Nimetekewa na pendo lako umenibeba hukuniacha hata Kwa udhaifu wangu hukuangalia heshima na utukufu viludi kwako yesu 🎉🎉🎉
@elizabethcharles47122 ай бұрын
Nimetekewa maana yake nini?
@YonaSangula3 ай бұрын
Nimerudia rudia kuusikiliza wimbo huu hakika nimeguswa mno, maana wapo ndugu na rafiki zetu tulikuwa nao na sasa wameitwa mbinguni lakn kila nikiona na kutafakari kazi zao pindi wakiwa hai namwona Mungu kupitia wao, alooo nimetekewa. Let us glorify the name of almighty God in all situations
@juliethkaale90923 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@dorcasbulemo21853 ай бұрын
Emen, kweli nimetekewa na penzi lako Yesu, Berthelehem Mungu aendelee kuwainua Kwa kiwango cha juu tena na tena, Kwa mahubiri yenu Kwa njia ya uimbaji nasi tupone. Sifa na utukufu tunamrudishia aliyewakirimia hicho kipaji,kilindeni sana.
@VailethCyprian2 ай бұрын
Atukuzwe Mungu wa Mungu,Bwana WA mabwana...hakika pendo la Mungu ni la ajabu alifananishwi na chochote
@joycesolomon76163 ай бұрын
Tumebarikiwa. Ni kweli tumetekewa na pendo lako Yesu Kristo
@havyalimanaandrea1381Ай бұрын
The kind of love Christ Jesus ameniteka, I will not tired of praising him. Imgine Hata vinywa vikinyamaza, moyo tu utaziimba sifa zake Glory……glory…… my heart anthem🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@lisamasima72543 ай бұрын
Bado naendelea kutekewaa , Asante Yesu, mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
@fredykayenze82463 ай бұрын
Kazi njema Sana Kaka mkubwa Mungu awabariki Sana watumishi wa Mungu kutoka Moshi kazi njema imenibariki 🔥🔥🔥🔥🔥
@EmmanuelKabelela2 ай бұрын
Nakukubali sana mdogo wangu na kwaya yenu mbarikiwe tu
@stevensabugo12733 ай бұрын
YESU Ameniteka
@Herbeth-semkiwa3 ай бұрын
Hhahahaaaa haaaaah nimetekewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🌹
@sifunisound3 ай бұрын
Nimetekewa na pendo Lako Yesu🙏 Mungu Awabariki sana Kwa kuubariki mwili wa Kristo na nyimbo za baraka 💪
@bethlehemchoirmajengomoshi87883 ай бұрын
Amina Rafiki zetu ❤
@parrotmediatanzania22563 ай бұрын
Powerful song huchoki sikiliza👏👏 mbarikiwe sana watumishi
@dorcasmwaluko16173 ай бұрын
Wewe ni wimbo wa mioyo yetu 🎉🎉🎉🎉🎉 litukuzwe liiinuliwe jina lako YESU 🙌🙌🙌🙌💥💥💥💥💥
@ElishaWilliam2553 ай бұрын
Heko kwako teacher Steven sabugo ubarikiwe niliiisubiri sana (nitaimba sifa zako Yesu kwenye hali zote)
@bethlehemchoirmajengomoshi87883 ай бұрын
Amina Amina
@hellenkimaya87613 ай бұрын
Ujibuye kwa moto, uketie sirini hakika twaziimba sifa zako eeh Yesu…! Hakika wewe ni wimbo wa mioyo yetu🙌🏻🙌🏻 Kazi nzuri watumishi wa Mungu
@bethlehemchoirmajengomoshi87883 ай бұрын
Amen
@happynessmfanga5807Ай бұрын
Siku zote Mungu ni mwaminifu haijalishi unapitia katika hali gani wewe mtumaini Mungu,mshukuru na mrudishie sifa Mungu...Hakika huu wimbo ni majibu wa wengi na wote wanaopitia changamoto mbambali na utawatia moyo...Wewe mrudishie Mungu sifa zake
@rachelbrighton5113 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤🔥🔥🔥🔥 Nimetekewana BWANA
@peterchauka11653 ай бұрын
Powerful song be blessed Bethlehem choir
@amosntakije57783 ай бұрын
Nimetekewa na pendo lako Yesu, Mbarikiwe sana
@tajirinaftal54333 ай бұрын
Very powerful and healing ministry. Truely I am whelhealmely by your love Jesus.. Blessed my favorite Choir Bethlehem Choir-Moshi
@lordvickmsechu65163 ай бұрын
Nitaimba sifa zako Yesu kristo mokozi wetu vile nimetekewa na pendo lako Yesu sitanyama🎉🎉🎉
@evalynmwende13182 ай бұрын
Waow...uketiye sirini...twaziimba sifa zako
@mwilathomas23823 ай бұрын
Lord of Lords, who sit in secret, we sing your praises🙌🙌
@NeemaPetter3 ай бұрын
Yaani wimbo naupenda sana huu niliusubili kwa hamu abarikiwe mtunzi mbarikiwe waimbaji