Nimevunja Ndoa Yangu ili Kulinda Ndevu Zangu | Sasa Wanaume Wananiogopa

  Рет қаралды 770,970

Afrimax Swahili

Afrimax Swahili

Күн бұрын

Hii ni Historia Ya Mwanamke Mwenye Ndevu Ambae Alikubali Kuvynja Ndoa Yake ili Kulinda Muonekano Wake
Kumbuka :Asili ya Video Hii Iliundwa Kwa KISWAHILI&KIFARANSA Chini Ya Afrimax Ltd,Ikimaanisha Tunamiliki Haki Yake kwa 100%,Hili Ni Toleo La Kiswahili,
#afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda
Usisahau Kubonyeza Alama Nyekundu (Subscribe)kisha Alama Ya Kengele ili Uwe Wa Kwanza Kupata Video Zetu AFRIMAX SWAHILI.
#ghorofalaporomokakariakoo #afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda #yangasc #simba #simbasc
#duet #love #tanzania #simbanayanga #paulmakonda #arushatanzania #daressalaam #ngaoyajamii #comedy #diamondplatnumz #jasonderulo #komasava #trendingvideosintanzania #usajilimpyawasimba #usajilimpyawayanga #wananchiday #sikuyawananchi #simbaday
#azamsports #goldenboy #karma #kenya #uganda #ruto #maajabu #greenscreen

Пікірлер: 1 300
@edwardtesh2038
@edwardtesh2038 2 ай бұрын
Congratulations mrembo mimi nimempenda sana huyu mrembo kazi ya MUNGU haina makosa❤❤❤❤❤❤
@umumararungunizeyimana5560
@umumararungunizeyimana5560 2 ай бұрын
Why are you guys lied to her? Witch men can go talking to the same face? Why she can't she clean the mean cut izo ndevu
@francisoluga
@francisoluga 29 күн бұрын
inatisha
@zawadimwenga7851
@zawadimwenga7851 2 ай бұрын
Jivunie kuwa kama ulivyo hiyo ni mipango ya mungu. Hongera sana kwa kujikubali
@خليفهالرحبي-ف4م
@خليفهالرحبي-ف4م 2 ай бұрын
Alhamdulillah❤❤❤Allah akubariki na atakufanyia kila wepesi InshaAllah...
@SwitiLucas-sf5ff
@SwitiLucas-sf5ff 2 ай бұрын
​upedo 0:10 ❤
@stellamakasi5935
@stellamakasi5935 2 ай бұрын
Mimi nina ndevu chini ya kidevu na mdogo wangu wa kike ana nywele kifuani tupo vizuri tu tunafurahia mpango wa Mungu Wala hatuioni aibu.wanawake wenye ndevu wanajikubali
@faithjuma8253
@faithjuma8253 2 ай бұрын
Si kupenda ya mtu..Maumbile ya Mungu.
