𝐈𝐁𝐍 𝐔𝐓𝐇𝐀𝐘𝐌𝐄𝐄𝐍 𝐀𝐌𝐄𝐉𝐔𝐙𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐊𝐔𝐂𝐇𝐔𝐊𝐔𝐀 𝐄𝐋𝐈𝐌𝐔 𝐊𝐖𝐀 𝐒𝐇𝐄𝐈𝐓𝐖𝐀𝐍𝐈 !, RADD KWA Dr ISLAM (𝐈)

  Рет қаралды 3,609

Dawaa tu salafi💫

Dawaa tu salafi💫

Күн бұрын

USISAHAU ku subscribe na kugusa alama ya kengele ili uwe wa kwanza Kila tunapo achia video mpya 💫🌟
⬇️
‪@dawatul-salafi129‬ 💫

Пікірлер: 187
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 3 ай бұрын
DR. ISLAM ni katika walinganizi Wazuri alhamdulillaah .. ALLAH ampe kheri Duniani na Akhera.
@SaddamMuhammad-fn9js
@SaddamMuhammad-fn9js 2 ай бұрын
Ameen
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 3 ай бұрын
INNA LILLAH WAINNAA ILAYH RAAJIUUN... HATARI SANA DINI YA KIISLAM INAPOTEZWA NA MAYAHUDI KWA KUTUANDALIA MASHEKHE WA KUGAWA UMMA KUPITIA KICHAKA CHA MADHEHEBJ... LEO HATUJIVUNII TENA UISLAM WETU BALI MADHEHEB... USALAFY NI KAMA DINI MPYA KWAKWELI... ALLAH ATUNUSURU
@HawaMohamedi-s4p
@HawaMohamedi-s4p Ай бұрын
Masalafi wenzangu awajamaa izbyuna watokwa mapovu vp sheikh tupe kheili naalla akulipe ujila
@salahhddindasuvic6447
@salahhddindasuvic6447 3 ай бұрын
Naipenda daawa ya salafiya
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 ай бұрын
Wallahi ibnu uthaymiin hajasema,sijui dr islam kayaokota wapi yale maneno,daah
@HawaMohamedi-s4p
@HawaMohamedi-s4p Ай бұрын
Sisi kiongozi wetu alla si kassimu mafuta ila yeye atupa kheli sheikh wetu kassimu mafuta afidhalla
@as-salafy354
@as-salafy354 3 ай бұрын
Usiseme sheikh abul-fadhwil Allah amhifadhi ana hasadi na dr islam hebu ww kaana nafasi ya dr halafu jibu yale maswali kama kweli yanaingia kwenye akili je tusome kwa mashetani
@HajiDibwa-n2f
@HajiDibwa-n2f 3 ай бұрын
Allah amuhifadhi sheikh Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu na akupe mwisho mwema inshaallah
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 3 ай бұрын
Na akakutane na mashtaka ya abu mu'awiya allah araham
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
@@hafidhwajina6718 alimfanya nini kwani?
@HajiDibwa-n2f
@HajiDibwa-n2f 3 ай бұрын
@@hafidhwajina6718 xaw kwani abuu muhawiya alifanywa nn na Sheikh Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu na wapi ulisikia sheikh Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu alimtowa ktk sunnah abuu muawiyah
@HajiDibwa-n2f
@HajiDibwa-n2f 3 ай бұрын
@@hafidhwajina6718 acha chuki ndg yangu sheikh Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu Elimu yake na daa'wah yake imewatowa watu ktk giza na kuwapeleka ktk Nuru nakuijuwa njia ya sahii ya haki .
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 3 ай бұрын
@@ABUUJAAFAR92 ninyi si hamumsikilizi mtu isipokuwa jadida,ila mujue si mahsmn hawa masheikh,
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
Allah akulipe kheri sheikh wetu mlezi abul fadhl qaasim mafuta.
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 3 ай бұрын
Na ajibu hoja za masalafy, ikiwa yeye si jadida
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
@@hafidhwajina6718 yeye ni salafy ,,sasa ajibu hoja za masalafy kivipi? Hoja zipi hizo?
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 3 ай бұрын
Huyu ndo kiongozi wa masalafy jadida shekh kasim Allah akuwiye radhi bachu anakuita huku kuna special question tunahitaji elmu nasiyo uwatume tume vijana wako wanakuabisha huku shekh kasim kujauku
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
@@mfalmenajjash2128 nawewe kiongozi wako muhamd imam na yahaya ahajuri namahizibi wenzio Dr Islam na bachu ludini Katika mnhajiya salaf
@HassanMohammed-x4s
@HassanMohammed-x4s 2 ай бұрын
Dini ya uislam imevamiwa kila mmoja anamuona mwengine hayupo sahihi masheikh wanasimamia mazhebu badala ya kulingania watu waje katka uisla nawatu waache maovu.ushoga madawa ya kulevya malezi ya vjana wetu.
