HOTUBA YA MARTHA MWAIPAJA, ALIVYOSHINDWA KUONGEA MBELE YA CHRISTINA SHUSHO AMWAGA MACHOZI

  Рет қаралды 46,577

ZONE MEDIA

ZONE MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 308
@esthermlaki2439
@esthermlaki2439 Ай бұрын
usihukumu usije ukahukumiwa dada songa mbele na mpe Mungu nafasi zaidi naye atakuongoza vema. Be blessed
@sylvesterhamaro9926
@sylvesterhamaro9926 Ай бұрын
Tayari Maandiko yanasema katika Injili ya Matayo 10:18-22, ndiyo hayo unayo pitia sasa baada ya mafanikio makubwa katika Uimbaji... Jitahidi sana kumwomba Roho Mtakatifu, na simama Imara katika Imani Dada Martha, haya ni mapito tu.... Yatapita, Muda si mrefu... Kwa jina la Yesu utashinda.... Majaribu yakuimarishe ubaki kuwa Askari hodari wa Yesu Kristo.
@VictisBukutsa
@VictisBukutsa Ай бұрын
Martha anamaumivu na mm nashkuru shusho atamtia nguvu, depression ipo na pia ni aibu,be strong Martha ❤❤
@LizMwaigomole
@LizMwaigomole Ай бұрын
Najikuta namuonea huruma Sana, mungu akupganie akupe moyo WA ujasili! Dada ana busara Sana, nakupenda Sana mnyakyusa mwenzangu
@SifaMwakatobe
@SifaMwakatobe Ай бұрын
Tuendelee kuwaombea kwa ajili yao
@mariammpunga2122
@mariammpunga2122 Ай бұрын
Nampenda sn huyu dada, Mungu amsimamie anaumia sn, bila Mungu gawezi. Watu wanamchukia huku hawana ushahidi wowote. Mimi si muonaji hivyo siwezi kumhukumu , sina ushahidi naamini wameamua kumchafua. ​@@SifaMwakatobe
@peacemwesiga
@peacemwesiga Ай бұрын
Maneno mengi yatasemwa songa mbele❤❤❤❤
@PendoMakundi-xv6nh
@PendoMakundi-xv6nh Ай бұрын
Yaanii Martha hatuna Tena Iman na weweeee
@ISAYAJOSEPHMUSHINGI
@ISAYAJOSEPHMUSHINGI Ай бұрын
dada yangu Martha polesa mungu wangu akufariji
@AnethJoseph-wj4bo
@AnethJoseph-wj4bo Ай бұрын
Mungu au mungu😢😢
@ISAYAJOSEPHMUSHINGI
@ISAYAJOSEPHMUSHINGI Ай бұрын
Sija kuelewa hapo
@sylvesterhamaro9926
@sylvesterhamaro9926 Ай бұрын
Jamanii huyu dada amefanya kazi nzuri sana ya Injili, wenye Wivu Mwenyezi Mungu atawapiga viboko. Shetani ashindwe... Dada Martha tulia mwachie Mungu, Mara nyingi usikubali kuongea mengi.
@marynyamai5567
@marynyamai5567 Ай бұрын
Keep up Martha you are blessed of the Lord.
@WilliminaOjiambo
@WilliminaOjiambo Ай бұрын
March love keep going we love you and God loves ❤❤❤ more keep shining Martha
@rendozrendo7804
@rendozrendo7804 Ай бұрын
Wapendwa tumuombee hakuna mwenye kujua lililopo nyuma ya pazia. Tumuachie Mungu mwenyewe, tusiwe wepesi wa kuhukumu tusije hukumiwa. Ukweli wa tuhuma hizo yy Martha anazijua amen
@wuodkokelobingo4855
@wuodkokelobingo4855 Ай бұрын
Neno lenyewe uhukuma kabla binadamu, neno linasemaje? Kuhusu wazazi Ephesus 6:1
@endichetv6162
@endichetv6162 Ай бұрын
Kumuombea afunguliwe labda
@bainamrutu8572
@bainamrutu8572 Ай бұрын
Mimi binafsi najivunia sana matha amekuwa mfariji wangu kupitia nyimbo zake kwakweli kunakitu matha I love you
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
Taarabu sio😂
@syliviamurondoro4690
@syliviamurondoro4690 Ай бұрын
Hata Mimi nilikuwa nanpenda sana lakini ukimuona mama yake lazima utatoa machozi.
