NIMETUKANIWA MAMA YANGU KISA CHANJO || KWANINI IWE HIYARI? || WATU WANAKUFA - SHEIKH SHAFII SHOMARI

  Рет қаралды 74,841

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

NIMETUKANIWA MAMA YANGU KISA CHANJO || KWANINI IWE HIYARI? || WATU WANAKUFA - SHEIKH SHAFII SHOMARI

Пікірлер: 227
@erneststephano2182
@erneststephano2182 3 жыл бұрын
Ahsante Sana Kwa mawazo yako mazuri, umejitahid Ila hatuchanji
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 3 жыл бұрын
Corona Imetusaidia kuwatambua watumishi wa MUNGU na watumishi wa huongo.
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Kweli kabisa yani viongozi wa dini zote wamekuwa wanafiki kupita maalezo wamesahu Mungu wamesahu dawa za asili upuuzi mtupu.
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 2 жыл бұрын
Shukran kwaduwa
@amenaallahawazidishieumrin6235
@amenaallahawazidishieumrin6235 3 жыл бұрын
Allhamndullillah wallah KULLAH khal shekh shafy mungu akupe subra na washukuru maadui zako mungu mwenyewe anatukanwa pamoja na mtume wake Mohammed ( saw ) na anatupa kila kitu wewe na mm nini?wache wakutukane wasio jua maana awambiwi maana mola akuhifadh uzidi kutuombea dua
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@suberasubera641
@suberasubera641 3 жыл бұрын
waache wawena hasadi nawewe sisitunakupenda unaumuhimu katika kutukumbusha yadiniyetu
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 3 жыл бұрын
Upo sahihi.nitakufa kwa ahadi.
@AhmedAli-ve5zc
@AhmedAli-ve5zc 3 жыл бұрын
Pole sana shekhe ukweli hatupigi chanjo sisi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
Ni kweli lakini kinga zipo nyingi kwa nini mnakomalia hii tu, baya zaidi hii chanjo ya Korona hata ukichanja barakoa, kunawa, kujitenga nk yote pale pale pia isitoshe ugonjwa unakuhusu. Mimi chaguo langu kutokuchanjwa.
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 3 жыл бұрын
Tena pia unaweza kuugua korona na kuambukiza
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 3 жыл бұрын
Mimi ni mkristo nakupenda sana mtumishi wa Mungu shekhe Shomari kwa msimamo wako juu ya watanzania wote
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Pole shekhe ukweli hatuchanji
@hanssama4174
@hanssama4174 3 жыл бұрын
Shekhe muamin mungu kuliko kuingilia mambo hasiyo wahusu kuen na Iman na mungu kwer chanjo c chochote kwe2
@emanuelkenethkanyela9137
@emanuelkenethkanyela9137 3 жыл бұрын
Shekh tumwamini MUNGU
@saidmuhsin2446
@saidmuhsin2446 3 жыл бұрын
Askofu ngwajima kachambua vizuri sana!! Yule jamaa hatari ..namkubali sana na shehe faridi kamaliza kilakitu...maelezo yao hayana mchecheto
@muyumbaramdhani2668
@muyumbaramdhani2668 Жыл бұрын
Mashala
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 2 жыл бұрын
Yani raha sana kwakongamano
@kassangarey
@kassangarey 3 жыл бұрын
Ukiambiwa kula nguruwe na hao wanaokuongoza kwa kuwa wamesema wao je utakula. Achen kutukuza wanadamu . Huyo mwanadamu anayelazimisha wenzake yeye siye Mungu. Kosa lako sheikh mnakurupuka sana vitu vingine ebu muwe mnatafakari mambo ya hao viongozi wanayoyatoa.
