Dada huwezi kusalimika Kwa kukimbilia Kwa rafiki Yako. Njoo hapa Kimara Temboni Kwa mtumishi wa Mungu Kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha Ili akuombee na kukuachanisha na hizo roho za kuzimu. Karibu sana Kwa Yesu na utakombolewa na kuanza ukurasa mpya wa maisha.
@piusnkwale Жыл бұрын
Amen
@ibnunguja97099 ай бұрын
Acha huo ushaur wakipuuzi ww
@MussaMussamsanu5 ай бұрын
Huo nao ni upuuzi pia, atatoka kwenye ushirkina unampeleka kwenye ushirikina mungine.
@t.jsaidia2047 Жыл бұрын
Wewe Muongo sana Kwanza uwoo mchezo unaufanya.
@AishaSaoud-m4i6 ай бұрын
Itabidi ushikamane na ibada Sanna na ukumbuke kumtegemea ALLAH HUAKBAR kwakila jambo Nasio kutegemea kitu kisichokua ALLAH matokeo yake ndio hayo SHEYTWANI daima hakupi kitu buree lazima utalipa tuu na malipo yake ni kumkufuru ALLAH Lakini msada wa ALLAH hauhitaji malupo wala sadaka wala nini TUMTEGEMEE ALLAH HUAKBAR KWAKILA JAMBO
@aliyissa9857 Жыл бұрын
Rejeeni kwa Allah
@twalibukassim61112 ай бұрын
Pole sana dadaang ila ninachokushaur nenda kanisan kukimbilia kwa rafiki yako sio kutatua tatizo bado utazid kuandamwa.
@mohamedhamdan495622 күн бұрын
Hii ni urongo huyo mke wa boss atakupelekaje Na wakati bado yupo😂kwenye nifaas siku za 40 😅😅😅😅😅 hii ni urongo
@SadiNassib Жыл бұрын
Omn hawatumii pound. Pole sana kwa mitihani.
@MaryamMoosa-y1t Жыл бұрын
Mimi nipo omani wacheni uwongo msichauwe utu wa mtu na ww dada mungu anakuona tafuta pesa kwa njiya nyingine
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
kwa kwel🤔
@MARYNAGUJustin6 ай бұрын
Wa omani mwenzangu bravo
@FatmaJuma-bv4ej2 ай бұрын
We dd Acha uongo Oman hupajui pesa pia hujui inaitwaje mara kwarafiki mara nimeandaliwa na mamakubwa we mungo xna
@RatifahNgunga-tv4eg7 ай бұрын
Ungeiambia pete nirudishe nyumban wewe muongoooooooo😂😂😂
@djafariselemani21 сағат бұрын
Balaa😂
@KINGABUMEKAR3 ай бұрын
ACHANA NA USHIRIKINAA NENDA KWA USTADH AKAKUOMBEEE DUAAA
@vaimallya5383Ай бұрын
Acha zako wewe😅i😅😅😅😅😅😅🎉😅😊
@hajramakwiro28306 ай бұрын
😅😅😅😅Muongo huyu nae mambo ya jamila na pete ya ajabu pumbavu hajui hata pesa ya oman inaitwaje😂😂😂😂😂kwendraaaaa
@JanethKassim-x1p4 ай бұрын
😢tokaaaaa.mbwaa wew mbea mkubwa
@HadijaKikoto5 ай бұрын
Mmmh haya mapya
@Safinamfinanga3 ай бұрын
Huyoo ata oman akujui kama ela tu ajui inaitwaje haache story za uwongo muohopeni Mungu kutangaza Sonoma na humorous ata ww mtangazaji muogope Mungu 😢
@زينبعليعبدالله-ز3س Жыл бұрын
Looooh astaghafrullah muongope mungu wako ww mwanamke kwann unawazalalisha hivo binadamu wenzako 😢😢😢
@threyahejre64054 ай бұрын
.ukitaka pesa omba siyo uongo.oman niwatu safi achauongo
@HusseinKagesho9 ай бұрын
shukran ....Halima.usimtowe mwanao mbona Hawajitoi wenyewe wayaone hayo Mateso ......Kwani lazima utajiri utoe mwanao kwa Manufaa gani ikiwa Mola amekupa Akiwa mzima wewe wampeana kwakuwa Hana Thamani wewe diwe mwenye Thamani........kiumbe kiovu Kichafu kibishi.....mwisho wa yote utarudi kwake yeye mumba wako. kwa ujinga wamwanada unakitii kiumbe kiliotiwa uhai niMwenyezi Mungu...ulindanganywa ninani shetani jini ibilis hawana uwezo wowote kuhusiana na uhai Mwenye uwezo wauhai tu niALLAH.s.b.w sijui jini lussifa shatan kibwengo....ukwaju porojo vyote hii lazima tena sikia kwamamini lazima uhai wao urudi kwa Mwenyewe......Je wamjua...kama humjui usidangannywe ni wapumbavu . Mwenyewe ni.......ALLAA....s.h.w kazi kwako. shukran❤🌹🇰🇪❤🇰🇪🌹🇰🇪❤🇰🇪🌹🇰🇪🇰🇪❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤ 39:27
