Lyrics.... 0:27 Ni nani anayestahili, kupewa sifa? Ni Mungu mwenye enzi yote, ndiye muumba, Uabudiwe usifiwe, wewe ni mfalme, Utukufu na heshima Bwana, ni vyako mfalme, Asante Mungu wangu mwema, ninashukuru, kwa kunilinda vyema, Ninashukuru*2 Nitaipaza sauti.... Nitangaze matendo yako.... Wewe ni mwanzo na mwisho Ni wa milele...... 1:50 Ni nani atupaye nguvu, pia uzima, Ni Mungu mwenye enzi yote, ndiye muumba, Yeye ni alfa na omega, ni wa milele, Utukufu na heshima bwana, ni vyako mfaalme, Asante Mungu wangu mwema, ninashukuru, kwa kunilinda vyema, Ninashukuru*2 Nitaipaza sauti.... Nitangaze matendo yako.... Wewe ni mwanzo, na mwisho Ni wa milele...... 3:15 Wewe ndiwe Mungu wa kweli, Mungu mwenyezi, Umeumba mbingu na nchi, hufananishwi, Utabaki ni mwenye enzi, utubariki, Utukufu na heshima bwana, ni vyako mfalme, Asante Mungu wangu mwema, ninashukuru, kwa kunilinda vyema, Ninashukuru*2 Nitaipaza sauti.... Nitangaze matendo yako.... Wewe ni mwanzo na mwisho Ni wa milele.
@dominicmatheka163611 ай бұрын
What about the score
@josephmathendu383011 ай бұрын
Tunashukuru kwa support yako
@EuniceMulanya7 ай бұрын
Nice song I love the beats
@stellamacharia91672 ай бұрын
Very very good song
@mamakephoebemkatoliki69722 ай бұрын
Asante for lyrics
@frankmhoja246027 күн бұрын
Barikiwa sana wanakwaya asee,,,,,kuimba ni kusali hakika nyie n tunda la kanisa
@VeroMelisa3 ай бұрын
Mwenzenu Huwa nazidiwa na mapenzi ya mwenyezi mungu ninapo huskia huu wimbo❤❤
@NgiraScolastica9 ай бұрын
Nimeskia wanakwaya kutoka karatina at NGANDU GIRLS HIGHSCHOOL (Kenya) wakiimba. Ni kama malaika kweli ❤❤
@esthermaina53829 ай бұрын
Sure kamenja was present
@jecintanjeri14346 ай бұрын
Nakwambia kwaya ya karatina inatoka fire
@GraceMumbua-q1f23 күн бұрын
Sauti tamu proud of you
@lawrencekameja9730 Жыл бұрын
Am very proud of this kwakweli hongeren sana marafiki zangu nawapenda Sana nitaipaza sauti bila kuchoka nimsifu Mungu big up my people 🔥🔥🔥🔥
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
@lawrencekameja tunakushukuru pia kwa kuwa nasi ....tunapoifanya kazi hii ya kitume kupitia uimbaji....praying for u uzidi kutunga ... Nyimbo nyingi tamutamu kama hizi
@janenjeri134 Жыл бұрын
Tunakupenda Sana hapa Kenya Nyeri
@leahamagove4309 Жыл бұрын
Shukran mwalimu....tunajivunia kushirikiana nawe
@alfredossongajuniormedia77211 ай бұрын
ndugu kameja kazi safi .i am so touched with this song
@jocelynepedekangpoupoh95144 ай бұрын
I love the name of the choir in first place, may God bless you with more harmonious melodies ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@ruthkemuma67744 ай бұрын
Beautiful hongera sana dada mdogo wa Francisco
@LivnusNgonyani4 ай бұрын
Kuomba ni kusali mara mbili mbarikiwe 🎉🎉
@benedictmudakiАй бұрын
Great 👌❤
@eugenekeragori Жыл бұрын
Mwalimu Lawrence kameja never disappoints aki..mola ambariki na kumpa maisha marefu
@livingstonemasikonte916 Жыл бұрын
Kazi njema kwa kuipaza na sauti taaaaamu na nyimbo zenye uzia. Kameja sauti yako ni ya tatu, ila hapa waimba kwa sauti ya nne. Au sio? ❤❤❤🎉hongereni saaaana🎉❤❤❤
@marymimina Жыл бұрын
Kazi nzuri sana melodic harmony waimbaji wetu wa power. Shukran kwa kuendelea kuguza mioyo yetu kwa nyimbo tamu na sauti nyororo. Mbarikiwe sana🎉🙏🏻🥰
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
Mimina shukran na Mola akumiminie baraka tele
@nerimanawirimiliana2928 Жыл бұрын
Congrats 👏👏 team Melodic hormony wimbo mtamu sana Mwenyezi Mungu na Awabariki na kuwaongoza katika uimbaji wenu 🙏🙏
@WANAMBUKO Жыл бұрын
This is beautiful my poeple.. More grace ,na muendelee kutoka nyingi kama hizi .msichoke na msipoe❤❤❤.nawapenda
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
Shukran sana fikitaaaa
@MilcahMutua-u5pАй бұрын
Hongereni sana wanamaria
@ElisabethNimbona17 күн бұрын
Kutoka Burundi nawapenda sana nikisikiriza nyimbo nabarikiwa sana Mungu awabariki sana
@kimzo3p Жыл бұрын
Heko sana Kameja na harmony kwa kazi nzuri ❤ wimbo unapoima solo ya bariki sana
@elirehemaringo1885 ай бұрын
Mimi ni mpestecoste ila wimbo huu umenibariki sana sana hongereni kwa kazi njema Mungu ni mmoja tu na ni wetu sote,Nice job na kwa mtunzi pia
@josephmathendu38305 ай бұрын
❤❤ shukran Kwa sapoti yako
@josephmathendu38303 ай бұрын
❤❤
@ednamaina10977 ай бұрын
I love it❤
@essyangel9650 Жыл бұрын
Nkiona tu jina kamenja roho inasimama. Nakupenda bure❤
@Prisca_Regine Жыл бұрын
Wewe ni mwanzo na Mwisho 🤗🤗🤲🤲🙏🙏 Mbarikiwe sana waimbaji wetu👏👏👏
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
Asante Prisca be blessed too
@emmanuelcheruiyot589911 ай бұрын
Khaks studio goodwork
@LilianNjogu-p8n Жыл бұрын
Waoo sweet song mtaenda mbali mko tu sawa sana .
@agustinobinamungu66911 ай бұрын
Kameja keep it up sauti tamu sana ewaaaah❤
@MonicaMbitheMusic Жыл бұрын
Kazi safi bugati🎉🎉🎉🎉
@josephmathendu38305 ай бұрын
❤❤
@albertgithinji89409 ай бұрын
Nice song Mwalimu Lawrence,,,,umekuwa wa baraka kwetu wanakwaya wa Jimbo la nyeri
@Fridahkilonzo96 Жыл бұрын
Sauti tamuuu. Mungu awazidishie nguvu ya kufanya kazi yake. Kamejaaaa!
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
Thanks Fridah
@CatherineMartin-n4m Жыл бұрын
Niliongoja sanaaa wimbo mzuri sana hongereni wapendwa
@ThereseQueen Жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kazi zenu na nyimbo hii muzuri
@kennedywekesa7330 Жыл бұрын
Kazi safi Sana Wana Melodic harmony. Hongera Sana.
@cenzomelly44259 ай бұрын
Kazi safi my friend George 👌
@paulinewacuka52379 ай бұрын
Nyimbo tamu sana❤❤❤ Keep it up guys
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 Жыл бұрын
Asanteni kwa uimbaji wenu Mungu awabariki wote wana kwaya
@jecintahkibuku59239 ай бұрын
That was breathtaking 🎉. Big up to The Melodic harmony choral, Lawrence K. & Khak studios. What a combination🎉 🎵🎶
@josephmathendu38305 ай бұрын
❤❤❤
@beatricecherono5972 Жыл бұрын
Nice one,stay blessed
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
Thanks Btiie
@joycenguu1426 Жыл бұрын
Wimbo mtamu sana. Hongera kwenu.
@elielepetit8107 Жыл бұрын
Whenever I listen to your song🎶,I have the heavenly feeling,you make us happy,blessed through your songs words.i can't do my best to describe you. Lawrence Kameja & Ray Ufunguo,kama kawaida,you're the best ever. Sending love❤️😘 from Burundi 🇧🇮
@MonicaNjeru-p3q Жыл бұрын
Ray Ufunguo and Lawrence Kamenja always the best.
@francismukima74211 ай бұрын
Great song. Asanteni kwa wimbo mzuri
@jocelynepedekangpoupoh95144 ай бұрын
I love this choir so much, the whole world can come to God because of this because you’re not putting the name of any church. Sang outside a pure place of the motherland 🙏🏾🙏🏾🙏🏾!
@josephmathendu38303 ай бұрын
❤❤
@MichaelMuendo-vm4ho7 ай бұрын
Love it keep up guys ❤️❤️❤️🥰
@emmanuelkiio592 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri 💯💯
@TashAnastacia69 ай бұрын
🥳💯utukufu na heshima ni vyako mfalme
@josephmathendu38305 ай бұрын
That part❤❤
@linetotibine33957 ай бұрын
This song always leaves me in so much peace!! Thanks for sharing such a beautiful message in very great and well harmonised voices ❤
@mwl.annordmwapinga Жыл бұрын
nzuri sana, hongera nyingi
@v.k.m5475 Жыл бұрын
Wow! Kazi nzuri 🎉🎉🎉 hongereni
@jacquelinemaina6523 Жыл бұрын
What a nice song, still 😢 a month late since the release, but am glad, this is the best time
@mutumbasitali2477 ай бұрын
Munembo Wa Kulumba Mulimu... Listening from Zambia Kwa Barotseland.. Mulimu Amufuyole Kaufela Mwa Sikwata Samina
@davidmbugi79997 ай бұрын
Thanks and be blessed brother
@mutumbasitali2477 ай бұрын
@@davidmbugi7999 I LIKE SWAHILI THAT MUCH SELF TAUGHT BUT STILL WANT TO VISIT YOUR COUNTRY SINCE AM INTO VIDEO SHOOTING AS WELL
@davidmbugi79997 ай бұрын
Karibu sana you are much welcome
@josephmathendu38305 ай бұрын
❤❤
@jeniphamsofe3758 Жыл бұрын
Kaka maua yakoo tafadhali 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@conybebkadaz13399 ай бұрын
Asante Mungu wangu mwema, ninashukuru kwa kunilinda vyema😭😭🙏🙏
@stellamarisndenge73539 ай бұрын
Asante mungu wangu mwema kwa kunilinda vyema. Nitapasa sauti nikusifu bila mwisho. nitayatangaza matendo yako katika maisha yangu
@JuliethMakasi-hm6qy9 ай бұрын
Kuimba Ni kipaji Kameja na Ray Mungu awabariki Sana.
@josephmathendu38305 ай бұрын
Amina
@tricia04810 ай бұрын
I'm on love with this song,it rings in my mind sana🎉🎉 congratulations
@RUTHWANGUI-y2l Жыл бұрын
Nawapenda Sana keep it up
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
Shukran n be blessed
@AnneKhanje-lu2vd Жыл бұрын
Mungu awabariki Kwa wimbo nzur
@emilymutwiri93628 ай бұрын
Hizo vocals za Lawrence ni tamu... Amazing music
@JeanEvangelisteKamala5 ай бұрын
Hongereni Lawrence Kameja pamoja na wana Choir wote . Hii wimbo imenibariki. Mimi ni Padri KAMALA John Evangelist niko Mkongoni mashariki kwenye vita
@davidmbugi79994 ай бұрын
Asante padri mungu akuongoze
@josephmathendu38303 ай бұрын
❤❤
@thepebrisfamilygracedbless6668 Жыл бұрын
What a beautiful Song dears. Waooo❤ Great work well done by a great Team. Hongereni
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
Thanks Pebris
@rasugujohn227913 сағат бұрын
Such a beautiful composition. nice choice of words of praise. May God bless you for touching souls through singing 🙏🏿
@paskalinaleopold3251 Жыл бұрын
Waooooooo wimbo mzuri sanaaa ❤💕💕💕🙏🙏🙏
@hannahkamau267 Жыл бұрын
This is great my people ❤❤🎉🎉
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
Shukran dadaa
@doryn2547 ай бұрын
This song is on another level,God bless you more Lawrence 🎉❤
@HelenDuwanghe9 ай бұрын
Wimbo mzuri sana.🎉🎉
@leahkungu6508 Жыл бұрын
Sooo waooo🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@janenjeri134 Жыл бұрын
Waaa what a blessing kudos to the choir
@gladyskerubo-l3p11 ай бұрын
God give you more knowledge to give out nice songs Amen
@collinsmwori768911 ай бұрын
Hongereni !Tamu sana
@joanjohn3365 Жыл бұрын
I hope I’ll one day meet Lawrence Kameja to help me compose a song
@MelodicHarmonyChorale Жыл бұрын
It's possible when do you want to meet him
@susanogone2328 Жыл бұрын
Nice one 👍 we give thanks and glory to him 🙏🙏🙏 team be blessed unconditionally and keep on working for God.
@FredrickReports9 ай бұрын
♥♥♥♥♥♥♥♥♥wow lawrence kameja.nice song.
@AnnaWenceslaus-rp2ze9 ай бұрын
Wimbo mtamu sanaa❤❤❤
@LydiaJepchumba-v2p6 ай бұрын
Sweet voices❤...keep it up very touching.
@josephmathendu38305 ай бұрын
❤❤
@muiruriambrose94048 ай бұрын
🎶 pia ni safi ² ⁴ simple. Eh..
@bramwelkotii6164 Жыл бұрын
Mali safi💯💯
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
Bro thanks
@emmahrobert95029 ай бұрын
Asante Mungu wangu mwema❤🎉🥳🥳🥳🙏
@EuniceLekutas Жыл бұрын
This song so solemn,,,God bless you so much it's inspiring
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
Be blessed too Eunice
@GastonCanuty-tx6pp7 ай бұрын
Hongera laurence kameja
@DavidNdungu-n7v Жыл бұрын
Nice song, congratulations melodic harmony cholare, very sweet song🎉
@magdalinemuthoka4937 Жыл бұрын
My people..congrats
@georgendungu894 Жыл бұрын
We just thank God for this far, Kwa kweli twaipaza sauti, kumshukuru Mungu.
@KediyaGorret Жыл бұрын
Wow wonderful do the work off God
@cwanja240210 ай бұрын
I can't get enough of this song 😊
@janeodewale3777 Жыл бұрын
All glory to the Most high God 🙏🙏🙏 keep it up ❤
@salomemukolwe-o1n6 ай бұрын
Nice song indeed it inspires alot
@maryflaviournafulasifuna6347 Жыл бұрын
Great as always. Good job 👏🙏🙏🙏
@DanielJuma-j2u27 күн бұрын
Mjumbe-kamejo
@PeterOoko-ze4ru10 ай бұрын
Wonderful 🎉
@raphaeljulo382611 ай бұрын
What a great song. God bless this choir
@josephmathendu383011 ай бұрын
Amen n be blessed too
@JeanEvangelisteKamala5 ай бұрын
Niko Mkongomani mashariki kwenye migogoro na vita
@carolinegichuki7029 ай бұрын
Heavenly
@theresiamateru6426 Жыл бұрын
Nice 👍 sauti nzuri
@serahmuthoni24 Жыл бұрын
This is awesome 👌
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
Thank Msoo
@FredrickReports9 ай бұрын
what was that you ment bro
@AnnastaciaSafarin Жыл бұрын
Congratulations.Powerful song
@stellamuthoni2702 Жыл бұрын
Wow that's awesome song ❤❤
@jocelynepedekangpoupoh95144 ай бұрын
Please for full lyrics, I understand only few words, I speak French, English, other languages of the motherland (Africa) and I am learning Swahili because it’s such a beautiful language especially for worship. This is why I understand few words