@pastorjully3657
@pastorjully3657 Ай бұрын
Shusho acha kutetea dhambi unampoteza mwenzio kwanza mshauri aachane na Joan
@Paul-u3k3w
@Paul-u3k3w Ай бұрын
Martha tunakupenda.Tunaheshimu tena Christina shusho.mungu aendelee kuwabariki.
@GetrudeAmmo
@GetrudeAmmo Ай бұрын
Having christina susho as a mentor is just a 😢😢😢
@GraceLuvanda-g5r
@GraceLuvanda-g5r Ай бұрын
Kabisa huyo christina ana matatizo kama yote.kama ni wokovu alishaachaga zamani.na hapo wananena kwa Lugha we waache waendelee kumchezea Mungu
@LutenganoCharles-d7t
@LutenganoCharles-d7t Ай бұрын
Bana acha porojo jibu hoja usijifananishe na mungu, mungu hakua na huo uchafu wako wa kusafil na joan kujifungia chumba kimoja kama wachungaji wa kongo na kenya wanavosema jibu hoja rudi kwa mama ako yule ni mungu wako wa duniani acha porojo hyo ni aibu hakuna hotuba hapo
@HezronSangam
@HezronSangam Ай бұрын
Namwamin Mungu na SI Mwanadamu ila km unasimama kwenye madhabahu ya Mungu na kweli ni msagaji Ulaaniwe tuuu
@Salmabah333
@Salmabah333 22 күн бұрын
The rate of hypocrisy in this generation is so very alarming. Who is without a sin should cast the first stone on sister Martha. People are so concerned about the negative forgetting that we are all humans. God is looking for imperfect people and not perfect for there’s no perfection in humanity! God of Heaven knows Martha is not perfect. Why the hate on Martha that has done nothing to people? Every family has it’s own ups and downs, lows and highs Martha’s family is not an exception! We all have to stand before the judgement of God Almighty, so people should be concerned about themselves and stop ghosting or gaslighting Martha that has used her platform to liberate Nations of the world! She is Martha for a reason! Martha for The World! We just love Martha!!!’ ❤️🙏🙏🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 Ай бұрын
Ulikaa tumboni mwa mama yako miezi tisa,akakuleta duniani kwa mapenzi ya Mungu,akakulea kwa shida na tabu #ACHA___KIBURI_CHA__UZIMA mfuate mama alipo umuombe msamaha ili moyo utulie na iwe baraka kutoka kwa Mungu
@malisemanuel6457
@malisemanuel6457 Ай бұрын
Mungu akutie nguvu watu wengi wanasahau kuwa yeye ni binadamu na hapaswi kujitetea mbele za binadamu ,,,,Muachieni Mungu ahukumu yeye mwenyewe
@EmanuelLaizer-q5f
@EmanuelLaizer-q5f Ай бұрын
Mungu wa kwanza ni huyo aliyekuumba Mung wa pili ni wazaz wako ,hakika kama unaabudu katika roho na kwel ,nenda ukatubu mbele ya mama Yako la sivyo utafunzwa na ulimwengu huu ,
@QmnananadineNadine
@QmnananadineNadine Ай бұрын
Dada from birundi tunagupenda mungu agutie nguvu❤❤❤❤
@natupe123
@natupe123 Ай бұрын
Hakuna Mungu anayekubali usagaji, halafu usimlinganishe YESU na huo uchafu
@safiniadilunga480
@safiniadilunga480 Ай бұрын
ndugu ACHA kumsemea mtu uliakiki Kwa macho na siku ukagundua matha ndio mkweli ao wanaosema Ivo ni waongo utafanyaje. sema sisi wanadamu tunamaneno mengi sana. akuna mtu anaekataa kumsaidia mzazi wake au ndugu ujue apo familia Ina shida kubwa nyie waombeeni
@Tiba-dk9wm
@Tiba-dk9wm Ай бұрын
Ninachokijua ,,ndani ya Martha Mungu kawekeza vitu vingi,,Namaanisha martha ni mtumishi wa Mungu ,,hivyo niwaombe watumishi wenye ukomavu wakae nae ,,watafute namna ya kumsaidia ili mgogoro na mama yake uishe,lakini sinlaumu Saana shusho kwani Martha pia anahitaji mtu wa kumtia moyo kwenye hiki kipindi hivyo martha ajengwe tu kisykolojia,,ila Joan imeshadhihirisha kuwa sio mtu mzur hata kidogo kwa matamshi yake na picha zake za ajabu,,,Tumsaidieni tu Martha wetu arudi kama mwanzo
@christermwenda6748
@christermwenda6748 Ай бұрын
Wewe ndiyo mtoa hukumu?