@Mohammadkombe033
@Mohammadkombe033 2 ай бұрын
Mnipe namba yake nataka kuongea n yeye
@Pretty22750
@Pretty22750 2 ай бұрын
Wow mwanamke wa pili kumuona akiwa na muonekano wa kiume wa kwanza from 🇰🇪 my mother land na wa pili🇯🇲kwa mashemela wetu heko kwenu warembo kwa kujiamini maana Mungu ndo kawaumba jinsi mlivyo 💪🏽👊🏽👏🏽👏🏽
@Pretty22750
@Pretty22750 2 ай бұрын
@@FredrickMutabilwa jiheshimu, km huna la kusema kaa kimya na hutogharamika kwa chochote dea
@FredrickMutabilwa
@FredrickMutabilwa 2 ай бұрын
@Pretty22750 ilikuwaje kwani mbona sikuelewi dear ♥️
@FredrickMutabilwa
@FredrickMutabilwa 2 ай бұрын
@Pretty22750 ilikuwa ni kibwagizo tu mdgo wangu so kwa kumaanisha dear
@EdwardNjauWambuiNjuku-p3l
@EdwardNjauWambuiNjuku-p3l Ай бұрын
Much love my fellow 🇰🇪
@hamarosylvano9500
@hamarosylvano9500 Ай бұрын
Kuna mwengine UK 🇬🇧, mwenye asili ya kihindi
@Laver150
@Laver150 Күн бұрын
Uko sawa dada, nimependa sana hizo ndevu sako, ungekua mke wangu ningejisivu sana, ungekua Kenya ungekunywa soda yangu👍👍👍
@gilbertdengmarial4229
@gilbertdengmarial4229 2 ай бұрын
She is humble , she will go far. She is so straightforward
@RodycanaSanga
@RodycanaSanga Сағат бұрын
Nimekupenda buree dada jikubali sana na mungu akuepushe na ya dunia
@Kingmasai-p9t
@Kingmasai-p9t 2 ай бұрын
Yuko vizuri sana pia anajikubali sana,ila pia mbali na yeye kjikubali anapndeza pia ila huyu dada siyo wa kwanza mimi kumuona akiwa na ndevu mwaka Jana nilikuwa Zambia nilikutana na mwanamke kama huyu huyu ila sema tofauti zao yule wa Zambia yeye anapenda kuzinyoa ndevu zake, lakini pia kiukweli yuko vizuri dada wa watu tuwe tu wa kweli tusiwe wanafki,mbali na yeye mwenyewe kjikubali mimi mwenyewe nimemkubali kinoma Yani you're very nice 👍👍
@lordorcas9344
@lordorcas9344 Ай бұрын
Na furahi sana na kua neno unasema kama ulipewa zile ndevu na Mwenyezi Mungu na Unafurahia Uko muzuri sana Binti Mungu akubarike na unaonekana kama una tabiya Muzuri ❤
@Erinestkingu
@Erinestkingu 2 ай бұрын
❤mimi nipo tayar kuku oa mbona Yuko Bomba tu, really ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AmaniManase-x1i
@AmaniManase-x1i 18 күн бұрын
Mi nafurahishagwa na lafudhi yenu ya watu wa kagera❤❤❤
@pastorhenry55
@pastorhenry55 2 ай бұрын
Mungu anasababu my Sister usijali
@laughwithus1527
@laughwithus1527 2 ай бұрын
hujambo mpenzi Herice, ukweli ni kuwa wewe mimi nimekupenda tu kwa muonekano wako bila ya kukujua. ama kweli kama ningepata fursa ya kukujogelea karibu ningalionyesha penzi langu kwako bila ya kikomo. wewe ni binadamu kama binadamu wengine tafadhali usiruhusu mtu kukuuzia uoga. Mungu akubarike sana. maishani mwangu naomba siku moja tukutane tu tusalimiane. Asante sana Herice
@EDWARDIMASELE
@EDWARDIMASELE 2 ай бұрын
hata.mimi.natamani.niw.nawewe❤ 9:35
@KhadijaHalfani-w8y
@KhadijaHalfani-w8y 2 ай бұрын
Hongera sana dada mwanamke kujiamin mwenyezi mungu anamakusudio yake, big up dada Herice🥰🥰😘🌹🌹🌹👏
@ramadhanisaidi4765
@ramadhanisaidi4765 2 ай бұрын
Habari bi Herice umri ndio unanipa taabu kama isingekuwa umri ningekuowa tuwe pamoja lakini mungu ndie aliyekupa alà
@vivianshalua2383
@vivianshalua2383 9 күн бұрын
​@@ramadhanisaidi4765Umri ni namba tu au kalenda akuoe tu kwa kweli
@barikihingi6517
@barikihingi6517 9 күн бұрын
Big up, nimekubali vile inavyo jikubali.
