Nikki Mbishi Awapa Darasa Rosa Ree, Chemical/ Amchana Live Country Boy

  Рет қаралды 58,082

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@darhustler
@darhustler 6 жыл бұрын
Huyu jamaa ni nani? Mbona anajua kutoa maelezo. Wasanii wa Tanzania wangekuwa Conscious like this guy dah tungefika mbali sana. We need people like this.
@mwinyiaman2522
@mwinyiaman2522 5 жыл бұрын
kabisa Aiseee!!
@fanleck2922
@fanleck2922 4 жыл бұрын
This is Nikk Mbishi .. Dr.Unju. Baba Malcolm.. Zohan.. Shaktopas Tishio... Jogoo playboy ....Undergeound Mkongwe... dah... Ana album zake zinauzwa... 1.Saut ya Jogoo 2.Ufunuo wa Unju. 3.Sam Magoli. Pamoja na Mixtapes kama Malcom XI
@jumazinga941
@jumazinga941 4 жыл бұрын
Nikk mbish/Dr unju Jamaa n genius cn
@joarikatonga3900
@joarikatonga3900 4 жыл бұрын
namkubali huyu jamaa
@milimomashini9432
@milimomashini9432 6 жыл бұрын
Nimependa muonekano wa leo nick mbish....you look so amaizing
@tondisangasangasanga9507
@tondisangasangasanga9507 6 жыл бұрын
Sahiii nikkii bongo..wasanii wengii wakiume..wanawake..wakuxaidie..baba..malcom..nawe...upate..mke...gonga..like..hapa..kama..unamkubaliiii..unju..bin..unuki.....
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 5 жыл бұрын
Unjuuuu....nakukubaleeeeeee ile mbayaaaaa
@mwafrikabarz4507
@mwafrikabarz4507 6 жыл бұрын
Respect @nikkimbishi, uko perfect mwamba
@amosimwiko6440
@amosimwiko6440 6 жыл бұрын
Baba Malcom mwenyew huy second king Wang kweny hip hop
@bosskipens7139
@bosskipens7139 5 жыл бұрын
nakuelewa sana brother Nikki mbishi
@josephmeney8200
@josephmeney8200 3 жыл бұрын
Nikki uko sawa sana
@amonijajila1218
@amonijajila1218 5 жыл бұрын
Vzur unjuu mr.tellabite
@allycaydo9865
@allycaydo9865 6 жыл бұрын
Mtangazaji alikuwa hana maswali ya kumhoji nikki mbishi anajosa confidence.
@muhinasundi1206
@muhinasundi1206 6 жыл бұрын
Point! Umarekani mwiingi mwisho tunaharibu tumesahau tamaduni zetu tunafata zawatu!
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 6 жыл бұрын
Unju master bin unuki Zoham baba Malcolm 💪💪💪😂😂😂
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 6 жыл бұрын
Kabisa kabisa nikki nimekusoma.
@yasirdahasra3186
@yasirdahasra3186 6 жыл бұрын
Liwekwe jukwaa tumuone Nani anajua kuchana sio kuongea ongea tu much thanks Nikki
@simonkasongi1460
@simonkasongi1460 6 жыл бұрын
Nakuelewa vizuri Nikki
@kaniyahiouise1474
@kaniyahiouise1474 5 жыл бұрын
*Lazima uongee Kama brother bro*
@yahyamain3198
@yahyamain3198 6 жыл бұрын
Mtangazaji.. Ana pretend mikono miingi maswali hajapangalia pia uchanganyaji wa maneno dah sijui kama hata habari ataweza.. Dada change unamuonekano mzuri jipange pia punguza pupa
@godrickmigella9451
@godrickmigella9451 6 жыл бұрын
Nikki upo sahihi bro
@iambaizo
@iambaizo 6 жыл бұрын
Mnajikutaga wabishi afu hamna kitu maisha ya kawaida afu mnajifanya mnafanya ngumu,but upo fresh kimashairi ila kuidiss trap ni ushamba coz ina lipa and a true legend does not require such intricities---
@samtothedee
@samtothedee 6 жыл бұрын
Majibu mazuri from baba malcom
@stayawakekimakosa5795
@stayawakekimakosa5795 6 жыл бұрын
The first to view...gonga likes kama unamkubali zohan unju bin...
@fanleck2922
@fanleck2922 4 жыл бұрын
Nmekuja tena 2020..
@helenamusa432
@helenamusa432 6 жыл бұрын
Ndo mukue na maadili... naona wenikk saii umemjua mungu... grear
@jameschanja8304
@jameschanja8304 6 жыл бұрын
Mzee nick kitime chana tu hawa watoto pumbavu hakuna haja ya kufumbia macho ujinga ujinga wao na kuugeuza ndiyo fact tell them malcomx
@michaelrambo6207
@michaelrambo6207 6 жыл бұрын
Ila hapo nikk kwa country boy umenena kaka ngoja nisiongee lolote waja apa wasinishambulie
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 6 жыл бұрын
Nikki jembe sana
@kapona927
@kapona927 4 жыл бұрын
Nikki mbishi
@kichwabox18pasuakichwa36
@kichwabox18pasuakichwa36 6 жыл бұрын
Yes kaka
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 6 жыл бұрын
Dah KMK uyu country boy ni SHOGA na kama vip NAANZA KUMWITA "COUNTRY GIRL" NA IZO lipstick ZAKE KESHO APAKE YA KIJANI ILA TU ASIJICHUBUE kama young DEE atachekesha TULIONUNA.
@HamiduChamboko
@HamiduChamboko 6 жыл бұрын
Dogo la chid benz..itikadi zile zile tofauti ni mzigo tu(jani vs sembe)
@khamiskitto2755
@khamiskitto2755 6 жыл бұрын
Sana tu yani
@damsdasz9356
@damsdasz9356 6 жыл бұрын
Sema nikki ujue we "NYOKO"
@shukutaifa9369
@shukutaifa9369 6 жыл бұрын
Jamani ambae upo kalibu na huyo mtangazaji naomba niunganishe nae nimemkubali sana napatikana MBEYA
@biggieboy2501
@biggieboy2501 5 жыл бұрын
Nikki mbishi hapo umenena ukweli uliopo sijui wengine ni kama ponography wanasifia
@amonijajila1218
@amonijajila1218 5 жыл бұрын
Kaongea ukweli
@issackabely4528
@issackabely4528 6 жыл бұрын
Sana unjuu zohan.
@evaristmandilindi6147
@evaristmandilindi6147 6 жыл бұрын
uko sahihi kabisa hiphop ni uume sio ukike kike yaan ndo uanaume hiphop sio udada
@rolandjacob2086
@rolandjacob2086 5 жыл бұрын
hivi huyo country boy ni shoga nini maana x msomi dah konk konk konk master unaona wapi
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 6 жыл бұрын
nikki bongo bht mby
@charlesduncanm196
@charlesduncanm196 3 жыл бұрын
Simple
@franciskavyega280
@franciskavyega280 5 жыл бұрын
Unju
@exaverymponguliana40
@exaverymponguliana40 5 жыл бұрын
Nikki wa pi.....mbishi.
@humphreymorise
@humphreymorise 6 жыл бұрын
BONGE LA INTERVIEW
@ibrayuzow6320
@ibrayuzow6320 6 жыл бұрын
hahahahahhaaa hip hop inaruhusu kukosoa nikki kosoa makaka yanapakapaka vitu mdomoni wanavaa vikuku kwa mgongo wa sanaa huo ni ushoga tu
@ambililasambo5783
@ambililasambo5783 6 жыл бұрын
Country kazingua mnoo nahis atakuwa na undugu na #delicious.
@Prem_Rich
@Prem_Rich 6 жыл бұрын
Tamaduni mnaumia na ROSTAM sana
@Paffekto
@Paffekto 6 жыл бұрын
Waambie....
