"NITAKUFA HIVI KARIBUNI" - MSTAAFU MWINYI ALIVYOSHINDWA KUJIZUIA na KUMWAMBIA MAGUFULI

  Рет қаралды 190,189

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 166
@globaltv_online
@globaltv_online 11 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 11 ай бұрын
Number
@imanuelimwakisu2130
@imanuelimwakisu2130 10 ай бұрын
​@@ChristianMkumbo-ix2ke😊1😊
@ismailfarahismail1292
@ismailfarahismail1292 10 ай бұрын
Qaqqqqqqq​@@ChristianMkumbo-ix2ke
@elijahonyango8345
@elijahonyango8345 11 ай бұрын
Allah amrehemu Mzee wetu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, ampe Kauli thabiti amsameh sana na mungu akubariki
@LenaMganda
@LenaMganda 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤ pumzika kwa Amani mwendo umeumaliza
@francomwalutende7864
@francomwalutende7864 11 ай бұрын
Mzee alikuwa mnyenyekevu sana aliyejaa hekima na busara, Mungu akupe pumziko jema
@ProsperNjau
@ProsperNjau 11 ай бұрын
Hakika umeacha historia isiyoweza kufutika Mwenyezi Mungu akupe pumziko la amani Amen.
@luluwabinthamed2860
@luluwabinthamed2860 11 ай бұрын
Poleni saaaana ndugu zetu wa Tanzania 🇹🇿 Allah ampe kauli thabit pepo iwe mahali pake natoa pole za rambirambi kwa msiba huu mkubwa mzee ruhsa ametutoka sisi huku oman 🇴🇲 tunamlilia
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 11 ай бұрын
Innalillah wainalillah rajiun.. ALHAMDULILLAH tunamshukuru Mungu kwa maisha yako kwetu🙏pumzika kwa amani babu... Mwenyezi Mungu akupe kauli thabiti .. Allah'umma Amiin
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 11 ай бұрын
Sijui kwann nimeshindwa kuhuzunika moja kwa moja😢 napata amani sana licha ya kifo chake, kama fikra na hisia zangu hazinidanganyi basi atakuwa ni watu waliotenda mema duniani na M.mungu atamjaalia pepo amiina
@khamisjina8833
@khamisjina8833 11 ай бұрын
Apo ndio tuone kwamba maisha Siri, anayasema hayo Maiti kipindi yupoa Hayati Magufuli. Na Alowahi kitangulia ni mdogo mkubwa ndio leo. Tujifunze hapo maisha si kitu. Tuwaombee ndugu zetu walotangilia mbele ya khaki Allah awape sahal na awasamehe maiti wetu wote na sisi Allah atupe mwisho mwema. Yaaaaraaaabi, mfanyie wepesi Mzee Mwinyi na wale wote waliotangulia mbele ya haki n ss tupe mwisho mwema yaaaraaabi😭😭😭🤲🤲🤲😭😭😭
@bobochieng8026
@bobochieng8026 10 ай бұрын
Tanzania has always had very good leaders. Patriots who love their country and people. Kenyans have a lot to learn from Tanzania.
@josephlorri431
@josephlorri431 11 ай бұрын
Ni moyo mkuu... mzee Mwinyi amekubali kwamba maisha yake yako ukingoni, ni mzee wa imani hasa..
@benkiriama6169
@benkiriama6169 11 ай бұрын
😢Mzee mwenye hekima,busara,maarifa na ujuzi zaidi,mzee nenda salama Mungu airehemu roho yako,twakupenda jameni
@fatmaaliomar9733
@fatmaaliomar9733 10 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akuweke mahali pema peponi mzee wetu.Upumzike kwa Amani.Amina.
@sambaachristopher
@sambaachristopher 11 ай бұрын
Pole Tanzania!Pole familia ya Mzee wetu aliyetangulia mbele huko waendapo!Bwana wangu Yesu Kristo awe faraja yenu kuu!Mwaminini Mungu na Yesu!Amina
@LenaMganda
@LenaMganda 10 ай бұрын
Pumzika kwa Amani Mzee Ruksa❤❤❤
@jumamchina9038
@jumamchina9038 11 ай бұрын
Inna Lilah wa Inna ilaih Rajiuun, Allah amrehemu Mzee wetu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, ampe Kauli thabiti, amsameh na amuondoshee Adhabu za Kaburi nasi atupe Mwisho Mwema Aamiin.