@Brianmbora
@Brianmbora 2 ай бұрын
You are beautiful and wonderfully created by God ...May God continue blessing you sister
@RosaMuhimpundu
@RosaMuhimpundu 2 ай бұрын
Pore pambana Mungu mwema atakufanyiya wepesi ❤
@lilianekabaganzaofficial
@lilianekabaganzaofficial 2 ай бұрын
❤❤❤Dada wewe ni mrembo sana na hongera kwa kutokukata ndevu zako sababu hizo ndevu ndiyo uzuri wako Nimekupenda Mimi pia ningepata ndevu kama zako singenyoa Umeumbwa kwa mfano wa Mungu
@florencewambua9451
@florencewambua9451 2 ай бұрын
I like the power of acceptance. Mimi Sina ndevu, lakini nakumbaliana kabisa na huyu sister. Love is unconditional. Kilema utampenda bila complain. Kwa nini hayoe??? Kujikubali na kuambia God thanks. It has helped me.
@mademsykada3866
@mademsykada3866 Ай бұрын
So smart and brave woman ...your phenomenal mommy❤❤❤😊
@benithadonart6181
@benithadonart6181 2 ай бұрын
My lovely Dada... Wewe ni wa thamani sana machoni pa Mungu, hata siku moja usijikatie tamaa Kwa chochote kwani Mpaji ni Mungu. Wewe ni mrembo saana na Malkia wa nguvu.. Acha Mungu akuheshimishe kupitia hivyo ulivyo dear. Ninakuoendagaa saaana kipenzi❤
@elizabethsilayo3888
@elizabethsilayo3888 2 ай бұрын
Nimekupenda ulivyobaki kama Mungu alivyokuumba. Wewe ni mzuri sana❤❤
@EvansMose-k7w
@EvansMose-k7w Ай бұрын
Ninazo but sio mingi vile kazi ya mungu Haina makosa dadangu
@EvarKapinga-z9c
@EvarKapinga-z9c 2 ай бұрын
Nakupenda Sana dadaangu endelea kujikubali
@Queen-k9h
@Queen-k9h Ай бұрын
Na huyu mama akipata mtoi mvulana na amfanane atakua handsome sana❤❤❤❤
@livingstonesankey4824
@livingstonesankey4824 2 ай бұрын
Dada Elice, hayo ni maumbile yako. Mtukuze Mungu na uumbaji wake. Nakufurahia sana. Uko poa.
@KhadijaTandallah
@KhadijaTandallah 2 ай бұрын
Mungu acha aitwe Mungu hana wakufananiwa hata .
@artensiaHaule
@artensiaHaule 2 ай бұрын
Nimekupenda❤sana dada yangu Kwa msimamo naamini Mungu anajivunia wew Kwa kufanya hivyo umemheshimu Mungu sana ubarikiwe
@ErnestiSino-c7h
@ErnestiSino-c7h 2 ай бұрын
Hongera ni zawadi ya kipekee ya mwenyenzi mungu usijali
@JustinaReonatus
@JustinaReonatus 28 күн бұрын
Hongela sana kwa kujikubar karibu ukelewe❤❤❤❤❤
@emorutnicholas1893
@emorutnicholas1893 2 ай бұрын
Utukufu Umrudie Mungu🥰
@ankomaju7563
@ankomaju7563 2 ай бұрын
Mungu anasabbu yke achamungu aitwe mungu ❤
@JulianaWambui-k8n
@JulianaWambui-k8n 2 ай бұрын
Waah dada yangu hongera kwa kujikubali hata mm dada yangu uko na ndevu kama ww nawapenda sana kwa ulembo wenyu
@aar7061
@aar7061 2 ай бұрын
Picha
@joselinerugamba
@joselinerugamba Ай бұрын
Namupenda sana Alisi❤❤❤
@Rachel-94tz
@Rachel-94tz 2 ай бұрын
Masha Allah,,HAKIKA umependeza,una mwonekano mzuri sana, Masha Allah ❤
@GEORGENGIGE-pe7ni
@GEORGENGIGE-pe7ni Ай бұрын
Big up madam for accepting yourself, we also appreciate God's work. Jivunie maanake kunao wanaume wanaotamani Kumea ndevu ila hawawana uwezo huo. Much ❤
@ednanyaboke9849
@ednanyaboke9849 2 ай бұрын
Nimekupenda sana dada yangu from Kenya 🇰🇪🇰🇪❣❣
@ezekielmwasenga4640
@ezekielmwasenga4640 2 ай бұрын
Waaooo! amazing mwanamke mzuri huyu duu!
