TAHADHARI, WADUDU hawa 6 Hutakiwi KUWAUA ukiwaona nyumbani kwako

  Рет қаралды 893,511

NGUVU Za ULIMWENGU

NGUVU Za ULIMWENGU

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@dayanaamoit6951
@dayanaamoit6951 Жыл бұрын
Wallah naapa Kwa Mungu ya mjusi ni kweli🥺, wallah mjusi aliniangukia nikiwa nimekaa nje ya nyumba usiku akaniangukia😭, wallah baada ya wiki kama mbili nilipata ujauzito💔. Alafu sikuwa nimetarajia😔
@NGUVUZAULIMWENGU2
@NGUVUZAULIMWENGU2 Жыл бұрын
Hongera sana 😍
@joeloileoile4786
@joeloileoile4786 Жыл бұрын
Aki mwalimu umesema ukweli kuhusu hawa wadudu, nimekuwa nikiwawua but nimekuwa na hali ngumu sana kwa maisha yangu utanisaidiaje
@deborakasambula7431
@deborakasambula7431 Жыл бұрын
Mungu anisamehe sana nimekuwa nikiua sana mijusi na wadudu wengine
@ejntv
@ejntv Жыл бұрын
Asante kwa elimu 🤗🤗🤗
@NGUVUZAULIMWENGU2
@NGUVUZAULIMWENGU2 Жыл бұрын
Asante tajiri 🤑
@brianngoma3329
@brianngoma3329 Жыл бұрын
Asante kwa Elimu
@NGUVUZAULIMWENGU2
@NGUVUZAULIMWENGU2 Жыл бұрын
Karibu sanaa 🤗
@naomichimbeja1412
@naomichimbeja1412 Жыл бұрын
Asante kwa elimu nilikuwa sijakuwa haya
@NGUVUZAULIMWENGU2
@NGUVUZAULIMWENGU2 Жыл бұрын
Asante, karibu sanaa mahali hapa 🙏🙏
@allymsellem5353
@allymsellem5353 Жыл бұрын
hongera sister
@NGUVUZAULIMWENGU2
@NGUVUZAULIMWENGU2 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@DIJANGOJKUNDEMBA
@DIJANGOJKUNDEMBA Жыл бұрын
Asante kwaelimu
@TwalibuhamdaUtonu
@TwalibuhamdaUtonu Жыл бұрын
Mijusi kwangu ni mingi Sana jamani na nimeuwa Sana kuwafukuza nitumie dawa gani
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 Жыл бұрын
Mmmmh kila mtu ana sema lake juz nme muua mjusi
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Жыл бұрын
Mm naogopa wadudu siwezi 😂😂
@HappySeuka-yd4cs
@HappySeuka-yd4cs Жыл бұрын
Mm kwangu kunamijusi bwana hadi unaogopa
@MouftMan
@MouftMan Жыл бұрын
Sasha kwanini tuwafukuze awa wadudu kakika nyumba zetu na wanafaida kubwa?
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Жыл бұрын
Duuuh basi me huwa nawaua hao wakijani,kwangu wapo weusi
@PriscaSamade
@PriscaSamade Жыл бұрын
Jaman aliingia huyo vunja jungu akakaa siku tatu nikakuta amekufa 😢
@KichanaAbraham
@KichanaAbraham Жыл бұрын
Jana uxku huyu mdudu kaja ndani kwangu nikamuua xkujua nifanyeje sasa
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@NGUVUZAULIMWENGU2
@NGUVUZAULIMWENGU2 Жыл бұрын
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
@@NGUVUZAULIMWENGU2 ❤️❤️🙏
@HamidaMruttu-gz8hy
@HamidaMruttu-gz8hy Жыл бұрын
Je ! Ukiwatoa nje?
@NGUVUZAULIMWENGU2
@NGUVUZAULIMWENGU2 Жыл бұрын
Ni sawa
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 Жыл бұрын
Jitahidi kukaza sauti
@NGUVUZAULIMWENGU2
@NGUVUZAULIMWENGU2 Жыл бұрын
OK asante kwa maoni
@bestinamaro7645
@bestinamaro7645 Жыл бұрын
Umepotea dada jamani tumekumic
@NGUVUZAULIMWENGU2
@NGUVUZAULIMWENGU2 Жыл бұрын
Nimesharudi jamani msinikimbie 🤗🤗🤗
@BahatiSalim-wi3ju
@BahatiSalim-wi3ju Жыл бұрын
Nishampata kwa chumba changu nikamshika nikamtowa nije
@TuyisengeSakina
@TuyisengeSakina Жыл бұрын
La mjuzi anatisha jamani
@BahatiSalim-wi3ju
@BahatiSalim-wi3ju Жыл бұрын
Kuna mjusi kwa chumba changu ina manisha nini
@mareh18
@mareh18 Жыл бұрын
Mahali nafanya job nafuatagwa na nyuki 1,
@NGUVUZAULIMWENGU2
@NGUVUZAULIMWENGU2 Жыл бұрын
Ana kuletea ishara nzuri huyo ,usipuuze
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Trump escalates Panama threats to intimidate Putin
10:00
Times Radio
Рет қаралды 80 М.
The End of Justin Trudeau’s Canada
29:39
New York Times Podcasts
Рет қаралды 109 М.
ANIKA MAJI JUANI upate baraka za ULIMWENGU, milango ya mafanikio itafunguka
14:40
JINSI YA KUPIKA PILAU TAMU LA NYAMA YA NG'OMBE
8:12
MAPISHI FOOD LIFE
Рет қаралды 192 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН