Mashallah sheikha unafamisha vizuri na nafahamika iliekuwa hakufaham huyo nimpizani na mfumo unaoutumia kufikisha ujumbe nimzuri wachaache wanaoweka wazi kama wewe Shekhe wengi wanafagilia upende wao tu ila ww unafafanuwa pande zote na kumuachia mtu na ufaham wake Allah akuhifadhi inshallah
@sikandarsuleimanTV5 жыл бұрын
Allah (Subhanahu Wataala) akulinde na akupe umri mrefu wenye hikma na barka zaidi upate kuzidi kuelimisha watu Amiin
@muhammedaliy94163 жыл бұрын
Ammin yaa rabby Huyu shekhe kagusa pwenti kabbisa
@mutomubaya3 жыл бұрын
Shukran Sheikh kwa maelezo ya jambo hilo la ikhtilaaf ambalo tuchunge lisisababishe khilaaf inayopelekea kugombana. Kwa hivyo, Wale wanaozua uwongo juu ya ndugu zao wafahamu wapo makosani. Kunao baadhi ya watu wanadai kwamba Wasaudi ni Mawahabi. Na ukifatilia unakuta hawana hicho kinachokusudiwa katka maana ya hilo tamko la Uwahabi.
@sikandarsuleimanTV5 жыл бұрын
Sheikh Mbarak Awes nakuombea KWA Allah (Subhanahu Wataala) akujaalie umri mrefu wenye manufaa katika Dini na akuzidishie hikma ili wapate kufahamu zaidi waliokua wagumu kufahamu na tuishi KWA upendo Waislam sote kama zamani Amiin
@saidihaji37393 жыл бұрын
Mtu akiwa na taassubi hata umfanye nini hata amuone ndege ameruka atakwambia yule ni mbuz hata km ameruka . Sheikh mubarak Mungu akujaze kheri kwa ufafanuz wako mzur .
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Shukran sana habeeb elimu nzur kabisa yenye kufahamika
@saidomar7864 жыл бұрын
daah .. Laiti tungewapata masheikh mfano wa hawa .. Bas waislamu wa zama hizi wangekuwa wanapendana na kila mmoja angemheshimu mwenzake .. Huu ndo mfumo mzur wa kutoa da'awa na hassa ktk zama hizi ... أحسن الله إلیک ۔۔ نفعنا الله بعلمك وحلمك وصدقك ۔۔ ویحفظك من کل من لا یرید لك الخیر ۔۔ الحق یعلو داٸما ولا یعلی علیه ۔۔
@athury60843 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pni9Z36Zg6uNf9k
@abdulhalimmohamed36437 жыл бұрын
shukran ya shaikh kwa kuweka mambo haya wazi. Namuomba Allah akuzidishe ilmu na fahhmun
@ashrafkhamis10512 жыл бұрын
Masha Allah Fadhiilatu Daktur sheikhunaa
@khalidomar53645 жыл бұрын
Swadakta yaa sheikh,Allah akuhifadhi na Azidi kuipanua ilmu yako tupate Athari na ilmu yako hii (khalid mahsan Al-Amoody)
@hadyahaydar318 жыл бұрын
مشاءالله ALLAH Akulipe kila la kheri akupe Afya na umry Ameen
@suweydcreativestudio4586 жыл бұрын
Ma Shaa Allah tumeelewa sana Allah akurehemu Sheikh Mubarak
@amiradam44374 жыл бұрын
we ni bule kabisa
@khalidwalid95147 жыл бұрын
ma shaa Allah ya sheikh mola akuzidishie ilmu.
@jamaldinabubakary95074 жыл бұрын
حياك الله يا دكتورنا ❤️
@sufimuhammadadam68142 жыл бұрын
Masha Allah ustadh
@fatwimatzahrau23273 жыл бұрын
MashaLLAH jazaka LLAHU khayra
@tawfiqahmad1442 жыл бұрын
mashaaAllah., I love you sheikh for the sake of Allah❤️
@chullygora81154 жыл бұрын
mashaallah nimefurahika na yote hayo yote allah akupe mwisho mwema
@ludacrissrangiyabank37375 жыл бұрын
Huyu sheikh ana upeo mzuri wa akili hongera sana sheikh
@ramachura51215 жыл бұрын
Shikaadabu yako
@ludacrissrangiyabank37375 жыл бұрын
@@ramachura5121 matusi tena
@mahmouddulajara73074 жыл бұрын
@@ramachura5121 hukuelewa soma vizuri comment yake
@abdallahismael39934 жыл бұрын
Sheikh mzuri sanan napenda ilmubyake
@kalelaonlinetv5 жыл бұрын
nakupenda saana kwajili Ya Allah
@fatwimatzahrau23273 жыл бұрын
Wanaoskia hili darsa alafu wakaleta nmaneno yao ya ufedhuli hao ni wale alowasema ALLAH SUMMUN BUKMUN FAHUM LA YARJIUNA Alafu tunawajua hao waupande wapili nimafadhuli wafundishwa ufedhuli na mashehe wao
@Pedeshee013 жыл бұрын
Swadakta
@salumuswalehe54466 жыл бұрын
Jazakaallah khair shehe mungu akupe umri mrefu uzid kutuelimisha
@noelariki59235 жыл бұрын
barakallah fikum
@kaobashaban46973 жыл бұрын
Jazakallahu khaira
@muhammedaliy94163 жыл бұрын
Allaah akuhifadhi Pwenti kabisa
@musbahuksa1474 жыл бұрын
جزاك الله خيرا وبارك الله فيك اخي الحبيب الأستاذ الدكتور
@landendominick49063 жыл бұрын
sorry to be so off topic but does anybody know a trick to get back into an instagram account..? I was dumb lost the login password. I would appreciate any tricks you can offer me!
@ommaromary48282 жыл бұрын
جزاءك الله الخير انت هو شيخ كبير
@mutomubaya3 жыл бұрын
Tutahadhari tunayoyasema ili tusimpatie Shaitwani nafasi ya kutugawanya kwa lengo la kupotosha haki. Allah ametuamrisha tushikamane na kamba yake sote na tusifarikiane. Moja ya mambo yanayosababisha tufarikiane ni kuhusu kufuata Sunnah. Tukumbuke watu wa Ummah zilizopita walipotoka na athari za kupotoka kwao tunaziona wazi wazi. Kwa hivyo, ikiwa tunajua kwamba lengo la sisi kuumbwa ni ili tumuabudu Allah basi bila shaka tunalazimika kumuabudu kwa njia ile ile aliyomuabudu kwayo Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, na Salafu Swaleh.
@miqdadomar59496 жыл бұрын
Allahmdlla shukran
@hassananil42928 жыл бұрын
Jazakallahu khairan katheraan
@habibtysalim23044 жыл бұрын
Mashaallah allah akubarik
@hassanowgennogenno57406 жыл бұрын
Allah akuzidishie ustadh wallahi Ahlusunna wal jamaa ndio njia isiyo na wasiwasi.
