Kwaya yangu mwalimu! Ndipo nilipoanzia kuimba kwaya. Nimemkumbuka mwana kwaya mmoja hapa Makrina, na mcheza kinanda marehemu Mwl Sarwat(apumzike kwa Amani). Kiongozi wangu mwenyekiti Peter Mavunde Ex mayor Dodoma municipality alijua kutuongoza na kutuunganisha.
@salalagonzales5203 Жыл бұрын
Hongera Sana muimba mashairi, hakika umejaliwa kipaji Cha kuimba!! Ahsante kwa Mungu. Hongereni Sana wote