@MustafaSalimu-k1l5 ай бұрын
Naomba niuzie hiyo pete
@NeemaWilliam-ux1qv8 ай бұрын
Pole sana mkasa huo
@KarolinaOman6 ай бұрын
Acha uongo dada 😘
@gospalflavour7304Ай бұрын
Nenda kanisani weweeeh.Hata izo shuhuda hazitausaidia kitu. Nenda kwa kuhani musa au gwajima au matembele ya pili utasaidika kutoka kwene hiyo mitego
@maheralzakwan797 Жыл бұрын
Muongo Sana tena mmh story ya uongo lol😅😢😢😢
@mohamedhamdan495622 күн бұрын
Haina maana inamaana ulikuwa unapenda hii kazi
@LilianHassanRajabu Жыл бұрын
Mdogo wangu hakuna awezae kukuokoa na hilo isipokuwa ni mungu pekee na kwa kumwamini yesu kristo awe bwana na mwokozi wa maisha yako suluhisho pekee ni yesu tu
@Qaswararafashion504111 ай бұрын
Yesu Kawa mungu eti kiroho 😂😂😂
@SalimSaid-k3z6 ай бұрын
Muwongo sana ukifirws mara.mbili tu usizahe uwongo sana tena mbeya
@SalimSaid-k3z6 ай бұрын
Muwongo sana dada pete gani hiyo
@hamedalharthy49027 ай бұрын
Pls pls mongo Sana 🙏🙏🙏😂😂😂😂
@ShafiMohamedi5 ай бұрын
Mh 🎉🎉🎉
@SaidSwedi-q2n5 ай бұрын
Dada muogope Allah mbona unaleta zama za zamani sana
@MustafaSalimu-k1l5 ай бұрын
We kwa nza ni mchawi kendal zako
@serahsosthenes4 ай бұрын
Dada kimbilia kimara temboni kwa mtumishi wa Mungu Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha utapata ufungulivu hayo majini hayatakudai damu tena utakuwa huru kuliko kukimbilia kwa rafiki wakati pete inauwezo wa kumtoa kafara hata huyo rafiki yako😮😮
@HayronSalmin7 ай бұрын
Wewe bint no muongo sana ba hiyo story ya kutunga
@YusuphNuru-c1j3 ай бұрын
Yani we dada Mungu anakiona ujue,umesema ulipanda ndege bila kumtaarifu mama yako ukamkuta uwanja wa ndege je uko kwa rafiki yako ukumkuta?fara sana wewe
@AkizimanaLyaka4 ай бұрын
Hakika mambo yame taladady
@MustafaSalimu-k1l5 ай бұрын
Hii stor umetunga miezi mingapi
@samiraalharthy7606 Жыл бұрын
Uyu mama mwongo sana anajitangaza uchawi wake. Bosi wake anasema kiswaili? Uko kwa mamkubwa ao kwa rafiki yako mbona umechanganikiwa bibiye 😅 Ukweli hufichwi nikama mimba 😊 Usitafute sifa kwenye ma social media 😂 😂😂kama Sheni na bibi wamyaka 60😂😂😂
@SalimaNasri-f9e Жыл бұрын
Huyu Dada muwongo sana nyau uyu ndokwanz namsikiha yeye
@SalhaAlly-x8q2 ай бұрын
Hii stori ni ya mchongo wanauza mb tu hakuna ukweli hapa mipango
@LovenessBozza4 ай бұрын
mwongo hujawai kwenda oman nakujua upo tabata shule nyaluela achen kudanganya watu
@KarolinaOman6 ай бұрын
Acha uongo wa nyumban kwen weee
@ibrahimjuma9709 Жыл бұрын
Toka lini wa arabu wakatumia paund jamani uongo huu
@happysenga93404 ай бұрын
Murudie mungu wako
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv Жыл бұрын
Hata ukitoroka anakuona
@elijahbaraka9470 Жыл бұрын
Yani uwongo mwengine hadi shetani anakaa pembeni anachukua noti.
