Рет қаралды 805
Nina Baba Asiye Shindwa Kamwe - Tabernacle de Kolwezi (27/06/2021) || I Have A Father
1.
[ Nina Baba asiye shindwa kamwe
Nina Baba asiye shindwa kamwe
Yesu ndiye Baba asiye shindwa kamwe
Mwamba wangu awezi kushindwa ] BIS
2.
[ Ee Bwana pokeya mashukuru
Kwa yote uliyo ya tenda
Ee Bwana pokeya mashukuru
Nasema aksante sana ] BIS
3.
[ Ulijibu Paulo na Sila
Ulijibu Paulo na Sila
Ulijibu Paulo na Sila
Utanidjibu nami pia. ] BIS
4.
[ Ee Bwana pokeya mashukuru
Kwa yote uliyo ya tenda
Ee Bwana pokeya mashukuru
Nasema aksante sana ] BIS
5.
[ Ulijibu Paulo na Sila
Ulijibu Paulo na Sila
Ulijibu Paulo na Sila
Utanidjibu nami pia. ] BIS
Nina Baba Asiye Shindwa Kamwe ( I Have A Father )
Below is the link to the preaching where this song was extracted:
• Video
#Maranatha