@solozukc-1
@solozukc-1 6 жыл бұрын
Unjuuuu
@adinanichadadee530
@adinanichadadee530 6 жыл бұрын
Nimekuelewa niki
@lwimikomwambene
@lwimikomwambene 6 жыл бұрын
True boy
@gbbuku4714
@gbbuku4714 6 жыл бұрын
We zama zako zimepita una zurula media kuomba interview udiss watu waka ilitakiwa uzurule kuomba interview ngoma yako isikike
@wistotheip8787
@wistotheip8787 6 жыл бұрын
elias njoji kumbe we fala kwahyo nikki kuongea ukwel kawa mjinga kwahyo baba yako akiamka asubuhi kapaka shedo utapenda et
@sehemunzuri
@sehemunzuri 6 жыл бұрын
Wiston Jackson mwambie msenge uyo
@gbbuku4714
@gbbuku4714 6 жыл бұрын
Wiston Jackson acha ukuma ww kwan shedo ni nn kafilwe mbele
@gbbuku4714
@gbbuku4714 6 жыл бұрын
buzzfeed TZ we nae kuma tu kafilwe na nikki mbishi
@jeremiahmyavu4083
@jeremiahmyavu4083 6 жыл бұрын
elias njoji we shabiki wa bolingo tulia
@mchaletek2324
@mchaletek2324 6 жыл бұрын
sahihi nikki
@gospelvibestv3914
@gospelvibestv3914 6 жыл бұрын
duuu ila lipstick wanazinguaa
@kichwabox18pasuakichwa36
@kichwabox18pasuakichwa36 6 жыл бұрын
Ndio hip hop ubembelezwi
@mussayusuphu5436
@mussayusuphu5436 6 жыл бұрын
Konk mbishi kaka
@mohamedali4347
@mohamedali4347 6 жыл бұрын
Uwekewe jukwaa nakina rostam ili iweje toa ngoma tu tuone kama unaweza hadi leo unataka uchane kwenye vilinge rostam wanapiga kazi
@gwatatech715
@gwatatech715 6 жыл бұрын
unayumba ww rostam wale wanaimba hiphop laini sana sasa na ww kama n hvo lazma usielewe hapo
@isaacmafole2136
@isaacmafole2136 6 жыл бұрын
@@gwatatech715 fact
@BkMillanziwsemedia
@BkMillanziwsemedia 6 жыл бұрын
@@isaacmafole2136 Hawawezi kujitokeza kamwe kwa sababu wanajua matokeo yake wakifanya hivyo, uwezo wa ROSTAM ni mdogo xana na wao wenyewe wanajua hilo, jeuri 2 ya pembeni ila hawatafanya hivyo kamwe, *wanaogopa*
@pambahamisi2450
@pambahamisi2450 6 жыл бұрын
True
@isaacndayishimiye4587
@isaacndayishimiye4587 6 жыл бұрын
Pamba Hamisi k
@mohamedali4347
@mohamedali4347 6 жыл бұрын
Yani kuhusu kina rostam achna nao wale wanaweza huwawezi broo
@alidyaya4512
@alidyaya4512 6 жыл бұрын
Haha niki kasahau nae alikuwa anasuka nywele pia..
@benjohn463
@benjohn463 6 жыл бұрын
Hahahahaaa ahaaaa we K unanishawishi niwe shabiki yako
@rosemarykitiku5540
@rosemarykitiku5540 6 жыл бұрын
bimgeni mohameddd
@ramadhantemba5032
@ramadhantemba5032 5 жыл бұрын
kwenye kupata elimu hapo kwelii
@blvckdot5853
@blvckdot5853 6 жыл бұрын
country boy😂😂😂
@ajaxpeter6468
@ajaxpeter6468 6 жыл бұрын
Uyojamaa nikuma aliwahi kutangaza ameacha mziki baadayasiku akaludi achananae yuko kamadangulo hapati kiki kuma uyo
@jaguarpaw113
@jaguarpaw113 6 жыл бұрын
jamaa kaanza nae
@bensonfrank643
@bensonfrank643 6 жыл бұрын
JINGAA SANA HILI JAMAA
@peteryohana2737
@peteryohana2737 6 жыл бұрын
Unju wewe ni baada ya Farid kubanda fid q ni wewe mkali huo mtazamo wangu
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 6 жыл бұрын
😁😁😁
@2gethertheswaggs445
@2gethertheswaggs445 6 жыл бұрын
Haaaaa
@inclyrics4384
@inclyrics4384 6 жыл бұрын
Baba malcom
@rehemaahmed8120
@rehemaahmed8120 6 жыл бұрын
Conscious mc
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 6 жыл бұрын
Hip hop ilianzia New York but vile jamaa zetu wanadiss mziki wa trap ambao pia ulianza marekani atlanta ...huwa nawashangaa sana utafkiri walianzisha wao hip hop 😂😂😂 enjoy mziki ukisubiri siku yako ya kufa sio kuongea tuu wakati unaenda
@eng.makolal1367
@eng.makolal1367 6 жыл бұрын
Nawe unapaka lipstick?