@savanahoketch8998 Жыл бұрын
Kubalini yesu
@ahmedaljabri1206 Жыл бұрын
Freemason ninjaatu subuhana Allah
@FatumaAhmed-e8c6 ай бұрын
Dada huyu muongo sana hakuna mtu anae teswa oman,huyu ni wale ambao hawapendi mendeleo ya mtu Hayo mengine ya pete ni imani za kishitikina usidanganye watu Una taka umaarufu😂😂
@ShafiiKavava3 ай бұрын
Wapga hela hawa
@rayansaldivar27969 ай бұрын
Mwongo mkataba wote oman ni myaka 2😂😂😂 mouuzi mkubwa. Unda story za kweli apana kudaganya chefu
@fayzaathumani-vq9hl Жыл бұрын
mnafiki mkubwa wewe dada muogope mungu mimi nipo omani akunakitu kama hicho
@NYAMGUMAMAHMOUD Жыл бұрын
Mmb
@DicksonIgnas-pq1rj Жыл бұрын
Ulikuwepo kwenye maisha yake au ndio Uswahili wakuyajua mambo yote kwenye dunia
@DicksonIgnas-pq1rj Жыл бұрын
Ulikuwepo kwenye maisha yake au ndio Uswahili wakuyajua mambo yote kwenye dunia
@WardajafarifugaWardajafarifuga Жыл бұрын
Muongo sana niko Omani mwaka wa 6 Sasa hayo mambo sijawah yaona kabsa
@rowlandmcharo5437 Жыл бұрын
Huyoo mwanamke mwongooo kabisaaa.
@MariamNkusa3 ай бұрын
Ulikumbuka baibui lako alilokupa mwarabu
@gloriaraphael94967 ай бұрын
Uongo mtupu mara hapa ni Kwa shangazi kaniandalia mara tena nyumbani Kwa Rafiki angu 😂😂
@user-xf9or5cv1d Жыл бұрын
Maneno yako ya uwongo uwongo
@omanomsn1820 Жыл бұрын
We Dada mwongo akuna mkataba wa miaka nne ni miaka miwili 2 ukimaliza ndo unaongeza Tena miwili ila wwe Dada 😅ni hatari
@jokhagadafy2144 Жыл бұрын
Huyu dada ndio wanaosababisha wenzie wafungiwe watu hawan shukran
@hamedalharthy49027 ай бұрын
Hakuna Dr wanyumbani uyu dada nitapeli
@kulngeleza6733 Жыл бұрын
Uyu dd nimemsikiliza vzr tena hata oman apajui uyo bosi wake alikua anaongea nae lugha gani ww dd malaya mkubwa ww usituhalibie oman ye2 nchi ya amani tena koma 😂😂
@sophiajonas2090 Жыл бұрын
Usiseme hivyo wanafanyiwa Mambo ya ajabuvsana
@Maryammadafa Жыл бұрын
Ulifanyiwa wewe nyoosha maelezo😂😂😂
@Cutesarahor7dj7qh6d Жыл бұрын
Pete ya Jennifer 😂😂😂 uwongo huo ni pete ya Jennifer hiyo rudisha
@SalimSaid-k3z6 ай бұрын
Sio kweli
@williamsimba458 Жыл бұрын
Dada nenda kwenye maombii ya walokole
@Fatmaaa123eid Жыл бұрын
Wewe tuu
@MustafaSalimu-k1l5 ай бұрын
Kwa nini usizae na yule mwarabu
@wiza2309 Жыл бұрын
Unasafiri bila ticket ya ndege jamani?
