Sichoki kutizama hii video Mashaallah sheikh shafi
@nasrahassan2260 Жыл бұрын
Hingera sana shekh wetu maaim snafi kwa kuiwakikisha vyema sana. Dini ya kiuslamu allah akupe nguvu na imani zaidi kulingania dini yetu ya haki
@aljabery.binruz3 жыл бұрын
Sheikh shafi Alla akupe afia njema, maisha marefu na subra. Amin ya rab aalamin
@absameosman91132 жыл бұрын
ManshaAllah ona vle masheikh n waislamu wanavyofurahia thanks to Almighty Allah for choosing us to be all muslims
@Aishyun65543 жыл бұрын
Wallah kujuwa dini rahaaa ona sheikh anavyoringa ma shaa Allah
@miangijunior43583 жыл бұрын
Takbir ALLAHU AKBAR Kiukweli Hawakubali sana masheikh zetu nyinyi hakika munafanya kazi kubwa mwenyezi MUNGU Awatunze Ktk Dunia na Akhera Amiin
@isayamathias38553 жыл бұрын
Nlivoskia shafi nmelengwa machozi yafraha, shafiiiiii mungu awajalie ziada katika umri
@hawamhanga2951 Жыл бұрын
Mm pia namwombea heri nyingi mno
@princessafrash87573 жыл бұрын
Wallah wallah wallah I proud to be Muslim thanks Allah for making me among of them Alhamndullah
@AthumanMuggarahjr2 ай бұрын
Mashaallah 🙏🙏
@rashidyahaya98042 жыл бұрын
MaashallaaH naampenda imamu shaff kwajili ya Allaah
@abokrarshamsan79633 жыл бұрын
Mashaallah masheik wetu, vipenz vya waja, Allah awalinde n husda za waliokando yenu. Inshallah
@mohammedkimanga89603 жыл бұрын
Shukrni sna ustadh shaffi kwa ufafanuzi mzuri ,,,,wakuelewa wameelewa bila shka tuko pamja kutoka Kenya inshaallah
@hadijamahenge8654 Жыл бұрын
Mashaa Allah
@abdallasaid55933 жыл бұрын
Alhamdhulillah kuwa muislam tu ni neema kabla kitu chochote kwanza, tuseme Alhamdhulillah kwa kuipata neema kma hii.... Replacement ya mazinge naiona sasa
@jawahermohammed49403 жыл бұрын
MashAllah mungu awaongoze wote wasio waslamu awape imani ya kuingiya kwenye dini ya haki …Ameen na masheikh wetu waendele kueneza dini ya haki
@nailahsaeed8372 жыл бұрын
Mash Allah Shekh Allah Barik walai
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
I am proud to be a Muslim.
@minabuelysee83 жыл бұрын
I am proud too
@zuwenaomar4201 Жыл бұрын
Me too
@mrsahmadhajraah15503 ай бұрын
Me too❤
@makememossi37013 жыл бұрын
Ya Allah tuuwe na shahada mbili waja wako ameen
@i.bmohamed65173 жыл бұрын
Alhamdulilah iam proud of Muslim around the world
@minahadi21903 жыл бұрын
MashaAllah Allah awaifadh mashekh wetu 🤲🤲🤲
@abdullahiiddi41093 жыл бұрын
Sharfi mashaala Allah awazidishie ilmu na afya tuzidi kunufaika Amin
@omarsalim53893 жыл бұрын
Mashallah raha tupu namshukuru allah kunijaalia kua muislamu
@hamidaala28323 жыл бұрын
SaanaHaduRaha
@ishakafaki35013 жыл бұрын
Mazingee njooo ❤️😂😂😂 anatikisaa kichwaaa tuu Alhmdulillah Niko proud to be a MUSLIM
@faisalashraf80313 жыл бұрын
Mashaalah ustadhi shafi nakupenda Sana kwa ajili ya Allah
@minabuelysee83 жыл бұрын
Me too i am proud to be Muslim
@unclejonah73503 жыл бұрын
