SIRI NZITO KUHUSU DUNIA TATU ZAFUNULIWA | MWL. TENGWA |

  Рет қаралды 5,750

TENGWA TV

TENGWA TV

Күн бұрын

BWANA YESU ASIFIWE!
SHIRIKI AU NJOO, TUINUE BENDERA YA YESU JUU, NA TUSIMAMISHE NA KUOKOA TAIFA LETU LA TANZANIA KWA KUOMBA, KUFANYA TOBA NA KUMLINGANA MUNGU
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kufanikisha Makongamano:
LIPA KWA SIMU
M-PESA: 5143575
TIGO PESA: 6749284
JINA: UMOJA WA MAOMBI YA KITAIFA
BANK
NMB: 23210038745
JINA: MAOMBI TOBA KITAIFA
BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
UMOJA WA MAOMBI NA TOBA YA KITAIFA
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
+255 769 515 808, +255 629 304 931
#HudumayaUamshoNaMatengenezoYaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
#0658901901 RUDI_MWANZONI _ MWL. TENGWA
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:
M-PESA: 0752 001 840
TIGO PESA: 0678 304 931
AIRTEL MONEY: 0694 331 055
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
AU KUPITIA BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
#HudumayaUamshowaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840

Пікірлер: 44
@SabinaSinoya-mh5sl
@SabinaSinoya-mh5sl 5 ай бұрын
MUNGU awabariki kwa kazi ya uwamsho, yani naisi mpaka mwili wangu kutetemeka YESU tuokowe,nauwalinde watumishi wako. Amen
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 5 ай бұрын
Maswali yangu niliyokuwa nakosa majibu in Hivi Mungu ameishia tu kwenye biblia? Yaani amefungwa tu kupitia hii andiko. Hawezi kuwa zaidi ya hapa?? Leo umenifungua kabisaa. Na huo ndiyo ukweli halisi!!!Asante Mwl.Tengwa barikiwa sana!
@charlesgaspalliwilliam1232
@charlesgaspalliwilliam1232 5 ай бұрын
Ana heri yule asikiaye haya na kufuatilia,Mungu awainue zaidi watumishi wa Mungu
@danielambonisye6261
@danielambonisye6261 2 ай бұрын
Nimewapenda sana hapo
@YohanaKiserere-sd8xi
@YohanaKiserere-sd8xi 5 ай бұрын
Mtumishi ,Mimi sijapingana na wewe Kwa vile sijakusikiliza tangy mwanzo,mashaka yangu ni haya,Yohana alipotumwa kutengeneza njia ya Bwana,hakutumia nguvu nyingi,walimfuata kumsikiliza na kubatizwa naye,Yesu pia hakutumia nguvu nyingi,he wewe naona kama unataka kulazimisha,toa hoja yenye uvuvio,waliotengwa watakufuata,mbona nawe unafundisha neno Hilo,makongamano hayo hayo,tofauti Yako na Jao ni ipi,labda hata niko kati ya hao mbona hueleweke,kuwa wazi ,Yohana alieleweka,au mtume mpya,wewe ni nani mbali na jina lako Tengwa
@joycenyalembe7718
@joycenyalembe7718 5 ай бұрын
Watumishi,hakika mmenipa madini ya akili .Mbarikiwe sana na Mungu awajaze mafunuo mengi zaidi kwa injili hii ya mabadiliko,ni kweli lazima tubadilike tuwe kama watoto wadogo.
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 ай бұрын
Ameeen napokea kwa jina la Yesu Kristo, na Mambo yako yanakuwa ya rohoni tu. Kuwaza, kutenda, na kuongea na hata ndotoni kwa jina la Yesu Kristo. Mwenyezi Mungu naomba rehema zako katika jina la Yesu Kristo
@janengaga2928
@janengaga2928 5 ай бұрын
Tunamshukuru MUNGU kwa mtumishi wake kwa kufundisha neno la kweli la KRISTO.Utukufu una yeye daima.
@janetmsofe3789
@janetmsofe3789 5 ай бұрын
Asante Bwana kwa mafunuo haya....ni siri iliyokuwa imefichwa....Mungu awatunze watumishi wa Bwana.
@dorisibrahimsarawati6684
@dorisibrahimsarawati6684 5 ай бұрын
Mungu turehemu asawasawa na fadhili zako
@gloryfidelis102
@gloryfidelis102 5 ай бұрын
Nashukuru sana kwa tafsiri hizi nzito,lakini zinapokelewa na wanyenyekevu,ila hapo mbele ulimwengu mzima utaelewa kwa kuikiimbilia,nikweli tumefunga mno hatujamuona Mungu wala kumjua Mungu ndivyo tulivyofundishwa.
@mmassycharles409
@mmassycharles409 5 ай бұрын
Injili hii siyo ya kawaida, yaani imetoka mbinguni, huwezi kuitilia shaka yoyote. Mungu awabariki watumishi hawa.
@EvelinQueen
@EvelinQueen 5 ай бұрын
Amen naelew kwakwel Mungu akubariki
@dorisibrahimsarawati6684
@dorisibrahimsarawati6684 5 ай бұрын
Amina mtumishi Mungu akubariki sana
@agnessbruno3591
@agnessbruno3591 5 ай бұрын