@muhalakibwana4026
@muhalakibwana4026 2 жыл бұрын
Elimu ndogo
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 3 жыл бұрын
Njaaaa
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Ndo maana huelewi
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 жыл бұрын
Njaa mbaya sana
@yahyasabil921
@yahyasabil921 3 жыл бұрын
Inasikitisha muislamu hasali
@nhawalala276
@nhawalala276 3 жыл бұрын
Huna shida sheh
@DloveAfrika
@DloveAfrika 3 жыл бұрын
Me binafsi sijaiona hiyo clip ya mwanzo lakini nimepata kuyaelewa maelezo yako, lakini pia hujasema msimamo wako dhidi ya chanjo na japo wewe si msemaji wa waislam kitaifa lakini wewe ni mwalimu/ustadh wa eneo lako, je?! Wanaokuzunguka wamfuate nani kujua ikiwa ww ndo ulamaa wa mji wako, wallahy naamini katika masiku haya ya mwisho Elimu itaondoka🙌
@shabbymakapaneshabby5000
@shabbymakapaneshabby5000 3 жыл бұрын
Mh?
@bintichausa4744
@bintichausa4744 3 жыл бұрын
Huku qatar bila I'd hupati chanjo lkn kama ni lazima au inakinga bass wasingeeka vikwazo vingi ....mimi nilijitolea kulipia ilimradi niipate lkn kila nifika kwenye foleni tunaambiwa karatasi ime expire juu tulatumia karatasi yakampuni...sahii nimeinua mikono siitafuti Tena kama itanifikia ntachanja isiponifikia alhamdulillah.Allah atanilinda🙏
@salehalzakwani3283
@salehalzakwani3283 3 жыл бұрын
Subhaanallah
@mariamsalum640
@mariamsalum640 3 жыл бұрын
Wamekuonea tu sheikh umeongea kweli
@halimaahmed4246
@halimaahmed4246 3 жыл бұрын
Tatzo wengine hawajui kiswahili kufafanua
@josephatbahakaso1183
@josephatbahakaso1183 3 жыл бұрын
Nikweli she Ubarikiwe kwa kuelewesha uma
@aminasalum518
@aminasalum518 3 жыл бұрын
Mashallah 🥰 mawaidha mazuri sana
@ziadaskitchen5060
@ziadaskitchen5060 2 жыл бұрын
Naam
@carmcorderchannel3899
@carmcorderchannel3899 3 жыл бұрын
Kosa lako ungenyamaza kila mtu anajua hii chanjo haisaidii ila ina madhara ya kiafya .......tumwombee mungu na kujilinda kwa njia tulizoshauriwa . Waislamu tumekosa kumwamini mungu tunaamini chango. Lau tungefanya daawa vile tunavyofanya kuhamasisha dhidi ya korona basi tungepata shufaa. Siku izi muftis wetu wamejiingiza kwa biashara na kuacha dini. Ivyo hakuna aliyemkalifu hata wasomi wakona na udhaifu wao. Ivyo tunamwamini mungu na mazuri tutayachukua mabaya tutayawacha.
@alphonceelias2551
@alphonceelias2551 3 жыл бұрын
Simwelewi kwa kweli.hajasoma ule waraka lakini.shehe nenda kasome ule waraka wa kamati.naona hujaelewa vizuri.
@جنيتكينيا
@جنيتكينيا 3 жыл бұрын
Innalillahi wainnaileyhi rajiuon. dungu zangu ndungu zangu tujitahidini kuswali
@kizamaulidi6004
@kizamaulidi6004 3 жыл бұрын
Mashaallah
@jeremiamwakilimaji8284
@jeremiamwakilimaji8284 3 жыл бұрын
Viongozi wa dini lazima mpige kelele juu ya haya yanayoendelea , kuwaelimisha waumini faida na hasala pasipo kuogopa NAKUPONGEZA SHEHE kutujuza tumtegemee MUNGU kuliko vyote.