@faithkizito4166
@faithkizito4166 Ай бұрын
Mungu akutie mungu
@sylvesterhamaro9926
@sylvesterhamaro9926 Ай бұрын
Kwako Dada Beatrice , Mambo mengine siyo ya Mtandaoni, zungumzeni kwenye familia, waalikeni wachungaji wenu , wawasilikize mkiwa pamoja ninyi wenyewe kwenye familia yenu... Sio huku. Unapoitangazia Dunia makosa ya ndugu yako wa damu sio Fadhila, italeta Laana.
@dianajohn8520
@dianajohn8520 Ай бұрын
Nahisi yeye haufatilii ,waliita wachungaji kikao Cha wanandg Martha aliondoka Kwa dharau na Joan ,,fatilia utaelewa ,,ndg wote hawawezi kumsingizia . Mama yake anasema amemshidwa my dear Beatrice jembe fatilia utajua ,,
@elizabethtimothy3947
@elizabethtimothy3947 Ай бұрын
Mwenye kubali 🎉
@SiwemaJohn-o5d
@SiwemaJohn-o5d Ай бұрын
Sema Amina nzuri😅
@MaryNgona-h7t
@MaryNgona-h7t Ай бұрын
Lets worship God with a pure heart, there is no screat on this earth.
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 Ай бұрын
Kusagana na kutelekeza mama mzazi ni dhambi kubwa sana. Hata usipoongea, umeshachafuka vya kutosha .
@LucyMwita-w6k
@LucyMwita-w6k Ай бұрын
Ungeenda kwaza kwa mama kabla hujaenda kanisani, coz hata neno lasema,ukikumbuka Una neno na jirani yako ,heri usitoe sadaka ,Kwanza nenda ukarekebishe na jirani ndo uje utoe sadaka yako
@ImaculathaMasuka
@ImaculathaMasuka Ай бұрын
Martha umepewa moyo Mgumu kama wa Farao. ujione uko sahihi? Aya machozi ya Mama na Watanzania ayatskuacha salama
@WilliminaOjiambo
@WilliminaOjiambo Ай бұрын
Amen and amen 🙏🙏🙌🙌
@SalomeKiduko
@SalomeKiduko Ай бұрын
Cristina shusho kama unampenda matha mwaipaja mpeleke kwa mama yake akamwombe msamaha Ili awe na amani,mama anakuhitaji,hakuna kama mama.