Haya ni mafunuo ya ajabu sana sana, Eeeeh BWANA nakushukuru kwa neema hii uliyoifunua katika nyakati hizi na majira haya. Naziona rehema na huruma zako kwa kizazi hiki, ana heri yule anaye yapokea haya hali moyo wake ukiwa na Sadaka ya kutikiswa! Machozi yananitoka, MUNGU awabariki watumishi wa BWANA , naam awatie nguvu amen
@KoomeNzima-e2v
@KoomeNzima-e2v 5 ай бұрын
Amani mtumish ubarikiwe sana
@marrysanga3974
@marrysanga3974 5 ай бұрын
ahsante mwl kwa mafunuo haya kwa kweli Mungu ni mpana sana
@HappinessMgonja-dt3wg
@HappinessMgonja-dt3wg 5 ай бұрын
Mbarikiwe watumishi wa Bwana,nimesikia injili hii ambayo haijahubiriwa kwa kweli tangu Dunia iubwe,kwanza tumepotoka na mafundisho manyonge,yaani leo ndio nimefuñguliwa akili kila kitu nakiona ni ubatili tuu chini ya jua,kweli tumepotoka asnteni kwa mafunuo haya nakosa hata cha kusema,Yesu turehemu tufunguo akili zetu na ufahamu kupitia Roho wako mtakatifu tuzidi kuelewa...
@nancyshikuku-vs9le
@nancyshikuku-vs9le 5 ай бұрын
Ameeen
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 5 ай бұрын
Mtumishi unaeleweka sana,pamoja na kwamba ni Maneno magumu
@isayasanga1069
@isayasanga1069 5 ай бұрын
Mwalim Tengwa hakika mafundisho yako uwa yanauvunjavunja kabisa ufaham wangu katika kumjua Mungu kama nilivyokuwa najiwa Nikama mtu anae ondoa vitu vya zamani nakuweka vitu vipya Kuna mambo mengi nimeanza kuyaelewa na ufaham wangu umepanika kidogo kuhu huyu Mungu wetu barikiwa sana
@isayasanga1069
@isayasanga1069 5 ай бұрын
Amina
@isayasanga1069
@isayasanga1069 5 ай бұрын
Kalibu sumbawanga Mwalim tengwa
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 5 ай бұрын
Eti alishiliki Kikao cha Mbinguni,ehee yuko vizuri 😂😂😂😂 ktk Majalibio hapo sija gonga
@elinikundankya6976
@elinikundankya6976 5 ай бұрын
Maneno Haya ROHO wa BWANA ndiye ayasemaye, na kuyaelewa ni kwa kupitia ROHO huyo huyo. BWANA YESU tusaidie tuweze kuelewa na haya yote kwa uweza wa ROHO wako. Asante MUNGU, utukufu ni kwako Bwana.
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 5 ай бұрын
Ahsanteni sana ,
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 5 ай бұрын
Hivyo ndivyo sahihi iliyokuwepo kabisa.Yaani ni ukweli ambao upo ndani yetu kabisaa na mtumishi umeutolea tafsiri ninayoelewa kabisaaa nafurahi sana sana. Umesema kwelikweli!!
@Margaretbabile
@Margaretbabile 5 ай бұрын
Unyenyekevu ni upendo. Kuzaliwa ktk Roho .
@millicentnaliaka
@millicentnaliaka 5 ай бұрын
Mtumishi vipi inafaa tuende kanisani siku gani jumapili au jumamosi tafadhali naomba nieleweshwe kidogo pale
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 5 ай бұрын
Uwiano ni proportionality ndugu
@ReginaCasimiroMataisMatias
@ReginaCasimiroMataisMatias 5 ай бұрын
Amém
@helenmdee4004
@helenmdee4004 5 ай бұрын
Ameeeeen
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 5 ай бұрын
Ameen sana!
@NAMAYANINANYARO
@NAMAYANINANYARO 5 ай бұрын
Atakaeelewa mafundisho haya ni yule aliyefunuliwa mambo na roho mtakatifu vinginevyo watu wataendelea kupinga tu kwa sababu hawaelewi kwa jinsi ya kibinadamu
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 5 ай бұрын
Saa ya mbinguni
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 5 ай бұрын
USHOGA! PINDUA PINDUA KABISA MPAKA USHOGA UTOKOMEZWE KWA WANA WETU WOTE TUNAHITAJI VIZAZI VINGI ZALIWE, MASHOGA WATAPATANRUTUBA WAPI KWELI. AMEEN
@HappyPaul-nj9ri
@HappyPaul-nj9ri 5 ай бұрын
Siyo jamani hata sasa kuna mtu wa roho na mwili
@ElinatEliamin-fq9dq
@ElinatEliamin-fq9dq 5 ай бұрын
.g
@mmungajieanpirre4655
@mmungajieanpirre4655 5 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🤝🤝
@mmungajieanpirre4655
@mmungajieanpirre4655 5 ай бұрын
😄😄😄😄😄
@joycenyalembe7718
@joycenyalembe7718 5 ай бұрын
Watumishi,hakika mmenipa madini ya akili .Mbarikiwe sana na Mungu awajaze mafunuo mengi zaidi kwa injili hii ya mabadiliko,ni kweli lazima tubadilike tuwe kama watoto wadogo.
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 55 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,3 МЛН
LUGHA  IMECHAFULIWA DUNIANI KOTE || MWL.TENGWA.
24:24
TENGWA TV
Рет қаралды 2,6 М.
| VOL.1 | KUJUA TAFSIRI YA LUGHA NA SEMI | MWL. TENGWA
3:26:01
TENGWA TV
Рет қаралды 5 М.
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 55 МЛН