@missrukia9661
@missrukia9661 2 жыл бұрын
Shuklani shekhewetu dhafiii
@rajabjrajab8711
@rajabjrajab8711 3 жыл бұрын
Shekhe kumuerimisha chiz kazi sana.Kiswahili hawakijui watakuerewa vp
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 3 жыл бұрын
Chiziiii alopokea fedha za mashoga. Watu sio mazwazwa hujiri dini hayo ya chanjo acha a nao watu wapokifedha zaidi kuliko usarama wako. Hao wanaojiita wana sayansi wamefanya utafiti gani? Experiment gani wamefanya hapo ndipo hofu watu wanakataa kuchanja
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 3 жыл бұрын
We kwel mwee
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mh
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
niukweli hataa huku ulaya ni hivyo watu huambiwa mimi sija shughulika na ndio tumeambiwa mwezi wa tisa kama ujapokea chanjo hakuna hata kupanda bus 🇰🇪🇪🇺mungu aturehemu
@joharijohn7005
@joharijohn7005 3 жыл бұрын
Wewe ni wahovyo sana
@seremenikibwene8633
@seremenikibwene8633 3 жыл бұрын
Huyu ndiyo Waleee! Laa ilaa haa Ulaai Walaa ilaa haa Ulaai. Ndiyo Hao (Laiti M/mungu Afanye Muujiza, Tahamaki Magufuli Karudi Kuchukua Nafasi Yake, Than Arudishe Msimamo wake Uleule Wa Kutupilia mbali Chanjo, Na Huyu sheikh Utamsikia, Jaman Kama Anavyosema rais magu hawa wazungu Tusiwaamini 1 kwa 1.Inna lillah wainna ilayh raajiun)
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 жыл бұрын
Mbona kichwa chako kigumu kuelewa! Shafii anailaumu serikali kuhusu chanjo, nakufafanulia sasa, ( KAMA CHANJO HAINA TATIZO LOLOTE LILE KWA BINAADAM KWANINI MNASEMA KUCHANJA NI HIYARI? NA KWANINI SERIKALI ISEME HAITAHUSIKA NA MADHARA YATAKAYOTOKEA TOKEA BAADA YA KUCHANJA? KWAHIYO CHANJO INA TATIZO NDANI YAKE) ndivyo nilivyomuelewa mimi
@rajabuhamisi2769
@rajabuhamisi2769 3 жыл бұрын
Tatizo hujaelewa alafu unaandika tu kulaum.
@farajiharuna6600
@farajiharuna6600 3 жыл бұрын
Nimekupata shehe
@ahmedstza2900
@ahmedstza2900 3 жыл бұрын
Achana na hizi mishe Sheikh
@hadijasadiki5825
@hadijasadiki5825 3 жыл бұрын
Asalam aleykum shehe Allah akuzishie subra
@awadhgugu317
@awadhgugu317 2 жыл бұрын
Shekhe waafrika bado tunatawaliwa yani hapa hadi tupigane ndio dawa
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 3 жыл бұрын
Umenichekesha weweee yaani mpaka machozi yananitoka. Johnson sio nzuri
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 3 жыл бұрын
Kwanini ulazimishe iwe lazima wakati nihiyali?
@rehemaa597
@rehemaa597 2 жыл бұрын
Wasiochoma mungu atawashughulikia kwani asahivi serikali inasaidia nn watu wanalia hali ngumu toka Magu afe
@msingida33
@msingida33 3 жыл бұрын
hivi kwanini serikali ilete chanjo alafu isiwajibike???
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 3 жыл бұрын
WE SHEKHE GANI MNAFIKI CHANJO HII NI HARAMU
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 3 жыл бұрын
Changanya na zako!!!
