No video

“Nimecheza mpira pekupeku” - Safari ya nyota wa Serengeti Boys kuelekea AFCON-U17 (2019)

  Рет қаралды 2,913

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Mchezaji wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 #SerengetiBoys Ladaki Juma amesema miongoni mwa changamoto ambazo amekutana nazo katika maisha yake ya mpira baada ya kuingia kwenye kambi ya timu ya timu ya taifa ya vijana (U13) katika Kituo cha Alliance ni kucheza mpira bila viatu (pekupeku)
Hii ni makala fupi inayoangazia safari ya baadhi ya nyota wa Serengeti Boys, na hapa unakutana na Edmund Godfrey ambaye ametokea mkoa wa Geita na Ladaki Juma ambaye ametokea mkoa wa Morogoro. Wote walikutana Alliance Academy na sasa wanaing’arisha Tanzania kuelekea fainali za Afrika kwa vijana U17 zinazofanyika nchini kuanzia Aprili 14, 2019.

Пікірлер: 1
@freddymello3227
@freddymello3227 4 жыл бұрын
Hongera sana Dogo pambana ukacheze ulaya
Vital'o FC 0-4 Yanga SC | Highlights | CAF CL 17/08/2024
10:10
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 26 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 1,7 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /28/ #love
45:53
BabaJoan
Рет қаралды 78 М.
KIKOSI KILICHOANZA SERENGETI BOYS VS NIGERIA
5:41
Global TV Online
Рет қаралды 19 М.
ALL GOALS: Serengeti Boys vs Ghana April 3 2017, Full Time 2-2
12:58
When Interviews Go Terribly Wrong...
11:42
Score 90
Рет қаралды 936 М.
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 26 МЛН