Sichoki kusikiliza wimbo huu Asanteni Sana mliotuimbia ❤❤❤
@jamilanyatuka4614Ай бұрын
Watu kama ninyi ndio mnaotupa uzuri wa mbinguni. Yaani napata picha sauti tamu na za unyenyekevu kama hizi ndio zinawaburudisha milele.Asante san Daspina na Lucy.Mungu awazidishie na asiwapungukie kwa lolote.
@VivianShirima-g6sАй бұрын
Nina barikiwa Sanaa na huu wimbo kila ninapousikiliza ❤🙏🙏
@SephaniaMzopola-bj8cbАй бұрын
Hongereni sanaa wadada,, kuna hisia flan hiv pale mtu katoa machozi,,duu that's music
@vitusgeorgeluhuza8830Ай бұрын
Hongera Sana Dada Despina
@MoyoMt.waYesu_SumbawangaKMMYАй бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuriii mnoo
@VailethMussaVailethMussaАй бұрын
Nyie wadada hongereni hongera dada despna& Lucy mmegusa Sana moyo wangu kwa takari hiyo
@EmmanuelMperu-ve2veАй бұрын
Wooow, ❤❤❤❤Hongereni kwa kazi nzuri aisee
@elizabethruto2261Ай бұрын
Nice one ❤
@roselambert6700Ай бұрын
Wow fantastic kazi zako nafarijika sana Mungu akubariki sana ❤❤❤from UK 🇬🇧
@NoahMsukuma-j4mАй бұрын
Duuu hadi hii leo me kusikiliza nyimbo yako ni kwa rehema za mungu Asante sana dada mungu asikuache popote pale
@TojaBaumba-o6zАй бұрын
Despina hongera sana tena sana
@dativamtaresi1973Ай бұрын
Hongereni sana wapenzi❤❤ Nawapenda❤❤🎉
@corneliusmusauАй бұрын
Mziki mtakatifu na mtamu🎉🎉
@Myunani_DivineStudiosАй бұрын
Aminaaaa
@despinae.mdendeАй бұрын
🙏🙏
@KwayayamtyohanambatizajiIzimbaАй бұрын
Kazi nzuri sana hongereni sana
@MnyoneEvangelistaАй бұрын
Congratulations wapendwa 🎉🎉
@tempochoirАй бұрын
Absolutely beautiful ❤ Hongereni sana mmeimba vizuri 🎉🎉🎉
@erastosahani6180Ай бұрын
Very nice song may God bless you all 🙏🙏🙏
@dorothydeclan6995Ай бұрын
Hongereni sana❤
@brightonpeter1034Ай бұрын
Hongera sana, kazi nzuri 🎉
@TYCS_EPIPHANYPARISHАй бұрын
Muziki mtamuu sana huu
@FranciscaSimbeyeАй бұрын
Nabarikiwa sana na uimbaji wako Dada Despina🥺🙏. Mungu azidi kuikuza Talanta hiyo ndani yako
@seveclementy6960Ай бұрын
Ee Nafsi yangu umngoje Bwana, Amina
@astridathadei8700Ай бұрын
Siwezi bila wewe Mungu
@JimmywampindaАй бұрын
Despina aiseee unajua sana mojamoja Nabonyeza sehemu imeandikwa download
@paciekasasa4062Ай бұрын
Dada zangu mnaimba kutoka rohoni! Mungu awabariki Sana 😊
@isabellahassani3652Ай бұрын
Hongereni sana ❤❤❤
@Ladykofficial-q4vАй бұрын
Congratulations 🎉 dear❤
@TembaWenceslausАй бұрын
Hongereni sana kazi ni mzuri
@poncegk5263Ай бұрын
Blessed
@serahmuthoni24Ай бұрын
Safi sana.mami
@MagdalenaBajutaАй бұрын
Kristo awatunze kwa kazi nzuri sana kipenzi
@norbertsunguАй бұрын
Tenzi Nzuri sana mbalikiwe sana kwa kuimba vinzuri sana wapendwa wa Mungu hakika inatafakarisha sana
@despinae.mdendeАй бұрын
Asante sana Kakaangu
@KMBM-SUMBAWANGAАй бұрын
Safii sana wimbo mzuri
@Arati3Ай бұрын
Kazi safi sana Despina na Lucy😊
@Gerelo322Ай бұрын
Hongera saana
@despinae.mdendeАй бұрын
Asante
@Gerelo322Ай бұрын
@despinae.mdende unaupiga mwingi
@edwinkachenje7677Ай бұрын
Woow
@avemariaproductions201Ай бұрын
Congratulations Friends🔥👏
@despinae.mdendeАй бұрын
Twashukuru Kaka Yetu kwa Kazi nzuri Mungu akutunze
@avemariaproductions201Ай бұрын
@@despinae.mdendeAminaaa
@PacienceAchimpateАй бұрын
Very nice song!
@MengeniClassicMediaАй бұрын
Amina
@KephMedard16 күн бұрын
Mungu mwema azidi kuwabariki nafurahia sana wimbo mzuri sana 🎉🎉🎉mbarikiwe
@bakhitamissanga1821Ай бұрын
Hongereni sana 💪💪sisters in Christ
@despinae.mdendeАй бұрын
Asante Sana Bakhita
@briankilonzo3022Ай бұрын
Amina.wimbo tamu sana
@EdinaMichael-G125Ай бұрын
MUNGU Ahimidiwee ndanii yenu siku zotee wimbo mzuriii saana najiskiaa uweponii Mwa YESU wanguu MUNGU awabarikii sawa na utumishii wenuu. 🥰🥰🥰🔥🔥
@waromokelloАй бұрын
Absolute sweet solemn song. Thank you❤❤
@gabrieledes1541Ай бұрын
Mtoto wa mdende weee chukua maua yako🎉🎉🎉🎉
@despinae.mdendeАй бұрын
Asante sana Kaka🎉
@josephmpina-gt7bqАй бұрын
Hongera sana kwa nyimbo nzuri
@CeciliaMwakanyamaliАй бұрын
Hongereni sana
@JustineKikoti-i7qАй бұрын
Saf sana despina
@despinae.mdendeАй бұрын
Asante sana Kakaangu
@KephMedardАй бұрын
Woow 🎉🎉nyimbo nzuri sana. Mungu azidi kuwabariki Dada zangu katika utume huo....mbarikiwe sana 🎉🎉
@jamesmboyi30Ай бұрын
Dada Despina Leo sisemi neno ila 🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡❤❤❤❤❤❤❤
@nursecarenАй бұрын
O Lamb of God I come 🤲Just as I am❤
@rodriguefrankkasika982Ай бұрын
Mungu awabariki...
@LovelyMeadows-wc2miАй бұрын
Hivi nilivyo,kipofu...naja 😢😢😢
@emmanueladriano2034Ай бұрын
Dada yangu ..tubarikiwe sote kwa kuangaziwa uelewa juu ya kazi hii nzuri..amina
@TwinProduction-lr7lgАй бұрын
Hongera sana Dada Despina kwa utume
@despinae.mdendeАй бұрын
Asante Sana👏👏
@berthacosmas1066Ай бұрын
Hongera sana Dada Despina Kwa kazi hii njema Mungu azidi kukubariki ❤🎉