@StellaShirima-t4x
@StellaShirima-t4x Ай бұрын
Wanafki tuu woo
@PassyReine
@PassyReine Ай бұрын
Apa.Amesema nini anakosa maneno
@saraoloo9251
@saraoloo9251 Ай бұрын
Kwa yote acha tuu nikupende Martha 😅😅 ya Dunia yapo lakini Bado Nakupenda tuu Martha
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp Ай бұрын
Mungu nguvu Martha 😢😢
@LukasEssau
@LukasEssau Ай бұрын
Hata SHETANi alikuwa mwimbaji mbingu kabla ya kwenda kinyume na mungu yesu tusaidie na malizi kusema tupendane sisi kwa sisi usipo mpenda ndugu yako unaemuona utawezaje kumpenda mungu usiye muona
@dianajohn8520
@dianajohn8520 Ай бұрын
Hampendi mama yake je Mimi ndo ataniua ,,anakiburi Cha uzima , hata haya yanayotokea Bado ana maneno ya kujitetea ,,mjinga huyu dada
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 Ай бұрын
Kipaji au jeuri jitambue kosa lako
@Janeth-y5m
@Janeth-y5m Ай бұрын
Dada pole hata hili litapita tu Mungu anaeona na kusikia na ndiye anayejua ukweli atayamaliza yote
@MargaretOmondi-pf3uz
@MargaretOmondi-pf3uz Ай бұрын
Siku utaonekana uko na Mamako na dadako Beatrice pasipo kua na Joan hapo ndipo maneno za mtandaoni yataisha. Mama ni 2nd to God ana funguo ya kufuta Jina mbaya kwako. Utaombewa kwanza na Mamako ndo watu wote Dunia mzima wakuombee. Laa sivyo utalia sana
@PendoMakundi-xv6nh
@PendoMakundi-xv6nh Ай бұрын
Utamwabudu vip yesu ambae hujamwona kwa macho ukamdharau mamako mzazi
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 Ай бұрын
Hawezi hata kuongea sauti haitoki nafsi inamsuta mapenzi ya jinsia moja siyo mchezo hadi familia yake kaikataa laana tupu nyimbo zake zimejaa shombo tupu na uasi 😢
@Paul-u3k3w
@Paul-u3k3w Ай бұрын
Wewe msafi
@Paul-u3k3w
@Paul-u3k3w Ай бұрын
Muombee
@MohamedAlly-h4u
@MohamedAlly-h4u Ай бұрын
😂😂😂
@MohamedAlly-h4u
@MohamedAlly-h4u Ай бұрын
Sema tusimuhukumu jamani, hakuna mkamilifu chini ya jua. Tumuombee na tuiombee familia yake waelewane, wasaidiane na washirikiane tena.
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 Ай бұрын
@@Paul-u3k3w ndiyo. Kwasababu hii imezidi sasa analidhalilisha kanisa la Mungu na hicho kipepo chake joan' na bado anakilea" halafu bado anaonyesha kiburi! maana hapo ndiyo ilikua nafasi yake ya kuongea lakini kakaa kimya' mwenzie kamwita mara mbili hapo ili atoe dukuduku lake' lakini kiburi ndiyo anacho' mpaka Christina anaonekana msaliti wa kanisa kwa kumtetea mtu mwenye kiburi' tena aache kuimba nyimbo za masimango kwa kanisa' eti "ushindi ni lazima"! how!?😢
@EstherCharo-lc3md
@EstherCharo-lc3md 29 күн бұрын
Ameen kwa Mungu yupi huyo wako
@TinaNgallah
@TinaNgallah Ай бұрын
Note mungu anajua shkilia mungu
@alicenalulwe84
@alicenalulwe84 Ай бұрын
Ni mama tu urudi kwake,that pain of labour na 9months
@winfredsyombua8317
@winfredsyombua8317 Ай бұрын
🎉machine mungu mama usipigane achia mwenyewe apigane❤love you for free itapita hii pia
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila Ай бұрын
Kukosea Kwa mwanadamu ni kawaida....ila kuendelea kuficha uovu au mapungufu na kushupaza shingo kuliko kutibu kidini Cha tatizo ataendelea kupaita shida hata para amani ya kudumu....angalia wapi ulikosea,tubu,nenda Kwa mzazi wako kasema nimerudi mwana mpotevu Mimi...Mila kujali yanayo semwa ni sahihi.......fukuza hiyo Joan.......àcha kuishi na watu wengi nyumbani kwako utajuta sanà.....kama mmeo hajaoa Rudi kashike mimba myajenge .....
@AshaMbaraka-cb5ix
@AshaMbaraka-cb5ix Ай бұрын
Tunakupenda sana ,
@leonardyona1462
@leonardyona1462 Ай бұрын
Martha Mwaipaja, tunakupenda sana na wala hatuna ugomvi na ww, sema tu upo kwenye mikono ya wanyang'anyi, tafuta watu sahihi kwenye huduma huku ulipokuja ndo utapotezwa zaidi, bora hata kule kwa Joan kuliko huku.
