NI VEMA KUMPENDEZA MUNGU KULIKO KUMPENDEZA MWANADAMU

  Рет қаралды 5,682

Ukweli Ministries

Ukweli Ministries

2 жыл бұрын

NI VEMA KUMPENDEZA MUNGU KULIKO KUMPENDEZA MWANADAMU

Пікірлер: 88
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 4 ай бұрын
Hallelujah preaching mtumishi
@RebecaMaloda-xx2qm
@RebecaMaloda-xx2qm 3 ай бұрын
Ila Yesu alimpendeza Mungu na wanadamu
@ibrahimmadia1261
@ibrahimmadia1261 2 жыл бұрын
HALLELUJAH OUR GOD IS SO GOOD! This ministry is so blessing
@wakfumbilinyi7353
@wakfumbilinyi7353 2 жыл бұрын
Hakika injili ya kweli lazima ichome mioyo ya watu na sio kuwafariji na wakati wapo katika kumtenda dhambi MUNGU barikiwa sana mtumishi wa Bwana .
@lydiamunyiva6113
@lydiamunyiva6113 Жыл бұрын
Amen,Amen, hubarikiwe sana mtumishi.
@uwezokilozo9914
@uwezokilozo9914 2 жыл бұрын
hallelujah sana mtume wetu mungu akubariki sana
@paschaltimotheo5441
@paschaltimotheo5441 Жыл бұрын
Amen sana mtume meshack Mungu azid kukupandisha zaid kwenda viwango vingine na uishi maisha marefu yenye kumpendeze yeye..
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Mimi kila siku namuomba mungu aendelee Kung'oa visivyofaa kwenye maisha yangu na nikweli hunielekeza nihatari ndugu zangu watu wako na kanisani miaka mingi lakini hawaambiwi ukweli kuhusu haya mambo ya mavitu ya bandia kuwa ni dhambi
@Sara-ne3xl
@Sara-ne3xl 2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@doricemrema2177
@doricemrema2177 2 жыл бұрын
Nahaidi kumpendeza mungu na SI wanadamu, Maana mwanadamu ni udongo, mungu ni wamilele 🙏
@Ma86na
@Ma86na 2 жыл бұрын
Amen amen amen amen amen amen 🙏🙏🙏 Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@anjelanimunga2362
@anjelanimunga2362 2 жыл бұрын
P Bwana Yesu asifiwe amen
@VIJANAWAYESU12
@VIJANAWAYESU12 Жыл бұрын
Amen 🙏🏾
@winnyrocha190
@winnyrocha190 2 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe hii barikiwa sana mtume
@florencemuthoni6301
@florencemuthoni6301 2 жыл бұрын
Niliambiwa niache kazi nikaambie watu watubu sasa nitachukua hatua ya imani😭😭😭😭😭
@devidamasian5477
@devidamasian5477 2 жыл бұрын
Amen mtume nimebarikiwa Sana, nimebatizwa kwa maji mengi baharini lakini bado sina roho mtakatifu natamani Sana kujazwa roho mtakatifu anibadilishe kabisa niwe mtu mwengine Kuna vitu bado vinaigrette vinaninyemelea
@ongidijuniour2348
@ongidijuniour2348 2 жыл бұрын
Sema hadharani.....
@anasialauwo4922
@anasialauwo4922 5 ай бұрын
Amen
@mwangazajean9280
@mwangazajean9280 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@jescamdanga1309
@jescamdanga1309 2 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu, endelea kusema ukweli watu tupone. Barikiwa sana na Bwana.
@kenafrijo8249
@kenafrijo8249 2 жыл бұрын
Nafurahia sana Huduma ya Mlimani wa Ukweli apostle Meshack
@roseandala6281
@roseandala6281 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen, hili neno limeniguza moyo wangu, naomba kubadilika kabisa kwa uwezo wa Roho mtakatifu
@halimahaliet8603
@halimahaliet8603 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana mtumishi wa mungu mungu awe nawe nakuombea mungu no weapon fashioned against u shall prosper God is able no worry
@madokethiakwizera643
@madokethiakwizera643 2 жыл бұрын
Mungu atusadie sana
@mentindile6228
@mentindile6228 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na fundisho, asante mtume.
@kweliyakristoyesu
@kweliyakristoyesu 2 жыл бұрын
Nimefurai sana leo kuona neno la Mungu limetujia, Yesu kristo asifiwe sana. Mungu akubariki sana Apostle meshak!!
@Farijimvela-fp8jy