@leticiachipando9772
@leticiachipando9772 2 ай бұрын
Nimempanda anavyojikubali
@jrgongo6348
@jrgongo6348 2 ай бұрын
Mi nikifikia hatua ya kuoa nitakutafuta, Ondoa Woga, Kazi ya MUNGU ni nzuri sana
@Nicodemusobull
@Nicodemusobull 2 ай бұрын
Waooo beautyfull
@naturebclassic447
@naturebclassic447 8 күн бұрын
She is very elequent indeed ❤,
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 2 ай бұрын
Ubarikiwe dada kazi ya mungu Haina makosa mbona wewe ni mzuri
@خليفهالرحبي-ف4م
@خليفهالرحبي-ف4م 2 ай бұрын
. Mzuri saana tu❤sababu ni maumbile alokuchagulia Allah❤❤❤
@LaurenziaTesha-j1m
@LaurenziaTesha-j1m Сағат бұрын
Ni mrembo sana .unafaa utambe nazo dada .
@leonardleonard6164
@leonardleonard6164 2 ай бұрын
Nimekupenda sana dada yangu umejikubali na nimeupenda muonekano wako na unaongea kwa kujiamini sana big up dada angu,safi sana
@MariamyTadey
@MariamyTadey 3 күн бұрын
Wao nimekupenda dada uko vzr sana
@zuuwerunga
@zuuwerunga 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana dadangu sisi ni wanatamu TU uwamusi ni wa mungu tuwaje kuingilia mwenzetu ni zuu kutoka kenya
@فاطمهالخدامه-ش1ك
@فاطمهالخدامه-ش1ك Ай бұрын
Ni mrembo saana❤❤
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g 2 ай бұрын
Kwanza nimempenda dada anajikubali anajiamini shukulu mungu dada nimekupenda bule
@Flora-i9x
@Flora-i9x 2 ай бұрын
Nakupenda sana dada yangu mungu akupe maisha marefu
@rafikiwildlife4263
@rafikiwildlife4263 2 ай бұрын
Mungu ni mwema sana kwa maisha yako . Nimependa hii interview.
@HolyMec
@HolyMec 2 ай бұрын
Mungu ambaliki dada yetu na piya kwa kujikubali I'm listening too from Kampala
@EckramSaid
@EckramSaid 2 ай бұрын
Mwenyezi mungu akupe nguvu dada angu hayo ni mapenzi ya mungu nakupenda sana dada angu
@خليفهالرحبي-ف4م
@خليفهالرحبي-ف4م 2 ай бұрын
Alhamdulillah❤❤❤
@maryndumbu9548
@maryndumbu9548 2 ай бұрын
She is very beautiful. Be proud of what you are its God will.
@Nathanael-y4i
@Nathanael-y4i 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana dadaanngu jikubali jinsi ulivyo wewe wa thamani kubwa sana mimi napenda ndevu .
