SHK.OTHMAN MAALIM | QISA CHA MJI WA SYRIA ULIVYOTOA MITUME NA WANAZUONI WENGI NA KUPATA BARKA KUBWA

  Рет қаралды 89,352

Riyadh Tv Online Znz

Riyadh Tv Online Znz

2 жыл бұрын

#RiyadhTvZnz #Zanzibar #ShkOthmanMaalim

Пікірлер: 94
@aishakali3082
@aishakali3082 2 жыл бұрын
Shukran jazeelan sheihk kwa elmu , umenifunza mengi tangu kusilimu Allah akulipe zaidi
@asiamohd5516
@asiamohd5516 2 жыл бұрын
Mashaallah, Allah akuzidishie Iman ww na Familia yako. 🤲
@hawamhanga2951
@hawamhanga2951 Жыл бұрын
Mashallah
@binbaya923
@binbaya923 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah. Allah akupe umri mrefu ili uzidi kutuelimisha yaa ustadh
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Miaka mingi kweli kabisa Subhanallah Allah awape Nur maqaburini mwao na sie atupe khusnilkhatima
@kamikazigenerose7882
@kamikazigenerose7882 2 жыл бұрын
Asante Sheh wetu Mwenyezi Mungu akulipe kila la heri apa duniani na kesho ahera insha Allah
@shinayzashiraaz4588
@shinayzashiraaz4588 2 жыл бұрын
Jazakumullah kheir
@dahelahmad1408
@dahelahmad1408 2 жыл бұрын
Allah akuzidishie al habib akupe nguvu afya na uwezo wa kutupa ilmu
@asaduzamanalmaxmud7671
@asaduzamanalmaxmud7671 2 жыл бұрын
Masha allah shukran
@skozamsai2654
@skozamsai2654 2 жыл бұрын
Jazzakallah khair. Shekhe Othman maalim. Hivi sasa waarabu ndio wabaguzi kwa watu weusi kuliko hata wachina na wahindi. Bora uishi na muhindi wa india kuliko mwarabu. Utajuta jinsi utakavyobaguliwa . Sio kula makombo tu , hata choo wanachotumia wao hawaruhusu mtu mweusi atumie.
@osmanelema3030
@osmanelema3030 Жыл бұрын
Hii ndio Kazi Mungu Akupatie nguvu zaidi ya Kutuelimisha InshaAllah
@maryamabdullah2419
@maryamabdullah2419 22 күн бұрын
Na mpenda Sana sheikh Othman
@maftahanachumatv7017
@maftahanachumatv7017 2 жыл бұрын
Be blessed shekh!! Great history
@aminanahimana8759
@aminanahimana8759 2 жыл бұрын
اللهم بارك لك ياشيخنا الفاضل
@AlibabaZanzibar-st9ff
@AlibabaZanzibar-st9ff Жыл бұрын
Mashallah❤
@yasinmzuka3328
@yasinmzuka3328 2 жыл бұрын
othmanmaalim 🤲🙏💘
@zuu__95
@zuu__95 2 жыл бұрын
Shukran shekhe wetu
@alimzee
@alimzee Жыл бұрын
Allah akujalie kila la heri inshallah 🙏🙏🙏
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 2 жыл бұрын
Allahuma swali alla saidina muhammad waala alihi waswah bihi wasalam shukran habby ❤️❤️❤️
@gylainefafa7651
@gylainefafa7651 Жыл бұрын
Ameen🙏🙏🙏
@jackyhassan4635
@jackyhassan4635 2 жыл бұрын
ALLah akupe mwisho mwema 🙏
@sudiasabdinasirali6751
@sudiasabdinasirali6751 2 жыл бұрын
Amiin sote in Sha Allah na atupe Afya njema Daima na ufahamu wa dini na mwisho mwema amiin ya raan
@leylasalim9380
@leylasalim9380 2 жыл бұрын
Amiin
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 2 жыл бұрын
Amini ya Rabby
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Kaz nzuri sana mungu akuzidishie
@dadamaisha4470
@dadamaisha4470 2 жыл бұрын
Allah amrehemu bibi Zaynab. Amghufirie na atughufirie nasi pia.
@sabrinayounisaden7238
@sabrinayounisaden7238 2 жыл бұрын
JazaakAllah shiekh
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 2 жыл бұрын
Jazzakumllah Khery
@saidiabas8855
@saidiabas8855 2 жыл бұрын
Amin Mimi naitikia hizo duaa
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Allahu Akbar
@ramauo4410
@ramauo4410 2 жыл бұрын
Shukurani shehk wangu
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 жыл бұрын
Jina la othman zur sana Othman mazinge, Othman maalim, othman Maiko 🙏🙏🙏🇹🇿
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
Mashallah mashaallah
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
Imani rohoni
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
Namshuku allah8
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
Basi ni metosheka
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
Kwa nini uliniata kutumikia wengine
@barackmakacha709
@barackmakacha709 2 жыл бұрын
Bihusni lkhatima 🤲
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 2 жыл бұрын
Mashaallaah mola akuzidishie elimu uweze kutufundisha amiin yaarabaliaalaamiin maasalam
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Naaam Allah amraham
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 2 жыл бұрын
Naammm
@juneithartony9543
@juneithartony9543 2 жыл бұрын
Hao wasyria shekhe wangu othman, huku ulaya ni watu ambao kama si waislam wanaiga madhehebu ya wazungu, wameipa mgongo dini yao ya kiislam, inasikitisha Kweli alaf ni watu wamoja eanafik, wanbea na mafisadi bora nidgo wa yemen wanajitahid
@asiamohd5516
@asiamohd5516 2 жыл бұрын
Allah akufanyie wepes ktk kla hatua ya maisha yako, na umri wenye mafanikio, khusni lkhatima yaa Rabbiy, kwa sote
@ismailibrahim8313
@ismailibrahim8313 2 жыл бұрын
🙏🙏🤲