proud is sin ...proud ni kiburi kwa kiswahili .....so hapo tu unapokuwa na kiburi ndipo unaangukia ......kama kweli unadhani utafika mbinguni kwa kutambua kuwa uislamu ndio dini ya kikweli ? umeboronga ? hakuna jina kubwa kama jina la Yesu ....Mungu wetu ametubebea dhambi zilizopita zilizoko na zijazo ....hakuna matendo utafanya mema kamwe yakufikishe mbinguni ....mwisho wa kunukuu
@zouzou28493 жыл бұрын
@@unclejonah7350 hatuna haja yakukupa mana madam wewe ni kafiri huwezi elewa😃😃😃😃
@unclejonah73503 жыл бұрын
@@zouzou2849 nani kakupa hyo haki ya kunihukumu ety mm kafiri ...wewe umeketi kwa kiti cha enzi kwani ama uko katika mkono wa kuume wa Mungu .....acha kiburi mkubsli yesu ...ama shikilia dini ww ikufikishe kwa Mungu
@jamilaalfarsi77123 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah jamani uisilamu Raha alhamdulilah namsukuru Allah kunipa neema yakuzaliwa nawaislamu na Mimi mwenyewe kuamuislamu alhamdulilah rabila alamiin namuomba alifishe nikiwa muisilamu yaniraha kwakweli
@nininahazweally77933 жыл бұрын
Manshaallah shafi nakupenda kwajili Y'Allah
@aplenakihombo66763 жыл бұрын
Mashaalah I'm proud to be muslim
@khadijanigogo698 Жыл бұрын
Mashallah proud to be Muslim
@rahimaan64813 жыл бұрын
Alhamdulillah yaraby kwa kuwa muislam 👏👏najiskia raha wallah 👏👏
@talhiyaibrahim79513 жыл бұрын
Allah nakuomb mola Wang ya rabby nifishe ktk uislam najivunia kuwa muislam Allah awalinde masheikh wetu hongereni. Na kz mzr sana
@AaA-oq2dq3 жыл бұрын
Hebu pangeni kongamano jengine wallahi raha anaitwa shafi kiboko yao
@maryambintukhadija16043 жыл бұрын
Shekh shafiii allah akuzidishie umri mrefu wenye manufaaaa amiin tunawapenda ..wahadhiriii woteeee...
Dah hakuna dini kama hiiii dini yetu ya Kiislam ewe MUNGU nifishe hassan mm nikiwa muislam
@mrishomrisho53493 жыл бұрын
amiini hata mie naomba dua hii
@ahmedjuma26743 жыл бұрын
Hata mm
@abdulshakur84253 жыл бұрын
Sote amiin
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Amyn
@heyumi23403 жыл бұрын
inshaallah
@rossamengo72113 жыл бұрын
Yani wislam ndio dini...AL HAMDULILLAH..proud to a Muslim
@omanbarka20533 жыл бұрын
Waallaah naipenda dini yangu nashukuru kuwa muislamu yaarab nifishe nikiwa muislamu na familia yangu nawapenda wahadhili wetu munatuongezea imman yaarab nifishe najina langu hilihili Maryam
@abokrarshamsan79633 жыл бұрын
Inshallah
@mzeemohamed92863 жыл бұрын
Wallah hadi nimetokwa na machozi kwa furaha kweli hii ndo dini 😢😢
@cadhimberec12863 жыл бұрын
Kama mm pia nmetokwa na machozi nashukuru kuzaliwa muislam
@fatomhalogandy40453 жыл бұрын
May Allah continue protecting you sheiks .thx for the great work. MashaAllah tabarakallah.great muhadharah.Allahu Akbr
@mukandamaakbar5993 жыл бұрын
Alhamdulillah aala neema l'islam
@gitonga70543 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah Sheikh Shafii
@faroukamir54843 жыл бұрын
+254 mashAllh ustadh shafi...
@jumakhamis2263 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh Shomari
@HamzaAkilimali9 ай бұрын
Wallahi, UKIWA *MWISLAMU* NA UKAMUABUDU ALLAH IPASAVYO, UKAJIEPUSHA NA MAOVU, UKATIMIZA NA IBADA AZITAJAZO ALLAH.*PEPONI HAPATAKUPIGA CHENGA*
@ajumaakange14833 жыл бұрын
Shafii allaah akupe umrimref Isha allaah
@mambosuleiman48013 жыл бұрын
Mashallah nimependa sana pia mm nasilimisha mtu tu kwa hizi debate
@IbrahimMohamed-yy2il3 жыл бұрын
Dah mwenyezi mungu kwa nini aliumba kifo, masheikh wetu wahadhiri awape umri mrefu Amiin inshaAllah
@doctorphone213 жыл бұрын
Kubwa omba kheiri maana hata wakawaje awa masheikh hawato mshinda mtume na yeye amekufa
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
Mashallah Allah
@mofidamofidda78773 жыл бұрын
MashaAllah Allah akbar
@mukandamaakbar5993 жыл бұрын
Tuwe tunamshukuru Mungu usiku na mchana kuakutupa neema yakua muislamu
@makenakendi90143 жыл бұрын
Mashallah ALLAH BARIIK always
@hamidaala28323 жыл бұрын
AlhahuAkbaru😭😭😭😭rahaUISLAM
@abishafiqabishafiq60653 жыл бұрын
Kina shafii nyie mnatuenea mnaijua Qur-an Kama maswahaba DAAAH kua muislaamu raha Sana jaman tujengen uislaam wetu Wala tusi farakane
@husseinkatana45732 жыл бұрын
Walwahi tena
@osmansabu-gm4do Жыл бұрын
Sahihi
@nurumasha Жыл бұрын
Najivunia uislam wangu ALHAMDULILLAH
@jumarobertonyancha860511 ай бұрын
Mnajifunia dini yenye giza😂😂😂
@asilclub3 жыл бұрын
جزاكم الله خيرا على هذه الجهود لتبين الحق
@abuubakar57493 жыл бұрын
sahihi ndugu yangu
@ErickoMbimbi Жыл бұрын
Uu77uk
@aysheromary79353 жыл бұрын
Mashaallah 💕
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
@JuniorTz-s7x2 ай бұрын
Penda sana shehe wangu mungu akubariki katika maisha yako na allah atujahalie waja wake tuwe na mwisho mwwma❤❤❤❤❤❤
@habibaoman243 жыл бұрын
Alhamnduliahu mungu kunijalia neema ya uicilamu namuomba mungu anifishe nikiwa muicilamu🤲🤲🤲
@huseinshedrack61803 жыл бұрын
We Shafii ww, Umeua aisee
@hajirajabu7364 Жыл бұрын
Waislam tupo vzr kweli
@mahreztz82803 жыл бұрын
ALLAH AKBAR ALHAMDULILLAH
@amiduahmad75643 жыл бұрын
Namshukuru allah kuzaliwa ktk uislamu din yahak ktk dunia na akhera
@abokrarshamsan79633 жыл бұрын
Na pia umuombe akufishe ukiw muislam inshallah.
@hiimbinaimmuslim30413 жыл бұрын
Hebu vyivyi makafir someni msipotezwe na mapadri wenu mmeambiwa kama mapadri wenu wamekupotezeni pia hamuamini
@rabiyamaulidinduwimana41103 жыл бұрын
Shafiii mbonaunatisha eeeee nakupendaaaaa
@ZUBEDAMUSTAFA8 ай бұрын
Alla akuongoze
@danielp41472 жыл бұрын
Kiukweli huyo msomaji wa kiislamu anajua kusoma vizuri yaani narudi rudi kumsikiliza Mashallah.