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Ай бұрын
Umenia.sana.hela.sasa.umepatwa.na jaribu linalomhusu.Mungu.weka hela mbele yako.zekusaidie hela Matha bila kumheshimu Mungu umekumbatia nyuki utaibuka na manundu au ni petrotanks karibu na moto ndani kwako lakini mm naona Mungu amefanya vizuri ili waimbaji wengine wajifunze kwako wasiojifunza mmoja baada ya mwingine Mungu hana haraka hujaona wakina diamondi piddy unafikili yatafutika hayafutiki Mungu akipotosha kitu mwanadamu hawezi kukinyosha labda toba ihusike
@BeatriceSamwel-p7u
@BeatriceSamwel-p7u Ай бұрын
Tunasimama na kweli ya MUNGU 1Timotheo5;8 mtu asiewatunza wa nyumbani mwake ni mbaya kulikoa ASIE amini.hapa MUNGU anamanisha ni Bora mtu ASIE mjua yeye kuliko mlokole asie jali ndugu zake
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Ай бұрын
Nacho jiuliza unashidwa enda kumwona mama ili utubu et unaenda kwa uyo aliye mkimbia mume wake wazinzi wakubwa
@AiniceOmweno
@AiniceOmweno Ай бұрын
Jamani😂😂😂😂😂
@happinesstesha7061
@happinesstesha7061 Ай бұрын
Sio kwamba namhukumu dada matha na wala siamini kama anafanya usodoma ila why anaambatana na yule dada mwenye majibu machafu vile hadi kuutukana ukristo?, na kumtelekeza mama ake na ushahidi kabisa upo wazi mama ake analia jamani😢 halafu anasema amesikia Mungu anasema ni Mungu uyu uyu au Mungu yupi duhh nashindwa kuelewa
@MahanjiSanga
@MahanjiSanga Ай бұрын
Martha kama kweri yasemwayo Acha .watu Congo na Kenya wasinge ongea uongo.acha mfuate yesu wa kweri
@GradnessMuba
@GradnessMuba Ай бұрын
Jamani huyu masa ni Nyimbo zake ni zakinabii, ila hapo akitoka kwenye Jaribu hili nasema Tanzania tutajivunia kuwa na Martha
@jessemhally5385
@jessemhally5385 Ай бұрын
Huyu Martha ameshaambiwa Sana,ni muda sasa wakimwacha aendelee na kiburi chake na huyo mtoto wake anaewatukana wakristo,anaemtukana YESU...ila anguko lake liko very very close...Familia yake iendelee tu kumuombea maana ipo wazi kabisa huyu Martha anaishi na shetani nyumbani kwake...
@AbasiSwai
@AbasiSwai Ай бұрын
Hamjamgunduaga tu Martha, hajawahi imba wimbo wa kuwaambia watu kuhusu kuokoka. Yeye ni kujisifiaga yeye tu na Mungu wake. Yaani taarabu ya gospel 😂😂😂.. Pwagu na Pwaguzi wamekutana. Katubuni kwanza ndipo kristo atawatetea.
@gloryjohn4531
@gloryjohn4531 Ай бұрын
Ila Martha ❤❤❤❤mungu akusaidie ulivuke hili pito na naamini utalivuka mungu unayemtumikia na kumwamini hawezi kukuacha uaibike 🙏
@Isack-b9k
@Isack-b9k Ай бұрын
Aainike mara nhap
@MoreenFrank-ki9vs
@MoreenFrank-ki9vs Ай бұрын
Mbona kashaaibika
@saimongilala8938
@saimongilala8938 Ай бұрын
Kuna wengi mmekuwa wasemaji kwenye hili lakini najua Mungu ni mwema dada Matha kaza mwendo utafika
@GraceJulius-qy2qz
@GraceJulius-qy2qz Ай бұрын
Ni Mungu gani unaemuabudu ww mama yako analiakwauchungu umsaidii ebu usitupigie kelele hapa
@pastorjully3657
@pastorjully3657 Ай бұрын
Nenda kwa mama yako acha kujitetea martha
@JacksonMwaisumo-x1u
@JacksonMwaisumo-x1u Ай бұрын
Rudi kwanza kwa wazazi wako awo wapambe wanakupoteza2
@HappyMwakalundwa-w8n
@HappyMwakalundwa-w8n Ай бұрын
Jamani tusihukumu ili tusije hukumiwa.
