Unju bila ata tuzo sisi wenye kuelewa tunakutuza uzalendo,ubinadamu,uhaki uhakika.
@jbsilulatv45133 ай бұрын
Kaa la moto ni moja ya wanyama nawakubali kuliko hata khali niwe mkweli
@suhailsodeh54443 ай бұрын
Sio ukweli mjomba kaa la moto ka copy flow za watu kibongobongo...his jerking people slang. ..sw sio kwa ubaya facts....mm namjua sasa nishakua nae miyaka kibao kitaa msa ..Unju ndio kamu inspire kitambo 10yrs ago.....
@bonifacemeela52473 ай бұрын
Yeah Kaa La moto Contents nyingi anazo Namkubali 💯
@hashimshaqur93633 ай бұрын
@@suhailsodeh5444haujui unaongea nn😂😂 Fid q ndio kam-inspire Kaa la moto sio Unju
@jbsilulatv45133 ай бұрын
@@suhailsodeh5444 kwa hio case ktk suala la hip hop tanzania imewaonesha njia rapaz wa kenya na wanasema kabisa akiwepo khali ni vile namkubali flow zake kitamaduni (swahili)
@suhailsodeh54443 ай бұрын
@@hashimshaqur9363kweli unamjua kaa ama ni shabiki mm namjua sanaa fid q pia kam inspire kweli kweli lkn unju zaidii lkn hawezi kubali mulize ananijua mm bwamchape hapaa
@LucasMashimba-g5g3 ай бұрын
Mbona kaa la moto ameflow kama mbongo iv I like the man flows
@zuberyaunda52633 ай бұрын
Kasikilize mtoto wa Mama Saumu bonge la ngoma kama mbongo humo
@ericmuthiani16762 ай бұрын
🔥🔥..naturally revolution
@rogerslwitiko39153 ай бұрын
Timeless flows,punchline, lyrics and flawless wordplays#Nikki Mbishi+Kaa La Moto
@FRANKELJAGUAR3 ай бұрын
Been following... Flowers across the boarder 💯🔥
@EmanuelBlassy-uz4gm3 ай бұрын
Unjuuuu endelezs harakati tupo pamoja nawe mzee wa kazi
@jq_tf73 ай бұрын
Love unju from🇧🇮
@AnniezMorez2 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 unju man a bad .....baddest artist ever salut kaa ❤❤❤❤
@brahood48013 ай бұрын
“Haya semeni, kuwa haya sineni, Nikinena mtanifungia mbona hawasemi Haya mkeni, kumepambazuka oneni, Poleni ipo siku mtanikumbuka ombeni”
@alphoncesamwel69733 ай бұрын
Hii ni memory kutoka kwa lrycal teacher Dr Unuq
@hassanikobelo36882 ай бұрын
Only hard core hip hop still alive wengine vilaza tu🐐🙌🏾
@BARAKAKAGGIКүн бұрын
Noma Sana kaka
@EmmanuelEnock-d6g3 ай бұрын
Kaaa la moto anamistari flani 🙌🙌
@ActrosEntertainment3 ай бұрын
From Rwanda 🇷🇼🎤
@masscophboeАй бұрын
Mchekeshaji mwana biashara aliact tu anahasira Never give up nislogan tu inamponza Leila
@ernestraymond40062 ай бұрын
Mm najiuliza hakuna anayekuweza hapa Africa sema mziki una watu wao ambao wanajua wachokifanya , Brooo keep it up hakuna hapa bongo ,east Africa we ni mkali.
@zubedamgumba8203 ай бұрын
Kaa la Moto 🔥 🔥 🔥, respect Baba malcom X,,,,haya semeni
@mimibusarachibu3 ай бұрын
Halafu unakuta hit kama hili halichaguliwa kama Hipop song of the year!Eti Mbuzi,minafiki kwenye matuzo;nia zao mbaya kama Mzungu aliyetuletea AIDS iliyojificha kwenye AID
@worldhappiness11813 ай бұрын
Ile nljua anachikua Darassa au kontawa aisee
@cavanindimbe16703 ай бұрын
Izo tuzo ata ungetoa ww ungempa mtu kwa nyimbo kama hyo?