@husseinissa7118
@husseinissa7118 3 жыл бұрын
Sheikh unaimani na kinga ambapo kinga yetu sisi ni Allah anatosha sio yako unayofikiria naona imani yako ktk dini imetetereka sn na hii inatokana na njaa na tamaa ya dunia mpaka mambo mema uliofanya huko nyuma umesahau
@kishingokishingo1840
@kishingokishingo1840 3 жыл бұрын
Mbona ulichanja pepo punda ,shurua ,na mengineyo fikiri kwanza usikurupuke
@suberasubera641
@suberasubera641 3 жыл бұрын
Mungukwanza ilaatujakatazwa dawazingine zahalari
@habibahadithi5080
@habibahadithi5080 3 жыл бұрын
Kwanza elewa alichomaanisha ndo ucoment
@omarmohd1262
@omarmohd1262 3 жыл бұрын
Sw amechanja lakn kwa hili hatutaki kwann hamtupi ya homa ya ini mnatupa hili kipindi hicho ilikuwa si wasomi ila zama hizi humdanganyi mtu
@captioncapition2574
@captioncapition2574 3 жыл бұрын
Shekhe yuko sahihi hakuna baya alilosema chuki tuu nakutoelewa
@mtumguzu4080
@mtumguzu4080 3 жыл бұрын
We kweli pango
@shabbymakapaneshabby5000
@shabbymakapaneshabby5000 3 жыл бұрын
Kosa lake nini?
@sudihammad7387
@sudihammad7387 3 жыл бұрын
Anaitwa mazinge wa kenya
@omaryrashidi6882
@omaryrashidi6882 3 жыл бұрын
Unazidi kupoteza heshima yako
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 3 жыл бұрын
Unajifanya UNAOGOPA CHANJO huku riba unakula na zinaa unafanya
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 3 жыл бұрын
@@husseinsaid8021 umemshuhudilia akiyafanya Yote hayo?
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 жыл бұрын
Hapo kwenye bangi ndio umetufikisha yani ni balaa hassa
@cmb6342
@cmb6342 3 жыл бұрын
Acha upuuz wew hayo mambo ya chanjo kama hauna elimu ya kutosha tulia
@abdulkilala9845
@abdulkilala9845 3 жыл бұрын
Shehke korona Ni Freemason tumieni akili zenu Kama wasomi
@jumajuma903
@jumajuma903 3 жыл бұрын
Wakubwa tumekuelewa
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Wavutabange wengi humu shehe hawaelewi mapema
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 жыл бұрын
Na Cha kujiuliza hio form inaenda wapi
@wilsonlusasu8069
@wilsonlusasu8069 3 жыл бұрын
We fala tu
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 3 жыл бұрын
Bil gate kawazidi akili mashekhe pumbafu zenu
@esteredward6980
@esteredward6980 3 жыл бұрын
Ivi kwa nn mmekua mna hubiri kolona kuliko mungu?
@omaryseshambi6468
@omaryseshambi6468 3 жыл бұрын
Nakuunga mkono shekhe ALLAH akupe zaidi
@AhmedAli-ve5zc
@AhmedAli-ve5zc 3 жыл бұрын
Aisee comment zenu mnamtukana tu shekhe wala hana makosa. Tatizo hamjamfahamu huyu shekhe ila alicho sema ukweli na siku zote ukweli unauma. Shekhe mimi niko pamoja na wewe
@asriyaaljabry27
@asriyaaljabry27 3 жыл бұрын
Kweli chanjo umesaidia huku Oman maradhi yamepungua watu wengi wamepata chanjo chukueni chanjo na Allah atatusaidia
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 3 жыл бұрын
yalikuwepo yamfikaje kutoka china jitambueeee
@suhamdistributors5934
@suhamdistributors5934 3 жыл бұрын
Nyie waarabu ndio hamna kitu,
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 3 жыл бұрын
Chanya ikusaidie Ww
@husseinjuma8126
@husseinjuma8126 3 жыл бұрын
Asriya
@saidmkinga5140
@saidmkinga5140 3 жыл бұрын
Wamechanja ipi? Acha kutupotosha
@mussasualehe7146
@mussasualehe7146 3 жыл бұрын
Acheni kumuongelea Mtu kwasababu hakuna aliye safi
@ismailsamwemkumbi2827
@ismailsamwemkumbi2827 3 жыл бұрын
Assalaam alaykum warahamatullah wabarakatuh/Sasa ndg we si msemaji wa waaislam Sasa nilichokufanya ili uongee kwenye mitandao nawe hilo ni kosa
@seremenikibwene8633
@seremenikibwene8633 3 жыл бұрын
Huyu nae keshaanza kupoteza muelekeo, Mshaletewa Bahasha Mnaacha ya dini Mnajipendekeza kwa serikali sasa.
