Hakika kazi yenu ni njema sana Mwenyezi Mungu abariki kazi ya kila moja aliyehusika katika maandalizi ya wimbo huu kwani ni mahubiri tosha, shangwe kwa wanousikiliza hakika. Hakika pendo la Mungu halina kifani kwetu, hata kumtoa mwanae Yesu Kristo, Tu hai kwa Neema tu , E Mwenyezi Mungu wabariki The Winners Choir Ubungo KKKT kwa kazi ya kuhubiri kwa nyimbo
@bochelachikoti2 жыл бұрын
Mbarikiwe
@franksingano95042 жыл бұрын
Nashukuru Mungu Winners mmeikumbuka hii Channel naomba Mungu awazidishie zaidi ili hii Channel ikue zaidi ni miaka saba sasa Mungu mkubwa Jesus is Lord