@omarjuma60546 жыл бұрын
hassanow Gennogenno ww mjinga kasome
@hassanowgennogenno57406 жыл бұрын
+Omar Juma mbona matusi? kama unaona hayo mafunzo si ya kweli basi kuja mwelimishe ustadh mbarak. Nashangaa na elimu Yako wapi ulifunzwa matusi
@maryamabeidally39532 жыл бұрын
Allah akubariq ila Yani kwetu Pemba watu wanakheshima yadini kuvumiliana Huwa maimamu kwamiskiti yawengine pia Kila Mmoja huskiliza hoja zamweziwe kwaamani ila maulidi ikiwa yanaasili Kwa mtume s w bass fanyeni ikiwa askhabi wao waliwahi kumsifu bass nanyinyi kwaamani ila kwetu sisi Pemba wafanyao wao madufu nai hapigwi masjid ila wao huambiana mchanganyiko haupo madufu nai ila wavumiliana nanyi nyi mfikiane kwaamani
@Afifud1162 жыл бұрын
mashaalah
@shekhally57414 жыл бұрын
Jazaaka Allahu kheir
@noromm82348 жыл бұрын
Masha Allah. shukran jazaka llah kheir
@daniissa31237 жыл бұрын
ما شاء الله بارك الله فيك الله يويدك العلم
@daniissa31237 жыл бұрын
يزيدك العلم
@swalehalhabshy65756 жыл бұрын
BARAKA LLAH SHEIKHH MBARAK
@najuuahmed55716 жыл бұрын
Sheikh Mbarak anasomesha madrasa
@ajmalkiango47154 жыл бұрын
Yani humu ndani kuna baadhi ya watu ni wapumbavu sana hoja zimeshawekwa mezani na shekhe..alafu jitu linalalamika na wewe si weke hoja yako..! Sio kumsema shekhe..na kama hoja huna rudi kwa mashekhe zako waliokufundisha wakupe hoja..! Sheikh amenena vyema sana
@swabiryussuf71072 жыл бұрын
Mashaallah
@tannjiyyitannjiyyi35896 жыл бұрын
جزاگ الله خیرا
@wardalward36937 жыл бұрын
Masha Allah
@hadiawadh64707 жыл бұрын
بارك الله فيك.شكرا جزيل
@abduhamzasungura16425 жыл бұрын
Twaaib Twaiib Twaaib Ya Shekh Maana kama kila lilo Zushwa Ni Bida Sote Hatuponi maana Sikuhizi Hata imamu Utamsikia Kabla Ya Swala Stauu Halafu Atasema Zimeni Simuzenu Sasa Wakati Wa Mtume Zilikuwepo Simu? halafu Misikiti Mingi Duniani Imejengwa Vizurii Mataiz ma taa Maasipika Maa Zilia Maa Aer Condshen Maa Feni Maa Maa Saa Nk Sasa Hayo Ya Msikiti Tuu Sasa Ukija Nnje Magari Maa Pikipiki Maa Baskeli Maa Jumbaa Mazurii Maa Wakati Wa Mtume Msikiti Wa Mtume Umeazekwa Na Makuti Ya Mtende Hadi Mvuwa Ikinyesha Maji Yaingia Ndani Na Nyumbani Kwa Mtume Hana Godoro 6x6 Mtume Amelalia Jamvi Hadi Akilala Mgongoni Anatoka Alama Jamani Mawaidha Anayotoa Shekh Awesu Ni Maneno Ya kweli Na Haya ndiyo Darasa Tuzitakazo Ni Darasa Za Kutoa Elmu Mashaa Laah Allah Akuhifadhi Shekh Wetu Amin Amin Amin
@swabiryussuf71072 жыл бұрын
Mashaallah
@Team-t6k Жыл бұрын
Piga goti usome kama akili yako inakupeleka kuwa sim ni katika bid'a bado hata akili yako changa haijaelewa hata apo ulipo .
Shekh maana ya kwanza ndio sahihi kwasababu hakuna ibada itakayofanya iwe nje ya aliyoyafanya katka ibda.na je unahc kma khitma,maulid na dua baada swala je mtume s.a.w yeye kheri hzi alitufanyia khiyana au uchoyo hata yeye hakufanya na sis tumeyafanya na tunasema ndio bora
@ahmadmuhammad62403 жыл бұрын
sasa wanazuoni watakua hawana kazi kwa ufahamu wako.
@saidihaji37393 жыл бұрын
Juma Hussein Suala la kusema ( khitma ) Ulikuwa umuulize Albani kwasabb yeye ni miongoni mwa waliokubali jambo hilo . Na umuulize Uthaimeen aliporuhusu (mashindano ya quran ) jee mtume amefanya khiana ?? mbona hajatufundisha hilo . Lkn Ibnu Uthaimeen amesema linafaa . Inaonekana upeo wako wa elimu ni mchache saana . Mas-ala ya kielimu hujadiliwa kws elimu sio kujizungumzia tu kwa hawa za nafsi yako .
@ramamtetu23275 жыл бұрын
Mawazo Ya Kifalsafa haya. Hakika Sauti Mbaya Kuliko Zote ni Sauti ya Kifalsafa Inayolingania bila Kuzingatia Kitabu na Sunna.