@KhalidHashim-y4n2 ай бұрын
@@cavanindimbe1670huna akili kwani aliyempa tuzo twenty percent nani miaka hiyo usijizime data kama hujaelewa jua haikuhusu
@saeedmassoud2562 ай бұрын
@@cavanindimbe1670 hii ndio hip hop inavyowakilishw km haikushiki hauhusiki haitokusaidia pita hivi ccm mkubw ww tushakujua unapinga ukweli hata haya huna
@ShafiiMbande3 ай бұрын
Tumsapot mwanetu kwa kuendelea Kununua album yake ya KATIBA MPYA
@nsengiyumvapaulin62683 ай бұрын
Big up yourself Brother Unju, much love and respect all way from Rwanda
@JituMsitu-d8r2 ай бұрын
Jamaa namkubali kinoma sana
@JituMsitu-d8r2 ай бұрын
Baba Malcom, baba familiar respect
@HassanMussa-q9j2 ай бұрын
Good song, Arte mwenyezi mungu akujalie kwa kazi yako, uwele freshi sana kwa mambo mazuuur kama haya, Tiwele pamoja
@jaystrongmagaboy16333 ай бұрын
Unju Mkali @Msumbuji tunakufwatilia
@suhailsodeh54443 ай бұрын
Zidi unju ku wa inspire kina kaa la moto top flow zohan...
@pindabway3 ай бұрын
Ngoma yangu Pendwa 💯🔥🔥🔥
@YohanaPetro-xv9tp3 ай бұрын
Wa3 leo kwa unju nipate 10
@Mansawealthcreation3 ай бұрын
Umenunua album?
@Chqnilee963 ай бұрын
@@MansawealthcreationEbu mueleweshe hy hz sio season za comerd 🤳🤳 zq Bongo Hii ni Hip Hop 2nqsqmbqzq hqrqkqti hq2tengenezi kiki💪🏾💪🏾
@MOHAMEDHIZZA3 ай бұрын
Kazi kubwa sana bro nikki mbishi hongera kwa kuwachana wanaharakati wanao hamasisha ushoga verse 1 🔥🔥
@Freemasontv13 ай бұрын
Ila kweli nikki mbishi hujui chochote we ni CHOKO tu mbele ya p the mc ni nouma humuwezi hata ¼
@AteniOnesmo3 ай бұрын
@@Freemasontv1kwa ngima gan ya futi 6 ay😅😅
@NzaroNzaro3 ай бұрын
@@Freemasontv1atlist ungesema nash
@badmanno.16503 ай бұрын
Kaa la moto 🙌🏾🙌🏾
@HamsoMaulid9 күн бұрын
Moja kali sanaaa
@MuhinaPainting3 ай бұрын
Unju ni zaid ya high level
@kiswahilitv3 ай бұрын
👑
@anoldrwehabura77953 ай бұрын
Flows, lyrics, chorus na beat kalii 💯💯💯💯
@emmanueljuma58513 ай бұрын
this chorussssssss🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@samboarnold6113 ай бұрын
Kaaaa 🔥🔥🔥🔥 ..... Hii chorus kafanya nani anaejua anipange
@bonifacemeela52473 ай бұрын
Noma Sana Baba Malcom 💯🙌
@abiaslaurian93313 ай бұрын
A man in his making
@TheMsa-e8oАй бұрын
Kala moto sai umeanza kumakinika ama nivile umekutana na watuwazima😂😂😂
@willyjohn84883 ай бұрын
More than classic from 254
@kelvinjoseph45453 ай бұрын
This is real Hip-hop
@LucasMashimba-g5g3 ай бұрын
Unju is true Africa tunaonewa
@allymwanza24183 ай бұрын
Bin unuki..unjuuu waache watoto watuliee...track after track.inaweza wafanya watoto waache rap mzazi...hit banger ..❤...aiseee more fire bro