@ibnukhatwib2969
@ibnukhatwib2969 3 ай бұрын
حفظك الله ورعاك فضيلة الشيخ قاسم
@YusuphYahya-g9s
@YusuphYahya-g9s 3 ай бұрын
Ukichunguza kwa makini utagundua Sheikh wetu Qasim Mafuta ana hasad kubwa sana ya ki-ilmu kwa sheikh dr Islam
@AbdulRahmanAliy-sr7gw
@AbdulRahmanAliy-sr7gw 3 ай бұрын
We unafata hawaaa za kumpenda mtu ndy shida yko
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
@user-tu5jx3gf3v kwani ata useme hivyo ni kosa gani sheikh abul fadhl amefanya kwenye hio radd ? Si ruduud ni jambo la dini ,,je dr ameonewa? Hebu thibitisha hasad ya abul fadhl ikoje hapo?
@HabibTwaha
@HabibTwaha 3 ай бұрын
Kabisa Wala hujakosea
@HabibTwaha
@HabibTwaha 3 ай бұрын
Mwenzk kajibiwa Kwa kuandikiwa kitabu Bado yeye tunasubir kitabu chake
@aishaalizubeir7964
@aishaalizubeir7964 3 ай бұрын
أم يحسدون الناس على مآءتهم الله من فضله.....فقد ءاتينآ ءالَ إبراهيم َ الْكتب والحِكمة وءاتَيْنَهم ملْكاً عَظِيماً...
@sharifgojo878
@sharifgojo878 3 ай бұрын
Nakukubal sana shekh wangu Allah akulipe khery inshaa Allah
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 3 ай бұрын
Unamkubli kwa hassadi au ,anaforce ajubiwe na Dr lkn wapi ,😂😂 Dr hana mda huo
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 ай бұрын
Baarakallahu fiykum!
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 3 ай бұрын
Kwa iyo Sheikh kasim. Anaforce ajibuwe lkn wapi😂😂😂 Dr kimyaa hana mda huo
@fulgencearsene9829
@fulgencearsene9829 3 ай бұрын
Qassim Mafuta, sheikh Qassim Mafuta. Muokope Allah. Last week, sheikh Abu muab katowa khutba nzuri sana Kigamboni, DSM. Mada ilikuwa "matamaniyo ya nafsi" atakaye kuwa na fursa ayitizame ktk DANUL HADITH UNUNIO. Sheikh Qassim, elimu ya dini mnayo alhamdulillah. Wewe ama genge lako hamzidi elimu ulimwengu wote. Itikadi yenu imefikiya kiwango kama kilee cha Marekani na vibaraka wake yakusema " if you are not wuth us, you are against us". Kumbuke yakwamba pepo na moto ni milki ya Allah atampeleka mja wake huku wala kule kwa vipimo vyake na kutaka kwake.
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 3 ай бұрын
Wajinga hawatasha Hadi kiyama ALLAH akuongoze ktk usawa akutoe jahal ya Kufata matamanio ya nafs Yako ndo Haq ulivyo vumimilia akichapya mpotoshaji
@fulgencearsene9829
@fulgencearsene9829 3 ай бұрын
@@jumanneissa8226 mjinga ni wewe na hawo ambawo mnafikiri pamoja yakwamba nyinyi wenyewe tu ndiyo mnayijuwa na kuyiona haki. Huyo ni ujinga na kibri mmezama ndani yake.
@fulgencearsene9829
@fulgencearsene9829 3 ай бұрын
@@jumanneissa8226 nawe akutowe jahal ya kufikiri haki ume ibeba wewe mwenyewe na kundi lenu hilo salafi jadida.
@aishaalizubeir7964
@aishaalizubeir7964 3 ай бұрын
ALLAH atuongoze ktk njia iliyo nyooka na Atupe mwisho mwema ya rab...ila tusimame kwny ukweli kwamba masheikh wote wameanza kuchuchukua elim kwa masheikh wakawaida na Msingi mingi ya lugha masheikh wing wamepita TAMTA na madaris nyinge ambao cyo za kisuna...hata sheikh mwnyw sheikh kassim Amesoma TAMTA na wingi wengineo...sasa leo inakuaje mtu asichukulie elim hali yakuwa shee kasim elim ya asilimia 50% ya elim yake ya lugha Ameipta TAMTA.....waislam tuweni wa kweli wallah tutaenda kuulizwa mbele ya Allah pili tuache ushabiki tufate haki..huyu دكتور إسلام محمد حفظه الله Anahusudiwa tu..ALLAH amuondoshee hasad za kielim.اللهم آمين..na Allah ampe taufiq sheikh kassim yakurudi nyuma na kukumbuka aliposomea na Ampe khatima njema kabla ya kufa kwake..hizi athari zilikua kw baadhi ya waumin ziondoke.ربنا لا تؤاخذنا إن نسيآأو وعف عنا وغفرلناوارحمناأنت مولنا فأنصرنا على القوم الكفرين...خطاأنا
@RAJABUKITIKU
@RAJABUKITIKU 3 ай бұрын
Huja elewa anachosema shekh kasimu achana na unafiki swali ni jee inafaa kuchukua elimu kwa shetani?