@MelvinKerubo-y3e
@MelvinKerubo-y3e 9 күн бұрын
Beautiful 🥰😍🥰😍
@FeliciaLuvanga
@FeliciaLuvanga 2 ай бұрын
Hongera sana mm nimeipenda hiyo
@zaitunomar54
@zaitunomar54 2 ай бұрын
Asante dada kwakujipenda hongera sana❤❤❤
@agnessima5032
@agnessima5032 2 ай бұрын
Huyu dada nimempenda balaa❤ na rafiki yake ni jembe balaa❤
@ConfusedPeacefulLake-nh8qm
@ConfusedPeacefulLake-nh8qm 2 ай бұрын
Anaitwa Nani
@JosephMdoi
@JosephMdoi 2 ай бұрын
Vpi hali Agnes nisaidie nipate uyo Mdada namba yake tafadhali sana ukiweza
@gloriaamase9764
@gloriaamase9764 2 ай бұрын
Ni mpole sana love you mummy❤❤❤❤❤
@MamaBambala
@MamaBambala 2 ай бұрын
Usijiunge na chama hicho cha wanawake wenye ndevu.Nimekupenda sana mtani;Mungu ni mwema naamini atakufanyia wepesi wa maisha na mume mwema utampata Mungu atakuletea zawadi hiyo.Ubarikiwe mwanangu.
@rosematasa
@rosematasa 2 ай бұрын
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q 2 ай бұрын
Ndiyo atampata mume mwema kabisa
@RenaLyimo
@RenaLyimo 2 ай бұрын
Hongera kwa kujiamini.wewe dada mnzuri Sana.
@Chabanabwemonca
@Chabanabwemonca 2 ай бұрын
Amen amen
@EvangelinaKitundu-b2q
@EvangelinaKitundu-b2q 2 ай бұрын
We dada ni kasiri sana unajikubali ulivyo
@aphishelupogo3736
@aphishelupogo3736 2 ай бұрын
Upo vizuri mnoo pia endelea kujikubali mpenzi wako atakuja tuu madam Mungu kakuumba ivyo basi kuna mume wako sehemu
@JairusOtalo
@JairusOtalo 2 ай бұрын
❤ nani mrembo sana huyo.
@JoicyStephano
@JoicyStephano 9 күн бұрын
Nimempenda sana uyo dada nimzuri alafu anaonekana ana roho nzuri sana naizondevu ni ezipenda japo ndevu zangu nichache uziache izo usinyowe
@JnatJaaa
@JnatJaaa 2 ай бұрын
MashaAllah tabarakaAllahu..kazi ya Mungu Haina makosa
@sibomanatheogene7542
@sibomanatheogene7542 2 ай бұрын
Mungu akubaliki Dada Unanifulaisha sana
@SesiliaMwala
@SesiliaMwala 2 ай бұрын
Hongera dada kua na izo ndevu apo tayr umetoboa maixha
@linetkerubo3022
@linetkerubo3022 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana dadangu uwo ni mpango wa mungu uko hivyo na umejikupali vile uko yeah
@AndréGihangaHalerimana
@AndréGihangaHalerimana 2 ай бұрын
t 😢😢😅 ?😢.
@shabansalum1848
@shabansalum1848 2 ай бұрын
Mzuri saana watu wa matangazo na wasanii mtumiene..kwa kazi
@SwitiLucas-sf5ff
@SwitiLucas-sf5ff 2 ай бұрын
ITV
@lydiagithaiga2875
@lydiagithaiga2875 Ай бұрын
Ukosawa Mambo YA Mungu Hainan makosa Mungu akumbariki sana
@LukasMahelela-s1e
@LukasMahelela-s1e 17 күн бұрын
Apan ebutoa namba yako
@CharlesElias-zh5hz
@CharlesElias-zh5hz 2 ай бұрын
Hongera san kukubali hali Ile Nimependa
@ShamsaAbdallah-f7w
@ShamsaAbdallah-f7w 23 сағат бұрын
Dada angu mungu uwa akoseag kkubwa kumshukuru pia ongera kwakujikubal mungu akusimamie
@faithwemamusic5266
@faithwemamusic5266 2 ай бұрын
Hongera sana kwa kujikubali dada, ni kazi ya mungu
@DerrickNyabuto-y7d
@DerrickNyabuto-y7d Ай бұрын
Unaeza penda tena kweli dada hila ukipata anaekipenda🎉❤❤
@AsilaKagambo-uv2ff
@AsilaKagambo-uv2ff 2 ай бұрын
Hongera Sana Binti mkerebe ndevu zimekupaisha Kuna chama Cha wanawake wenyewe ndevu duniani nakuombea kwa mungu ujiunge huko
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 ай бұрын
Alafu mrembo❤
@SesiliaMorice
@SesiliaMorice 2 ай бұрын
Kiko wapi??😂😂
@SamuelMelau
@SamuelMelau 2 ай бұрын
Ongera mama Kwa kujikubali, karibu Kenya.
