Nimependa Sana wimbo huu najisikia kubarikiwa, mungu awabariki nyote kwa kazi nzuri
@rosebeauty700 Жыл бұрын
Twakupenda Bwana 😢
@peterbongo9493 Жыл бұрын
Perfect. Utunzi, uimbaji, audio & video, everything just pefect. Haichoshi masikioni. Mungu ambariki kila mmoja aliyeshiriki katika upishi wa kazi hii, Amina.
@rosieismael4085 Жыл бұрын
Hongereni sana sana good job mbarikiwe najivunia kuwa mwana Kinyerezi wtt wa Bonaventure tuko juuuuuuu nawapenda
@PamelaJoseph-z5m Жыл бұрын
Wimbo umenibariki sana jmn nawapenda wote mloimba.
@TalentedMusiciansTMO Жыл бұрын
Kazi Safi Mno 🙏🙏🙏 Miaka 100+ tena kwenu #thegalaxypro 🔥🔥🔥
@hillarybwagidi9994 Жыл бұрын
Kongole maestro Idama kwa kuuenzi Muziki Mtakatifu Tapo la Mapokeo. Hongera waimbaji, natural voicing. Kongole Organist, ni mmojawapo wa vijana wenye kutambua na kusikia maadili ya waliokutangulia. Endelee hivyo hivyo, usitoka njia kuu. You are on the right track. Bwagidi, H.B.
@beatusidama6233 Жыл бұрын
Tumshukuru Mungu.
@paschalnyankurya8583 Жыл бұрын
Atukuzwe Mungu daima. Hongereni kwa uinjilishaji mzuri.
@benardlameck7340 Жыл бұрын
Hongera mwalimu Idama kwa kazi nzur mno endelea kuitanganza injili na Parokia 🎙️🎙️🎙️🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@peraziakaloly9246 Жыл бұрын
Asante Sana, mbarikiwe kwa uimbaji ulio na utulivu sauti zilizopangika pamoja na uinjilishaji wa neno la Mungu lenye chimbuko la imaniyetu EKARIST TAKATIFU . Hongera sana
@alcardgeorge2207 Жыл бұрын
excellent.kweri inatafakarisha sana Mwili na Damu ya Bwana wetu Yesu Kristu
@dianakitika Жыл бұрын
Amen Amen tafakari Kuu🙏..Wabarikiwe wote waliofanikisha Injili hii 🙏
@edithamallya3581 Жыл бұрын
👌🏻🙏🙏Nzuri sana hongereni wote Mungu awabariki
@rosejoseph864 Жыл бұрын
Hongera Mwl kwa utunzi, pia Hongera kwa Wanakwaya wote, mpe hi sana huyu dogo sauti ya Malaika kautendea haki, Mungu aendelee kukuza kipaji chake🙏🙏😘😘
@beatusidama6233 Жыл бұрын
Asante. Pongezi zitafika kamili.
@rosemarypius9996 Жыл бұрын
Hongereni ndugu zangu katika kristo yesu
@getrudawillison6929 Жыл бұрын
Amen asnt sana kwa wimbo mzuri👏👏👏
@julianprubavu4069 Жыл бұрын
Hongereni sana mnaimba vizuri sana Mungu awabariki.
@WinnifridaRobert Жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mtamu na mzuri sana . ❤
@cosmasbarnabas4927 Жыл бұрын
Duh!Huyo binti mdogo lakini sauti yake......Mungu amkuze katika kimo na hekima
@johnmwangi174 Жыл бұрын
Wambarkiwe wimbo kuabudu yesu ekaristia
@marineusmutongore Жыл бұрын
Hongereni sana , kazi nzuri
@ezradastan4167 Жыл бұрын
Amina amina, Wimbo umetendewa haki kila kona. You made my day kumuona yule mtoto alinifanya nilie siku anaongoza Wimbo wa maombi
@scolasticaurembo1536 Жыл бұрын
Hongereni sana ,kwa uimbaji mzuri ,Mungu awabariki sana .
