Nikki Mbishi - KOPARETI ft Belle 9

  Рет қаралды 15,518

Nikki Mbishi[Unju]

Nikki Mbishi[Unju]

Күн бұрын

Пікірлер: 105
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 2 ай бұрын
Vinjunga visendo ,visokis na mapoz ya kpunga😂😂
@richardyusuphmsongolomakat2049
@richardyusuphmsongolomakat2049 2 ай бұрын
Nikk Mbishi ningependa kussuport harakati maelekezo tafadhari
@josephjohnmbeyale7590
@josephjohnmbeyale7590 2 ай бұрын
Pitia social network zake utapata taarifa zaidi.
@rejius11
@rejius11 2 ай бұрын
Bro una haki ya kuuza album zako, coz ngoma zina content every line has a meaning bro #no1hiphopstar
@G-meJames
@G-meJames 2 ай бұрын
Kumbe (adver)tise kwa madem aonekane mtu wa maana/ We pamoja na hiyo fame uonekane chawa kama wa Mama/ Nikki Mbishi ndio best lyricist bora wa muda wote bongo. Kama unakubali gonga like
@gudaguda2170
@gudaguda2170 2 ай бұрын
Huyu jamaa ni Lyrical sana, nyimbo zote zina vitu vyote muhimu kwa mashabiki
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 2 ай бұрын
Team Unju Tujuane
@Ashibutz
@Ashibutz 2 ай бұрын
Hizi ndo ngoma za mbishi
@ammyskills5588
@ammyskills5588 2 ай бұрын
Zaidi ya pombe na Mimama 🔥
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 2 ай бұрын
Kopareti jau sana wajikuta smart af wakikopa hawalete blabla nyng
@erickmanucho4092
@erickmanucho4092 2 ай бұрын
Chemistry ya Ninja na Unju Mamae
@didashi1901
@didashi1901 2 ай бұрын
Kum******mae mi verse ya moto huo mchorus 🔥🔥🔥🔥🔥
@manissa9514
@manissa9514 2 ай бұрын
Woraaap Nikki mbishi #BlessOverBless 👊
@RapperTyger-vv1vt
@RapperTyger-vv1vt 2 ай бұрын
Kumamamamakeeee bin ongara Nouma sanaa unju nakukubali 100
@Daizo255
@Daizo255 2 ай бұрын
Unju sura mbaya bin ugara kufa sifi noma sana
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 2 ай бұрын
Ile voice bado ipo kwa settlement
@andrewmanaku
@andrewmanaku 2 ай бұрын
Ngoja kali sana ina ujumbe mzuri sana kwajili ya maisha ya wasanii wanapambana kwajili ya kuwapatia mashabiki wao mziki mzuri nao wapate kitu kidogo ili waendeshe maisha yao hawa watu twatakiwa kuwapa sapoti ya nguvu sana
@Joe-2904
@Joe-2904 28 күн бұрын
Combination ya Nikk Mbishi na Belle 9 haijawahi kuniangusha🔥🔥🔥
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 2 ай бұрын
Unju ni ile hip hop yenyewe
@idrisahussein6654
@idrisahussein6654 2 ай бұрын
Nikki unampenda sana mwanao belle 9
@RamadhanKheir
@RamadhanKheir 2 ай бұрын
Belle is genius 👹👹👹👹
@gweja882
@gweja882 2 ай бұрын
Wapo Kila kona
@babuuaisson3029
@babuuaisson3029 2 ай бұрын
Hili goma nidarasa tosha. Unjuu bini unuki. KOPARETI
@darhustler
@darhustler 2 ай бұрын
Koparetii mmoja dokta 💥
@TmtFestival
@TmtFestival 2 ай бұрын
Oii 💯 #TukutaneMorogoro 🙌🏿🙌🏿
@alphoncesamwel6973
@alphoncesamwel6973 2 ай бұрын
Indeed kopareti wanazingua
@allybakari4009
@allybakari4009 2 ай бұрын
Umeshindikana UNJU 😂😂😂😂😂 Umewasanua vibaya MAKOPARETI
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 Ай бұрын
Huyu mtoto wa Morogoro anapiga Chorus kama the late Nate Dog.
@braggadachu1723
@braggadachu1723 2 ай бұрын
Sijajua nick mbishi😂una shida gani na billnas "maana kuna mstari unasema siku hzi hawajui kilingne tangu bill amekuwa nas"