@aishaalizubeir7964
@aishaalizubeir7964 3 ай бұрын
@@RAJABUKITIKU Tatizo la baadhi ya vijana wingi Elim yao ni yakusikia sasa ndio maana wanakua na mdomo michafu hadi comments zao pia zinamaneno machafu...hii yoote ni kwamba watu hawana تربية na Elimu yao pia ni chache....Wewe utamuitaje mtu mnafiki kma cyo malezi mabaya na uchache wa maadili mema na elim je umeingia kwny nafsi ya mtu ukamuona na ukifa utaenda kujib nn mbele ya ALLAH kuwa makini na maneno unayo yaandika Tutaenda kuulizwa mbele ya Allah..ALLAH akuongoze ktk njia iliyo nyooka na akusameh pale unapo telez na Asikuchukulie kwa yale unayo yasema.cna muda wa kukujib tena..Allah akuwafikishe ktk kheri
@RAJABUKITIKU
@RAJABUKITIKU 3 ай бұрын
@@aishaalizubeir7964 huna hoja ww
@RAJABUKITIKU
@RAJABUKITIKU 3 ай бұрын
Halafu cc wengi wao tumesoma huko kwa mashekh walio pinda lakini tulipoingia kwenye suna tuli bainikiwa na haki ndomaana tunawataka kwa nasaha nao waifuate haki kama jinsi shekh islam anatakiwa abainishe msimamo wake ni upi maana cc tunamjua kuliko ww unefuata matamanio na rai za watu dini haipo hivyo
@AllyKame-rx2zd
@AllyKame-rx2zd 3 ай бұрын
Umemshinda Mtume
@mohamadmaulidngava1510
@mohamadmaulidngava1510 3 ай бұрын
Shekh tunakuomba ujibu maswali ya kielimu ya Shekh Mohammad Bachu
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 ай бұрын
Hmna maswali ya maana alio uliza
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
@mohamadmaulidngava1510 jamani si maswali al akh abul abbas kayajibu vizuri tu tena ilmiyan ,ama ni swali gani waona halijajibiwa kiilmu ? Ama hukufuatilia majibu ya abul abbas? Ama unalazima ajibiwe ni sheikh abul fadhl? Abul fadhl level yake alo nayo hawezi jibizana na bachu kabisa ,ikiwa utahukumu kuwa abul fadhl hana hoja hukumu lkn ukweli ndio huo ,,,,bachu ambae alishindwa ni kile kisufi kidj kisanii mpaka bachu akakimbia ,,akawaibisha mahizbiy wenzake baada kuonyesha udhaifu Kati ilmul hadith na lugha ,,,alafu mtu huyu wataka ajibizane na sheikh qaasim mafuta, una akili wewe ata hufikirii kwanza ,,,basi itabidi na sisi tukwambie mwambie bachu amrudie saidi sufi wa mambrui akajibu hoja zilizomshinda ,,alafu ndio uje ulazishime ajibizane na sheikh qaasim. Upo?