@khamisjina8833
@khamisjina8833 11 ай бұрын
Aaamin🙏🙏🙏
@luisojr3480
@luisojr3480 11 ай бұрын
Amina
@allymohamed6265
@allymohamed6265 10 ай бұрын
Aamin
@salamarashid3687
@salamarashid3687 10 ай бұрын
Allah akusameh dhambi zako za Siri na za dhahir.amin
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 11 ай бұрын
Mungu amlaze pema peponi. Anaomba msamaha kwa kusahau sahau maneno. Katikati ya speech anatoa stori ya maisha kuwa kama hadithi na mwisho anashkuru kwa kusikilizwa.. Huyu ndio mzee wa rukhsa aliyeichukua nchi wakati wa njaa tupu na kuruhusu karibu kila kitu na kufuta restrictions karibu zote ili kuokoa maisha ya mamilioni
@Jifunze36
@Jifunze36 11 ай бұрын
Inaa lillahi wainnaa ilayhi raajuun, Allah Amsamehe madhambi yake na Amlipe kwa wema wake, Nibishara njema kufa ukiwa ni Uislamu 🤝
@isayakayange5439
@isayakayange5439 10 ай бұрын
Mzee huyu, RAIS MSTAAFU HUYU, MWALIMU HUYU, alikuwa na hekima hadi uzeeni. Tumshukuru Mungu kwa uzima wetu na kwa maisha yake katika uso wa nchi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe, Amen
@abdallahally842
@abdallahally842 11 ай бұрын
Mungu akulaze mahalapema peponi mzee wetu mwenye heshima Kwa taifa letu nitakukumbuka Kwa kua na hekima na busara viongozi Kuna la kujifunza Kwa huyu baba
@eliahmashala5180
@eliahmashala5180 10 ай бұрын
Lala salama babu yangu ALL HASSAN MWINYI
@daniel.shao.9028
@daniel.shao.9028 11 ай бұрын
Pole kwa familia,ndugu,jamaa,marafiki na watanzania wenzangu kwa ujumla. Mchango wake kwa taifa hili hautasahaulika kamwe,alitimiza wajibu wake. Amevipiga vita imara hapa duniani mwendo ameumaliza. Pumzika kwa amani Rais wetu mstaafu.
@misanamaige
@misanamaige 11 ай бұрын
Tutakukumbuka daima baba yetu. Pumzika kwa amani kiongozi wetu.
@karimambosanga4290
@karimambosanga4290 10 ай бұрын
Azina ya kiswahili mzee Mwinyi ina lillah wa ina ilayrajiun
@redtk2971
@redtk2971 11 ай бұрын
Timu ya Tanzania ni sawa na kichwa cha mwenda wa zimu kila mtu anajifundishia kunyoa hii kauli ya mzee itaishi kwangu milele 🎉
@lilianmganyizi6286
@lilianmganyizi6286 11 ай бұрын
I bet amekuwa Hadithi’s nzuri tutakayo endelea kusimulia. Cheers 🥂to a life well lived. His 😊sense of humor.
@johngachugu305
@johngachugu305 11 ай бұрын
Aliyekuwa rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa 🇹🇿 Ali Hassan Mwinyi almarufu Mzee Ruksha ametangulia mbele ya haki leo tangazo iliyotolewa na rais Mama Samia Suluhu Hassan. Mzee Mwinyi aliwahi hudumu kama waziri wa usalama wa ndani, rais wa Zanzibar, makamu wa rais wa Tanzania na baadaye akawa rais kutoka mwaka 1985-1995. Makiwa kwa familia ya Mzee Mwinyi na WaTanzania wote kwa kweli kifo inasiri kubwa sana na dunia ni kamba na sisi sote ni wasafiri. Mungu ailaze roho ya Ali Hassan Mwinyi mahali pema peponi 🙏🙏🙏🙏.
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 11 ай бұрын
Nakupenda sana baba ulikuja kondoa mwaka .,..,ila nakupenda baba❤
@BATWELYNywage-yk1vn
@BATWELYNywage-yk1vn 11 ай бұрын
Asante Mungu Kwa Maisha ya Raisi Ally Hassan Mwinyi kwa Watanzania wote.
@francomwacha2262
@francomwacha2262 11 ай бұрын
Au ukiwa mpole na ucye na hacra nayo inasaidia kuishi miaka mingi nn.. maana natamani kujua mengi kwenye maisha ya huyu baba.. mungu baba alimhuluku miaka na mikaka kiukweli..
@VeronicaMwakimbingi
@VeronicaMwakimbingi 11 ай бұрын
Raisi wetu msitafu wa awamu ya pili,mungu wa mbinguni ailaze roho yk mahala pema peponi,😭😭😭😭😭
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 11 ай бұрын
Inna Lillah wainnailah rajiuun, Allah akulaze pahala pema peponi rais MWINYI 😢😢
@VeronicaMwakimbingi
@VeronicaMwakimbingi 11 ай бұрын
Rip Rais wetu wa awamu ya pili pumzika kwa amani mwendo umeumaliza😭😭😭
@Gambasingu_Gilitu
@Gambasingu_Gilitu 11 ай бұрын
Mbele yako nyuma yetu, pumzika Kwa amani Mzee wetu, mhe Rais mstaafu wa JMT
@asiashaban8283
@asiashaban8283 11 ай бұрын
Inalilah waina illah rajiun mzee wetu mungu kakupenda zaidi
@MariamSindano-os7ce
@MariamSindano-os7ce 11 ай бұрын
Mungu amlaze mahali pema Mzee wetu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 11 ай бұрын
Mungu amlaze mahala pema peponi amin. Pole kwa familia ya mwinyi 😭😭😭
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 11 ай бұрын
Inna lillah wainailaih rajuun. Eee M'mungu muhifadhi mzee wetu kwenye kabri yake mpaka kesho yaumuri Qiama inshaAllah.
@abdullahibaris7182
@abdullahibaris7182 11 ай бұрын
INNA NILLAH WA INA ILEYHI RAJAIOON hini dalili ya Ahlu JANNAh ahlu kheiyr muumin ALLAH RAHMA
@mellahcoffee
@mellahcoffee 11 ай бұрын
Mzee wa ruksa pumzika mzee❤
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 11 ай бұрын
Mbele yake nyuma yetu Sote tutaondoka katika uso wa Dunia, Allah amuhifaddhi mzee wetu ampokee kwa mkono wa kulia 😢😢
@martinkafeero1751
@martinkafeero1751 10 ай бұрын
Rest well Mzee Mwinyi... The legacy of Mwalim and the entire leadership of Tz shd be emulated across the continent.
@chriss6321
@chriss6321 11 ай бұрын
Mswahili nambari moja katutoka. Aaa Mzee Ruksa alikuwa na ladha ya lugha!!
@UongoziBoraInstitute
@UongoziBoraInstitute 11 ай бұрын
Mungu amlaze pema peponi Rais Ali Hassan Mwinyi.
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 11 ай бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi mzee wetu 🙏😭😭
@sharifakhalfan2475
@sharifakhalfan2475 11 ай бұрын
Innalilah wa Innailah rajiun allah ukukinge na adhabu ya kabur akupe kauli thabit atie nuru kabulin kwako akupokelee kitabu chako mkono wa kulia akusamehe madhambi makubwa na madogo uliokuwa unayajua nna usiyoyajua ya sir na ya dhahir uliyoyafanya kwa udhaif wa nafsi yako akustir kaburin na kesho mul kiama akupanulire kabur lako liwe uwanja wa pepon AAAMMIIIN
@RaphaelHhari
@RaphaelHhari 11 ай бұрын
Kiongozi mwenye umri mkubwa kama huo anapaswa kupunzika bila kuzongwazongwa mimi naamini kwa wakati wake amefanya kazi yake nzuri na sisi wenye sifa hizo tutafanya lini sasa viongozi wetu waache mambo ya ulimbukeni
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 11 ай бұрын
Rais mpole mvumilivu mpenda watu, mcheshi kweli unastahili pongezi 🎉🎉🎉 pumzika kwa amani Baba yetu
@clememallya4257
@clememallya4257 11 ай бұрын
R.I.P mzee wetu na Rais wetu mstaafu Mwinyi. Raha ya milele umpe ee Bwsna na Mwanga w milele umwangazie
@selemsigala4771
@selemsigala4771 11 ай бұрын
Mungu akulaze mahara pema peponi Rais wetu mstafu msemakweli tunashukuru kwa mchangowako adithiyako tutaisimulia vema.
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 11 ай бұрын
R.i.p mzee wetu na legendary wetu jpm😢😢😢
@restutatheodory5501
@restutatheodory5501 11 ай бұрын
Jamani! Pumzika kwa amani. Mwendo umeumaliza
@AbabaNzige
@AbabaNzige 11 ай бұрын
Inalilahi waina ilahi rajuun ALLAH amsamehe madhambi yake
@bettykasase1267
@bettykasase1267 11 ай бұрын
Turikupenda ila Mungu kakupenda zaidi,pumzika kwa amani baba etu
@alphaxard
@alphaxard 11 ай бұрын
Daaaah hakika Tanzania inapitia wakati mgumu kwa kipindi hik😢😢😢
@idrissamustafabukenya6110
@idrissamustafabukenya6110 11 ай бұрын
Allah yarihamuhu ya Rabbi
@josephignas3988
@josephignas3988 10 ай бұрын
Huyo mwanamke scout amelia kwa hisia kama mm asee 😢😢😢....
@josephignas3988
@josephignas3988 10 ай бұрын
Yan huyu mzee aliongea kama mzazi na mlezi kwa hekima kubwa sana, Mungu akulaze pema mzee wetu!😢
@GraceJulias-r8g
@GraceJulias-r8g 11 ай бұрын
Poleni sana Kwa familia
@AgustMbisee
@AgustMbisee 11 ай бұрын
Hotuba ya Mzee imeniliza sana😭😭😭
@NehemiaKulwa
@NehemiaKulwa 11 ай бұрын
Eemwenyezi MUNGU mlaze mzee mwinyi mahali pema peponi
@azizimangara9024
@azizimangara9024 11 ай бұрын
Amin amin
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 11 ай бұрын
Mzee allijaaliwa hekima mno maneno mazuri yenye tafakuri nzuri
@jumamchina9038
@jumamchina9038 11 ай бұрын
Kweli Kabisa, Maisha ni ya Dunia ni Hadith tu!
@GloryMsopa
@GloryMsopa 11 ай бұрын
Jmn mungu
@lawskuli9876
@lawskuli9876 11 ай бұрын
Allah amsamehe makosa yake- Amin, Amin, Amin.
@JamilaNanjawala
@JamilaNanjawala 11 ай бұрын
Rip rais mstaafu mungu ailaze roho yako mahara pema pepon
@gloriadaniel3827
@gloriadaniel3827 11 ай бұрын
Punzika Mzee wetu.😭😭
@KHERIMAKUNGA
@KHERIMAKUNGA 11 ай бұрын
R I P, mzee ruksa tutakukumbuka sana
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 11 ай бұрын
Mungu amemtunza ssnaa,huyu mzee.hajawahi vaa miwani.miguu ina nguvu.
@HasinaSaid-g3b
@HasinaSaid-g3b 11 ай бұрын
Innah lillahi wainnah lillah rajiun Allah amjalie kauli thabit
@kulwamwalukila2310
@kulwamwalukila2310 11 ай бұрын
Pumzika kwa amani mzee wetu
@nabwayocyril7083
@nabwayocyril7083 11 ай бұрын
pumzika mzee wetu
@evanccast6228
@evanccast6228 11 ай бұрын
Mzee wa rucksaa 🙏🙏
@Mrnyuki0428
@Mrnyuki0428 11 ай бұрын
😢😢😢 nakupenda mzee nenda baba
@SosomaMpini-f2m
@SosomaMpini-f2m 11 ай бұрын
Polen sana ndugu wafiwa
@CoachBeka
@CoachBeka 11 ай бұрын
Inalilah waina ilah rajiun
@TaboraIgunga-gs5ob
@TaboraIgunga-gs5ob 11 ай бұрын
Daaaa jamani so sad
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 11 ай бұрын
😢😢😢😢😢innallillah waina Illah rajioun
@DariusKasitu
@DariusKasitu 11 ай бұрын
Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi babu yetu😢
@EdgarKimutai
@EdgarKimutai 11 ай бұрын
pole majirani
@patrickKitambo
@patrickKitambo 11 ай бұрын
kitu kikubwa nimejifunza kwa mzee mwinyi, ni tofauti na wanasiasa wengi wa Tanzania alikua haogopi kuongea ukweli bila kupindisha na aliongea yale yalio moyoni mwake bila kutetereka ndomaana ameishi umri mrefu maana majuto ni madogo...mtu mkweli yuko huru siku zote hana vijiba vya roho, watanzania tujifunze hilo na tujiweke mbali na unafiki mtu kama anakosea mwambie ukweli hata kama ni ndugu yako au mko nae dini moja , mwambie ukwel ataumia ila baadae atakushukuru
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 11 ай бұрын
Tutawakumbuka sana viongozi wetu ❤❤🎉🎉
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 11 ай бұрын
ndiyo alivyotaka mwenyewe na dini pia yataka hivyo
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 11 ай бұрын
bora ww uliejua kwamba ipo siku moja dk moja utafaliki hautakuwepo kuliko hao wanaojiona miungu watu hawata kufa,,,,, najiusia nafsi yangu mm mwenyewe nawengne ambao mungu katuacha tuendelee na mtihati huu wadunia tusisahau kifo kwasabu kifo hakitusau sisi namuomba mungu anijalie mwisho mwema nisiwe miongoni mwa watu wabaya
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 ай бұрын
Ndugu Rais,,,,siyo mheshimiwa Rais!!
@MaabeshFungurume
@MaabeshFungurume 11 ай бұрын
Inalillahi wainnaillahi rajioun we will miss u ruksa
@HusseniLusugi
@HusseniLusugi 11 ай бұрын
Mwenyezimung akulaze mahali pema
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 11 ай бұрын
Mwanga wa milele mwangazi ee Bwana
@marierobert42
@marierobert42 11 ай бұрын
😢 pumzika kwa Aman Baba
@francomwacha2262
@francomwacha2262 11 ай бұрын
Maisha ni hadithi.. hii nimeichukua
@FedaSema
@FedaSema 11 ай бұрын
Msalimie kipenz chetu baba wawanyonge mwambie wanyonge tumekumc baba yetu
@erickcharles6834
@erickcharles6834 11 ай бұрын
So sad
@BoniphaceMwamba-s3t
@BoniphaceMwamba-s3t 11 ай бұрын
Daima tuta Kumbuka
@RaphaelHhari
@RaphaelHhari 11 ай бұрын
Ase duu roho ya kiongozi wetu ipunzike mimi mahali pema peponi
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 11 ай бұрын
RAiSi aliye wafanya watanzania kuwa na furaha Rest in peace we all love you
@MAPETEE
@MAPETEE 11 ай бұрын
Kumbe huyu sio Mzanzibari ni mtanganyika
@lydiavegula7641
@lydiavegula7641 11 ай бұрын
Oooooo😂😂😂babu we will miss you jamani
@kasimsaleh7103
@kasimsaleh7103 11 ай бұрын
Yani kifu cha mzee mwinyi kimenikumbusha wakati tukisilimiana wakati wa mazoezi zanzibar maisara tukielekea ngazimia .inalilahi wainailaina rajuuna.
@AnthonioGerald
@AnthonioGerald 11 ай бұрын
Tutawakumbuka hakika
@NaySimon-u5u
@NaySimon-u5u 11 ай бұрын
Daaaaa hili nalo pigo jjn watanzania
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
TAZAMA  VIONGOZI WALIVYOMIMINIKA KUMUAGA KINGUNGE
8:14
Global TV Online
Рет қаралды 160 М.
Когда Трамп договорится с Путиным?
29:35
BBC News - Русская служба
Рет қаралды 85 М.
DUNIA (Ep 44)
24:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 36 М.