@fahmialbahri3954 Жыл бұрын
Usiwavunjie wenzako riziki kwenda omani unasema uogo tu hapo
Acha uongo kweli uingiliwe na bosi wako kinyume cha maumbile halafu usipige hata kelele usitudanganye
@dudemussa6715 Жыл бұрын
Dada anajieleza lakini pointi zake ni zile zile za marejeo. Havutii sana kumsikiliza.
@MustafaSalimu-k1l5 ай бұрын
Kavae kimini hiya so vazi lako au kavae kaniki
@SalimSaid-k3z6 ай бұрын
Mbeya sana
@Maryam-z8r7g Жыл бұрын
Ndege ya nyooko
@hamedalharthy49027 ай бұрын
Wewe ni mwizi
@solomonmwampashe7131 Жыл бұрын
Inawezekanaje hajui hata nipesagani zinatumika huko Uarabuni?
@NuruMgonja Жыл бұрын
Ongoo kubwahili Oman hawatumii paund nalugasio Kiswahili ogooo kubwa hilii Lina Laana inaonekana
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Kule kasema jina lake Halima hapa kasema🤭
@mohamedalmarjabi4921 Жыл бұрын
Wewe ni professor wa uongo sijawahi kuona muongo kama wewe vipi wewe unayajua mambo yote hayo shenanigans mmoja fitnaa mmoja
@mwazyelady4683 Жыл бұрын
Muongo mkubwa moto unakungoja pesa uliyopewa haitakusaidia chochote mchawi ukome Oman Habari zote za boss ulizia hata kwenda kwa Ustadhi na huyo mama arudishwe nyumbani kwao wewe ubaki na boss Si pete tu ingekurudisha Tz Mkataba Oman ni miaka miwili wee kizabizabina nyooo
@saidmuhsinbakhresa91397 ай бұрын
Ww dada mnyama sana kwa unyama huu dunia simama mie nishuke maana hali ni tete
@SalimSaid-k3z6 ай бұрын
Jamani mbeya sana wewe k yako
@mgm412 Жыл бұрын
Hii ni tamthilia au?
@rayansaldivar27969 ай бұрын
Uyu hajawahi kufika oman mara eti pesa pound. Mara dactari wanyimbani😂 yani were fala kweli. Oman nzima hayupo dactari wanyimbani wanaenda Royal hospital.
@asilabalarab6087 Жыл бұрын
Uongo mtupu story ya kutunga
@nancyg86647 ай бұрын
unavotudanganya hivo iyo pua na macho ndo vinazidi ukubwa😢
@MustafaSalimu-k1l5 ай бұрын
We Acha uduanzi Huna data pss kendal mchawimkubwa ww
@alimwacharo Жыл бұрын
Kama inahitaji sadaka wacha ikae
@alimwacharo Жыл бұрын
Naomba Pete dada
@WahidaHilaly9 ай бұрын
Huyu dada jamani
@MustafaSalimu-k1l5 ай бұрын
Nitakuunganisha na rafiki ili mfanyne ze comed
@lilyan3101 Жыл бұрын
Dunia simama nishuke maana ulimwengu umejaa watu waongo,jamani kumbe kutafuta umarufu ndiyo hivi,ustar siyo lazima uimbe au uwe muigizaji jamani,hata ukitafuta story za kwenye movie tena hasa movie za wa Nigeria 🇳🇬 ukauvaa huusika,basi tiyari ushakuwa maarufu,sivyo jamani,dada anaelezea hadithi za kwenye movie za kinaigeria kabisa,mungu akusamehee sana kipenzi na akupe muangaza ,akutoe kwenye kiza cha wachawi,maana naona wewe na huyo mama yako muna mpango wakuingia kwenye ushirikina,shindwa na ulegee😢