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 жыл бұрын
Kichwa maji ndio tatizo
@othmanali7408
@othmanali7408 3 жыл бұрын
seremani kwani wewe umefahamu au una coment tu hebu isikilze video kwanza ufahamu then pia ujue iyo dini ni nini ?
@rashidmkoga3053
@rashidmkoga3053 3 жыл бұрын
Kweli watu vichwa maji yani mtu karudia mara 3 bado humuelewi
@sudihammad7387
@sudihammad7387 3 жыл бұрын
Ila kuna shekhe mmoja alisema takribani miaka 8 iliyopita alisema itakuj chanjo ambayo ina mfumo wa 666 wa kupandikizwa vyombo ambavyo hufanya watu kumilikiwa
@mwakapalilafuraha5636
@mwakapalilafuraha5636 3 жыл бұрын
Huna akili wewe hujui hata unachoongea kwa hiyo kama wote watasthirika nani atamuongoza au kumtibia mwenzake ?
@williammlama297
@williammlama297 3 жыл бұрын
Km no kinga mbona ukichanjwa unavaa barakoa?
@hafsatjuma3373
@hafsatjuma3373 3 жыл бұрын
Shekhe usijali walokutukania mama allh atawaona awezavyo
@focusfermin
@focusfermin 3 жыл бұрын
Mpumbavu tu. Za kuambiwa changanya na zako. Izo fom za chanjo mbn serikali inajikataa.
@hashimbakari4670
@hashimbakari4670 3 жыл бұрын
Sheena umejikanyagakanyaga tu. Serikali imeshauriwa kuwa chanjo uwe ya hiyari, Shabani siyo ya uhakuka aka majaribio. Wewe ulitaka viongozi wa serikali waseme banana?
@mwanajinacayemite2336
@mwanajinacayemite2336 3 жыл бұрын
Maana yake, hiyo chanjo ina madhara na ndiyo maana wanajitowa kwa lolote baya litakalomtokea aliyechanjwa. Tieni akili
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 3 жыл бұрын
We njaa ndio tatizo
@maulidabdallah8743
@maulidabdallah8743 3 жыл бұрын
Mm cha kushangaa kwann chanjo nyengine si zipo na mbona hamuzisemii ,waachen wananchi watachakua wenyewe.
@saeedally268
@saeedally268 3 жыл бұрын
Huyu mbwa hii chanjo ni mafrimason sio shekhe huyu hafai kabisa
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Tofauti hii ni ya dunia mzima why
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
@@saeedally268 shehe anausikaje hapo
@athumanimbaya9509
@athumanimbaya9509 3 жыл бұрын
Dah! Huyu ustaadh! Astaghfirullah, SUB'HANA LLAH! Sheikh, kachanjwe, wewe, na familia yako! Washaugua watu wengi tu humu, na walijigharamia, wenyewe, na siyo serikali!
@mordally
@mordally 3 жыл бұрын
Sheikh SSP wanafik ni wengi sana siku hizi
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Sannah
@allysafari9957
@allysafari9957 3 жыл бұрын
Kwani una elimu na hayo mambo au unaropoka tu
@edriansmith5809
@edriansmith5809 2 жыл бұрын
😂
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 3 жыл бұрын
Kasome Tiba au kinga ni hiari ya mtu
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Usiombe kifo cha uchawi kinauma km hujarogwa huwezi kuelewa
@khalfanmakota3905
@khalfanmakota3905 3 жыл бұрын
Shafii safi sana
@hamidaissa4769
@hamidaissa4769 3 жыл бұрын
Namimi nikitaka hayo mafuta nayapataje?
