Hongereni sana kwa nyimbo nzuri mungu awabariki sana
@EphreyNyaundi-c4r3 ай бұрын
Ninapenda hi wimbo yangu utotoni hadi wa leo imenigusa rohoni mwangu Mungu awabariki
@yusuphpeter Жыл бұрын
Mungu awatie ngguvu nyimbo zenu zaniliwaza nakunipandisha kiimani
@danielilembesameivashelemb64452 жыл бұрын
Kweli nyimbo za tenz zinatufanya tufarijike kwahiyo napenda kuwapongeza Kwa kazi kwan ni kubwa
@geoffreynjoroge5603 Жыл бұрын
Mimi hua anaijenga roho yangu Sana, Niko loitoktok Mungu aendelee kumpa ufunuo
@BettyNdiema4 ай бұрын
Hiyo wimbo nakubuka nikiwa high school nilichaguliwa kuwa mwimbaji nilipenda kuimba naomba mungu anipe kipawa ❤❤❤❤
@LENGAISHAWISHI28 күн бұрын
Ama kweli his tenzi imenigusa maana inaniweka karibu na uwepo wa mungu😊😊
@jameskimasa13862 жыл бұрын
Safi sana brother
@weldonkipngeno47502 жыл бұрын
Hii iliwekwa bidii kabisa,,,keep it up.
@budodilufega85972 жыл бұрын
Amina brother kwa nyimbo nzuri salama rohoni 🤚🏽🤚🏽🤚🏽
@lenahmboya51272 жыл бұрын
Nimebarikiwa mpendwa na nyimbo hii ,mungu akupandishe juu zaid
@KennedyOgembo-m6x3 ай бұрын
May the Lord continue to give you more strength ,move you from one glory to another. My early 2000, I was dancing this song after high school, both my parents were a live as they really loved this song,now they are no more . The memories of our lovely family by then comes every moment I listened to this song. God bless you mtumishi.
@DinuZeno3 ай бұрын
@@KennedyOgembo-m6x Aaaaaem amen amen
@budodilufega85973 жыл бұрын
Moja ya wimbo ni nao upenda Niki fikiria mungu alipo ni fikisha hadi leo ni salama kweli mungu anaomba uni ponye na ya dunia ni kupiga nie hadi mweisho sichoki kwako bwana 😫😫😫 nisamehe Zambi zangu Asante kwa wimbo wenu mungu awa bariki sana✍️✍️✍️✍️🤚🤜🤜🤜🤚
@princearsenal91313 жыл бұрын
Tangu nijue nyimbo za huyu ndugu basi moyoni huhisi nikiwa nimebarikiwa sana kila wakati ninapomsikiliza... Sante sana mtu wa Mungu
@mariamkarembo48223 жыл бұрын
Nyimbo zako zanibariki sana. Mtumishi wa mungu 🙏🙏 god bless you 🙏 shalom 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@neemacharokatana48032 жыл бұрын
Nisalama rohoni mwangu🙏🙏🙏🙏🙏
@megoj51792 жыл бұрын
Kabisa, kuna special anointing kwa huyu mtumishi katika nyimbo hizi, zinabariki
@ruthwan365 Жыл бұрын
Do g fill l
@HalimaAbubakar-dz6ir Жыл бұрын
Qààa
@faithkirop-gp1yb Жыл бұрын
Hii wimbo inanipa moyo sana nahisi kaa nimebarikiwa sana asante Sana Kwa wimbo
@gehartstone94523 жыл бұрын
Upo vizuri sana kaka barikiwa sana,,,,, napenda sana nyimbo zako,,, BIG UP
@DinuZeno3 жыл бұрын
Bwana ni mwema. Asante sana
@HalimaaHalima-n2e2 ай бұрын
I'm blessed ❤️salama rohoni mwangu
@Cathy-t2o Жыл бұрын
Salama very emotional kwangu kwa kweli Nina amani sasa
@MarryKombe2 ай бұрын
Piga kazi mama yetu doctor samia suluhu hasani tutafika kanani salama mungu yupo nawe maana alijua pekee wewe ni rais wa Tanzania kama mwanamke nasikia fahari uwepo wako
@lordorcas93442 жыл бұрын
N’a furahi kuwona ngisi mu n’a pendana tou Amen
@duncansereti1506 Жыл бұрын
Barikiwa sanaa tena sanaaa
@renwafs82159 ай бұрын