@nashnene6326 Жыл бұрын
Japo story ni ya uongo au promo ya mganga lkn nimefurahi kwa kuwa waalabu wanawatesa sana wafanyakazi, haswa ukisikiliza story za wanawake wa Kenya waliorudi arabuni waliopitia madhila makubwa
@ibrahimjuma9709 Жыл бұрын
Lengo lako ni nini kama siyo kunadi ufirauni wewe muongopeni mwenyezi MUNGU kaburini ni kuzito
@bas2823 Жыл бұрын
Huko Africa wanaume wengine na sio wote wanazini na ma yay wa nyumbani wafanya kazi za nyumba! Wanawaacha wake zao wanawapenda wafanya kazi kwa kuzini nao sio uarabuni tuu huko ndio sannaaa mambo hayo yanafanyika! Lakinj mbona hamyasemi!? Ili itakuja kuonesha kuwa nyie watumishi waking ndio makhabbithi uzini na warmer wa madamu zenu na mimba wanatiya na kuwaowa wanawaowa juuu ya wake zao. Na mke masking ya MUNGU HANA KILMA YA KUSEMA NENO KWA MUME! ALAU HUKU ARABUNI WANAWAKE WENGI WANAFANYA KAZI NA WANA VYEO WANAWEZA KUJITEGEMEA WENYEWE JE!? HUKO WANAWAKE WENGI GAWANA KAZI WALA KIPATO CHOCHOTE KILE NDIPO MUME ANAMTAWALA MKE SASA! ANAVOTAKA YEYE😢 AUDHU BI LLAH MINA SHEITTAN RAJEEM!😢! SO MANY AFRICAN ASIA HOUSE MAIDS ARE IN OMAN! NA HATA SIKU MOJA HATUJASIKIYA MTUMISHI WA NYUMBANI KUTESWA WALA KUDHULUMIWA. ILLA WAO HAO WATUMISHI WA KIKE NDIO WANAWACHUKUWA WAUME ZA MADAMU ZAO. ILI KWAAJILI YA TAMAA YA PESA N KUJIFANYA YEYE NDIE MWANAMKE ANAWEZA KUMGHILIBU MWANAMME ANAVOTAKA YEYE MPAKA AMUACHISHE NA MKEWE IKISHA ANAJITAWALA YEYE NDANI YA NYUMBA YA WATU WENYE WATOTO WAMESHAZAA NA WENGINE KUJUU PIA WAO MA YAYA WA AFRICA WAZIBOMOWA NDOWA ZA WATU😢! WENGI WAO HAO NDIVO WALIVYO! PESA WANEWEKA MBELE KULIKO IHSANI NA ADABU NA UTU! HAO WATUMISHI WA AFRICA. HUSIKII KWA MAYAYA WA HINDI WALA WA PHILIPINS WALA WA ASIAN ! ILLA FROM AFRICA ONLY DIO WANOVITUKO VYA KILA NAMNA😢! ALLAH AWAHIDI NA JAMIAN. AMIIN🤲 BORA SERIKALI YAO IWAFUNGIE WASIJE UWARABUNI HATUWAKI KWA SABABU HAWANA KHERI WALA SHUKURA HAO WENGI WAO😢! NA SIO WOTE!
@NiyomdikoSavera5 ай бұрын
Mbona sielewi huyu dada kama muongo vile
@ashuramhandoashuramhando6798 Жыл бұрын
Nikiona tu foxe nakasirika waongo tupu siyo Kweli
@khatibabass3106 Жыл бұрын
Kwaio mama yako mkubwa pete hanayotena mpaka asijue ulipo wakati ulipokua omani alikua anajua kila unalofanyiwa.hahahhahh MB zangu jaman
@lilyan3101 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@omanomsn1820 Жыл бұрын
😅😅Mtihani Kuna watu ni waongo atari
@RatifahNgunga-tv4eg7 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@aishayika3684 Жыл бұрын
Eti pounds daaah pound Oman????
@ednahumazi777 Жыл бұрын
Huyo mama muongo mara anastory tafauti hata njinji watangazajimumezidi