Pastor Nikodemu Mwahangila hongera kwa kumtumikia Mungu aliye hai na wa kweli Mimi nipo Kahama nimekufuatilia nimeona jinsi Mungu anavyokutumia kibabe nimejikuta nakufuatilia nimekubali huduma Yako.Nimeokoka natamai kutumika kibabe kama Roho anavyofanya makubwa pamoja nawe.
@nikodemmwahangila33342 ай бұрын
Ubalikiwe sana Mungu akutumie
@user-no2tw5vb8j2 ай бұрын
Pastor Asante kwa kuniweka kwa maombi . Mimi ni yule nilikutumia audio juzi kutoka Saudi Arabia. Mungu akubariki sana, Amen .
@nikodemmwahangila33342 ай бұрын
Ubalikiwe sana
@NicodemBarantanda-ud7qy2 ай бұрын
Nina jina la kwanza kama lako nasskia amani ya kukushirikisha jambo nimechukua NAMBA Yako mtandaoni ntakupigia sm mtumishi wa bwana