@Abuusamhasalum4 жыл бұрын
Allah anasema"hakika wenye kumuogopa yeye katika waja wake ni wanachuoni" Na mtume (swallallau alaihi wasalam)anasema"walingalizi wanao walingalia watu katika moto wa jahannam atakae waitikia na kuwasikiliza watamsukuma humo"NDO HAO UTAWAONA KAMA WANACHUOONI VILE KUMBE WALINGANIZI WA MOTONI.
@hassanwadau65604 жыл бұрын
Assalam alykum warahamatullah wabarakatuh toa dalili na ww kwny hilo co unajion mtukufu kaka
@abdulkatalango28903 жыл бұрын
wekeni hoja na dalili zenu hoja na dalili huvunjwa kwa hoja na dalili sio maneno matupu na kukufurishana na kutiana motoni leteni hoja zenu audiens itapima hoja zipi na dalili zipi zenye nguvu watafuata bila kushurutishwa ukweli haujifichi utadhihiri wenyewe
@بنمحمدأسكر5 жыл бұрын
Jishekhe lenu n jirongo yuwasingizia
@asadomar10324 жыл бұрын
Adab kwanza
@asadomar10324 жыл бұрын
Adab wewe
@fatmaaramadhan48623 жыл бұрын
Kanzu fup znawafanya mnapngua adab au?
@saba-gv3mj9 ай бұрын
Kuna mrongo zaidi yako ww wahabi mpotoshaji kua na heshima na ustadh wetu
@abdullaabdulla-li1ue6 жыл бұрын
Sheikhe iwe kweli sayyidnabillal alikuwa akisali rakaa mbili kila alipotia udhu na Mtume(S.A.W)akakikubali kitendo hicho na mifano yote uliyotoa mtume hakuwakataza wewe hupati jibu rahisi tu kuwa kilichothibitishwa na mtume baada ya wao kufanya ndio mtume kafanya.Na hayo mnayoyazusha nyinyi yanakubaliwa na nani au yanakataliwa na nani.Au mna utakatifu upi wa kuyakubali ama kuyakataa kama alivyofanya mtume (S.A.W)
@hassanwadau65604 жыл бұрын
Assalam alykum warahamatullah wabarakatuh Kaka na huyo swahaba ambaye amesali kabla ya kufa amepata wapi kuwa amekubali katika Hilo Lakini ww unasem watu wanafny vitu Leo wamepata wapi hy nguvu kubwa kumuomba Allah Atufahamishe maneno yake Kaka Watu wamechukua hp kw swahaba jibu lako Sawa kaka
@mahmouddulajara73074 жыл бұрын
Yanakubaliwa na Allah na kupingwa na nyinyi mawahabi
@swabiryussuf71072 жыл бұрын
Enda usome kwanza
@saba-gv3mj9 ай бұрын
Yakubaliwa na Allah ww ni nani upinge
@ABUU4267 жыл бұрын
Mimi nastajabu mno kuona SHEKHE Fulani anatumia nguvu nyingi kutetea uzushi katika dini,kwa nini asitumie nguvu hizi kutetea sunna.
@mohamedfateh557 жыл бұрын
Haya mambo ndio muhimu kufahamishwa kwa watu wasiojuwa tafauti za bid'aa.
@jumannekambi2327 жыл бұрын
shekhe amekuwekea wazi ni nini bid'aa sio kumezeshwa itikadi
@suweydcreativestudio4586 жыл бұрын
Jiulize alichosema ni uongo au ni kweli, basi kama uongo mwachie yeye na Allah na basi kama ni kweli ni ujahali wako kukataa
@ayshaayush18006 жыл бұрын
Abuusalamah Ali toa sunnah moja ilokataliwa na watu insha'Allah tutaitetea
@suboabdi98676 жыл бұрын
Abuusalamah Ali kabisa
@jumahussein75795 жыл бұрын
Fanyeni aliyo kuamrishen yanatosha kupata radhi za Allah na msijitie wajuz
@mkubwamasoud27766 жыл бұрын
Kwanza bid’aa hakuna ikhtilafu
@iamabmour5 жыл бұрын
Assalaam Alaykum Shekh, Je talaka bida'h yapita? Au haipiti kutokana na sheria (65:01).