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 жыл бұрын
Hiyo maana yake ni ya kishetani wanaelewa walio rohoni TU
@kherimkose3669
@kherimkose3669 3 жыл бұрын
Bro field yako ni comparative religion, sasa unaijiingizaje kwenye siasa
@godasanga3819
@godasanga3819 3 жыл бұрын
Kumbe unajua kuchomeka na matusi ni vibaya wewe Si ndo bingwa wa kuchomeka kwenye mihadhara ndo ujue Kuwa unafuata mkumbo wa kipagani
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Acha jazba
@shabbymakapaneshabby5000
@shabbymakapaneshabby5000 3 жыл бұрын
Mh?
@prophetmunuo9317
@prophetmunuo9317 3 жыл бұрын
shehe wee njaa za haohao hunajipya, chanjo dunia yote ni hiyari tena nchi ambazo wamekufa watu wengi zaidi wanatoa chanjo kwa hiyari wee Tz unalazimisha wee kakutuma nani uilazimishe?
@HassanHassan-sn5cj
@HassanHassan-sn5cj 3 жыл бұрын
Lakini mbona hoja zake zipo wazi kivipi useme ni njaa zake!?
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 3 жыл бұрын
@@HassanHassan-sn5cj yn Watu hawana uelewa kabisa Mm nimuelewa Sn SHEIKH shafi
@shabanmzala6246
@shabanmzala6246 3 жыл бұрын
Ujamuhelewa hajalazimisha na hizo nchi hufiki bila kuchanja huko siyo kulazimisha.
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Nikweli sheykh upo vizuri khasa angeeka uwazi kama ivo likitokea serikali ihusike
@saidmkinga5140
@saidmkinga5140 3 жыл бұрын
Huyu mbona anajichanganya! Sasa mambo ya bangi hapo yanakujaje??
@gshdhvdhf8283
@gshdhvdhf8283 3 жыл бұрын
Niko na wewe sheikh na hiyo ndio swali limenishinda kuteguwa.
@hudhud2022
@hudhud2022 3 жыл бұрын
Subhanallah sawa hataki chanjo msichanje
@mussalugembemussalugembema3650
@mussalugembemussalugembema3650 3 жыл бұрын
Wewe umepata chanjo Sasa mbona unalazimisha serikali ifanye lazima Kuna nn hapo umetumwa
@shakilaabdallaherio5617
@shakilaabdallaherio5617 3 жыл бұрын
Sikilza vizur hana maana ya kwamba iwe lazima tuliza kichwa chako kisha msikilize vizr utamuelewa
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 3 жыл бұрын
K2mwa
@omarmohd1262
@omarmohd1262 3 жыл бұрын
Tumemsikiliza asijibadilishe badilishe kakosea sana njaa inamsumbua na mm nikipata namba yake nampigia tuu huyu kwaiyo anataka tusubiri mazara yatupate ndo tuanze kulia
@ellymaz2187
@ellymaz2187 3 жыл бұрын
@@omarmohd1262 Nimekuelewa. Hakuna haja ya kusubiri tuumie eti kwa kuwa serikali itahusika. Hata kama serikali inahusika itasaidia nini kama umeumia. Kwa nini hatushituki??
@omarmohd1262
@omarmohd1262 3 жыл бұрын
@@ellymaz2187 asante mkubwa wangu pamoja
@jamessichimata36
@jamessichimata36 3 жыл бұрын
Mbona walio chanjwa bado wanavaa barakoa?