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 3 ай бұрын
SI KWELI, HAKUNA HOJA ZA KUMJIBU MUHAMMAD BACHU,
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
@@hafidhwajina6718 wewe wacha ujinga wa kihizbiy ,,yani unalazima sheikh abul fadhl amjibu bachu ,,,,bachu si ndie yule aliyemkimbia kile kisufi kidj kile cha mambrui ,,,bachu wako akachapwachapwa na akaonyesha udhaifu mkubwa katika ilmul hadiith na lugha ,,,alafu wataka abul fadhl ajibizane nae ,,,wewe ni mjinga sana wala ata hujielewi kabisa ,,,,mwambie bachu ajibizane na kina sabas,shaafi,na said hao ndio levels zake.,,,hoja zimejibiwa na kijna mwenzake abul abbas na zimejibiwa kiilmu alhamdulillah,,na hatuwezi kukulazimisha uelewe mana mahizbiy hamuelewi nyinyi
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
Mahizibi wanajulikanaa kwamisingiibyao madhubuti Kutukana,. Kuficha haki,. Kejeli namnatabu shekhe wetu kasim mafuta kasoma anawajua vizuri nachengazenu komeni ludini katika mabhaji
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Yemwenyewe hizby aliharamisha taasisi badae akafungua taisis na kuitetea ni hizby mzuri tuuh, Hana lolote raisi wa majadida Nyi vibaraka mlovamia hiyo man hajji ndo mnafata upepo kama bendera, ipo siku Allah atamuausha huyo kama so duniani Akhera kwa mienendo anayoenda nayo hiyoo so njia ya usalafi kabisa
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 3 ай бұрын
Yaaani hawajamaa wanadharau sana eti hawaskilizi watu wengine nawatoto siwakuwajibu yeye mzee haki haina umri wachane dharau ikiwa namskiliza docter Islam hakika namskiliza bachu ustulete isbabu zisizo mashiko njoo utupe faida nasiyo kutafta uchochoro waudogo na umri walllah mutakuwa najukumu mbele ya Allah watu wanataka elmu nyinyi munatuletela yasiyo nafaida nasi ww umemshika docter Islam tuuuuuu yaani mpaka unachosha walllah
@AllyKame-rx2zd
@AllyKame-rx2zd 3 ай бұрын
Kasome Husein Radhi za Allah Ziwe naye, alivo tofautiana fikra kiujmla na Abuu Dhari Alghifaar Radhi za za Allah Ziwe naye, ila soma maneno bora aliyo sema kabla kutoa msimamo wake naamini utajifunza kihishimu fikra za Wana wavioni
@MashangoHamissi
@MashangoHamissi 3 ай бұрын
Ana hasad na dr islam uyo kasim wamafuta
@RAJABUKITIKU
@RAJABUKITIKU 3 ай бұрын
Huna hoja wala huna elimu ya abul fadhili ww na mwalimu Islam wako
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
​@@RAJABUKITIKUwewe nimfuasi wavyahya hajuri
@RAJABUKITIKU
@RAJABUKITIKU 3 ай бұрын
@@YusuphSadiki unaona ulivo jahli yahya hajuri mwenyewe kapinda nani amfuate labda mahajawira sio mm salafy
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
@@RAJABUKITIKU labda nikuulize kitu unamuoneje abul fadhili kwamanenoyako hayokama unakili kweli Wala usifiche kitu pengine unaweza kunisaidi nikawa sijui kumbe nipo ktk upotovu
@RAJABUKITIKU
@RAJABUKITIKU 3 ай бұрын
@@YusuphSadiki abul fadhili ni shekh mwenye kutoa elimu iliyonyooka ndomaana akimradi mtu kunahoja ambazo unaona kabisa eeeh huyu anaelimu haswaa
@AllyKame-rx2zd
@AllyKame-rx2zd 3 ай бұрын
وفوق كل ذي علم عليم
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 3 ай бұрын
@@AllyKame-rx2zd swa2 ila Dr islam kadanganya hhahahahahahahaha
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 3 ай бұрын
Dr Islam yuko sahihi sana.Bali Majadida Mnabagua nabkutenga Waislam wa Kweli... Nyie Uislam wenu ni Mpya sana sana na twajua nyie ni ktk Mazao ya Yahudi ..
@مقدادعبدالرشیدجمعة
@مقدادعبدالرشیدجمعة 3 ай бұрын
Jamani muogopeni Allah kwa maneno mnayo ya sema na kutuma hapa , msipende sana kiumbe mkamsahau muubaji, sisi sheikh Qaasim Mafuta Qaasim tunakubali ukweli wake anao bainisha na tunaupenda huo ukweli. Alafu nyie ambao mmeka kwenye vikao vya durusu mnaanza kunuku hadith zamtume SAW pasipo mahala pake.
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 3 ай бұрын
@@مقدادعبدالرشیدجمعة wano umia nimahizbiiiiiii, kwababu hayataki kukosolewaaaaa hahahhaha
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 3 ай бұрын
Mafuta kuna siku utakufa kwa hasad zako juu ya dr islamu
@eliaihoo77
@eliaihoo77 3 ай бұрын
Hasadi gani??
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 ай бұрын
hasadi gani? wew ndo una hasad ambaye unacomment kabla hata ya kusikiliza...
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 3 ай бұрын
Wewe ni chizi hembu fungua moyo wakuelewa ili ufuate haqi
@ashrafhashim2116
@ashrafhashim2116 3 ай бұрын
​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xShida ya watu wa bidaa huwa wanatanguliza Misimamo kabla ya dalili.
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 ай бұрын
​@@ashrafhashim2116 Hakika hii Da'awah hawatoiweza In shaa Allah! Ishaenea kila kona: Mijini na vijijini, Mashulen na mavyuoni huko kote ishaenea... HAWATOIWEZA IN SHAA ALLAH!
@ShinaidaChimombo
@ShinaidaChimombo 3 ай бұрын
We mpumbavu nabacho wako kwanza elimu zenu mumesoma wap?
@swalehmohamed4849
@swalehmohamed4849 3 ай бұрын
Sheikh sema hujaona usiseme hakuna kiilemu si swahihi
@NuhManje
@NuhManje 3 ай бұрын
Haya lete hapa tuone. Wewe vipi?
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 3 ай бұрын
ndiyo zao kujikweza kujiona wawo ndo wanajuwa kuliko wengine
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
Kunawatu wanachemka wanaposemwa mashekhe zao waovu kama dr,bachu nandio mahizbi hao namnamatusi mpaka mmeshatuzowesha lakini mnamasuuliya mbele ya allah poleni kwa wenyekuumia na ndio ilivyo haki
@JafariHussein-vb6pd
@JafariHussein-vb6pd 3 ай бұрын
mtume hakuwa salafi wala ahalul sunna al jamaa, hivi vitu hata mtume havijui. acheni ulongo. muogopeni Mungu.
@مقدادعبدالرشیدجمعة
@مقدادعبدالرشیدجمعة 3 ай бұрын
Kipimo cha kwanza kujuwa kuwa wewe ni hizibi au Mubtadiu, Nikubainishwa na kutahadharisha ubaya wa mahizibi na ahal lbidi'a wewe ukakasilika. Ukiona umekasilika jua kuwa wewe ni katika wao.
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 3 ай бұрын
Dalili
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
​@@hafidhwajina6718tumia akili tu Wala usibabaike nawe
@AllyKame-rx2zd
@AllyKame-rx2zd 3 ай бұрын
Haki imebainika kitambo, labda agenda ya sasa ni Doktoor Islam ibainike kwamba hana Elimu ili kiambo cha mahasidi kifurahi
@YusuphYahya-g9s
@YusuphYahya-g9s 3 ай бұрын
26:49
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
Mbona akifanyiwa radd dr islaam ,,,mwasema anafanyiwa hasadi? Kwahio dr hawezi kosolewa ,akikosolewa tu automatically inakuwa ni hasadi,,,,,
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 3 ай бұрын
Iyo fursa mzeee ya kujibiwa na dr huipati Kwanza hakuskilizi asa unapoteza mda wako bure
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
Dr islaam anamsikiliza Abdallah humeid seuze sheikh qaasim mafuta,,,ikiwa kuna sheikh anaesikilizwa ni dr basi ni abul fadhl ,,alafu mbona dr huwa anawajibu kina mafuta tu ,,,ama huwa hufuatilii,,,dr ameandika kijitabu kidogo akiwaradd kina sheikh mafuta na humeidi ,ama hujaiona hio ,,,
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 3 ай бұрын
Duktur hana hoja
@مقدادعبدالرشیدجمعة
@مقدادعبدالرشیدجمعة 3 ай бұрын
Jamani nyinyi mnae tuma comment zenu msitangulize mapenzi mkaiacha aqeedah nyuma, na kama huja comment ebu pima level yako katika masiala ya kielimu basi kama unaona msitawa wako ni ibtadaiyah basi Acha. Mtu ambae hana uelewa nivigumu sana kumuelewa sheikh Qaasim Mafuta Qaasim.
@fulgencearsene9829
@fulgencearsene9829 3 ай бұрын
Wewe umesoma sana ndiyo maana una muelewa Qassim Mafuta.
@NASSORMUYUGUMBI
@NASSORMUYUGUMBI 3 ай бұрын
MUNAKAA MUNAITANA MAHIZBI, MUNAPIGANA RADD SALAFY KWA SALAFY, ALAFU MNAKUJA MNASEMA KURADDIANA SALAFY KWA SALAFY NI UZOMBI. MNASEMA HABARI YA KUJIPAMBANUA LKN KDR MNAVYOLIENEEA HILO INAKUWA VAIBU. MUDA WA KUWA KILA MMOJA ANATAKA KUSEMA, NA ANACHOSEMA YEYE NDIYO SAHIHI, BAS ACHA INYESHE TUONE PANAPOVUJA.
@chabunu3367
@chabunu3367 3 ай бұрын
Huyu hajifichi ndiyo maana nyinyi munaweka picha zake watu wanamuona nyinyi ndiyo munajificha kuweka picha za masheikh inafaa kuweka zenu haramu mithihani wallah chuki ila Kama Dr hamutamueza
@BilalbinRabba
@BilalbinRabba 3 ай бұрын
MUHAMMAD BIN ABDULLAH A.S KUTOKA MADINA TAYARI AMEKUJA KUJA KUSIMAMISHA UKHALIFA WA UISLAMU NA KUSIMAMISHA IMAM MAHDI KWA MAELEZO ZAIDI INGIA KWENYE ACCOUNT YANGU
@HamzaDenilson
@HamzaDenilson 3 ай бұрын
Hizo nguvu unatumia kwa dr islam tungependa uzitumie kumjibu walad bachu
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 ай бұрын
@@HamzaDenilson Bachu yuko anajibiwa na Abul Abbas! Kwan lazima ajibu mafuta? why mafuta??? kawafanyia nini mafuta??? au mnataka UMAARUFU kupitia yeye? na hatowajibu in shaa Allah koz hakuna sabab yoyote wala ulazima wa yeye kuwajibu nyie
@HamzaDenilson
@HamzaDenilson 3 ай бұрын
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x hahaha hakuna wakumjibu. Yani hivo sheikh mafuta awe na mda wakumrad ahmed awes lkn sheikh bachu awe hana nafasi ya kumskiza. Atuambie kamsikiza ila kaona akijaribu kumjibu atapata tabu sana
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 ай бұрын
@@HamzaDenilson Bachu anatafuta umarufu kupitia Abul Fadhwil.... wewe jiulize ni kwann amemuuliza Abul Fadhwil yale maswal wakati aliyezungumzia qadhia ya Abuu Muawiyah Sio Abul Fadhwil.... Waliozungumzia qadhia ya Abuu Muawiyah ni Masheikh wengine akiwemo Abuu Muhammad Jaafar wa kigoma... Sasa jiulize kwann Bachu amuulize mafuta??? hapo utagundua kuwa bachu kuna kitu anakitafuta... na Maa shaa Allah! Abul Fadhwil aligundua mapema ndo mana hakuhangaika hata kumjibu
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
​​@@HamzaDenilsonsasa wewe wafananisha aweso na bachu ,,,aweso ni duktur na sheikh wakutegemewa wa masufi kwahio ana athari ,,ima bachu ni mwanafunzi hata thanawi hajamaliza na hana athari yoyote kwenye manhaj ,,,sasa nashangaa ikiwa wafananisha aweso na bachu inaonekana huelewi athari na level za masheikh ,,,
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 3 ай бұрын
​​@@ABUUJAAFAR92 kuna kiumbe hapa nimeona kakoment kaandika "sijui huyu ana Doctor, sijui Huyu hana hata thanawi" sasa jee ibn taymiyah au Ibnu kayyum au wengineo, wanazo hizo Doctor au hata icho kithanawi, kama wao wanazo jee Imamu shaafiiy, maalik. Silazima ujibu ni maswala ya kujiuliza nafsi yako tuu.
@anyeresa928
@anyeresa928 3 ай бұрын
Dr mie naona anaelim nyingi tu yakutosha ...na wewe pia sheikh mNJona masheikh wengine wanakhita ni hizb?
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
Hizbi eee kwani sili we vip
@swalehmohamed4849
@swalehmohamed4849 3 ай бұрын
Kwa hivyo mtu wa Bida'a akisema dhuhri ni Rakaa nne tusichukue hata kazungumza haqi baada ya kuenda kuuliza kwa wsnazuini kama Abuu hureira kuenda kuuliza kwa Rasuul?
@athaum05
@athaum05 3 ай бұрын
Akiongea Dr. Islam haraka sana unatoa majibu Lakini sasa mtoto wa Bachu akileta hoja za kielimu unapiga kimya kama haupo vile! Hii maana yake nini?
@MusaMkata
@MusaMkata 3 ай бұрын
Mtoto mdogo akimjibu kama anajidharirisha tu shekh yule ana level zake akina abuu fauwzn au abuu ruduud na si shekh wetu abulfaazwili
@rashidsaid8821
@rashidsaid8821 3 ай бұрын
Akhy elimu haiendi kwa rika na umri ikiongewa haqi haijalishi umri wa mtu aliyesema,...huko ni kujitukuza na Allah ndiye anaetukuza na anamjua ni nani mchamungu
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 3 ай бұрын
Unatakiwa uwe naakili nd umuelewe shekhe islam hakumaanisha tufundishwe na mashetan bali hata sheytan kuna muda anaongea ukweli
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 3 ай бұрын
@@shuwehaharuna6309 acheni uhizbiaa nyieeeeeee
@HuzeifaMsomali
@HuzeifaMsomali 3 ай бұрын
Mtume S.A.W anasema katika maneno yake kua Muislamu wa kweli ni yule ambae Waislamu wenzake Watapata Amani na salama kutokana na shari za ulimi wake na shari za Mikono yake sasa jiulize wewe hayo Mafundisho ya Mtume S.A.W umeyatekeleza au umemkhalifu Mtume wako?
@alajmalajm-jc9xh
@alajmalajm-jc9xh 3 ай бұрын
Kwan abuu hurayrah kamsalimika kwa Dr.islam yapime maneno kielim usisukumwe na mapenzi ya kumpenda mtu
@AliJuma-eg8tq
@AliJuma-eg8tq 3 ай бұрын
HUYU KASIM MAFUTA NI FISAD WA UISLAM ANAJIFANYA KMA YEY NDO MTUME
@RAJABUKITIKU
@RAJABUKITIKU 3 ай бұрын
Allah akuongo bwana alijuma
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 3 ай бұрын
Total approved failure Daawa. Aina ya Daawa ya Shaykh Qasim haina asili katika Assalafi Asswalih. Bahati mbaya sana hawakanyani. Tunaona khusuma,hasadi na jidala. Daawat Salafiya ni Kazi Tukufu sana lakini imevamiwa na mabishoo.We nani kakupa kibali cha kuwa disqualify waja wa ALLAH SUBHANAHU WATAALA. Acha uhizbi. Huna hati miliki,acha kupitukia mipaka.
@ramaqaasim239
@ramaqaasim239 3 ай бұрын
nadhani daawa mtume alianza kulingania watu wa kwake sasa wewe ni lini utamradd kakako Muhammad mafuta kuweni waadilifu bana ni lini mtatahadharisha watu kutokamana na Hani Breyk na mnamdifai wala hamtahadharishi khariji kama huyo
@HamzaDenilson
@HamzaDenilson 3 ай бұрын
Kama vile huna mda wakumskiza ibnu bachu vile vile dr islam hana mda.
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 ай бұрын
Sisi muda tunao wa kumsikiliza Abul Fadhwil na tunafaidika Maa shaa Allah!
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
Hayo ni maneno yako sio ya dr ,sisi tunajua dr islaam atachukua muda wake na ayasikilize haya maneno ,,,ima bachu sio level yake sio eti anapuzwa ,,,
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 3 ай бұрын
​@@ABUUJAAFAR92😅😅😅😅😅😅 Wewe i'lmu ya mafuta waijua na ya bachu waijua? Duh kwa hiyo tuseme na dr anamuona kasimu si levo zake? Hiyo ni zaidi ya ushabiki "Wanazuoni wanaoneana wivu kama midume ya wanyama wa Wanavyooneana wivu,
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 3 ай бұрын
​@@ABUUJAAFAR92ILA TUNAJIFUNZA KUNAWATU HUPUUZWA NA SHEKH KASIMU KWA KUWA HAJIBIWI NAE ANAPUUZWA SO MAKASIRIKO YA NINI, abu mu'awiya alitaka abainishiwe uhzbia wake ili atubie, Je kukataa kujadiliana nae ndo usalafy au ndo kumpuuza, HAMUNA HOJA ,KA MUNAZO WEKENI MUNAQASHA KWA DHARURA HIYO,
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 3 ай бұрын
​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xnikuulize swali kama kweli unamsikiza kujifunza?
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm 3 ай бұрын
Watu wanazani kunawatu wanaelim kumbe wenye elim ni wewe na anekukubali wewe tu
@YusuphYahya-g9s
@YusuphYahya-g9s 3 ай бұрын
Ukimsikiliza vizuri sheikh wetu Qasimu Mafuta utagundua ana hasad kubwa sana kwa Dr Islam....tukimuuliza sheikh Mafuta mbona wewe umesoma kwa masufi miaka mingi kuliko ulivosoma kwa masalafy? Nahua unatutajia masheikh zako kua umesoma vitabu vingi kwa sufi Yusuf Subq na tamta umesoma miaka mingi....
@YusuphYahya-g9s
@YusuphYahya-g9s 3 ай бұрын
Sheikh wetu Qasim Mafuta,si wewe ndo umekua ukitwambia elimu yako nyingi umechukua kwa masufy tamta kuliko kwa masalafy na unawasifu masheikh hao kina Yusuf Subqi na wadai umesoma vitabu vingi sana kwake kabla,ittaqi Llaah na punguza hasadi kwa dr Islam
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 ай бұрын
Sasa hapo si alikuw hajaujua usalafy????? swal lako la kitoto sana akhy
@YusuphYahya-g9s
@YusuphYahya-g9s 3 ай бұрын
Hua anajitamba kabisa kua kasoma vitabu vingi kwa masufi na hasa balagha, nahau na lugha...Sufy Yusuf Subqi ndo ndo kamfundisha ilmul-faraidh na vitabu vingi vya fishing na fani mbali mbali kabla yakwenda Yemen na saudia mpaka leo hii ndo anatisha kwa elimu katika safu ya salfiya jadida.
@YusuphYahya-g9s
@YusuphYahya-g9s 3 ай бұрын
Utoto akhy uko nao wewe uliokamatwa nakufungwa akili yako kwa taassub
@YusuphYahya-g9s
@YusuphYahya-g9s 3 ай бұрын
Aache wanafunzi watafute elimu kama alivotafuta yeye na akawa sheikh tunaemtegemea hasa akiachana na hasad kwa doktuur ambae nikiigizo chema kwetu.
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 ай бұрын
@@YusuphYahya-g9s wewe una akili kwel! nahisi zako ndo zimefungwa
@HuzeifaMsomali
@HuzeifaMsomali 3 ай бұрын
Hao wanaokusaport juu ya huu Ujinga wako wa kukaa kuwasema waislamu wenzako nyote mkapimwe Akili zenu inaonesha hamjauelewa Uislamu na Mafundisho ya Mtume S.A.W 😊
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص 3 ай бұрын
Kaka msomali na wewe sasa hivi sipia unawasema waislamu wenzako hapa??? Ama halali kwako kuwaita watu wajinga lakini wengine wakikosoa batwil ni haramu??? Usijibu sababu wewe pia hifai kusema....
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 3 ай бұрын
@@HuzeifaMsomali kwanza we unaonekana jaahili nenda bongwe ukasomeshwe diniiii
@ramaqaasim239
@ramaqaasim239 3 ай бұрын
Alafu kuna kitu nmejifunza hapa mtu akiwa hana hoja ya kujibu huleta balbala zisizokueko... mbona wakati ABU MUAWIYAH rahimahullah alipotoa ANNASIJATU AL MAFTUUHA na ruduud za kielimu pamoja na kuwaitisha mnakasha mkakataa... au na huyo alikuwa kinyangarika au hoja hamnazo... 😂😂😂
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 ай бұрын
Naona Shabiki umefika hadi huku!... kwo yan wew hutak mashekh zako wakikosea warekebishwe??? Salafy gani unapinga ruduud??? Kaa Usikilize darsa then uondoke! Halafu sio lazima ucomment asee
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 ай бұрын
wewe cha kufanya hapo.. Sikiliza upate faida... Wallahi ungejua faida zilizopo kwenye hyo radd usingesema hvo! kuna mafundisho mengi sana asee... Usisikilize kwa mlengo wa kiushabiki... sikiliza ili upate faida kwa ajili ya Allah: Utaulizwa akhy
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
@ramaqaasim239 fahamu msimamo wake ni kwamba sio kila mtu afaa kujibiwa ,,sheikh qaasim huangalia watu maalum ambao wanaathari kwa Jamii endapo wakipotosha hao ndio anawafanyia ruduud ,,na abuu muaawiya hakuingia katika hao masheikh,,,ima dr islaam yeye ni mtu mwenye athar ndio mana ako tayari kukosoana naye,,kwahio sio kila mtu abul fadhl hujibizana naye ,,ukifaham hili hutopata tabu ..
@ramaqaasim239
@ramaqaasim239 3 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x akhy naona siku zote hujielewi ni ushabiki tu hapa nmefatilia darsa mwamzo hadi mwisho alhamdulilah hapa Kasim mafuta amepatia ila kuna ralbiss na ndio lazima tuijibu
@ramaqaasim239
@ramaqaasim239 3 ай бұрын
@@ABUUJAAFAR92 hivi akina isaka walikua na athar gani wacha hivyo wale hata sio walinganizi yaani sio masheikh wa ma ustadh kisheria hawafai ku raddiwa mbona kassim mufuta na hosen sembe kaongea tena kassim asema... aje na huyo mwanaye kama hatakunya apa... na tuna sauti zake kwa hilo mwishowe wakakaa sulhu na wajinga wale kisha eti akatae kukaa na Abu Muawiyah rahimahullah kama kweli alikua na hoja????
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 3 ай бұрын
Total approved failure Daawa. Haina asili katika Uislamu. Dalili ni Kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia.
@HuzeifaMsomali
@HuzeifaMsomali 3 ай бұрын
Sasa nyie ndo mnajiona mpo sawa juu ya kila jambo kazi yenu kuwahukumu na kuwasengenya waislamu wenzenu halafu ndo mnajiita salafi inamaana hao salafi waliopita hivi ndivyo walivyokua wakiishi kwa kusemana? Mnaacha kuwalingania wasiokua waislamu wewe kazi yako kuwarradi waislamu wenzako Akili za wapi hizi
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 3 ай бұрын
@@HuzeifaMsomali we juda hii dini sio ya baba Yako wala bab yangu, unapo kosea linabainishwa kosa
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 13 МЛН
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 9 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
OTHMAN MAALIM.....VISA VYA VITA YA BADRI
3:01:33
ADE LINK HABARI
Рет қаралды 147 М.
DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.
19:15
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 64 М.
DR SULE - MAAJABU YA NABII MUSSA KWA FIRAUN- MUENDELEZO HUU
28:39
HAJI ONLINE TV.
Рет қаралды 24 М.
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 13 МЛН