@suhailsodeh5444
@suhailsodeh5444 2 ай бұрын
Ume inspire wengi mpaka kina kaa la moto huku kenya 4rl......😂
@salimadnan9379
@salimadnan9379 2 ай бұрын
Bella tisa noma sana
@khalidykijo1134
@khalidykijo1134 2 ай бұрын
Kuwa utayaona wapo kila konaa
@dallerbwoyniglo8675
@dallerbwoyniglo8675 2 ай бұрын
Uksklza juu juu n kama hawajafka viwango vyao kama beat ndogo ivi ukikaa vzur unajua kumbe hiyo beat n yakip didy wanaifata wenyewe na wamekufa kichz
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 2 ай бұрын
Huu wimbo ni bora zaidi kwenye hii album
@asjoh5390
@asjoh5390 2 ай бұрын
Bonge la ngoma Unju na belle 9
@didashi1901
@didashi1901 2 ай бұрын
Bonge moja kazi
@erickodhiambo6994
@erickodhiambo6994 2 ай бұрын
Bel9 kapiga chorus Kali sana
@balexendersun2793
@balexendersun2793 Ай бұрын
From Dr congo 🇨🇩 we love you bro
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 2 ай бұрын
Unju kill the flows,Belle9 Murder chorus🎉🎉🎉🎉
@Kadesablack
@Kadesablack 2 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
@LumolaSteven
@LumolaSteven 2 ай бұрын
Nakubali sana mwanangu ngoma kali sana
@nackplankton1669
@nackplankton1669 2 ай бұрын
Huyu sio Binadam wakawaida
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 2 ай бұрын
This duo kuna magic flani wako nayo
@Ucheshi
@Ucheshi 2 ай бұрын
Salute unjuuuu bin unuki.verified
@teddythoya7476
@teddythoya7476 2 ай бұрын
Unju once again and it's a real talk eeh🎉🎉
@suhailsodeh5444
@suhailsodeh5444 2 ай бұрын
The GOAT Unju...salute
@erickodhiambo6994
@erickodhiambo6994 2 ай бұрын
Elimu dunia
@FankTesha
@FankTesha 2 ай бұрын
Nikki
@Rankboisativa
@Rankboisativa 2 ай бұрын
Achia sasa ulofanyaa na conboi
@Tunyoorap
@Tunyoorap 2 ай бұрын
Dhaaa kaka upo vzuli
@ndoxmafia
@ndoxmafia 2 ай бұрын
@belle9 💥💥💥🙌
@jamalmariam
@jamalmariam 2 ай бұрын
yeah! man nikki mbishi on top🔥
@langemwepesi
@langemwepesi 2 ай бұрын
Belle tisa zaidi aziongeze nyengine
@emmanueljuma5851
@emmanueljuma5851 2 ай бұрын
NIKI MBISHI..... BRO TOU KNOW.
@Ashibutz
@Ashibutz 2 ай бұрын
Nipo nazipitia ngoma zote mpya nipo kwenye harakati zangu
@DannyWriter-m1y
@DannyWriter-m1y 2 ай бұрын
Hii ni album ya nyuma...KATIBA MPYA, album mpya ya Nikki ni Spana Za Unju. Huyu ni namba one nchi hii. Mfumo mbovu umefanya aamue kuuza album mwenyewe. Jichange mwanangu uwe unanunua album, ni kama vitabu kila ukiskiliza unapata mambo
@KelvinMwakalinga
@KelvinMwakalinga 2 ай бұрын
Noma san unju
@albywamandalinho
@albywamandalinho 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@allydamas3832
@allydamas3832 2 ай бұрын
Hii chorus ya bele 9 ni noma
@yojoruta3379
@yojoruta3379 2 ай бұрын
UNJU THE GOAT
@iFly-t9b
@iFly-t9b 2 ай бұрын
Ngoma kali sana Unju, aminia rasta
@40kstore
@40kstore 2 ай бұрын
Noma 😂
@hassaboy
@hassaboy 2 ай бұрын
Really hip hop wachache sana bongo hapa
@MengiRajab
@MengiRajab 2 ай бұрын
Alafuu wanakua na vifoni vya masikioni
@DennisFuka-c5f
@DennisFuka-c5f 2 ай бұрын
COnboi sio poa🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@diti4899
@diti4899 2 ай бұрын
Noma bonge la dude
@Nathanielmwangemi