@agnesmatuku7792 Жыл бұрын
Wimbo huu unanibariki Kila ninapouskiza🔥🔥🔥
@KalltuniClassics6 ай бұрын
Hongereni kwa kazi nzury. Huyu msichana mdogo yuko vizury
@costanciamkinga5040 Жыл бұрын
Hongereni saana. Kwa wimbo mzuri wenye maneno mazuri sana🙏
@michaelkiheka23423 ай бұрын
Asante kwa utunzi wako kijana na Mungu akuongezee karama
@yohanambano872 Жыл бұрын
Hongera sana mtoto uko vizuri
@DomiBanzi Жыл бұрын
Hongerani mno waimbaji pia mtunzi kwa tafakuri hii ya ndani kabisa juu ya Ekatisti Takatifu.
@marymalikamalkiathepsalmis5321 Жыл бұрын
Kazi nzuri Sana Lazarus na team yote..
@franciscandanu7634 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤Very nice congratulations
@glory751 Жыл бұрын
Wimbo mzuri umetulia ,waimbaji wametulia, Sifa na utukufu kwa Mungu juu.
@victoriamleo3198 Жыл бұрын
asanteni kwa wimbo mzuri wenye maudhui safi. bila sebene inawezekana. sauti nzuri na tamu inatosha sana
@albertmaneno Жыл бұрын
Well composed...well played..well sang.. Ujumbe umesheheni umahiri na uelewa mkubwa wa mafundisho ya kanisa kuhusu Ekaristi takatifu katika upana wake
@beatusidama6233 Жыл бұрын
Asante Mwl. kwa kututia moyo, kwa msaada wa Roho Mtakatifu, haya na mengi makubwa tutauaweza ilMuumba wetu tumpe sifa yake kuu na kusaidia wokovu wa roho wenyewe
@theodoratungaraza2214 Жыл бұрын
Munnaimba vizuri
@heavenlymusicproduction4360 Жыл бұрын
Safi sana Mtoto sauti yake ni despina ajaye kabisa
@beatusidama6233 Жыл бұрын
Asante. Mwenyezi anaweka kila mtu kwa namna yake. Naye kamjalia atakuwa wa kipekee ili upana wa makuu ya Mungu ujulikane.
@benjaminkinoti Жыл бұрын
Wonderful composition👏👌🙏
@vincentmunyao4911 Жыл бұрын
Hii ni Kali sana. Hakika Yesu atupenda
@OrganistjamesKtZ Жыл бұрын
Thanks sana kwa huu uimbaji wenzetu💓💓💓
@simonwilliam1240 Жыл бұрын
What a masterpiece song in Praising Our Holly Eucharist....Y.Thadei at their Best,May God Keep the Good Spirit!!❤❤
@cyrilzum3785 Жыл бұрын
Hongereni kwa utume nyote .hongera sana Mtoto .katika yote Mungu atukuzwe❤
@zachariaHillary-tc8qr Жыл бұрын
Hongereni wote kabisa.Well done.Nahitaji frash yake ninunue tu
@IsackFerdinand Жыл бұрын
Twakupenda Yesu,for real
@gilbertsimon373 Жыл бұрын
Yatosha kukata kiu kabisa 🙌🙏🙏🙏
@jenipherkyando4822 Жыл бұрын
Amina watumishi nimebarikiwa mno
@dokctv_dokccatholic Жыл бұрын
nice song
@manumbubujiba8610 Жыл бұрын
hongeren Sana kwa kazi nzuri
@beatusidama6233 Жыл бұрын
Asante sana ndugu
@alexkaiza4020 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@peterndirangu3246 Жыл бұрын
Good singing....God bless you!
@stephenklambati8669 Жыл бұрын
a very nice song
@simonsperatus6730 Жыл бұрын
Mr Idama, well done!. God bless you all. It's a good song
@williamcosmas1986 Жыл бұрын
Huyo dogo ni baraaa.... Mungu wetu anazidi kumpambania zaid
@sistustesha4553 Жыл бұрын
Hongereni kwa kuinjilisha vyema juu ya mafundisho ya EKARISTI TAKATIFU. Hongera Mwalim kwa utunzi uliotukuka.
