Mtumishi wa mungu niliota mama wa mpezi wangu akinieleza nikaye na msichana wake vizuri,na mpezi wangu mwenyewe alikuwa akinitazama kiumbali,kwa hali hiyo nilijiona na kidonda kilikuwa na pus kifinya kile kidonda kilibaki kikubwa,na sister ya mpenzi wangu akili yake sio nzuri sana