@mkubwamasoud27766 жыл бұрын
Sheikh unapotosha umma
@ammarmohammed4185 жыл бұрын
Mkubwa masoud sheikh hawezi zungumza maneno unayotaka wewe ila azungumza maneno ya dini na kauli za wanazuoni
@ramachura51215 жыл бұрын
Wasemaj funga mdomo wak ww
@ammarmohammed4185 жыл бұрын
Nasema kua sheikh hatosema utakalopenda wewe kuckia ila azngmza ukweli n vp dini iko upande wa bidaa
@muhammadally47495 жыл бұрын
Allah akubark
@fatmaaramadhan48623 жыл бұрын
Jirikod na wewe ayo maneno yako sahih halaf utume yako watu waongoke
@AbduRahman-os2vx5 жыл бұрын
Kwanini msitete sunna ya kufunga jumatatu na alhamis muwafuturishe watu misikitini,waislamu wengi wa leo wangezijua sunna kama hizo kuliko kutetea uzushi...
@mahmouddulajara73074 жыл бұрын
Hujaelewa darsa ya shekhe ama?
@swabiryussuf71072 жыл бұрын
@@mahmouddulajara7307 hhhh simpaka awe na fahamu nzuri😂
@saba-gv3mj9 ай бұрын
Kutetea nn na watu wafunga ungepinga kufunga ijuma tatu na alhamisi tungetetea
@mkubwamasoud27763 жыл бұрын
Sheikh usifasiri quran unavotaka wewe unapotosha watu wallah
@athury60843 жыл бұрын
Kwel na wew umeona ndugu yangu mana tangu nianze kumsikilza sijapata ata moja zaid ya maneno mengi sana ila kutoa ile elimu ya anachokzungumza akuna ata oja moja yan anaongea kwa utashi wake na sio tokana na mafunzo ya Qur'an au Hadithi zinavyosema
@mkubwamasoud27766 жыл бұрын
Kwasababu hadith zipo wazi kwa hiyo kwa hapo sheikh rekebisha kauli yako
@ahmadmuhammad62403 жыл бұрын
wanazuoni wanakazi gani sasa?
@saba-gv3mj9 ай бұрын
Ww masoud toa darsa yako mpotoshaji
@habibrwegoshora66242 жыл бұрын
Hawa vijana WA miaka hii mnaowaita MASHEIKH watatuvuruga sana..eti mtume ajafanya MAULIDI Sasa yy mtume atajifanyiaje maulid ? SS tunaambiwa tumswalie mtu kwa hiyo sio yy ajiswalie.. KIAKILI yàani KUIKUMBUKA siku aliyozaliwa mtume Muhammad ndio liwe jambo ovu ? Kuna siku muhimu kwa MUISLAM kama siku aliyozaliwa mtume Muhammad ?
@mkubwamasoud27766 жыл бұрын
Kuna hadith ya hudhaifa bin yamaan alimuuliza mtume(saw) kuhusu shari alisema katika hadith hiyo itafika mahali kuna madai watawaongoza watu katika moto(maana kuwafunya watu wafuate bid’aa) ndio huyu
@mahmouddulajara73074 жыл бұрын
Subhanallah Yani shekhe alivyo eleza bado kuna watu hawajaelewa
@saidihaji37393 жыл бұрын
Mkubwa masoud Allah akuongoze ktk njia nzur . Lkn dhanna zako mbaya zitakupeleka pabaya .. Kama kweli una elimu zungumza kielimu . Ili uwe umefanya jambo la maana .
@swabiryussuf71072 жыл бұрын
@@saidihaji3739 kabisa habib🤝
@swabiryussuf71072 жыл бұрын
@@mahmouddulajara7307 Mnyama halazimishwi kula au kunywa🤔🥺
@swabiryussuf71072 жыл бұрын
Cool ukasome habib🤝
@anarduk64384 жыл бұрын
Mtihani mkubwa kwakweli, yani utasema anayoyasema ni yakweli maskini. Km hajui basi Allah amsamehe, lkn km ni chuki tu kwa wanaozilinda Sunnah za Rasullah basi Allah anatosha kua ndo hakimu wa mahakimu.