@gharibislam15863 жыл бұрын
Mashallah ustadh shafi ako na kipawa
@aishaburundi70583 жыл бұрын
Masha Allah 😘
@hajiabdallah72183 жыл бұрын
Allah awape jaza kwa kulingania hakki na ufafanuzi ulio wazi
@ابتيي-غ3ي3 жыл бұрын
Alhamdullillah kwa kunijaalia kuwa katika dini ya haki
@mwahijaabdallah-g5h2 ай бұрын
Mashallah Allah awape umri mrefu
@hiimbinaimmuslim30413 жыл бұрын
Poleni sana fateni ukweli wacheni roho ngumu
@alihafidhali95893 жыл бұрын
Ya Allah bihusnill hatma 🤲
@kasalamrisho67023 жыл бұрын
Wallahi ALLAH atawalipa kwa kheri mnazozifanya
@mukandamaakbar5993 жыл бұрын
Masha'Allah
@HassanAli-lt4xm3 жыл бұрын
Asante shafi shomari kwa Majibu Safi kwenye mdahalo kanisani
@jumakhamis2263 жыл бұрын
ALLAH AKUJAALIE UMRI MREFU
@amirimbago83253 жыл бұрын
AMIIN KWETU SOTE INSHA ALLAH
@abcmnbb26103 жыл бұрын
Alhamdulillah kwakuwa mimi muislam yani raha sana kwakongamano
@hafsaali79763 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah
@ommytzu42613 жыл бұрын
Takbirrrrrr
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Baada ya miaka 570 ndipo ilikuja Imani nyingine. Hakuna mtu awae yote anaeweza kuushinda Ukristo.Kila na nabii alikuwa na kalenda yake. Yesu 00-2023.Dunia haikuanza wakati wa Yesu.Sasa Kwa Nini ni 2023 na sio vinginevyo
@jesmirmohamed34673 жыл бұрын
najivunia kua muaislaam l am from kenya
@hamisikamana3 ай бұрын
Mashaallah tupo pamoja.. from Tanzania
@waltershayo13393 жыл бұрын
Takbir Allahu Akbar
@saumukayaa39793 жыл бұрын
Mashaa.Allah
@hemedsalim88373 жыл бұрын
Allah atupe khery nyingi waislam 😍
@omanbarka20533 жыл бұрын
Mashaallah msomaji ananakshi huyo hahahaha 😂🤣🤣🤣🤣🤣
@oman77103 жыл бұрын
ماشاء الله
@omanbarka20533 жыл бұрын
Mashaallah mlitamba kanisani hadi raha mlifundisha haswa wenye akili wameelewa
@rossamengo78773 жыл бұрын
Shekh shafi wape mistari wapate kukuelewa.. Allah akupe umri mrefu maana unatupa mafunzo
@ramadhanabdul68573 жыл бұрын
MaShaAllah
@omanbarka20533 жыл бұрын
Shafi Allah akuongezee elimu
@zuhuramuhanga54003 жыл бұрын
Na mshukuru Allah kunifanyia wepesi ni kasilim toka 1995
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
Allah akujaalie mwisho mwema na akufishe Hali ya kuwa muislamu.
@abokrarshamsan79633 жыл бұрын
Mashaallah Allah akueke Imani zaid mpaka akufishe ukiwa muislam.
@maryamtemba17603 жыл бұрын
MashaAllah mjadala iko poa lkn fupi jamani
@alihafidhali95893 жыл бұрын
Allah akbar 🥺
@makememossi37013 жыл бұрын
Akbar min kuli shay i
@ismailyussuf18053 жыл бұрын
Maskini wakristo.Kilamjadala wanashindwa.Imani yao Haiongozi popote.(From Hargeisa Somalliland.
@alenilukasi53973 жыл бұрын
Kasome Quran sura ya pili yote Kama unajua kusoma
@muhammedkhamis4163 жыл бұрын
@@alenilukasi5397 watu tumeihifadhi yote acha kuijua kuisoma unatuchukuliaje
@alawyjr47413 жыл бұрын
@@alenilukasi5397 tumeisoma muda mrefu sana naomba uniambie ni wapi umepata mkanganyiko nikusaidie ili next time usibabaike kk
@daudmtoba19110 ай бұрын
Kwel waislam awajui kitu awajui kua wakristo walivyo waita Kuja kanisani Kwa Kwa upendo wa yesu lakin waislam awajui
@HusseinGabu-wr3xh Жыл бұрын
We swaum gwao acheni uhuni mnawekaje mdahalo wa upande Mmoja huo ni uhuni
@yaceenmohamed8583 жыл бұрын
Shafii uko vzur
@GyidaliAbu2 ай бұрын
shunkuran sheikh
@idayusuf32843 жыл бұрын
Masha allah tabarakaaallah..Allah awaongoze masheikh wetu.yaani raha mpaka basi😂❤
@hasinauuwimana84053 жыл бұрын
Sisi ndo wazee wa kachumbali kwa Vitabu 👌😀
@abuubakalmtangenange43893 жыл бұрын
Hamidu akiwa msomaji napenda sana sauti na mbwembwe zake zanikosha sana
@husseinguyo43793 жыл бұрын
Mashaa Allah lakini mbona Dr Sule hayuko
@abdulwalidali45673 жыл бұрын
Suspension yeye na mwaipopo waache wamalize kesi yao ya utapeli