@beatusidama6233 Жыл бұрын
Tunamshukuru Mwenyezi kwa kutujalia kufanya hivi kwa sifa yake kuu.
@raymondodhiambo1552 Жыл бұрын
Naomba kwa moyo mkunjufu nota . Kazi nzuri hongera
@carolinemutugu8098 Жыл бұрын
Nota tafadhali
@stevenkalenzo64576 ай бұрын
Ee MUNGU Mwenyezi endelea kuwabariki watumishi wako ,,,,,Mwl Idama endelea kutumika mpaka uchakae ndani ya Kristo utapata Neema ya kuingia Mbinguni
@emmanuelmutuku1191 Жыл бұрын
Just beautiful you give me a reason to go before the Lord in adoration
@deusdeditmakanta4685 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana mumemuheshimisha vizuri Yesu wa Ekaristi Mtunzi amejitahidi sana sana sana
@ogingakevinonyango1986 Жыл бұрын
nice song how can I get the scores
@Simon-mw7yx Жыл бұрын
Amina sana umenibariki sana huuwimbo
@davidchalamila5898 Жыл бұрын
Congratulations for all but lazarus p..unanikosha sana ..
@SamuelCheboi2 ай бұрын
Very nice song
@johndgurty9011 Жыл бұрын
Nakuona organist
@BeataIdama6 ай бұрын
Wimbo huu unanibariki sana
@felisterligwa Жыл бұрын
Safi sana🙏🙏🙏🙏 twakupenda Yesu
@MelkiadesLucas-w2p Жыл бұрын
nawaombea kwa mungu
@kanikisimon7495 Жыл бұрын
uyo binti aliyesolo kongole kwake
@josephlango5591 Жыл бұрын
Amina
@hildaluther2372 Жыл бұрын
Sifa na utukufu apewe Bwana Mungu! Mbarikiwe sana wanakwaya ya Mt. Yuda Tadei Kinyerezi.
@MaryKitosi-m5hАй бұрын
❤❤ mewamic
@KASHUMBAAUDAX-nm7kw3 ай бұрын
Hellow....kwema??? Samahan huu wimbo naweza kuupata kwa maandishi????
@judithmoraa142 Жыл бұрын
The Eucharist
@theodoratungaraza2214 Жыл бұрын
Mtoto una kipaji cha kuimba
@tmb-iv3td Жыл бұрын
Siku ya kwanza tu nausikia wimbo uliamsha msisimko wa hatari juu nilichosikiliza, tazama, na zaidi wimbo ulinipa tafakari ya ndani mno juu ya Ekaristi Takatifu.... for sure Idama utabaki kuwa Idama.
@josephatmwema561 Жыл бұрын
So Despina its voice auditing how can that girl sing like her?😊😊😮😮😅😅😂😂
@carolinemutugu8098 Жыл бұрын
Kongole,lakini nota zi wapi,twataka kusoma huu wimbo vilivyo tafadhali
@michaelkiheka23423 ай бұрын
Mwl umenikumbusha enzi za saruji Tanga
@NoteSacre493 Жыл бұрын
❤❤❤
@sistustesha4553 Жыл бұрын
Pongezi nyingi kwa mtunzi pamoja na waimbaji wote haki mmetutafakarisha
@hillarybwagidi9994 Жыл бұрын
UKWAKATA BILA SEBENE INAWEZEKANA [H.B.BWAGIDI]
@rosemarypius9996 Жыл бұрын
Hongereni ndugu zangu katika kristo yesu
@beatusidama6233 Жыл бұрын
@@rosemarypius9996 Asante sana. Tufaidike kwa pamoja kwa muziki wa Kanisa.
@raymondodhiambo1552 Жыл бұрын
@@beatusidama6233naomba nota . Kutoka Kenya nazithamini sana kazi zako.
@paulhermany7948 Жыл бұрын
Hii ndio tamaduni ya katoliki sasa! Sio putit putit nyiiiingiiii.