Hawa mafuta na wenzaako hamumuwezi doctor islamu yupo katika hakki ninyi imewauma kombora aloirusha tanga dhidi ya masalafi feki,kwa fatuwa ya shekhe utheimeeny itaqi llah allah mnadai usalafi na huku usalafi upo mbali na ninyi uzuri wanazuoni wa ahlusuna karibu wwote wakko mbali na ninyi
@ูุฒูุฑูุงููุฒูุฑ-ุฐ8ุณ3 ะฐะน ะฑาฑััะฝ
Nyie nawenzio elim hamna
@Wardahamid-w1h6 ะฐะน ะฑาฑััะฝ
Na ukija janib ya akhlaq wallahi mko mbali sana na alivokuwa mtume .
@ABUUJAAFAR925 ะฐะน ะฑาฑััะฝ
Fahamu zako ndizo zimekupeleka kusema ivyo.
@Wardahamid-w1h6 ะฐะน ะฑาฑััะฝ
Hamumuezi doktor islam kwa ilmu hizo ndio hasad mlonazo. Kapigeni goti msome kwa doktor.
@ูุฒูุฑูุงููุฒูุฑ-ุฐ8ุณ3 ะฐะน ะฑาฑััะฝ
Wewe tumishakugundua nakukubaini hufai kwenyejami hatawenzio wamekuradi ya ujingamwingi UNAO
@Wardahamid-w1h6 ะฐะน ะฑาฑััะฝ
Hamsomeshi kazi ni kusengenya huyu na yule kila leo.mtajisumbua doktor hana time na nyinyi
@ahmadmzoa746 ะฐะน ะฑาฑััะฝ
Tabia za kushadidia mambo na khusuma hawaku nazo Assalafi Asswalih. Hivyo basi uhizbi halisi ni kushadidia. Huku ni kurekebisha au ni "Hasadi"??? Na siku hizi mmeanzisha ka mtindo: "comments turned off 'mnaogopa kuwekwa sawa kwa tabia zenu. Poleni sana wagonjwa wa mioyo.Duh..!!! It's an extraordinary."
@ArabiMuchande6 ะฐะน ะฑาฑััะฝ
Mawahabi mnakazi kweli picha haramu kwenu lakini picha za watu mnazipenda na munaziweka dah dini imeingiliwa
@litimbaify6 ะฐะน ะฑาฑััะฝ
Dr Islam alishatoa maana ya Hizb na akaweka sauti ya Taymiyyah, wallah nilifunguka macho na masikio, macho yakaona haki na masikio yakasikia haki, nikagundua sheikh Mafuta ni mwalimu mzuri sana wakati Dr Islam ni msomi mkubwa wa dini na mwenye hekima ya juu ya kuyaendea nikapata jibu ni watu tofauti Ni mwanachuoni na mwanazuoni...๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข
@abuJamal156 ะฐะน ะฑาฑััะฝ
Wallahy kama huyu ndio mwalimu mwenye kuongoza watu katika haki, basi kwa hakika ummah umepata hasara kubwa sanaa. Hivi hii ndio elimu kukaa kila Siku kuongea maduat kwa kua wewe ndio bingwa wa kurekebisha watu? Wallahy mengi anayo ongea ni ya uongo na iko Siku hakki itabainika. Nawaruhumia zaidi wenye kumfuata sababu huyu sio kwamba ana mrekebisha Daktoor HafidhahuLLAH, hizi ni Hassad na chuki za dhahiri kutoka kwake. Lakini hii dawah Yao ni kama povu la bahari iko Siku litakwisha.
@HawaMohamedi-s4p12 ะบาฏะฝ ะฑาฑััะฝ
Ivi nyihi mliwah kuona sheikh kassimu mafuta afithallahu wakati mlikuha na barayani akambanja mkawa kimya sasa mumejitokeza tena na docotor wamabenki maana docotor wenu c wadini wamabenki nakama c ivyo tuambieni
@SuleimanHassan-o6f6 ะฐะน ะฑาฑััะฝ
Hawasikilizwi Mpaka waweke picha hata ikiwa Kwao Ni haramu
Kwani wewe uko sawa??? Picha huzikubali lakini ukimchukia mtu unaweka picha yake kisha unamfedhehi utakavyo kwa maandishi na maneno. Huo sio uhizbi.acheni kuzitukuza nafsi zenu mnapitukia mipaka hali ya kuwa shetani anawapambia uongofu.Ugomvi wako Shaykh Salim mpaka leo unaukuza wewe ni mtu gani usiesamehe ? Sasa tokea ziara ya Dr.Islam, ALLAH SUBHANAHU WATAALA(Amuhifadhi)umemng'ania kama ruba. Wewe ni Muislamu wa sampuli. Wewe haijuzu kwako kumtoa Muislaimu yeyote katika Manhaj Assalafi Asswalih. Hapana Apasae kuabudiwa kwa Haqqi ila ALLAH A'ZZA WAJALLA Hana mshirika.
@ahmadmzoa746 ะฐะน ะฑาฑััะฝ
Wewe kama ni Muislamu mwenye moyo salliim unaefuata Manhaj Assalafi Asswalih kiukweli somesha Dini na tabia njema umma uelekee katika Uongofu. Lakini usulubu mnautumia katika sio kabisa katika Manhaj Assalafi Asswalih. Hivyo baadala ya ujumbe kuuvuta umma katika Haqqi nyinyi mnaufukuza.(Total approved failure Daawa).