Ooooh Lord may Kenyans find solace in this song during this time of calamities Floods and accidents😢😢😢 Ni salama Rohini Mungu tukumbuke. Aminaa
@NIYONSENGAJEANCLAUDE-yp3gn8 ай бұрын
Asante sana watumishi wa Mungu wimbo huu ni mzuri sana
@DavidIssa-l9w6 ай бұрын
Jina Mungu Baba na la Bwana Wetu Yesu Kristo na Roho Mtakatifu litukuzwe milele hata milele, Amina,
@salomenyaulingo93242 жыл бұрын
Amina Sana tupo salama kwasababu yesu yupo ndan yetunabarikiwa sana
@rodneyntongo661911 ай бұрын
Asante sana ndugu ya nngu kwa nyimbo zuri
@CarolineMarita-cw3qt Жыл бұрын
Ni salama rohoni mwangu💃🙏🙏🤝
@VictoriaNanjala84 ай бұрын
Asante sana kwa nyimbo, nzuri, naipenda sana hii wimbo saa hizi naitazama
@masungaezekiel74172 жыл бұрын
Kiukwel nabarikiwa na nyimbo zako sana mtumish
@jonasngenganyi9853 жыл бұрын
Asante wapendwa.wangu kwa nyimbo. nzuri
@Agiebabez2 жыл бұрын
Hii nyimbo hubariki sana moyo wangu hasa wakati wa magumu maishani hupenda sana kuisikiza mara kwa mara, hakika ni salama Rohoni mwangu,, barikiweni sana waimbaji mungu awatie nguvu na upako wa kumsifu zaidi🙏🏼
@DinuZeno2 жыл бұрын
Asante sana na Mungu awabariki
@EmmaKirua10 ай бұрын
Kiukweli nabarikiwa sana nawimbo huu
@noelylyimo34343 жыл бұрын
Kazi nzuri baba Mungu aendelee kutukuzwa
@JoelNyongesa-sl3jd19 күн бұрын
Inanijenga nafsi yangu hii tenzi ya roho.barikiwa
@msanginaza9052 жыл бұрын
Salama ni salama rohoni Kwan Kristo Yu ndani yangu
@LeonardMwadzombo7 ай бұрын
❤mungu awabariki sana
@GraceOtieno-vo3sj8 ай бұрын
Amen 🙏 Amen 🙏. Peace of God.God bless
@jeniffermasha25402 жыл бұрын
Kwa kweli sichoki kukiza nyimbo zenu.zinanifanya kujikuta nikiomba tu mahali popote
@monicahmwalozi Жыл бұрын
Ameeeeen mtumishi 🙏🙏 nimebarikiwa sana sana kazi njema Mungu wa mbinguni akuinue zaidi na zaidi.
@SaidKipata4 күн бұрын
Mungu Wang nipe balaka zako🙏🙏🙏🙏 Amen
@reddyhenockkwatshi-ze9hbАй бұрын
Je sens les frissons quand j'entends des cantiques swahili
@NasrahCharles3 ай бұрын
Napitia magunu lkn nikisikiliza huu wimbl najiona kuwa ni salama kweli fohon mwanangu
@eunicesanga80232 жыл бұрын
kaka kwa wimbo huhu ni salama rohoni mwangu mungu azidi kuku bariki kwa kipaji hiki
@malken81813 жыл бұрын
Nafarijika sana pindi nasikiliza huu wimbo bwana ni mwema
@scolajonson86852 жыл бұрын
MUngU akubarik unanitia moyo hasa kipindi Cha magumu niliyonayo
@ERICJohn-vx3dt7 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwanyimbo nzuri Mungu akubariki sana
@samsonjuma56182 жыл бұрын
MUNGU awatie nguvu..NAKUOMBEA MUNGU AKUTIE NGUVU wewe na fafilia.. nyimbo hizo zimekuwa zikifanya uvivio moyoni mwanangu
@joycendanu81132 жыл бұрын
Y
@gracetiapmati9725 Жыл бұрын
Halleluia Amen. Asante Yesu kwa niambia ya wapendwa Hawa. Wamenikumbusha nyumba sa utotoni mwangu. Wamenijenga moyo sana mno kwa kujimba wimbo juu. Dungu zangu katika Yesu. Mubarikiwe sana. Ningependa kutoa sadaka kwenu. Lakini sijui niwafikishieni aje jamani. Asanteni. I just love you guys for singing this my child hood gospel song the best ever. 100 percent the best. Wao! I just can't repeating it.
@valeriemogusu2021 Жыл бұрын
MMzxjnu B9bb vvv 8 gg6 g n
@michellechepchirchir6678 Жыл бұрын
3:27 3:27 3:27 3:29
@dianaelisante3142 Жыл бұрын
Mmkkl7u77ù7u
@NAOMIMAGEMBE-c1r Жыл бұрын
Kwer ukiwa na mungu ndan laha mtupu
@ChelaaPrincess-w8f6 ай бұрын
Salama rohoni mwangu thank you Jesus 🙏
@KsaC7112 жыл бұрын
So salama rohini kwa huyo mkeo kapungukiwa na uwepo wa Mungu na ibada kwa kuweka minywele feki atoe awe orijino
@imanifungo77362 жыл бұрын
Nywere siyo sababu za kukosa uwepo wa Mungu Hilo ni pambo tu
@KsaC7112 жыл бұрын
@@imanifungo7736 hizo ni dalili za kupungukiwa kama si kukauka kwa nguvu na uwepo wa Mungu uwepo wa Mungu si wangapi wanakusifia na kuongeza bali wewe una badilika kiasi gani sawa na unachokiimba
@wambuiirene11 ай бұрын
Nice song❤❤❤nipitie pia🙏🙏
@joshuakamara28762 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wimbo. Huu nisarama umenigusa Sana MUNGU BABA akuzidi shie neema
@DinuZeno2 жыл бұрын
Amen
@everlynecharo2 жыл бұрын
amen nyimbo zake zinanifariji barikiwa sana
@AntoninahMuli-lz8yw11 ай бұрын
I feel blessed whenever i listen to this song......bless my soul oh Lord🙏
@DinuZeno10 ай бұрын
Real
@leahbhoke87182 жыл бұрын
Amina Mtumishi Barikiwa Saana 🔥🔥🔥🔥🔥
@emilyatieno4459 Жыл бұрын
Thanks your god bless go more again
@jonasngenganyi9852 жыл бұрын
Mungu awabariki.muendelee.kumtumikia.Mungu siku za maisha
@geraldmollel302 жыл бұрын
Hakika wimbo huu unabeba hisia kali ndani ya moyo na rohoni ....
@felixthomas6432 жыл бұрын
barikiwa mtumishi
@budodianthony8094 Жыл бұрын
❤❤❤ good bless you Jesus never geve
@japhethrogasiano-hp3lj Жыл бұрын
Nyimbo nzuru mzidi kubarikiwa
@budodilufega85972 жыл бұрын
🤚🏽🤚🏽🤚🏽🤚🏻🤚🏻🤚🏻salama ni salama rohoni ni salama rohoni 🤚🏽🤚🏽
@MugabeJonas9 ай бұрын
Salama Rohini ...Amen Amen
@tonnysgalleries58482 жыл бұрын
Umeiimba vizuri kwa namna ambayo inatubariki saaaana
@stewardnkuki3582 жыл бұрын
Nyimbooooo nziliiii
@mrbithi95762 жыл бұрын
M barikiwe na mungu kwa nyimbo zuri
@DinuZeno2 жыл бұрын
Amen
@nancy28752 жыл бұрын
Ni salama rohoni mwangu God bless you
@EdwardNjenga-yd4oc11 ай бұрын
Good work 🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
@ledikapinon17922 жыл бұрын
Amina kubwa barikuwa sana
@faithmutindi44182 жыл бұрын
Hii wimbo hunibariki sana
@euniceeveria26212 жыл бұрын
Waoou emeni and emen wimbo umenijaza nguvu rohoni
@DinuZeno2 жыл бұрын
Amen
@barakaahmadjjchannell83953 жыл бұрын
Hakika ni salama rohoni mwangu More blessing to you Ameen
@DinuZeno3 жыл бұрын
Amen
@MoosaMd-h6b2 ай бұрын
Yesu ni usalama wangu amen
@DinuZeno2 ай бұрын
@@MoosaMd-h6b Amen
@musahosea36573 жыл бұрын
Hongera baba kazi nzuri sana 👏