@user-pr8pv2du2x
@user-pr8pv2du2x 3 жыл бұрын
Hapo sasa ndio pakushangaza
@tinershayo5397
@tinershayo5397 3 жыл бұрын
kweli jamani alafu tunapelekwa tu
@swalehkiuga167
@swalehkiuga167 3 жыл бұрын
We unaogea nn wew unajua madhara ya hiyo chanjowew auunaropokatu
@halimahamis3742
@halimahamis3742 3 жыл бұрын
Chanjo nitaisikia tuu 😏
@hamoudslim3622
@hamoudslim3622 3 жыл бұрын
Halima Hamis ulimwenguni kote serekal wamesema hivyo na washaweka sheria huwezi safiri kama hujachanjwa ....
@halimahamis3742
@halimahamis3742 3 жыл бұрын
@@hamoudslim3622 kusaf kwenda wapi labda airport ynyw cjui iko mkoa gn 🤣🤣🤣🤣bs wachanjwe wanaosafili ss mm nipo shamba huku bs kabila kuliona na kilometa 2 kwa miguu
@habibahadithi5080
@habibahadithi5080 3 жыл бұрын
@@hamoudslim3622 sio kweli mm nilipo wanachanjwa kwa hiari na ukitaka kusafiri inategemea wapi unaenda labda nchi unayoenda iwe imewekwa sharti la chanjo kama hakuna unapimwa tu na safari inaendelea juzi tu mtuamesafiri nchi jirani na amepima wala hajachanja
@halimahamis3742
@halimahamis3742 3 жыл бұрын
@@habibahadithi5080 kweli kabisa mbona mm nipo nchi zawazungu nacjachoma nimekataa na home nitaludi vizuli kunawazungu pia wa anaikataa hiichanjo
@arbogastemiykimario2721
@arbogastemiykimario2721 3 жыл бұрын
Sasa Kama kufa ni mipango kwann tuchange
@swaibuiddy2064
@swaibuiddy2064 3 жыл бұрын
Apo shekheee kunakitu
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Naam
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 3 жыл бұрын
Sheikh usiogope matusi kwenye
@alphoncejuma9652
@alphoncejuma9652 3 жыл бұрын
Ww inakuhusu nn kwani saizi serikali inagharamiki nn acha hizo
@shabbymakapaneshabby5000
@shabbymakapaneshabby5000 3 жыл бұрын
Kwani kosa lake nini?
@omarmohd1262
@omarmohd1262 3 жыл бұрын
Huyu jamaa boya kama kufa anopanga ni mungu mbna anatufos kupiga chanjo ..inaonekana linaonekana linaogopa kufa hili sisi tushamkabizi mungu
@omaryseshambi6468
@omaryseshambi6468 3 жыл бұрын
Wewe umemsikiliza hadi mwisho?
@omaryseshambi6468
@omaryseshambi6468 3 жыл бұрын
Umemsikiliza hadimwisho au umekurupuka
@omarmohd1262
@omarmohd1262 3 жыл бұрын
@@omaryseshambi6468 nimemsikkiliza kiukweli broo shafi kwa hapa amefeli sana ameshusha hadhi yake nibora angenyamaza tuu
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 3 жыл бұрын
@@omarmohd1262 ulipo Skiliza had Mwisho umemuelewa Vp?
@omarmohd1262
@omarmohd1262 3 жыл бұрын
@@kutailadifi2854 yy anataka chanjo iwe lazima kwasababu ya kipengele kile kilichowekwa kiondolewe lakn
@jumamuna2315
@jumamuna2315 3 жыл бұрын
Kwa we lazma uliongelee hilo mbona mzee alipoikataa chanjo hukuongea
UFAFANUZI KUHUSU VALENTINE - SHEIKH SHAFI SHOMARI
30:16
Kishki Online TV
Рет қаралды 23 М.
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 3,2 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 7 МЛН
KISA CHA KIJANA TAJIRI NA MASKINI SHEIKH KIPOZEO
18:14
arkas online tv
Рет қаралды 9 М.
SHAFI SHOMAR...KWANINI TULIUMBWA
42:09
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 350 М.
SHEIKH SHAFII - MATATIZO AYAJAANZA LEO TANGIA ENZI ZA MTUME
19:14
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 3,2 МЛН