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu Ай бұрын
Cha msingi mama ni Mungu wa pili kwa maana ya wazazi ni Miungu ya pili Msiki lize mamaako huyo shusho sio mamaa ko nae anayake Kib ao muombe mamaa ko msamaha
@junithamwasile5738
@junithamwasile5738 Ай бұрын
Ambao tumewahi kuzushiwa maneno nakuchukiwa tunakuelewa matha Mungu ndio anajua
@AgredaMoyo
@AgredaMoyo Ай бұрын
Nimeamini Joan atakacho fanya na yeye anaona sawaaa tu....Kweli unaweza jiweka nafasi ya Yesuuuu....aliyesulubiwa??? Hakuna kitu hapo ...Hapana nasema hapana Ila Christina Jifunze Hekimaaa zaidi
@happysanga6846
@happysanga6846 Ай бұрын
Martha anashindwa kumzungumzia kwa sababu yakuumbuka mambo yake yapo hazaran huyo shosha awe mshaur asiache Martha apotee shusho ampeleke Martha kwa mama yake
@silaskonga5575
@silaskonga5575 Ай бұрын
Piga kazi mtumishi wa Mungu Marther wengi watatumiwa kukukatisha tamaa usiogope songa mbele.ila nakushauri achana na Joan.
@MariaNambalala
@MariaNambalala Ай бұрын
Pole jmn hat hil litapita
@hubimogela9167
@hubimogela9167 Ай бұрын
Sauti kama ya mama yako ,, nenda kwa Mama yako anateseka.
@LukasEssau
@LukasEssau Ай бұрын
Shetani hana mchezo ukicheza nae anakuchakaza kweli kweli Hayoo ndiyo matokeo ya kuipenda DUNIA na vitu vyake
@ReginaWolfram-q3y
@ReginaWolfram-q3y Ай бұрын
Rudi kwa mama yako huyoaliekuarika na ww ndio haohao. Utawapendaje waumini ukamchukia mama yako mzazi hata bibilia inasema uwezikumpenda mungu ukamchukia jirani yako. Naje mama mzazi ambae mungu wako Wa dunia
@stellamwakatulile
@stellamwakatulile Ай бұрын
Mtunze mama yako kibuli Cha uzima kisikudanganye kukulinda uyo anakupotosha akuna kama mama ata iweje
@kerubojzion2273
@kerubojzion2273 Ай бұрын
Bora amepumua hata kama amekosea lakini ni mwanadamu angalau amecheka kidogo Mungu ni mwema. Ila bado tubakuomba uende kwa mama umuombe msamaha akuponye. Haujui madhara ya hiki kinachoendelea , mtumishi nakushauri nenda utapona. Mama ni dawa
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Mpende mama yako kwanza kabla haujatupenda sisi.