@DinuZeno3 жыл бұрын
Amen. Bwana ni mwema
@jeniffermasha25402 жыл бұрын
Hata nami nisalama rohoni mwangu
@DinuZeno2 жыл бұрын
Amen amen amen
@WemaMnjeja Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@TitusColgate093 жыл бұрын
Ahsante kwa wimbo wenu. Mubarikiwe
@Idda-h6r Жыл бұрын
Nikisikiliza wimbo huu ninakuwa huru
@10bsteve803 ай бұрын
Napitia shida lakini naamini Mungu yu nami
@DinuZeno3 ай бұрын
@@10bsteve80 Amen
@gracetiapmati9725 Жыл бұрын
Ee Tabazamu hizi zenu nazo😃zina ponyesha wagonjwa.👍imbeni kabisa haya ndo mahubiri ya kweli. Mungu yupo ndani yenu kwa uli mwengu. Thank you very much. You are a blessing. This song has healing powers in it. Keep singing guy. It's a super great song.musichoke. 👍👍👍🌧️🌧️🌧️
@makedoniachurch Жыл бұрын
Amen barikiwa sanaah
@SurprisedGrapes-by5bw11 ай бұрын
Hakika Kwa Yesu ni salama.❤❤.
@kevinmwesigwa895527 күн бұрын
Barikiwa sana
@marywambui2011 Жыл бұрын
I heard this song in church today and it really touched my heart,had to search for it.May you be blessed
@Candice3989 Жыл бұрын
Whoever listening to this song in 2024 may God bless..it shall be well with you
@PEn-le9ji11 ай бұрын
Amen Ameeen Amen. Be All Blessed abundantly . 🙏🙏🙏
@LydiaNgina-f5o11 ай бұрын
Amen
@JaneMakokha-bm1xd10 ай бұрын
Amen 🙏
@beatricefelix127110 ай бұрын
amen
@mondajohn9 ай бұрын
Amen,indeed God is doin good thing s to our lives
@JanethShadrack2 ай бұрын
Nabarikiwa sana jamanii hadi raha ukiwa ndani ya yesuu
Ubarikiwe Mr. Dinu na Familia yako. Tangu nikujue MATI-Mtwara juu ya utumishi wa Mungu hujarydi nyuma ila kusonga mbele zaidi. Huduma yako ya uimbaji inabariki sana.
@absalomonyango30782 жыл бұрын
3
@jovinanovath2 жыл бұрын
Mnaimba vzr sana jmn
@leviongok859410 ай бұрын
good work bro
@phylisjepkemboi2371 Жыл бұрын
Salama rohoni wangu, no matter the challenges it is well
@JoshuaMusembityj10 ай бұрын
nice and blessed song 🎉🎉
@bartontv49012 жыл бұрын
Hakika nafarijika sanaaaaaaaaaaaa
@DinuZeno2 жыл бұрын
Ameeeen
@vailethmagwisha40713 жыл бұрын
MUNGU akubariki mtumishi nabarikwa na huduma yako♥️♥️♥️
@odahekima57443 жыл бұрын
Waoooh hongera sana Mungu akubariki mno
@DinuZeno3 жыл бұрын
Bwana ni mwema
@hanifamsuri11293 жыл бұрын
Hongera kwa wimbo mzuri nimebarikiwa
@DinuZeno3 жыл бұрын
Amen asante sana
@ammyjaja-gk9eb7 ай бұрын
Huu wimbo mzuli kbs mungu akawaongezee nguvu kbs
@JustinChabwinwe3 ай бұрын
❤❤❤ Mungu akubariki Kaka nakuzindishie akuepushi naushawishi waduniahii.
@DinuZeno3 ай бұрын
@@JustinChabwinwe Amen na iwe hivyo kwangu kwa jina la Yesu Kristo
@judithlejalearnmore22362 жыл бұрын
Naburudika tu,Keepit up! My beloved ones in Christ