@tabithakhatasio3515
@tabithakhatasio3515 2 ай бұрын
She is so beautiful,,😘❤hata Mimi niko na ndevu but si nyingi namshukuru Mungu Kwa hilo❤
@rosevelianparkitore6751
@rosevelianparkitore6751 2 ай бұрын
kazi ya Mungu haina makosa!! u r beautiful
@HenrySamuelJMahenge
@HenrySamuelJMahenge Ай бұрын
KWANGU MIMI MWANAMKE MWENYE NDEVU HUVUTIA SANA MACHONI MWANGU UNAPENDEZA SANA ULIVYO DADA YANGU. KEEP MOVING ON YOUR GOALS.
@Veronicahcharles61comAsia
@Veronicahcharles61comAsia 2 ай бұрын
Sister unajua nini sichoki kukuona kukutazama yaani kwanza chukua like 👍 zako wallah nimefurahi kupata mrembo kama wewe and like really
@sabrinaandrew4245
@sabrinaandrew4245 2 ай бұрын
Huyo binti ni mrembo sana❤Asiogope kwani ndevu siyo maradhi akae nazo hivyo hivyo🥰usiogope chochote.zama hizi wanaume baadhi wanasuka kama wanawake kwahiyo kaa hivyo hivyo ulivyo🥰🥰🥰🥰
@Veronicahcharles61comAsia
@Veronicahcharles61comAsia 2 ай бұрын
@sabrinaandrew4245 na wenye wanasuka imehalamishwa kwa Qrn kitabu cha Allah wala mwanake asifanye kuwa mwanaume pia mwanamme asijifanye jinsia ya kike,.
@muhsinihassan8245
@muhsinihassan8245 2 ай бұрын
Wew nae sas hapo urembo gani😂😂😂
@saidam.k213
@saidam.k213 2 ай бұрын
Beauty lies in the eyes of the beholder! She is beautiful wallahi ​@@muhsinihassan8245
@MussaMussamsanu
@MussaMussamsanu Ай бұрын
Nimeupenda msimamo wako mama yangu. Huo ndio ushujaa, Mungu akikupa chochote unatakiwa ukipokee kwa shukran. Kama ningekuwa kijana ningekutafuta ili kuoe. Shukran mwanangu Mungu akubariki.
@goodluckmahulo3562
@goodluckmahulo3562 2 ай бұрын
ni jambo jema kujikubali jinsi ulivyo umbwa na mwenyenzi Mungu ubariwe sana ❤❤❤
@JumaHassani-k2x
@JumaHassani-k2x 2 ай бұрын
Ni vizuri alivyojikubali ni njema sana maana muumbaji hakoselewi ,mi dada nakupenda maana umeeleza vizuri sana pamoja sana karibu dodoma
@JovianAwinjo
@JovianAwinjo Ай бұрын
Ukweli hpo Kwa kujiamini ako Sawa kila mtu alizaliwa na tatizo lake mm hapa sauti nikiongea sauti yangu c kama ya waschana wenzangu naongea kama mwanaume hdi nashidwa nitafanya aje lkn ilibidii njikubali maanake cna la kufanya
@PaulinaKimwaki
@PaulinaKimwaki Ай бұрын
Kaa ngumu ata Mimi nioko na ndevu lakin Mimi hunyoa
@mearymeary-s9y
@mearymeary-s9y 9 күн бұрын
Dada ni mrembo sana Mungu akulinde❤❤
@franciscajumwa8207
@franciscajumwa8207 2 ай бұрын
Mashallah Mungu n muumbaji mzr hata mm Ninazo na kwa Familia yetu yote Hakuna mmoja aliyenazo. Namushukuru mungu
@MusakiAnne
@MusakiAnne 2 ай бұрын
Ata mimi nko nazo Sana na sioni shida, hiyo ni Baraka hata shetani hutuogopa🤣🤣🤣👏👏👏👏
@ericntirenganya8125
@ericntirenganya8125 2 ай бұрын
Nimeshangaa kweli kwa kumuona mama huu anandevu hizi sikumuona mwingine kama yeye Hongera sana dada unaonekana vizuri nimetamani sana kama uko karibu yangu ningekutongoza lakini niko mbari nakupenda sana naitwa Eric kutoka Rwanda 🇷🇼.