@beatriceniyoyankunze1855
@beatriceniyoyankunze1855 Ай бұрын
unasauti kama ya mama yako kweri mama ni mama
@babupiza641
@babupiza641 Ай бұрын
malaya wapo kanisani dunia ngumu
@festomartin6170
@festomartin6170 Ай бұрын
HILI LISHUSHO LINAWEZA LIKAWA LISAGAJI. TU. SHUSHO UMEMWACHA MUME WAKO NA MARTHA AMEMWACHA MAMA YAKE NA UKOO WAKE!!! MARTHA AACHANE NA JOAN,, AENDE KWA MAMA YAKE APATANE NAYE,,
@DevotaSanga
@DevotaSanga Ай бұрын
shusho kama umampenda matha mwambie aombe toba kwa mungu aache dhambi mwisho mpeleke kwa mama yake aombe toba amalize mozozo huo
@DamarisGichana
@DamarisGichana Ай бұрын
Love your neighbor as you love your self and if you don't do that how will you love God and how will you manage to preach to people surely
@AnatoryAloyce
@AnatoryAloyce Ай бұрын
Tumuachie mungu ndie muamuzi wa hili
@YohanaKivuyo-u3w
@YohanaKivuyo-u3w Ай бұрын
Amna lolote nyiee ni waongo sana mtafute mama wacha mambo mengi na umalaya ndugu yangu 🙏🤔🤔😭
@NtuliSuzan
@NtuliSuzan Ай бұрын
Sio hujui kuongea bali ni aibu utasema nn, scandal ni chafu sana? Na hivi unamwacha mtoto amkashifu mpaka Yesu tunaona haupo sehemu nzuri kiroho
@Dashina-2018
@Dashina-2018 Ай бұрын
Kabisaaa hapo Hana cha kusema maana mtoto anaropoka tuu na. Anamwachia tuu na anathibitisha kuwa Hana cha kusema maana anaogopa kuna ukweli
@Lilianawinner0
@Lilianawinner0 Ай бұрын
Kwendeni huko wahukumu wa wenzenu mafarisao nyinyi Hamuoni Martha anahekima hakuna kitu mumesikia akisema na hatasema chochote anajua mbona ananyamaxa nampenda nitampenda Bado nyinyi nani anajua Yale mnafanya kisiri
@Lilianawinner0
@Lilianawinner0 Ай бұрын
Hao ni watu ajuae Martha ni Mungu na mm nampenda Martha.
@NtuliSuzan
@NtuliSuzan Ай бұрын
@Lilianawinner0 Heri wapatanishi hao wataitwa Wana mungu kinyume chake ole wao wafarakanishaji maana hao waitwa Wana wa shetani
@NtuliSuzan
@NtuliSuzan Ай бұрын
@Lilianawinner0 Hekima ya kipepo ndio hekima? Machozi huwa yana Sauti ndani yake subirini yaanze kujibu machozi ya mama yake, kamkosea Mungu, mama yake na wokovu kiujumla
@wennybarny168
@wennybarny168 Ай бұрын
Waache kujichubua hawa wadada wenye kimo cha kufanana😢
@kerubojzion2273
@kerubojzion2273 Ай бұрын
Huyu dada anakipaji kikubwa sana. Kunyamaza nikipaji aiseee ningeshajieleza😂 nimejifunza sana kwake
@evaamos1591
@evaamos1591 Ай бұрын
😄😄😄😄tunaita nineema. Kuongea ni rahs San lkn kunyamanza akt unatupiwa maweee. Niroh ngumuu. Mungu amsaidieee.
@YusterUliza
@YusterUliza Ай бұрын
Nenda kwa mama martha utabarikiwa
@deborahajabushuhuda5703
@deborahajabushuhuda5703 Ай бұрын
TUNAKUPENDA, JIPE MOYO MARTHA, MUNGU HATAKUACHILIS, NI MAPITO TU, LAZIMA USHINDI UUPATE
@bainamrutu8572
@bainamrutu8572 Ай бұрын
Watanzania acheni kumponda mtumishi wa Mungu matha huwezi kujua moyo wa mtu
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 Ай бұрын
Jinsi mtu alivyo live ndivyo moyo ulivyo Biblia inasema
@MosesMwakalibule
@MosesMwakalibule Ай бұрын
Martha mdogo wangu.... Anayekutia moyo na yeye Ndiyo wale wale kasoro majina YENU.... Baada ya Diamond kushusha nyavu kutoka kilindini hakuona tena, uthamani wa kuwa na ndoa wala kuona uthamani wa mume.... Ushauri WANGU mrudie mama, tubu dhambi achana na ako kambwa kako kanakobwekabweka nakusema hakana Cha kupoteza kwake.... Bado unanafasi.... ! Acha kiburi Cha uzima... Mrudie mama....
@SifaMwakatobe
@SifaMwakatobe Ай бұрын
Songa mbele dada martha usirudi nyuma , usikakatishwe tamaa na maneno ya wanadamu
@anithasemwano8276
@anithasemwano8276 Ай бұрын
Mshauri amrudie mamae ,huyo sio Martha tumjuae anakovu moyoni.