@Farijimvela-fp8jy 6 ай бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu, Hata kama mda umepità ila number za Mtumishi wa Mungu zinagusa na kufungua
@CynthiaSuka777
@CynthiaSuka777 2 жыл бұрын
Halleluyah Glory be to God of heaven and more blessings to you mtumishi wa Mungu.
@violetwilliam6895
@violetwilliam6895 2 жыл бұрын
Kweli Neno hili. Kumpendeza Mungu ndio wokovu yaani utakatifu.
@kenafrijo8249
@kenafrijo8249 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@suvenkanyolo6104
@suvenkanyolo6104 2 жыл бұрын
Tunashukuru kwa neno ya ufungulivu wa Roho
@timothyhenrymbao7331
@timothyhenrymbao7331 2 жыл бұрын
Nafurahia sana Huduma ya Mlima wa Ukweli Mungu wa Bwana wetu Yesu akubariki sana Apostle Meshack
@ongidijuniour2348
@ongidijuniour2348 2 жыл бұрын
Ubarikwe mtumishi nakufwatilia saana...tuko pamoja
@moyojubeki6330
@moyojubeki6330 2 жыл бұрын
Asante Mungu wangu
@frankmshana1331
@frankmshana1331 2 жыл бұрын
Ameeeen apostle
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 2 жыл бұрын
Mungu IBARIKI HUDUMA ya MLIMA WA UKWELI.
@johnngonyani5247
@johnngonyani5247 2 жыл бұрын
Oh MTUME barikiwa sana nimefurahi sana nimefarijika sana kukuona Tena hewani shetani ameshindwa kuharibu vyombo vya BWANA WA MAJESHI HALELUYA KWA MWAMBA ULIO PASUKA
@asminmakoha6889
@asminmakoha6889 Жыл бұрын
Ameeeeen 🙏
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 2 жыл бұрын
MUNGU aturehemu na atusaidie Mungu akuinue na kukutumia zaidi Mtumishi.
@salomekemunto1373
@salomekemunto1373 2 жыл бұрын
Amen. may God enlighten me to do His will all the time.May Lord help us to confess our sins and turn to his Glory in Jesus Name.
@naomysamuel6799
@naomysamuel6799 2 жыл бұрын
AMEN
@Mwinjilisti_Byamungu
@Mwinjilisti_Byamungu 2 жыл бұрын
Amina sana mtumishi wa Mungu
@lightness183
@lightness183 2 жыл бұрын
Amen Asante Yesu kwa Neno Lako.
@masokamsambya9763
@masokamsambya9763 2 жыл бұрын
Amen🙏
@susannagathoni3490
@susannagathoni3490 2 жыл бұрын
Neno nisuli sana ee MuNGU ni saidie kukupendesa wewe 1-peter3-3-3🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@beatriceamissi5765
@beatriceamissi5765 2 жыл бұрын
Ninamshukuru Mungu sana kwa Neno lake zuri sana limenijenga sana Mungu hazidi kumpa mtumishi wake nguvu zaidi na zaidi we Mungu tunakuomba Baba umlinde mtumishi wako Baba
@nisetameena9276
@nisetameena9276 2 жыл бұрын
MUNGU na ambariki mtumishi wake
@ayubu_podcast
@ayubu_podcast Жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda
@paschalpaul5793
@paschalpaul5793 2 жыл бұрын
napokea nguvu ya ushindi ya kumpendeza Mungu kwa kila hatua
@beatriceamissi5765
@beatriceamissi5765 2 жыл бұрын
Hiyo mndo Injili tunayopaswa kulishwa amena amena
@FurahaExpress
@FurahaExpress 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa neno! Naomba Mungu anisaidie niweze kumutii kuliko wanadamu amen!
@marypeter4584
@marypeter4584 2 жыл бұрын
AMEEN
@madokethiakwizera643
@madokethiakwizera643 2 жыл бұрын
Nakupenda sana ntumishi tangu nishaanza kukufata nikiona tu video yako huwa kuna kutu nabalikiwa na ukweli huu ministries
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 11 ай бұрын
Ameen
@beatriceamissi5765
@beatriceamissi5765 2 жыл бұрын
Amena amena amena
@failaprince9250
@failaprince9250 5 ай бұрын
Tufiraiye okovu wa MUNGU
@sifamwangaza6031
@sifamwangaza6031 2 жыл бұрын
Amina
@veronicahkhaikwa4929
@veronicahkhaikwa4929 2 жыл бұрын
Mtumishi nina prayer request juu ya ndoa yangu mtu wa mungu roho wa mungu akufungulie juu yangu asante
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 2 жыл бұрын
Kwa jina la Yesu Kristo ndoa yako ipokee amani.
@kizajacqueline8583