@clemenceparokola
@clemenceparokola 2 ай бұрын
Kwakweli tukiachana na ndevu,huyu dada ni mrembo sana,mguu wa bia,sura imepoa vizuri,mwangalie rangi yake iko poa sana,pia,sauti safi,macho yakike haswaaa alafu anatembea Kwa madaha . Nimekupenda sana,sifa za uzuri unazo.
@DeliphinaCosmas
@DeliphinaCosmas 2 ай бұрын
Ukimuona live si ndo utazimia maana live ni mzur Zaid ya apa
@marymwantengule9372
@marymwantengule9372 Ай бұрын
Unapendeza sana usikubali kunyoa nimezipenda 🎉
@williamboniphace5887
@williamboniphace5887 2 ай бұрын
Wanawake wa hivi wa lna bahati sana ya mali ukimuoa umetoboa❤❤
@damariskavolo1829
@damariskavolo1829 2 ай бұрын
Kweli kabiza hawa ni watu wenye pesa
@delapitoresavage3746
@delapitoresavage3746 2 ай бұрын
Search mwanamke mwenye ndevu nyingi duniani utamuona mdada wa kiarabu izo za dada yetu ndogo alafu wanakuaga warembo ayo macho sasa 😍❤️
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 2 ай бұрын
Subhana Allah 😭😭 laa haula Wala quwata illa billahi...
@FinindyFiana
@FinindyFiana 2 ай бұрын
Mrembo sana,me ni mwanamke ila nimempenda sana♥️♥️♥️vzr sana
@aliabdillahalialiabdillaha4475
@aliabdillahalialiabdillaha4475 2 ай бұрын
Kimaoni yangu hiyo nikazi ya Mungu so nanikitu chakawaida tu
@evache4427
@evache4427 2 ай бұрын
Kiumbe cha mungu aliumbika,hana makosa.Pongezi sana kwa kujikubali.❤
@HamisJackon
@HamisJackon 2 ай бұрын
Nimipang ya mung2 🎉🎉❤
@BrownKissinga
@BrownKissinga Ай бұрын
Hongera sana dada mungu akupe maisha marefu kwa kutambua uumbaji wake na kujikubali ni wachache ambao wanaheshimu kazi ya mungu ya kuwumba vile walivyo na kuqnza kuongeza vitu vingine ili wawe tofauti na walivyoumbwa na mungu
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 2 ай бұрын
Sawa umezaliwa na ndevu! Lakini kumbuka we ni mwanamke na ni mhimu uwe na family yani mme na watoto! Sasa ungezidhibiti kabisa hizo ndevu zako! Mbona wapo wanawake ni wengi wanazo lakini wananyoa kila mara!
