu WA kweli ni yupi. Mimi nimeoneshwa tofauti na huyo kaka na vyote vimendikwa kwenye Neno
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
@@happyaugustine7879 bila Kwa jina la Yesu Kristo hakuna msamaha wapendwa , Yesu mwenyewe alisema yeye ndio njia ya kweli
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
@@happyaugustine7879 muache kumpa Mungu General picture while you know kuna ufalme wa Nuru na ufalme wa Giza. Kipofu akimuongoza kipofu mwenzie wote watatumbukia shimoni
@NduguEzekiel
@NduguEzekiel Жыл бұрын
@@annamsuguri4345 kama ikikupendeza naomba namba yako mtumishi nipate kuwasiliana na wewe...
@williammalangas7651
@williammalangas7651 Жыл бұрын
NABII WA MUNGU NA SIFA ZAKE
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
Na Toba ya kweli ni kupitia Yesu Kristo peke yake Kwa maana imeandikwa kwenye kitabu cha Yohana kuwa Yesu Kristo ndio njia ya kweli peke yake. Acheni kupotosha Roho za watu rafiki wakweli ni Yule ambae anawambia watu ukweli sio kuwapamba Kwa Unabii WA uongo. Ufunuo WA Yohana umeongelea masinanagogi ya shetani je wewe huyajui masinagogi ya shetani? Je humjui aliyemwambia Yesu Kristo amsujudie ?
@williammalangas7651
@williammalangas7651 Жыл бұрын
Atakalo MUNGU MWENYEZI atatenda tu kama siyo hatatenda Mtu wa MUNGU siyo siasa wala kujipendekeza ...Tanzania kuna watumishi wa MUNGU wa ukweli wala huwasikii wakipiga makelele
@happyaugustine7879
@happyaugustine7879 Жыл бұрын
Biblia inasema Piga kelele usiacha kama kalumbeta uwaambie wa Makosa yako
@happyaugustine7879
@happyaugustine7879 Жыл бұрын
Biblia inasem,ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu wakijinyenyekesha nakuomba na kuziacha njia zao mbaya na kunirudia Mimi Mungu wao nitasikia kutoka juu mbinguni na kuwaponya magonjwa yenu na kuiponya nchi yenu.sasa sijui ww unasomaje Biblia yako
@happyaugustine7879
@happyaugustine7879 Жыл бұрын
Hata wakati wa Nuhu walisema anapiga kelele, hata wakati wa sodoma ilikuwa hivyo hvyo Kwan moto haukuwa?hata wakati huo watu wasioamin kama ww walikuwepo,mpaka Muambiwe Mwaka wa mafanikio ndio mnaamin
UNABII JUU YA MAJANGA YATAKAYOIKUMBA DUNIA MWAKA 2024/2025
16:41
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 28 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 31 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE: SEMINA YA NENO LA MUNGU MWANZA. TAR 8 HADI 12 SEPTEMBA 2021
2:32:41
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 79 М.
UTIISHO WA MUNGU  NDANI YAKO ITAMFANYA KILA MTU AJUE UKUU WA WAKE NA NGUVU ZAKE NDANI YAKO.
7:03
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 306 М.
USIMFANYE YESU AWE KIBARUA WA KUKUCHANGANYIA UDONGO
14:30
TENGWA TV
Рет қаралды 338
KILIO KWA TAIFA NA KUADHIBIWA KWA KANISA LA MUNGU TANZANIA.
56:18
MALENDEJA MAKASHI
Рет қаралды 28 М.
UNABII WA TANZANIA OMBA
27:01
Azaria Kasunga
Рет қаралды 171 М.
SIRI NZITO KUHUSU DUNIA TATU ZAFUNULIWA | MWL. TENGWA |
2:24:08
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 28 МЛН