@kizajacqueline8583 2 жыл бұрын
Alleluia Alleluia Amena
@sethkambaza5946
@sethkambaza5946 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mutumishi kwa neno nzuri.
@lucianlucian3094
@lucianlucian3094 2 жыл бұрын
Amen amen Barikiwa mtumish wa MUNGU
@nelsonsalumu3064
@nelsonsalumu3064 2 жыл бұрын
Amen, barikiwa sana
@beatriceamissi5765
@beatriceamissi5765 2 жыл бұрын
Kweli mtumishi ubarikiwe sana
@samuelogutu350
@samuelogutu350 2 жыл бұрын
amen mtume
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 4 ай бұрын
ATA mie nilikuwa nafunga
@florencemuthoni6301
@florencemuthoni6301 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi, mimi nitachukua hatua sasa
@jasonmureke2460
@jasonmureke2460 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu, kweli kabisa sema
@kituzakalembire2072
@kituzakalembire2072 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi wa Mungu
@beatriceamissi5765
@beatriceamissi5765 2 жыл бұрын
Amena mtumishi ubarikiwe sana
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Asante sana mtume Meshak kwa neno
@julianawanjala6495
@julianawanjala6495 3 ай бұрын
Bwana niwezeshe nikupendeze wewe
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Amina baba yetu mungu akubariki
@kizajacqueline8583
@kizajacqueline8583 2 жыл бұрын
Amena
@lightness183
@lightness183 2 жыл бұрын
Apostle leo ni km mara ya pili nakosa ibada live fb, je, mlienda live?
@doricemrema2177
@doricemrema2177 2 жыл бұрын
MUNGU NIWEZESHE 🙏😔
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Tz siku ya Saba kimsingi ni Jumapili lkn hesabu yao tu huanza ina maana Jumamosi ndo siku ya kwanza naona waarabu ndio walileta haya
@simonkurgat6620
@simonkurgat6620 Жыл бұрын
Foka, (voka), mtume ni neno gani kwa kingereza?
@paschalpaul5793
@paschalpaul5793 2 жыл бұрын
kuna kaneno nimekaelewa hapo! unapo ongea sana unapata maarifa ya kuongea hii inamaanisha ukifanya jambo lolote kwa bidii unalijua na kuwa na maarifa nalo. sasa mimi nitaomba sana nitafunga sana lakini kujifunga na utakatifu daima ili nipate maarifa ya huyu MUNGU WA PEKEE NA YESU KRISTO BWANA WETU.
@nisetameena9276
@nisetameena9276 2 жыл бұрын
Nn maana ya picha inayowakilisha mlima wa ukweli KZbin?
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 2 жыл бұрын
Kwenye Mlima wa Saba kuna nguvu.
@kituzakalembire2072
@kituzakalembire2072 2 жыл бұрын
Please nahitaji number zako za simu
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 2 жыл бұрын
Amen Amen Mungu atuwezeshe tumupende zeshe Mungu
@ernesttomas85
@ernesttomas85 Жыл бұрын
Amen
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Amen Amen barikiwa sana Mtume wa BWANA
@damarcy1270
@damarcy1270 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@henrykigugwe5112
@henrykigugwe5112 2 жыл бұрын
Amen
SABABU TATU HUJAPOKEA ROHO MTAKATIFU | MTUME MESHAK
56:54
Ukweli Ministries
Рет қаралды 22 М.
Neno, Maono, na Ushuhuda | Meshak Maliyabwana Mausa
53:28
Ukweli Ministries
Рет қаралды 2,7 М.
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 4,4 МЛН
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
tazama jinsi watu wa MUNGU wanavyomsifu MUNGU kwa ROHO na kwa KWEIL
20:11
Mutumishi Baraka
Рет қаралды 2,1 М.
Common dreams you should NEVER ignore when you wake up
33:49
Rabbi Simon Jacobson at Meaningful Life Center
Рет қаралды 1,2 МЛН
JINSI YAKUTEMBEYA KIROHO | IBADA 57| 06/08/2024
1:16:46
Ukweli Ministries
Рет қаралды 1,1 М.
Sema Kimeumana
1:05
DR.CHARLES OLONDE
Рет қаралды 18 М.
Usifurahie Kuanguka Kwangu | Mika 7:8 | Mtume Meshak Maliyabwana
11:53
Ukweli Ministries
Рет қаралды 4,3 М.