@salummohamedy6998
@salummohamedy6998 2 ай бұрын
Ujeuli naujuaji ACHA Aishi mwenyew
@BENIVIAOKENO
@BENIVIAOKENO 2 ай бұрын
𝘏𝘢𝘶𝘫𝘢𝘮𝘴𝘪𝘬𝘪𝘢 𝘢𝘬𝘪𝘴𝘦𝘮𝘢 𝘸𝘢𝘭𝘪𝘵𝘦𝘯𝘨𝘢𝘯𝘢
@mambalistic
@mambalistic 2 ай бұрын
Wewe hapo kinyozi au?
@msomimakame2393
@msomimakame2393 2 ай бұрын
Mimi NAKUPENDA sana vile umekubaliana na maumbile. Laukama ungekua karibu ningebahatisha juuyako. SI MWANAMKE YUKO kiunoni. Asante
@FinaMwangaza
@FinaMwangaza 2 ай бұрын
Munguakubarikidadakwakujikubaliulivyoumbwa ahsantenibahatitokakongo rdc
@joylinechebett5052
@joylinechebett5052 2 ай бұрын
You are looking smart,yaani very very smart you are wonderfully made by God
@ZuwenaSalumu-e5i
@ZuwenaSalumu-e5i 2 ай бұрын
Jaman mbna hata Mimi ninazo alhamndulillah ndo Allah ametujaalia
@aysharamadan-j3l
@aysharamadan-j3l 2 ай бұрын
Mashallah
@GlintAfrica
@GlintAfrica 2 ай бұрын
Unapatikana wapi madam?
@ZuwenaSalumu-e5i
@ZuwenaSalumu-e5i 2 ай бұрын
@GlintAfrica Tanzania
@sadikimohamedmangasala7245
@sadikimohamedmangasala7245 2 ай бұрын
Binafsi nimemzoea huyu dada kumuona mitaa ya Muleba na namchukulia ni mfano wa watu wanaojikubali. Hongera kwa kuukubali uumbaji wa Mungu.
@davidsika5292
@davidsika5292 2 ай бұрын
Pamoja na kujikubali, inabidi awe anazinyoa asiwe na misimamo mikali sana haitasaidia
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 2 ай бұрын
Ila hata macho kapewa yakiume kabisa!
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 ай бұрын
​@@danieljoseph1610 we unaakili kazangu unapoishi na Mtu inabidi misimamo mwingine isiyo ya faida ni kuiacha kama mwenzi wako haikubali
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 2 ай бұрын
​@@danieljoseph1610sio kwel anamacho mazur Sana
@Brilliant-k2k
@Brilliant-k2k 2 ай бұрын
​@@danieljoseph1610Jicho la kikauzu hilo
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 ай бұрын
Apungue kifogo
@rosedaniel6795
@rosedaniel6795 2 ай бұрын
Dada hongera sana jivunie uumbaji wa mungu
@suleabtigigis6932
@suleabtigigis6932 2 ай бұрын
Mimi namtaka taka kukuoa kawa rasmi walahi unitafute unitafute huyo mudada hiii please
@williamnyongesa1281
@williamnyongesa1281 Ай бұрын
Hongera dada KAZI ya mungu haina makosa mungu afungue njia zako uweze kujikomu
@AliMohammed-zq8eq
@AliMohammed-zq8eq Ай бұрын
Nimekupenda sana kama ungekuwa unaweza kuwa muislam mm nakupenda nikuowe
@lovenesstweve8499
@lovenesstweve8499 Ай бұрын
Dada mrembo huyu sana napenda apate mtt wa kiume amufanane kidevu ata kua awesome
@FannyNewton
@FannyNewton 4 күн бұрын
We nimuzur sana usikate tama 😊
Hakuna Anae Amini Kama Huyu Ni Mwanamke,Aelezea Juu Ya Kuolewa Kwake
20:15
Citizen Nipashe 10th February 2025
35:00
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 14 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,1 МЛН
TAHADHARI, WADUDU hawa 6 Hutakiwi KUWAUA  ukiwaona nyumbani kwako
13:36
NGUVU Za ULIMWENGU
Рет қаралды 930 М.