@Abuusamhasalum4 жыл бұрын
Swadakta akhy
@fatwimatzahrau23273 жыл бұрын
Fasayakfyka kumu LLAH
@saba-gv3mj9 ай бұрын
Ni yakweli dalili umetolewa sasa sema yako na ww tukusikie
@ramadhanjuma38565 жыл бұрын
Sheikh mubarak unajitahid lakini ukweli hutaki kusema pambanua hakki usipambe maneno na kufanya watu kuwalainisha na wakawa wepesi
@sharifmohd29855 жыл бұрын
Mbona hamkatazi watu katika kuziendea bidaa na shirki mnawaacha watu wanapotea kila siku. Taasubi ndiyo matatizo yenu
@ilalykhalfaniilaly54085 жыл бұрын
Sharif mohd kawaida yetu tunasomeshwa madarsa sio redioni. Huyo kumuona redioni mshukuru kusomeshwa yale mlio potolewa. Basi mjiongeze msitake yóte rediioni. Hilo moja tu kakusaidieni na hayo miamoja mlonayo rohoni yanatosha kukuingizeni motoni. Hajatukusudia sisi tunojua kakusudia nyie wajinga msiende kuchomwa moto kwa wingi
@sharifmohd29855 жыл бұрын
@@ilalykhalfaniilaly5408 Tunachosema ni watu warudi kwenye dini ya asili ambayo iliepukana na makundi katika kipindi cha mtume na Abuubakar na Omar baada ya hapo ndipo palipo shuhudiwa kupatikana makundi ya kiibadhi na ndugu zao mashia hadi leo hii.
@ilalykhalfaniilaly54085 жыл бұрын
Sharif mohd sasa nikuulize swali kwanza. Wewe unakundi au huna? 2- tarawekhe unaswali rakaa ngapi? 3- ikiwa 8 kundi lako la Said na Abubakar.ra. ikiwa ishirini Kundi la Said na Omar. Ra. Na ukiwa huna kundi bàsi kundi lako la shetani alielaaniwa. Hupi haaulai wala haulaai. Maana hupo huku wala kule. Na ukiwa unakundi basi usiingilie khilafu wa wanazuoni maana wengine wamefata miingozo ya maswahaba hawa na wengine wamefata hawa. Km wewe ukiswali unafunga mikono au hufungi? Ukifunga mikono nikundi la Imam shafi na usipofuñga ni kundi la imam malik. Ili uwe huna kundi yakubidi uikate mikono yako kwamaana ukiwa na mikono itabidi uifunge umfate imam shafi au ufungue umfuate imam malik. Nyie ni wapumbavu tu na hamjui mnacho kifanya mmekaa kama ngurue waliwo achiliwa mtaani. Ukisema kufunga mikono khadithi zote zina udhaifu lkn ni jitihada ya wanavyuoni hufuatwa. Ukisema huko mwanzo mbona hakuna madhehebu mie nitakujibu yalikuwepo tokea kipindi cha Mtume.saw. lakini ujue maana ya hio madhehebu ni nini? Awo maimamu wanne maana yake lolote utalolifanya katika dini kimesha orodheshwa kwa kila mpito wala haina maana kuwa hakuna anaowapita kwa ilimu. Huo ni ujinga wenu msiotaka kuoñgoka na mkatukana watu waliojipinda katika kuitumikia dini. Basi wewe swali lkn bila kusoma vitabu vyao wala vya wanafunzii wao. Ni ujinga + upumbavu jibu kwenda motono
@sharifmohd29855 жыл бұрын
@@ilalykhalfaniilaly5408 Mm wazazi wangu hawakunifundisha kutukana na nataraji Allah atakuwa hakimu baina yangu na wewe kama umenikosea ama haujanikosea nadhani inatosha tufike hapo.
@saidihaji37393 жыл бұрын
Sharif mohd Wew umezungumzia lini kuhus shirki mbona nawewe hatujakuskia kutoa mawaidha yako .