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 6 жыл бұрын
KELVIN WAGARA kumamako ...
@kelbeckmusicworld1736
@kelbeckmusicworld1736 6 жыл бұрын
Rostam usi guse 🤣😃👈💪👊
@idrisahussein6215
@idrisahussein6215 3 жыл бұрын
Punguza ujuwaji babu
@saidsalmin1248
@saidsalmin1248 6 жыл бұрын
Wakushukuru wewe nani? 😁😁😁😁😁😁😁
@hamadnyambwa2900
@hamadnyambwa2900 6 жыл бұрын
Huu ndo mwisho wenu washamba sana awa baada ya kusaport unadis young generation wabongo mnamatatizo sana, hivi unajua maana ya sanaa nini????? Jifunzeni sana kwa hapa bongo bdo mtadis sana lkn hampati kiki yeyote mazee, middle finger goes to those who dises young generation
@raygunmaterial1344
@raygunmaterial1344 6 жыл бұрын
hamad nyambwa Nikki yupo sawa, Umarekan mwingi ni ushoga
@hamadnyambwa2900
@hamadnyambwa2900 6 жыл бұрын
reagan george listen mzee sanaa inauwanda mpana sana ambayo sisi hazujui bdo, izo mambo nomo sana in fact ukiangalia uyo ni msanii, na anaitendea haki sanaa yake hivi hujawai ona brand zinatumia wasanii kutanga mfano viatu vya kike na anavaa je na huo ni umarekani??? Msanii anaweza kuwasilisha anything kwa hadhira na sio kma mnavo waza
@hamadnyambwa2900
@hamadnyambwa2900 6 жыл бұрын
reagan george kwani hiyo rap anayoimba huyo niki so utamaduni wa marekani??? Bc atafute stail ya ki tz asiige rap style kutoka marekani huyo ni mshamba haelewi kitu
@chancegtallalam6906
@chancegtallalam6906 6 жыл бұрын
Mzee waweza paka lipstick mtoto wa kiume
@rehemaahmed8120
@rehemaahmed8120 6 жыл бұрын
hamad nyambwa ngja umkute baba ako kapak lipstick na kavaa kikukuu alaf akuambie anajibrand
@ramadhantemba5032
@ramadhantemba5032 5 жыл бұрын
umechoka ww
@hamadnyambwa2900
@hamadnyambwa2900 6 жыл бұрын
Uyo jamaa mshamba amebuma anatafuta attention
@rehemaahmed8120
@rehemaahmed8120 6 жыл бұрын
hamad nyambwa we cdhani km hukazwi mna unatetea ushoga mwnamme mzma
@lyokamoses9724
@lyokamoses9724 6 жыл бұрын
Asante rehema kwa kunisaidia
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 6 жыл бұрын
hamad nyambwa nadhan unaitwa HAMADA, ilo hamad itakua umekosea kuandika right??
@abuusaidy1506
@abuusaidy1506 6 жыл бұрын
yaan huyo hamada hua Asikilize vzr alf ndio aonge anakuwa kama shoga bwege wee nyangau
@damiancyprian3347
@damiancyprian3347 6 жыл бұрын
true
@unionminja6531
@unionminja6531 6 жыл бұрын
Waambie Ukweli, Watoto wa Kiume wamekuwa sawa na Dada zao
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 51 МЛН
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,1 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 27 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3 МЛН
YOUNG LUNYA , KONTAWA NA MAARIFA CYPHER .
12:05
Abdimillionaire
Рет қаралды 82 М.
Nikki Mbishi & Stereo Freestyle On So So Fresh
4:16
KNOXNATIONTV
Рет қаралды 203 М.
Mwana FA Nitachagua kufa mimi ila sio mke wangu
19:15
The XO
Рет қаралды 98 М.
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 51 МЛН