@Nathanielmwangemi 2 ай бұрын
ohooo!!!nakubali mwamba
@Is_debi
@Is_debi 2 ай бұрын
My brother unju hiii🔥🔥🔥🔥🔥
@joemoen194
@joemoen194 2 ай бұрын
Nakubali 🙌
@Voiceofpeopleotz
@Voiceofpeopleotz 2 ай бұрын
😅uwe chawa kama wa mama....
@barakamwansele5040
@barakamwansele5040 2 ай бұрын
Noma sana
@emmanuelmaningu1703
@emmanuelmaningu1703 2 ай бұрын
Kali sana hii
@HaKuNaMaTaTa101eNT
@HaKuNaMaTaTa101eNT 2 ай бұрын
✍️🏿💥💥💣
@abdallahomary5930
@abdallahomary5930 2 ай бұрын
Oi oi baba Maliki zohan🔥🔥🔥🔥🔥
@mzeezidane4060
@mzeezidane4060 2 ай бұрын
Mbishi mwenyewe 😅
@davemalekela
@davemalekela 2 ай бұрын
Kuwa utayaona aiseee
@joshuamchau
@joshuamchau Ай бұрын
🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@hollymore4904
@hollymore4904 2 ай бұрын
nlimisi hii radha ya UNJU
@jossporahmsw8420
@jossporahmsw8420 2 ай бұрын
Tisha xnaaaa
@AbdulyMajaliwa-v4r
@AbdulyMajaliwa-v4r 2 ай бұрын
Belle 9 chorus killa
@MJB-Africa
@MJB-Africa 2 ай бұрын
HOME BOIII..... belle9
@Manzonzo
@Manzonzo 2 ай бұрын
Dr🙌🙌🙌🙌
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz 2 ай бұрын
This is message 👊
@zuberimohamed43
@zuberimohamed43 2 ай бұрын
Belle never dissapoint
@bittersweet1683
@bittersweet1683 2 ай бұрын
Always on point
@mickjizze
@mickjizze 2 ай бұрын
🔥 🔥
@mfaumeally1270
@mfaumeally1270 2 ай бұрын
Unjuu
@wakishuaafrica236
@wakishuaafrica236 2 ай бұрын
Unjuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
@DullaLomo
@DullaLomo 2 ай бұрын
Respect bro
@abiaslaurian9331
@abiaslaurian9331 2 ай бұрын
Darasa huru
@Abubakar-jh3wt
@Abubakar-jh3wt 2 ай бұрын
Tuko pamoja
@silasmwamburi9284
@silasmwamburi9284 2 ай бұрын
Unju
@Chainsawtz
@Chainsawtz 2 ай бұрын
Unju 🫡
@greyuhagile5051
@greyuhagile5051 Ай бұрын
Bin Unuq
@negotvonline6903
@negotvonline6903 2 ай бұрын
unju
@RamadhanMdoe-pe9il
@RamadhanMdoe-pe9il 2 ай бұрын
Spana
@BobzizuZizu
@BobzizuZizu 2 ай бұрын
🧠
@Ashibutz
@Ashibutz 2 ай бұрын
Tupe madini brother
@mweroruwa6339
@mweroruwa6339 2 ай бұрын
Ubunju Mkuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
@IsayaMlakiZ
@IsayaMlakiZ 2 ай бұрын
Wiser_on_beatz
@asjoh5390
@asjoh5390 2 ай бұрын
Bonge la ngoma Unju na belle 9
@DamarisDamash
@DamarisDamash 2 ай бұрын
Noma sana
@hassanbakari2009
@hassanbakari2009 18 күн бұрын
Always on point
Nikki Mbishi  -  NANI ALIYETUROGA ft Kaa La Moto
3:46
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 20 М.
Nikki Mbishi  - SANCTIFIED ft Kittah The Pro
4:30
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 11 М.
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН
How to create and use your United Healthcare Client Portal
7:57
Alexis Pepple Medicare Concierge
Рет қаралды 50
Nikki Mbishi feat Belle 9 - BUNI MBINU (2019)
3:46
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 109 М.
Dizasta Vina - Fanani
5:39
Dizasta Vina
Рет қаралды 56 М.
Shetta ft Belle 9 - Nimechokwa (Official Audio)
4:26
Shetta
Рет қаралды 27 М.
Nikki Mbishi - LEGEND IN THE MAKING ft ConBoi
3:23
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 19 М.
Nikki Mbishi  - MFUMUKO WA BEI
3:42
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 13 М.