@athumaniabedi1165 Жыл бұрын
Wee muabudia makaburi mkubwa tushaa kujua Tena wewe unafanya bidaa zakukutoa katika uusilam
@saba-gv3mj9 ай бұрын
Ushamsikia akiabudu kaburi ama ni upotofu wenu wakiwahabi
@abuahmad12065 жыл бұрын
Hafai kabsaa atoa wazo hana hadith wala quran
@asadomar10324 жыл бұрын
Akhi kwani hucikii
@saba-gv3mj9 ай бұрын
Wahabi hata wakitolewa hadithi hua hawasikii waulize kupotosha tu na kutusi mashekhe kwa sababu si upande wake
@بنمحمدأسكر5 жыл бұрын
كذب وفجر وألقم الحجر
@jumahussein75795 жыл бұрын
Shekh unajizonga unapoteza mada huwend mojakwamoja.tuseme tukibal kwama kukamilisha msing wa tano je katka hyo mitano mtume s.a.w ameifanya mwenyewe katka uwajibu na sunnah ukianza shahada 2 had ibda hijjah je hutoshek na aliyofanya yeye had wewe uongeze yako
@saidihaji37393 жыл бұрын
Juma hussein Hilo suala lako kwanza muulize Uthaimiin kwanini ameruhusu mashindano ya kuran ?? pia muulize Sheikh Alban kwanini ameruhusu matanga au khitma .
@saba-gv3mj9 ай бұрын
Sasa ww toa yako wapotoshaji nyinyi si mumeambiwa maswahaba walifanya bidaa mtume s a w alizikubLi nyengi zilikataliwa zile haziendani na dini mbona nyinyi mawahabi wajinga kiasi hicho
@suboabdi98676 жыл бұрын
sheikh naadhani unajua haki, ichunge nafsi yako na kila MTU aangaliye nafsi take.BIDA'A ni bidaa tu.Na safe side ni kushikimana na quran,sunnah na mienendo wa khulafa araashidin
@shammusfredy41586 жыл бұрын
Subo Abdi::: msomali ni msomali tu. ndio maana mnauwana Kila siku
@ahmadihassani43166 жыл бұрын
Shekhe mm nahitaji kuako kusoma ninahitaji namba yako yasimo unitumie ilinizidi kusoma namimi ninaishi sehemo ambazo watuwengi nihao wenye msimamo mkali tena wasiokuwa nao nailimo wanatupeleka wanavyotaka wawo mm nipo msumbiji.
@hadiabdallah15676 жыл бұрын
Ukisema hivo ndo wamaanisha nn. Toa basi kosa moja hapo kisha ndo useme bidaa ni bidaa tu
@zuberidusengimana82786 жыл бұрын
Chakwanza muombe allah akufahamishe maana haukuelea chochote
@abuahmad12066 жыл бұрын
@@shammusfredy4158 wacha chuki wasomali wanaume wanamsimamo wa sunna
@abdillahhashim14224 жыл бұрын
Allah akuongoze na wajinga wanao kufuata wewe
@fatwimatzahrau23273 жыл бұрын
Kaffaka RABBUKA
@swabiryussuf71072 жыл бұрын
@@fatwimatzahrau2327 swaddaqta👌🏻
@swabiryussuf71072 жыл бұрын
Sawa mwerevu wetu🥺
@saba-gv3mj9 ай бұрын
Na ww ibilisi kiumbe pia akuongoze
@abuahmad12065 жыл бұрын
Huyu ni jahil hatumi Quran wala hadith
@ammarmohammed4185 жыл бұрын
Skia vzr Abu Ahmad n utupe ulonayo wewe
@aliyomar91405 жыл бұрын
Ammar Mohammed anatumia bibilia?
@sambaelectronicsltd5145 жыл бұрын
Mtume asema mwenye kuita mwenzake jahili yeye ndo jahili
@hassancharo14964 жыл бұрын
Abu Ahmad Mwalim wakisilm wamuita jahli kwan yuko alo kamilika omba msamaha kwa Mola wako