Рет қаралды 93
Nimeshamjua baba ni wimbo wenye ushuhuda ndani yake, katika Maisha yetu kulingana na changamoto mbali mbali tunazopitia kuna wakati anatuvusha katika magumu Bila hata sisi wenyewe kujua, hivo Basi ni vema kwetu sisi sote kuzihirisha ya kwamba ni yeye ndie anaetutendea na kuutangaza uwezo wake kupitia sifa
ZABURI 150:1-6
Ubarikiwe sana 🙏🏿🙏🏿