@briandelight67763 ай бұрын
Ngoma za kitambo broo support nunua album
@papamukulu10453 ай бұрын
Kaa laa moto 🔥🔥
@KassimYusuf-n5k3 ай бұрын
Kaa la moto iyo chorus ni moto
@mkadinali_ent.3 ай бұрын
Always on top
@Manzonzo3 ай бұрын
Unju 🙌🙌🙌
@eddiemohamed9003Ай бұрын
🔥🔥🔥💯
@EmmanuelEnock-d6g3 ай бұрын
Chorus tamu sanaaa
@gudaguda21703 ай бұрын
0:56 hapo sasa kuna mistari hatari 😂😊
@omarmoud10163 ай бұрын
Nimekubali😅
@FedrickDanielJob3 ай бұрын
Big up 😊
@crecknerz56613 ай бұрын
Hiii kalliiiii ,,🔥🔥🔥🔥
@MintangaBashiru3 ай бұрын
Tamaduni moja Hapa sisi 2 Nani alieturoga
@BMT20233 ай бұрын
100 Ngoma kali asili ya kiafrica huyo jamaa wa chorus kaa anatoka Zenji.
@JohnMabustar3 ай бұрын
Kaka ni mc kutoka Kenya anaitwa kaa la moto big up saaana
@allybakari40093 ай бұрын
KAA LA MOTO
@frankmadumba72433 ай бұрын
Kaa la moto
@josephjulius37863 ай бұрын
Never giveup ni slogan inayompoza Raila ....Bars
@abouskillskefea34133 ай бұрын
nikki bin upupu bin chavi chavi bin unju unuki hii ni hot mo than heat sources
@ferdnandshija23343 ай бұрын
+255 + +254=❤ Unjuuu
@nakalikyumile32343 ай бұрын
UNJUUUUU BIN UPUPU
@solozukc-13 ай бұрын
Unjuneering
@ndoxmafia3 ай бұрын
💥💥💪💪
@abel_esam3 ай бұрын
This is Material
@augustinogeto24753 ай бұрын
❤❤❤❤
@stevedunford36073 ай бұрын
We need united states of Africa
@diti48993 ай бұрын
Hii album ya moto sana
@Super-Casanova3 ай бұрын
🇹🇿🇰🇪💪💪💪🔥🔥🔥
@abdallahomary59303 ай бұрын
Bin unuq seseseko🔥🔥
@barakamwansele50403 ай бұрын
My Two Hip Hop stars kaa na mbish
@HaKuNaMaTaTa101eNT3 ай бұрын
✍️🏿💥💥💣🙌🏿
@kingbahy10253 ай бұрын
Mbishi ni nikki
@40kstore3 ай бұрын
Bonge moja la ngoma
@mchaleteknik3 ай бұрын
kaa la motooooo
@hashimshaqur93633 ай бұрын
Nani amerudia hiyo part ya Kaa la moto🥺 ukisikiza kwa makini utapata ujumbe mzito sana ila katumia misamiati mingi
@kherryhustler79163 ай бұрын
albamu naipataje
@AteniOnesmo3 ай бұрын
Nenda katiaka akaunt yake ya instabchukua namba mtafte
@aviidfox972 ай бұрын
Mbishi kama nn ....nakubal
@ibrahimmzito3903 ай бұрын
unju bin unuki🔥🔥🔥
@Raphaeldaudi-q7m3 ай бұрын
Hichikiitikio kinatisha sema 😢bx
@BongoCryptos3 ай бұрын
Safi sana.
@krazye25433 ай бұрын
Spittin truth
@gacoyakori3 ай бұрын
✊✊✊
@kilificyphergang20233 ай бұрын
Unju Bin Unuki🎉
@Freemasontv13 ай бұрын
Nikki mbishi hujui chochote huna lolote p mawenge humuwezi we ni choko tu
@nelsonmasolwa83433 ай бұрын
Njoo Uone huku mama yako anafirwa kizazi kiko nje
@Freemasontv13 ай бұрын
@@nelsonmasolwa8343 kuma la mama yako linatoa funza
@Shokolokobango93853 ай бұрын
Uwezi kulinganisha mawenge na unju
@obarainnocent38353 ай бұрын
Just show love to people
@EmanuelBlassy-uz4gm3 ай бұрын
Unjuu upupu anakuwashaaa wewe una kiwewe
@HussainRamadhan-c8s3 ай бұрын
Respect
@mwafrikabarz45073 ай бұрын
NICKAS MACHUCHE NI KUMBUKUMBU YA HIP HOP
@adamjutto58493 ай бұрын
Noma sana😢
@mfaumeally12703 ай бұрын
Unjuu
@Nathanielmwangemi3 ай бұрын
Hewaaah!!!
@MasoudMoto-qh4zc3 ай бұрын
Noma sana
@Brunoh90Tv3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿💪
@iraisolomon59903 ай бұрын
Facts✍🏿
@HassanZahalwa-p6lАй бұрын
Apa dunia imepata viumbe sio mchezo wengine wanabwata tu