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Allah atupe Makamo yake
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
As
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
Sa
@khatibvuai-bl7dr
@khatibvuai-bl7dr Жыл бұрын
Mussa ame mussa
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
Na misikiti waliigeuza kuwa Makanisa. Na sasa majengo na majina ya miji ni ya kiislamu au kiarabu.
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 2 жыл бұрын
Ni Makanisa ndio yaligeuzwa kuwa Misikiti. Kumbuka Damascus ilikuwa ni moja ya miji mikubwa wakati wa Byzantine
@rugeyeawadh7426
@rugeyeawadh7426 2 жыл бұрын
Shukran
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
Hakika alieitemvelea Syria na kuiyona leo ilivo atalia machozi. Na Iraq hivo hivo.
@juneithartony9543
@juneithartony9543 2 жыл бұрын
Ni haki yao nchi zao kufanywa hivo ni adhabu ya kutoka kwa Allah, ukiwepo huko utasema wameknewa kumbe ni fimbo ya Mungu ni watu wamoja huku ulaya wamempa kidogo Mungu, eanavaa u hi, wanajifanya wazungu, hawasali, hawa ibada wanagkifanya, alaf wao go, wanafik na wabaguzi hao wasyria
@jamaliwallady5260
@jamaliwallady5260 2 жыл бұрын
Wema uwendelee amin
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
Asa
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
Niombe dua
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
makosa niko
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
Niondosha mitihani maradhi wasiwai kwa dua zako
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
Ww malindi
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 2 жыл бұрын
@@hamadialiidris5184 Allah yashfik inshallah
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Tena kafa na shahada yake
@seifwazir6709
@seifwazir6709 2 жыл бұрын
Mashallah, baraka llah fiyka
@lenniefei6710
@lenniefei6710 2 жыл бұрын
Kinachonipa mashaka makubwa licha ya historia mubashara ya kanda hizo za Siria n.k vp mbona leo hii wana urangi na ubaguzi mzito kwa waafrika weusi licha ya kua na dini moja(uislamu) na kuafadhalisha watu hata wasio na dini moja nao ??????!!!!!🥺🥺🥺🥺🙄🙄🙄🙄🙄
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 2 жыл бұрын
Waarabu hawana ubaguzi kama wazungu wewe nenda suria na baadae nenda ulaya utaona tofauti
@lenniefei6710
@lenniefei6710 2 жыл бұрын
@@saidalhinai1131 unasema niende na ndio tumetoka huko...wote Kulluqum waheed! Muarabu anaafadhalisha mushriqin kuliko muislamu mwenzie kisa rangi ya ngozi na sehemu atokayo.... tumeona mengi, inastkitisha sana licha ya dini njema na manabii wote lakini roho bado hazijawakunjuka kabisa😭😭😭😭
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 2 жыл бұрын
@@lenniefei6710 Hapo huja ongea ukweli , ni uzushi propaganda. Nchi za kiislamu hazina uovu na ukosefu wa amani , kwa kadiri ilivyo hali katika nchi zisizo za kiislamu. Hizi nchi zishatambuliza vitimbi vya makosa mengi tunazo zifanya kwao.
@lenniefei6710
@lenniefei6710 2 жыл бұрын
@@abdulhakimhasan7673 Nimejionea mengi tu kwa macho yangu binafsi wala sio kusimuliwa, lakini atakaewahukumu ni Allah wala sio sie wanadamu. Cha msingi nimeelewa fika sababu ya kupelekewa manabii huko kwani roho zimewachakaa ubaya mzito sana!
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 2 жыл бұрын
@@lenniefei6710Mazao ya dini ya kiislamu ni mazuri katika nchi za kiarabu , na orodha ya ukweli iko kwenye ripoti ya dunia nzima katika umoja wa mataifa, fungua net. Huku kwetu, ndiko roho zime chakaa ubaya mzito sana.
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
As
@hamadialiidris5184
@hamadialiidris5184 2 жыл бұрын
Alkhmis
SHK OTHMAN MAALIM: HIKI NDO QISA CHA SAHABA KIPENZI CHA MTUME JULAIBIIB
1:03:25
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 18 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 100 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 150 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 57 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
KISA CHA NABII SHUWAIB NA UMMA WAKE //SHEIKH OTHMAN MAALIM
59:53
arkas online tv
Рет қаралды 48 М.
HISTORIA KABLA YA MTUME MUHAMMAD - SH OTHAMAN MAALIM
1:07:50
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 63 М.
KUNA UCHAWI,MIUJIZA NA MAKARAMA  //SHEIKH OTHMAN MAALI
57:25
arkas online tv
Рет қаралды 43 М.
SH.OTHMAN MAALIM :- KISA CHA OMARI BIN KHATWABI 02
55:05
ZVP ONLINE TV
Рет қаралды 13 М.
WAYAHUDI NI MAKAFIRI WALIOPEWA KITABU// SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:04:39
arkas online tv
Рет қаралды 23 М.
Historia na Maisha ya Nabii Issa bin Mariam. Sh. Othman Maalim
42:40
OTHMAN MAALIM.....VISA VYA VITA YA BADRI
3:01:33
ADELINK HABARI
Рет қаралды 115 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 100 МЛН