@paulinethadeus7912
@paulinethadeus7912 Ай бұрын
Mtumishi wa Mungu ni kioo KATIKA JAMII kuonyesha UPENDO unyenyekevu na utii .kwa JAMII inayomtizama yaani kwako Martha tunajigunza kitu gani ? Kuwafharsu wazazi na ndugu zako huku Ulisema tumjue Mungu kwa kuinba
@dol-pnintz2503
@dol-pnintz2503 Ай бұрын
Christina ww hufaiu ulitakiwa umshauri mwenzio aende kwa mama yake.bado ww ni kichomi
@drgeraldcubwa481
@drgeraldcubwa481 Ай бұрын
Kanisa la wanawake au😂😂😂
@Officialmasilu
@Officialmasilu Ай бұрын
Hapo ni kopo na mfuniko,shusho kamkataa na kumdhalilisha mumewe aliyemsaidia na kumuinua, Martha kamkana mama yake mzazi aliyemuweka tumboni miezi 9. Hata maandiko matakatifu yanasema Kabla ya kumpenda kwanza Mungu mpende kwanza jirani yako. Pia Uumbaji wa Mungu unakamilishwa na wazazi. Kabla ya kwenda madhabahuni mpende kwanza mzazi, nduguyo. Other wise hayo mengine yanabaki kama maigizo tu.
@mchinatz9335
@mchinatz9335 Ай бұрын
Kutokuzunguza hajusaidii kitu saidia mama yako
@EstherCharo-lc3md
@EstherCharo-lc3md 29 күн бұрын
😂😂😂😂😂Yesu yupi mumepotea pamoja na huyo shusho
@sirpleasureb
@sirpleasureb Ай бұрын
birds of the same feathers.......flew together. jeremiah 5:21.-22
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf Ай бұрын
Tunahitaji kuwaombea sio kuwatukana.maana wana vita kubwa.labda hata wao hawakujua vita waliyonayo nyimbo zao zimeponya wengi,zimeokoa wengi..nashangaa kama Wakristo hata wachungaji badala ya kukaa kumlilia MUNGU wanaponda mitandaoni..YESU wetu anadhalilika..hakuna anaejua ukweli asilimia mia zaidi ya MUNGU.wachungaji tuombe MUNGU..aseme yeye juu ya haya tunayoyaona kweye mitandao.kanisa liombe kwa bidii tujue tunakwama wapi.waimbaji wetu wanashambuliwa na nini.mlango uko wapi..Ee MUNGU Baba ingilia kati
@DevothaJohn-q4s
@DevothaJohn-q4s Ай бұрын
Umesema kweli Mtu wa Mungu big up
@DevothaJohn-q4s
@DevothaJohn-q4s Ай бұрын
Martha usiogope Mtu wenye matunda ndio unaopigwa mawe mng'ang'anie Yesu.
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
Wimbo ndio nini uongo tu
@godfreymasabwida4064
@godfreymasabwida4064 Ай бұрын
Roho ya martha ishakua sugu kwenye jambo hilo.
@FitLifewellnessjourney-be9ct
@FitLifewellnessjourney-be9ct Ай бұрын
Hata kama mama alimuudhi bado anatakiwa kama mtu aliokoka na kioo cha jamii atengeneze na mama yake
Dr.Ipyana  UMEKUWA NAMI // NIMERUDI KUSHUKURU
9:59
Dr Ipyana
Рет қаралды 651 М.
Martha Mwaipaja - KUSHINDA LAZIMA ( official music video )
5:34
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 780 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Sister Joan ft Martha Mwaipaja -  SIKOPEKEANGU  ( Official video )
6:18
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 1,3 МЛН
Bahati Bukuku - Waraka (Official Version Video)
12:54
Injili
Рет қаралды 6 МЛН
Sikiliza Ushuhuda wa Ndugu Wanaotaona Kafara | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro
14:04
MAJINA YAO YAMEONDOLEWA KWENYE KITABU CHA UZIMA
32:00
Ukweli Church of Christ
Рет қаралды 59 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН