Sijawah kuchoka kukusikiliza Sheikh wangu Allah akubarik🙏🙏🙏
@hamsikrasheedi1796 Жыл бұрын
اللهم يامقلب القلوب ثبت قلبي على دينك 😢
@hamsikrasheedi1796 Жыл бұрын
استغفر الله العظيم الذي لا إله إلا هو الحي القيوم واتوب اليه لا إله إلا الله محمد رسول الله ♥لا حول ولاقوة الابالله العلي العظيم واتوب اليه لا إله إلا أنت سبحانك إني كنت من الظالمين ياالله ياالله ياالله اللهم إني أسألك حسن الخاتمة يارب العالمين 😢
Jazaakallahu khayra sheikh mkuu. Sadaqta akhy, nipo ulaya zaidi ya miaka 30. Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, omba omba wamezidi mitaani. Kweli, maasi yamekithiri, haramu imekuwa halali, halali imekuwa haramu. Allah atunusuru.
@abubakariabdallah52812 жыл бұрын
Mashaallah shehe letu Allah atujaalie tuyafanyie kazi in shaa llah
@asilclub Жыл бұрын
ربي زدني من فضلك ورحمتك
@user-ju1pl7rr8n Жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Shukran sana sheikh Walid. Allah akulinde 🙏. Niliambiwa nisiseme waaleykumusalamu warahmatullahi taala wabarakatu. Nikashangaa sana na leo nimekusikia ukisema Aslm alkm wtw. Ubaya wake Nini sheikh wetu kipenzi??
@UluthumOmar-mt5xx Жыл бұрын
Manshallah upo sahihi kabisa shekhe wetu wa mkoa
@halimamkangama49662 жыл бұрын
Allahu akbar... Mashaallah
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Mashallah namuelewa sana shekh walid Mungu akupe hafwan
@mwinjahamwijaa7542 Жыл бұрын
Ibada ni matendo na maneno ambayo Allah anayaridhia na zinaa Suluhisho lake ni Dola ya kiislam ambayo Leo haipo katika maisha na watu wameowa wake wanne bado wanazini , ikiwa sisi ni wakweli turudishe Dola ya kiislam
@user-kp8mx2rn6t3 ай бұрын
Yani wanao takiwa kuyakemeya haya soviongoziwadini tu peke inatakiwa hata raysi na viongozi wachini wakemeh kwakweli maisha nimagum sana nitofauti hata natulipokuwawadogo
shekh nakukbl kwel lkn shekh mim ikiwa sina uwez wa kuow tusishirkiane na ikiwa ktk maswal ya biashr yoyot, bas nakuomba ushirkiane na mim ktk biashara zak shekh wng japkw sin mtaj lakin nitakuwa muamnf na huwend Allah sw akanifungly kupitia biashar yak na nikaow kwa uwez wak Allah sw
@mariamsaidaboud49592 жыл бұрын
MashaAllah, MaashAllah mawaidhwa bora. Na sheikh MaashAllah ilmu anayo. Allah amuongezee na amlinde. Na atuongezee kiu cha kupata ilmu na atulinde. Ameen, thumma Ameen. Yaa Rabbil Alameen
@halimaauthman93242 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@azizahashim96072 жыл бұрын
Shekhe mungu akubariki Sana. ilawanaume sasahivi wanataka kulelewa na wanawake hawataki kutunza wanawake tumewachoka kuwalea jamani hakuna mtu anaekataa ndoa
@rehemaally8128 Жыл бұрын
Kweli usemalo
@abuyunusmohamed69612 жыл бұрын
Swadakta
@rumbebilali27372 жыл бұрын
Inshaallah mungu akujaze iman
@ummuhassan7422 жыл бұрын
Mashallah tabaraka allah wasema kweli allah atunusuru😥
@othmanmahmoud43532 жыл бұрын
ماشاالله
@abuuwaziri46562 жыл бұрын
Inshallah tuwe wenye kujehepusha na zinaa
@fatumahamisi70642 жыл бұрын
Shukrani Jazzellah
@africa74792 жыл бұрын
yan shekh mim nipo simiyu hapa ninapoishi mtaa mzima waislimu tupo wawili ila mwislam mwenzagu mkewe sio mwisilam kwahyo hawana ndoa na waliobaki woote hawanadoa ni come to stay tupu,ni mm tu mwenye ndoa yan namuomba sna Allah anitoe hapa siku moja nimechoka sna jamni
@sheikhwalidalhadtv29502 жыл бұрын
in sha Allah MwenyeziMungu atakufanyia wepesi na usiache kuwahusia na Allah atakufanyia wepesi
@georgeotieno28182 жыл бұрын
Shukran sheikh
@khajrakhajra26382 жыл бұрын
Mashallah
@saumusanjiama69912 жыл бұрын
Kweli kabisa
@abdullahomarabdullah69212 жыл бұрын
Ahsante mwalim wng kipenz allah akuhfadhi na atuhfadhi nasi sote pia in shaa Allah
@sheikhwalidalhadtv29502 жыл бұрын
Amin rabil alami kwa sote in sha Allah
@haleemanakupendasanailamuh6682 жыл бұрын
Ahsante kwa ukumbusho
@abuarkam62762 жыл бұрын
Naunga mkono
@ashasalum44672 жыл бұрын
Shukran habyyyyyyby
@ummuhassan7422 жыл бұрын
Wanaume hawataki kuowa hawataki majukumu..Shukran allah ibarik
@hajjiyasin42552 жыл бұрын
Ummu hassan Asc? Nyinyi pia mufanunye nyepesi mahari plz mm napenda kuowa
@ummuhassan7422 жыл бұрын
@@hajjiyasin4255 inshallah Allah atakuwezesha mimi sina mschana
@hajjiyasin42552 жыл бұрын
Ummu hassan mm nashukuru mungu, mm nimeowa, naongea kuhusu wale bado hawajaowa,
@hajjiyasin42552 жыл бұрын
Umm nakuombea mungu Allah akupe vijana lnsha Allah
@ummuhassan7422 жыл бұрын
Amiin yaarab shukran
@feisal6592 Жыл бұрын
Mim napenda kitukimoja tufanyi hizoo beating ziwekeee mdaa watu wenginhawafsnyi kazi nikupeting ikuwe kuanziya saa 5masaa yaku Bering kwa phon
@salummalolo44962 жыл бұрын
As salaam alaykum Shukran sana Sheikh Walid Samahani Maalim wangu nnashida na wewe nisaidie namba yako 🙏
@omarypongwa92462 жыл бұрын
Shk Walid siku nikija Dar nitajitahid nije nikuone....
@sheikhwalidalhadtv29502 жыл бұрын
In sha Allah
@ahmadipilipili95102 жыл бұрын
Shukran shekh
@aminaali3507 Жыл бұрын
As alhmdulh jazkher maneno ya skhekh ni hakika ya ukweli maisha magumu ni zinaa matendo mingi na maasii
@fayeezabdallah2217 Жыл бұрын
shekh nakukbl kwel lkn shekh mim ikiwa sina uwez wa kuow tusishirkiane na ikiwa ktk maswal ya biashr yoyot, bas nakuomba ushirkiane na mim ktk biashara zak shekh wng japkw sin mtaj lakin nitakuwa muamnf na huwend Allah sw akanifungly kupitia biashar yak na nikaow kwa uwez wak Allah sw